Sasa Kama huyu ameshafungwa nne bado anaona hakufungwa Sasa afungwe vipi au apigwe mchaka bwengo?
@mwanaishamasoud2 ай бұрын
jipe moyo .
@fadhiliabasi65852 ай бұрын
KUNA WASEMAJI NA KUNA WABWATUKAJI !!!
@KiumbaMahmoud2 ай бұрын
Maneno ya mkosaji hayo unawasikitikia wakati wamekufunga
@revocatusmalimi45252 ай бұрын
Huna taaluma ya usemaji
@shaameshaame28372 ай бұрын
Makocha wa timu ndogo musipotumia akili kucheza na timu zinazowazidi uwezo mtakutana na aibu kubwa sna. Timu inakuzidi viungo unataka uchezee mpira kwel nyny makocha mpira mumewah kucheza au muliusoma tu? Mpira kuna muda unatengenezwa na kuna wakati unapaswa kuharibiwa pia kuna muda unahitajika ubabe ili unusuru aibu. Kama mnataka majina timu zenu ziitwe BACALONA za BONGO sawa lakn kuna timu zitawafunga hata bao 10
@JamesHonore882 ай бұрын
Kafie mbele huko
@DenissShadrack2 ай бұрын
Kwenda huko huna jipya wewe na hata waliyokuweka usemaji inapaswa wajitasimini sana maana huna unachoongea zaidi ya pumba na mnashuka daraja msimu fala wewe.