We acha kuifananisha SGR ya Tz inayotumia umeme na iyo ya Kenya inayotumia Mafuta ya Taa
@susanhyaola237014 сағат бұрын
Congratulations tz
@davidwalalason7630
Those tz train sets are so dope for real no doubts
@alfinmbilinyi5985
🇹🇿Tanzania also is constructing SAMIA maglev 320km/h sgr from Mtwara to lake nyasa via songea in Ruvuma Region.God bless Tanzania for a good job to its people.🇹🇿
@manefuture821221 сағат бұрын
wakenya wajaribu 🚂 ya stima⚡
@nyambegamatoro68177 сағат бұрын
Tanzania acheni uzembe, angalao mgekuwa mfekia Makutopora Singida na sio Dodoma tu. Toeni fedha nakaza buti, kazi masaa ishiri na manne. Nadhani mpo katika kulinda mabasi na malori ya usafirishaji ya wakubwa.
@user-cn9br7en7w
Mbona ya kenya inatoa moshi mweusi sio inamanisha haitumii umeme
@OmarBNAKHICLASSIC-xy6nb21 күн бұрын
Kenya n role model ya tz ndo maana kila siku wanajifananisha na kenya.yaan paka kenya ifanye kitu ndio tz iige nayo ifanye.tunajivunia kua role model ya east africa countries.
@francismadoshi8529
Kenya wamefrisika wakashindwa kuimaliza reli!
@ezekielmlay8219
Ni mawazo ya mtuma post, achana naye tuangalie mambo yetu. Ya kenya haituhusu bana
@abasssy990921 күн бұрын
Nous devons lutter pour que notre continent puis avoir du chemin de fer partout.
@sskondopoleani9616
Wana Tz Tusonge mbele tuachane na Kenya, Debe haliachi kutika.
@geoffreymutisya974721 күн бұрын
kenya iko mbele💓 tanzania itachukua miaka 100000 kuwa kama Kenya
@mediacare674421 күн бұрын
Of what significance is Dodoma?
@abdalahally3113
Kizuri kisemwe hio ya Kenya mm nimeipanda ni bure kabisa
@Kabwela776
Kwa nini mnapenda mambo yenu kujilinganisha na Kenya
@davidwalalason7630
Bigup to tz government for not rushing to there deal while kenya they rush for the deal and politicians took advantage to steal the project money
@KelvyKessy-sy4dd
Yani una compare gari Moshi na electrical train iv uko na akili Ata kidogo tu
@aminata3702
Wewe ni mkenya uliyejifunza kiswahili acha kutuektia hapa
@user-lt1bi5nr1x
Ndo magufuli alisema itabeba mbogamboga sio kwa wahudumu hao