Mgeni wako huyu yuko vizuri kichwani, ana utulivu, ana madini, beauty with brains.Mualike tena na tena ,ana hekima sana.Hongera dada you are good 👍
@marmzrelationshiphub7907 Жыл бұрын
Kwa kifupi niseme Salome umeupiga mwingi sana 💞💞 umeongea kwa utulivu sana na umeeleweka vyema watu wakifuata haya watakua salama sana hata wasipoendelea kuwa pamoja lakini amani inakua imetengenezwa baina yao.Irene mada muhimu sana maana ni kitu kinatesa wengi sana.Clap Clap 👏💋🥂
@agnesskiginga3890 Жыл бұрын
Salome yuko vizur sana kuna MTU mwingne anakuwa ametangaza kuachana na MTU halafu bado anakuwa anamfuatilia Mtu yule yule aliyetangaza kumuacha nini cha kufanya
@celinaphysoo4919 Жыл бұрын
Mungu kakupa kitu cha ziada yua so smart ♥️🤍
@Tonga994 Жыл бұрын
Huyu dada yuko vizuri sana hakika namkubali sana,hakuna mahali nitamwona niache kumfuatilia na kumsikiliza,proud of you Dear Sister Salome👏👏👏
@salomenelson711 Жыл бұрын
asante sana Neema
@GraceMarco-s8gАй бұрын
Safi sana dada nimekipenda Bure natamani uwe mshaur wangu nakupataje
@ElyMgaya Жыл бұрын
Ilauyu dada yukovizuli sana nimemkubali sana endeleeni kumualika atupe madini
@salomenelson711 Жыл бұрын
Asante sana.
@esthermichael3221 Жыл бұрын
Duuh hili somo ni zuri Sana na pia ni guumuu kulielewa kama akili aijatulia na kujitambua. Sister SALOME hongera kwa kazi nzuri unayofanya
@sumayaishengoma4543 Жыл бұрын
Safi sana umefanya vizuri kumleta mdada mtaaluma wa mambo haya
@tumainichanya3268 Жыл бұрын
Da Iren Salome namuelewa vzr Sana pamoja na Mwl Kanuti Asante sana Kwa haya majembe
@annahockson142715 күн бұрын
Asante dada mpka nimetazama kipindi chote dah❤❤❤
@ashaidd2912 Жыл бұрын
Big up Irene Salome yupo vzr sana
@salomenelson711 Жыл бұрын
Asante sana
@ashaidd2912 Жыл бұрын
@@salomenelson711 uje tena uendelee kutupa madini mamii Kuna mengi hayaseneki jmn
@economistsarafina8085 Жыл бұрын
My favorite counselor
@williamjumbe1928 Жыл бұрын
Hiki ni moja ya kipindi pendwa na bora sana
@leylahleylah4599 Жыл бұрын
Huyu dada❤❤ Salome
@manyamalima1916 Жыл бұрын
Your the best salome
@namisunasuleiman87284 ай бұрын
😂😂😂😂😂 nafrah kwa kwel niseme t hichi cha kukaa mbal kibaya zaid jamn waume ndo wanatumia fursa kubwa ya kucheat
@ingabireritha3740 Жыл бұрын
Nice one jamani❤
@Bintmwafurani Жыл бұрын
Ivi mwanaume kakusaliti kimya kimya mpaka ukajua kujua na mungu kamuumbua kapata na maradhi ukimwi lakin mungu fundi mwanamke yupo salama je usaliti km huu unaweza je kuendelea kuishi na mtu km uyu ikiwa ata km ningekuwa mm ndo nimemsaliti ndo ni kapata hayo maradhi basi angeniacha jamani nishaulini mume ndo alikuwa msaliti sana tena ule usaliti wa wazi kabisa unaishi je vp na uyu mtu jamaniii mwenye ushauri nafatilia comment ata uyo dada salome km ataiona hii sms tafadhaari naomba nisaidie ata namba ya cm niweze kusaidika😭😭😭
@PendoAlex-pp9vz Жыл бұрын
😂😂 Salome Salome umeniponya
@salomenelson711 Жыл бұрын
Asante sana. Tumrudishie Mungu sifa na utukufu
@damariszuckschwert9489 Жыл бұрын
Halafu watu wanaaminishwa wazee ndio wana maarifa. Kumbe maarifa huanzia ujanani. Dada kajaa madini.
