Kweli mchungaji maombi ya kufunga na kuomba yananguvu mno nilifunga nakumba siku tatu nilimwomba MUNGU anipatie kazi namshukuru sana MUNGU amenipatia kazi nchi za nje ❤
@BlandinaTogolai21 күн бұрын
Hongera
@bikyeombemteulwa27242 ай бұрын
Amen amen amen 🙏 atasijuwi kwanini kwanini nikisikia maubiri yako uwa najikuta nalia mahubiri yako uwa yanagusia maisha yangu natamani ningekuwa TZ angalau nikuone pastor MUNGU akupe maisha marefu kwahajiliyangu baba yangu
@neemaisaackmdoe6733Ай бұрын
Amen 🙏🏼
@scolastikapeter58922 ай бұрын
Asante mchungaji Mbaga ninamshukuru Mungu wa Mbinguni kwa ajili yako Maombi yangu kwako uweke familia yangu katika maombi yako ili imjue Mungu, na tumtumikie kadri atakavyo yeye 🙏
@omarikhussein2 ай бұрын
Mungu abariki neno hili nikafanye ubadiliko ndani yetu kwa Roho mfatiku,, Barikiwa piya PR DAVID MMBANGA na Mungu atubariki🙏
@izungoangalo56852 ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu na nguvu na kueleza ukweli wa Bwana
@sylviesaidi574022 күн бұрын
Amine
@Mary-bj6qq2 ай бұрын
Umenifungua macho ,Mchungaji nakushukuru
@simonkambale5052 ай бұрын
Amen,n'a hitaji kitabu.
@jacquelinemanene84082 ай бұрын
Asante mchungaji kwa Ombi zuri, moyo wangu umepata Amani kutoka kwenye wasiwasi wa maisha ,
@mgasakeraibwe2 ай бұрын
Barikiwa Sana mtumishi wa Mungu
@WatsembaCatherine-s6r2 ай бұрын
Amen 🙏🙏 thanks
@Helen-r1o5o2 ай бұрын
Mungu akubariki pastor
@angelanibulenge23152 ай бұрын
Amen ubarikiwe papa
@emmanuelymittango2 ай бұрын
Amen
@risperondiba73472 ай бұрын
Amen asante Mungu
@elizabethbwire14802 ай бұрын
Amina
@elzashopShop24 күн бұрын
{Bwana nimwema wakati wote na wakati wote Bwana ni mwema} Bwana akutiliee nguvu poster amen
@nancymakenyavigi6285Ай бұрын
7:46
@PerpetuaKatemi2 ай бұрын
amen
@DanielSamson-h4v2 ай бұрын
𝘕𝘢𝘪𝘸𝘦 𝘩𝘪𝘷𝘺𝘰.
@EuniceOlumbe2 ай бұрын
Pr. Ninakutafuta kunavitu zimenisumbua na nimetafuta MTU wakujadili nao lakini nilianguka Kwa mkono wa wakala nisaidie nikupate aje Betty from kenya
@RossaRutasha2 ай бұрын
Mchungaji nina mwezi mzima ninakuita naandika massege hunijibu Ilikuwa tu nakuuliaza kama walishakurudishiwa hannel yako kusema ukweli tangu siku sikulala nilikuwa nakuombea kuwa wakurudishie
@SAVPTVOnline2 ай бұрын
0755932283 Waweza tumia namba hii ili uweze kuwasiliana na mchungaji.
@andrewmwakitwange69682 ай бұрын
Nipe namba mawakara wako
@andrewmwakitwange69682 ай бұрын
Napataje vitabu mchungaji, Mimi nataka Nakara zote za vitabu vyako.
@TomTyson-zz8xu2 ай бұрын
Pst Mie Nataka Biblia Ila Nipo Kenya
@Alfredkatasimwalkakajnst2 ай бұрын
Na itaji namba ya mchungaji mbaga ya watshap na tatizo na itaji ani ongoze katika maombi. Niko injini Drcongo
@BlandinaTogolai21 күн бұрын
Kama hujapat Nitumie no yako nikutumie
@scolastikapeter58922 ай бұрын
Asante mchungaji Mbaga ninamshukuru Mungu wa Mbinguni kwa ajili yako Maombi yangu kwako uweke familia yangu katika maombi yako ili imjue Mungu, na tumtumikie kadri atakavyo yeye 🙏