kutoka kwenye kina cha moyo wangu nimehangaika sana kutafuta mpendwa alieuimba wimbo huu kwa viwango vya kuugusa na kuupondaponda moyo wangu!! 4 sure sijawahi kukufahamu lakini kwa ulivyounyoosha utenzi huu break nimezifunga na pedal zake nimeng'oa kabisaa!! ubarikiwe sana kwa kunibariki dada TUPONILE!!
@noelngowitechnicalsolution11 ай бұрын
Hongera sana mwimbaji na wanamuziki. Jina lake YESU tamu
@sebastiansteven11 ай бұрын
Nimeupenda mdomo wako najinsi unavyojua kuutumia keep it kuna watu tunabarikiwa na kipawa chako
@peninapetro4775 Жыл бұрын
Blessed
@annamkondola13234 жыл бұрын
Congratulations kazi nzurr sanaa Mungu azid kukuinua zaidi
@JacksonNdahani..8 ай бұрын
🙌🙌🙌
@EdwinNsyani4 жыл бұрын
Mungu akubariki sana Mtumishi Tuponile,wewe ni hazina yake Kristo,utukufu mkuu uu mbele yako.Yesu Kristo akupe kunyenyekea zaidi ili akuinue zaidi.UBARIKIWE MNO.
@bestbusiness43514 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana. Mungu akubariki dada Tuponile kwa huduma hii uliyopewa na Mungu .🙏
@jennyambakisyemwakinunu98174 жыл бұрын
Wimbo mzuri Sana Mungu aendelee kukubari katika kazi zako dada
@jestinakatobe82864 жыл бұрын
Mungu azidi kukutumua, nabarikiwa Sana na huu wimbo, unanibariki Sana Sana Sana voice well arranged, not tired listening to this song
@jacquelineerasto19714 жыл бұрын
Congratulation Dada angu ........Mungu akubariki mno yaaan jina lake Yesu ni tamu kweli tuzidi kumtumikia Mungu wetu Dada angu
@dennycdenny45064 жыл бұрын
MUNGU akubariki na azidi kukutunza, na kukuinua endelea kunyenyekea mbele zake Hakika Jina lake YESU ni Tamu 🤗🤗 na hutuondoleaa,,, Congratulations 😍
@airtelmbezi50624 жыл бұрын
Badili mwenendo mavazi hayo unatenda dhambi unapoachia waz hvyo vaa vzur vazi refu kufundisha jamii pia
@tatianakanyange89562 жыл бұрын
Beautiful voice,be blessed
@joyceeliezer48164 жыл бұрын
Shine baby girl...im blessed
@davidmbosa26774 жыл бұрын
May the God of heaven and earth continue to exalt you in the realm of your service and lift you out of His help in every time of your need. I have been blessed with this work of God in you little one. Be very blessed
@prophetnkoronko19902 жыл бұрын
Be blessed in Jesus Name
@emmagaitan29514 жыл бұрын
Wow! am happy to see you, GOD bless you.
@emmynaveen83524 жыл бұрын
Ubarikiwe sanaa mungu azidi kukutunza
@deoruge3 жыл бұрын
Barikiwa dada nasi tumebarikiwa
@tumainmaclean36574 жыл бұрын
Nice Sanaa dadake Mungu aendelee kukutunza...am blessed
@constansialanjau1534 жыл бұрын
Congratulations MUNGU azid kukuinua kwa viwango vya juu zaid🙏
@yusuphdeule6869 ай бұрын
❤🎉
@deodatusmziwanda90094 жыл бұрын
Barikiwa sana mungu Akukuze Dada
@ruvugomusic21624 жыл бұрын
Nice sana tuponile kazi nzuri
@rosebrasius71634 жыл бұрын
Amen nabarikiwa sana na wimbo huu
@burton_hans4 жыл бұрын
Dada anguuuu♥️♥️♥️♥️♥️♥️🤗🤗keep shining 👑
@neemaandrew65934 жыл бұрын
Ubarikiwe mdogo anguu
@marthabenson1112 Жыл бұрын
Rudi dada tunakusubir
@yohanamayenga4 жыл бұрын
Zaza wetu wa Tabata! Oyeee! Nimebarikiwa as usual!