Hongera bro Michael kiongozi wangu wa UKWATA MBOZI
@Amina-y7q11 ай бұрын
Hongera Sana, mwalimu,tunaomba mafunzo.na SS kiongozi
@jsmtv20174 жыл бұрын
brother hongera sana rais wangu wa university student Christian fellowship
@ombenmichael34734 жыл бұрын
Wahandisi wa umeme tusikouwa na ajira tupo wengi... Congratulation Engineer for that creativity
@michaelmwaikenda45744 жыл бұрын
Ahsante sana mkuu.
@mukikibati35194 жыл бұрын
Kama mko wahandisi wengi mmesoma kwa nini msitafutane kampuni yenu kwa sababu Tanzania itajengwa na watanzania wenyewe halisia na sivinginevyo
@ombenmichael34734 жыл бұрын
@@mukikibati3519 ni wazo zuri ila kinachochangia ni capital mkuu si unajua most of people wametokea kwenye familia duni
@tanescomikocheni-fg8qw Жыл бұрын
Umetisha mjumbe well done
@edinamhando1084 ай бұрын
Hongera ila nimependa hivyo vikombe navipataje
@Jamesmwakisambwe26 күн бұрын
Millard mimi nataka kujua packaging bottle ya hizi juisi nani anauza
@dianessswai2853 жыл бұрын
Congratulations my friend Baba wawili
@abdulmapunda53294 жыл бұрын
Hongera classmate wangu kwa ujasili
@doricembata11114 жыл бұрын
Amazing 👏 👏👏👏🔥
@LovenessDomician2 ай бұрын
Nahitaj usoefu zaidi mm pia nafanya biashara ya juice japokuwa nasoma inaniwia ngumu sana kuendesha vyote viwili masomo na biashara sijui ww uliwezaje yote mawili nisaidie tafadhar
@zabronmwogha99354 жыл бұрын
Hongera kwake Eng: Michael
@damianjames2994 жыл бұрын
Kaz nzuri homeboy
@Abuu_Asfiya-Salafy Жыл бұрын
brazaa mwaiiii😂😂😂
@SwaumJuma-e5h3 ай бұрын
👏
@leilahmohamed22253 жыл бұрын
Ila huyo ni mchoyo wa fursa coz hafunguki vzr ndio shida yetu hiyo wa Tz
@fadhilarashidi51843 жыл бұрын
Sasa afunguke akalie wapi
@janethsaid19713 жыл бұрын
Hahaa anaogopa kunyang'anywa fursa jmn
@johasaeed3912 жыл бұрын
Kabisa mi natKa kujuwa tu bei na faida
@paulinacherement25342 жыл бұрын
Mashallah
@frankfrancis7744 Жыл бұрын
Kw mawasiliona zaidi tunaweza kukupataje ili kujifunza zaidi.
@ernestdismaseryd16774 жыл бұрын
Kazi kazi
@neemambega47524 жыл бұрын
HONGERA KAKA KWAKUJIONGEZA
@michaelmwaikenda45744 жыл бұрын
Ahsante sana Dada neema. Barikiwa.
@kenybenjiz78504 жыл бұрын
Safi sana
@mosesg.pendael83814 жыл бұрын
Hii tabia ya wahandis kuangalia darini wakiwa wanatafuta majibu hawawezi kuiacha 🙂
@michaelmwaikenda45744 жыл бұрын
Hahahahahahaha tunakua kwenye designing stage mkuu kwa hiyo tunaona picha ambayo wengine hawaioni.
@nurumoses98452 жыл бұрын
Nimekusikiliza vizuli muandisi Mimi Niko tunduma nauza juis changamoto yangu kwenye biashala hii ni blenda kaka wewe unafanyaje naomba nisaidoe
@greatman2964 жыл бұрын
See u at the top
@michaelmwaikenda45744 жыл бұрын
Oooh thanks so much. Be blessed.
@ZinabAlzinab4 ай бұрын
Hizo glasi zinapatikana wapi
@mukikibati35194 жыл бұрын
Vijana watanzania mnaonaje mfano huo ukisoma kuwa mbunifu utafanikiwa
@hktztv65194 жыл бұрын
Msafara wa Tundulusu iringa na umati wa watu 👇👇👇👇👇 kzbin.info/www/bejne/pX_To5l6o8t8icU