Yesu ni njia ya kweli na uzima, hakuna shaka kwa lolote
@AbasiAbdul-jd5gg14 күн бұрын
Shee naomba nambazako
@Kuminamoja1995Ай бұрын
Kweli kabisa
@mwawekomiuda9779Ай бұрын
Shukran kwa kutuelimisha
@PetroMpunga-rt7hvАй бұрын
Jina la Yesu ndio dawa ya majini, hayo mengine ni kupunga tu, jini hatoki ng'o
@nakundwamkubwe7823Ай бұрын
@PetroMpunga-rt7hv Yale mapepo mnayo yatoa kanisani mbona hayatoki kama Jina la Yesu latoa mapepo ? Kama jina la Yesu latoa mapepo mbona mapepo bado wapo Duniani? Mbona wachawi hawaishi Duniani kama jina la Yesu latoa mapepo ? 😅😅😅😅😅😅.
@zuhurazabiir3769Ай бұрын
😂swali zuri hilo@@nakundwamkubwe7823
@AbdulIsmail-ie4hpАй бұрын
Mwambaaa KONDO HUYU MWAMBA NI HATARI
@KubwaKuliko-dk4bmАй бұрын
Kwahio shk umesema kuna majina ukiyataja mashetani wanaogopa ukasibitisha mtume amesema mashetani yanamuogopa omar kwahio ukilitaja jina la omar marangapi ili uwatishe mashetani??
@aishandayishimiye5127Ай бұрын
Nimejifunza kitu na nimeelewa
@aasatt78Ай бұрын
Tuelezee vipi wanaweza kujigeuza kuwa paka au mbwa au kuws mnyama yoyote mwengine
@faithe4063Ай бұрын
MUNGU Baba saidia mwanangu aliwai niambia ndoto ya kutisha na nilipo ambia Babu yake akasema ni ndoto tu ila sikozi kumwombea
@MealiiPafu18 күн бұрын
Mtoto wa umri gani
@RamadhaniMohamedi-de2vcАй бұрын
Ukipata muda niulize na mm nikupe darasa kuhusu wachawi wanakuaje na wanafanyaje kazi kiuwalisia na ukitaka kuwaita uwongee nawa live.😂😂😂 kweli kabisa iyo.
@mwawekomiuda9779Ай бұрын
Tusaidie wote maana ni mtihani .
@NickIsaackАй бұрын
Tuambie bac
@zizuphbaya7725Ай бұрын
Nyinyi walimu saxa mko busy namada zisizo namsingi pambaneni na elimu zamanufaa kwa jamii