@ElyMgaya Жыл бұрын
Mualike tena aludi uyo
@salomenelson711 Жыл бұрын
Asante sana
@MwanaishaHemed-xi6rj Жыл бұрын
Asante
@dayana5513story Жыл бұрын
Salome you have say all 👏👏👏👏
@HamadiRsima2 ай бұрын
Salome nakuelewa kweli
@HadijaMdee2 ай бұрын
❤
@jworld1480 Жыл бұрын
hiki kichwa hatari sana
@hamadsaidy8740 Жыл бұрын
Nipo Zambia nafatilia mpe hai salome
@sarahsingombe Жыл бұрын
Asee kipindii kizurii saaana
@LaurianKyariga4 күн бұрын
Punguzeni kuchanganya lugha,sio.wate wasomi
@feadamagessa8896 ай бұрын
Jamani kimya kimya tutaongeza ukimwi tuludi kwa mumgu
@madamrita9685 Жыл бұрын
Kindly please naomba unitumie number ya uyo mama nimevutiwa nae sana...ni mwerevu sana kama mimi...nataka kuongea nae...
@zakhiamsuya4922 Жыл бұрын
Mtangazaji inaonyesha anawivu na mumewee sanaa na anawasiwasi sanaa namume wake nakuona tuu😂
@irenekamugisha Жыл бұрын
😂😂😂basi sawaa
@rahmaabdillahi2795 Жыл бұрын
@@irenekamugishanaomba namba ya mtoa mada au yako
@Bintmwafurani Жыл бұрын
Dada samahani mim mume wangu alinisaliti na mbaya zaidi alipata ukimwi sikuwahi kujua nilikuja kugundua nilivyokuwa mjamzito tulikwenda wote klinik kupima maginjwa yote yeye akakutwa na ukimwi je usaliti huu unaweza je kuendelea kuishi na mtu km huyu na ni baba mzuri tu kwa watot wake lakin huo ukimwi kaipata kwa kunusaliti alikuwa malaya sana tena kwa dhahili kabisa hakuna kificho ila mim nashukuru ni mzima sijaathilika ni yeye tu
@happnesskitumbo5713 Жыл бұрын
Kwanza Dada kabla ya yote tafuta sadaka upeleke kanisani kama uu mkristo au msikitini kama uu mwislam ukamshukuru Mungu kwa huo muujiza aliokutendea Mungu ndio mengine yafuate.
@Bintmwafurani Жыл бұрын
@@happnesskitumbo5713ndugu cyo sadaka tu nilichinja adi kuku kwa kufurahia afya yangu yani nimeponea kwenye mtundu la sindano cyo kitu rahisi lakin mw/mungu aliniokoa katika janga
@subralugege70199 ай бұрын
Pole uvumilivu unapomza jamani tusivumilie ualiti Bora aoe Kama muislamu
@madamrita9685 Жыл бұрын
Kindly please send me his number She is the best Nataka kuongea nae .. mama mama mjanja sana kama mimi ..
@msangodiesel3132 Жыл бұрын
❤ Dada kamgisha ulisatiwa Nini inaonekana ulifanyiwa vibaya Sana
@@irenekamugisha kwenye kipengere hicho unakipiga msumali Sana
@damariszuckschwert9489 Жыл бұрын
@@irenekamugishaWasamehe bure. Hawajui unajaribu kuuvaa uhusika ili somo lieleweke kirahisi.
@irenekamugisha Жыл бұрын
😂😂😂 basi sawa, tuseme ndivo ili ufurahi, yote kwa yote ahsante kwa kufuatilia #FixYou share na rafiki zako waone Jinsi nilivyopigika😂😂
@neemayatosha1618 Жыл бұрын
Watanzania sisi sasa na assumptions 😂😂,unaweza ukawa unafanya maisha yako ukapungua ,kumbe ushakua diagnosed
@KichereTheDataScientist Жыл бұрын
💪
@mohdabdallahhasarakwao435311 ай бұрын
Kwa mume kama huyo ni bora mukavunja ndoa tu ikiwa ww hukuathirika
@tumainichanya3268 Жыл бұрын
Dada Iren Asante Kwa kipindi hiki lakini natamani nizungumze nawe inbox huenda changamoto yangu ikapata dawa mbaya zaidi namtumia WhatsApp tu utanisaidiaje?
@Kingajang0 Жыл бұрын
❤❤
@anitamwamini2646 Жыл бұрын
Dada salone mimi naoma kuelewa kuna aina ya mbili za kusaliti yakwanza kuna kusaliti na kuacha su kuendelea Na kuna kuchepuka na kuzaa na muchepuko je hii nayo unaiona vipi? Tunaomba msaada Dada Aileen muombe dada Salome arudi aweze kudadavua hilo tweeze kuelewa hasa kwa wanandoa