Maa Shaa Allah kipenz chetu,Allah akuongoz ktk kila jambo la kheri n akuzidishie elimu yenye manufaa we n familia yako n akupe mwisho mwema,,amin
@mbarakaathumani30354 жыл бұрын
Hakika uislam ndio dini sahihi na ni dini pekee akiyo iridhia Allah ! Sheikh kishki Allah azidi kukuhifadhi wew na masheikh wetu wote ktk dunia.mlipwe kila kheri hapa dunia na kesho akhera. Amin
@KamariaHamza6 ай бұрын
Shukran Allah akulipe kheri na akulinde na kila shari
@khadijawendomwachirenje35137 жыл бұрын
Alhamdulillah nimejifunza ambayo sikua nayatimiza,,Allah akulipe kheri Sheikh Kishki na familia yako ,amiin
@hassanovajunior69727 жыл бұрын
Khadija Wendo Mwachirenje ameen..kumbe tupo wengi hahah
@johnnyrafael24876 жыл бұрын
Mashaallah
@abdullmalik78475 жыл бұрын
Alhamdulillah twalabul ilmi faridatu Allah kulli muslimin wamuslimati,,,
@OmanOman-gc1zu5 жыл бұрын
subuanalaaah nimejifunz meng ambay nilikuw nayakosea Allah akuzidishie in shaa Allah 🙏🏻🙏🏻🥀akupe itaj la moyo wako
@thevipperh.a18476 жыл бұрын
Mashallah inapendeza sana kupata mafunzo mazuri na muhimu kama haya
@shariffakeniya14315 жыл бұрын
Jazaka Allah kheir fildunia wal aakhira
@sharifmustafa99444 жыл бұрын
Hakika nimepata kujua sana hapo naamini anajifuza lengo kutaka kujua namuomba mungu anijalie mm na aliyetoa darasa hili hatuzidishie kwa swala zetu pia na wale waosikiliza na awaswali awepe wepesi nao waswali inshallah
@faizabaishe51725 жыл бұрын
MaashAllah, Alhamdulilah InshAllah heri shukran sana
@salimkibz996710 жыл бұрын
A.a Masha Allah, shukran zote anastahili muumba wa mbingu na ardhi na vilivyomo. Ila ningependa kuuliza swali moja au mawili. Wakati tunaswali swala ya jamaa je ni wajib kwa maamuma kuanza na wajjahtu ama imamu anatosheleza,na kama maamuma amepata imamu anasoma surah na akajiunga na swala je ni wajib pia kuanza na wajjahtu. Na wakati imamu amemaliza kusoma surah Al -Fatiha je maamuma anapaswa kuisoma pia yeye ama ni wajib kumsikiliza imamu wakati anasoma surah nyingine. Haya ni miongoni mwa mambo ambayo tunatafautina kwa swala na wengi hatufahamu
@ashamwero99238 жыл бұрын
je
@faridafarida32808 жыл бұрын
Asha Mwero ishaallah MUNGU AWABALIKI inshaallah
@BB-xz4ml7 жыл бұрын
maishallah
@MaryamHamidu-zm4zx Жыл бұрын
Masha Allah mafundisho mazuri sana Allah am bariki mwalimu wetu
@nasrabashir39406 жыл бұрын
Mashala sasahivi kila mto ana fahamoo visoori vipi qusali
@saumuomar88428 жыл бұрын
N cc Allah atujaalie tuwe wenye kuongoka kw kufuata ukumbusho wako n atup hatma njema in shaa Allah
@OmanOman-gc1zu6 жыл бұрын
MashaAllah Allah akuzidishie InshaAllah.... Katika imani
@abrarabgao8 жыл бұрын
MASHAALLAH TABARAKALLAH JAZAKALLAHU KHAIR
@masoudhaji4986 жыл бұрын
Ahsanteni sana masheh wetu
@khadijayusuf706510 жыл бұрын
Mashaallah. Shukran jazakum Allah kheir. Mungu awalipe. Kila la kheir Amin thumaa Amin
@abdullmalik78475 жыл бұрын
Allah humma ameen
@emmyyahya83586 жыл бұрын
Mashallah uwisilam raha sna
@RIHA-qb6mx10 жыл бұрын
Masha Allah ahsanteni sana kwa mafundisho haya kwani yana faida nyingi sana Allah awalipe kila la kheir duniani na akhera Insha Allah. tungependa pia tufahamishwe kwa upande wa wanawake Insha Allah. Ahsante pia maisha ya kiimani.
@Som-Hanoolaato8 жыл бұрын
As Salaam Aleykum WaRahmatullaahi WaBarakaatuh Our Beloved Prophet Muhammad Ibn Abdullah, (SallAllahu Aleyhi WaSallam) Said: "Pray as You see me Praying" (Swaliini Kama munavo niona ninaavo Swali) to All Muslims - Men & Women. Kwa hivo hakuna tafauti Yoyote baina ya mwanaume na mwanamke. Baarak Allahu Feekum .
mashaallah jazakallahu khair Allah akujaalie kila la kher
@ziadaally96848 жыл бұрын
asalamu waleykumu walahamatullah wabaraka ndugu zangu ktk imani napenda kusoma Qu raan sana kujifunza
@abdullmalik78475 жыл бұрын
In shaallah bi ithnillah Allah aku khafifie
@gugahmediaafrica94053 жыл бұрын
Mashallah...nimejifunza mengi
@wazirimavengero18766 жыл бұрын
Shukran Jazeera sheikh
@khadijamalifedha58628 жыл бұрын
mashaallah ahsante kwa darsa
@assadkalikule63756 жыл бұрын
shukran kwa elimu hii
@mahadimatsawily58095 жыл бұрын
mashallah, Jazaakallah khair
@twahirumtunguja41364 жыл бұрын
Naomba unitumie ikiwezekana inshallah
@FarajaChengula-ou8qv Жыл бұрын
Mashaallah
@salmanassor87329 ай бұрын
Mashallah
@alimaomar36189 жыл бұрын
Mashallah jazakallah her mola hakuzidishe ishallah Amin
@meryelijumanne38508 жыл бұрын
Mashallah
@saidzww7 жыл бұрын
mafunzo au maelekezo maustadhi wanatofautiana sjui juzuu py tofauti wanatuyumbisha ss maamuma tunao jifunza kutoka kwao
@tatut38896 жыл бұрын
Kabisa
@nasraiddy81645 жыл бұрын
Kabisaaa
@vivianoforo23687 жыл бұрын
Hakika kuna mambo sikua nayafanya kama ulivoelekeza. Allah akujaaliee inshaallah
@fatmah12mohamd468 жыл бұрын
asalam aleikum warahmatullahi wabaraqatu..mashalla!!mola atujazi kheri ..kwani ujumbe ulifika qalamu zikakauka uliobaki ni vitendo..mola tuepushe na mashayathin
@abdirahman24976 жыл бұрын
fatmah12 kuna kitu ma shekh wananichanganya namna ya kusoma atahiyatu inatafautiana,naomba usaidizi
@abdullmalik78475 жыл бұрын
Ameen ya raab
@nurahtyswalehe20556 жыл бұрын
Masha Allah tabaraka Allah
@BB-xz4ml7 жыл бұрын
Ma inshaallah
@kingmashamasha22538 жыл бұрын
asante sana nurdn ongeza bidii ili jihud iwe juu zaid
@shakilajuma78087 жыл бұрын
mashalla mungu hatupe iman
@zenaibrahm66196 жыл бұрын
Maashaa allah shekhe kishnk
@abubakarngaiywa11654 жыл бұрын
Assalam Aleikumu wahmatullah wabarakaatuh.naitaji mnitumie hiyo sura
@ramadhanimwejumamsembe68643 жыл бұрын
Ishaalh
@fatmanjerimacharia62496 жыл бұрын
shukran sana
@neemaabdallah35674 жыл бұрын
Masha Allah
@aaaaaaaa72975 жыл бұрын
Maashaallah
@rashidsaleh18287 ай бұрын
Asalam alykum warahmatullah mimi naomba kuuliza kwaio hakuna dua ya kutia udhu unanawa to pekee yake inatosha suali la pili naomba kuuliza ivi ukienda choo ukimaliza kujisaidia unatakiwa kunawa to peke yake au unasoma dua gani
@mahsnirmohammed24938 жыл бұрын
Masha Allah✍
@msomarkhamis47657 жыл бұрын
Mahsnir Mohammed m
@saumuramadhani78338 жыл бұрын
mashallh
@msomarkhamis47657 жыл бұрын
Saumu Ramadhani
@isamamuhamad79187 жыл бұрын
mashaalala yote
@aishaaisha90946 жыл бұрын
Lapili je kama sijui kabisa dua je naruhusiwa kuswali swala yangu itaswihii
@mwanaimaabdallah78253 жыл бұрын
❤️❤️❤️❤️❤️
@kingmashamasha22538 жыл бұрын
asanten
@salmadashlaquimanelaquiman44276 жыл бұрын
Shukran
@mariamjuma10686 жыл бұрын
Shukran sana
@monicampokwa19844 жыл бұрын
Allah awenawe
@aishaaisha90946 жыл бұрын
Mimi nauliza je kama dua baada ya atahiyatu sijui je sawala yangu itaswihi
@MAISHAYAKIIMANI10 жыл бұрын
@mimounatanzania64668 жыл бұрын
Shekh naomba kuuliza, kuna shekh mwingine alisema ukitaka kusujudu unatanguliza magoti na were umetuambia tutangulize mikono sasa ipi sahihi
@sahmohamedy78027 жыл бұрын
MAISHA YA KIIMANI Gozo za imani kapi
@Som-Hanoolaato8 жыл бұрын
Hiizi alaama zita saidhiyaa saana, kwa ( Sawa ama Sisawa) (✔️☑️) (❌ ✖️) katika hii video, kwasabau kuna Watu ambao hawasikii vizuri (kiziiwi)
@tatut38896 жыл бұрын
Hahaha
@halimajuma27327 жыл бұрын
Shukrani kwa mafunzo wengi wetu tulikuwa hatujui
@aishaaaa69876 жыл бұрын
Mbona shekhe unatufunza tofauti na màhekhe wengine? Miguu yake maji hayajafika mpka magotini halafu kichwa na masikio mbona umeosha mara 3?
@ayshadahir65225 жыл бұрын
Aisha hivo ndivo sahihi imethiti sio lazima kufikisha magotin lakini sio vby pia unaweza kufikisha tuu.
@ummuwawili Жыл бұрын
Na hii mwisho kumuomba Allah unachokitaka inafaa kuomba kwa lugha yyte?
@farhatvuaisuleiman5003 жыл бұрын
He shek wakati was udhu hamna dua
@anelkaking93425 жыл бұрын
Naomba namba yako shekh.
@ummuwawili Жыл бұрын
Nauliza hii aliyosoma baada ya Kusema "Astaghfirullah" mtu anaweza kusema hivi "Allahumma anta salaam waminka salaam" inafaa? Kama nashindwa kuihifadhi yote
@rahmamohamedi14719 жыл бұрын
Aslm. Aleykum. Naomba. Kuuliza. Ni. Lazima. Unaposali. Mikono. Uweke. Ama. Ushike. Chini. Ya. Kifua. Ama. Unaweza. Ukaiachia. Tu?
@arafalali85697 жыл бұрын
mashaaaAllah kwa kwel nimejifunza
@rskiabdala48686 жыл бұрын
Yte sw tu ila ni vizur zaidi kueka kifuani
@mira-gq3qg6 жыл бұрын
Mashallah
@hamisially13405 жыл бұрын
Rahma Mohamedi
@nurahtyswalehe20556 жыл бұрын
Masha Allah tabaraka Allah
@halimatanzani85876 жыл бұрын
Mashaallah
@rehemamalwa11313 жыл бұрын
Maanshallah
@ahdahmed83835 жыл бұрын
Maashallah
@kingmashamasha22538 жыл бұрын
asanten
@nassorjuma6312 Жыл бұрын
Mashehe wakifundisha namna ya kusali hawaanzi kuanzia choòni ili iwe kamilfu