HIVI NDIVYO WACHAWI WANAROGA KUPITIA SIMU NA PUMZI || SHEIK KONDO JUMA BUNGO

  Рет қаралды 6,707

SIMULIZI ZONE (SZ BONGO)

SIMULIZI ZONE (SZ BONGO)

Күн бұрын

Пікірлер: 32
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 19 күн бұрын
Nashukuru najifunza kuhusu hawa binadamu wabaya na kuchukua tahadhari na Alhamdulilah nalala na udhu na Dua naamka na Dua hii inanisaidia sana. Ndugu zangu Dua muhimu na sadaka ni muhimu kutoa. Na Wallah nawachukia sanaaa wachawi Mwenyezi Mungu awalaani .
@Babyvai-l2u
@Babyvai-l2u 11 күн бұрын
SHEIKH WANGU UBALIKIWE KWA ELIMU UNAYOTOA MTU ANAYOKUKATAZA HUYO NI MCHAWI AU WAZAZI WAKE WACHAWI WAMESHINDWA KUKUINGIA WANAKUKATAZA KITALATIBU AWAKUWEZI WANAKUOMBA HUACHE KUWAUMBUA TOA ELIMU SHEIKH WANGU TUPO PAMOJA 🙏🇹🇿👏🇬🇷👍
@yusuphomary7410
@yusuphomary7410 16 күн бұрын
MUNGU akuongoze vizuri DR KONDO JUMA BUNGO uko vizuri uko sawa MWAMBA. Umeongea elimu kubwa. Ahsante kwa elimu hiyo.
@shekhamuhham9044
@shekhamuhham9044 10 күн бұрын
Mashallah mashallah mashallah
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 19 күн бұрын
Tunajifunza kweli ahsante sheikh ahsante SIMULIZI ZONE
@Charles-j3r
@Charles-j3r 10 күн бұрын
Hii niliisikia its true kumbe mchawi akuroga through simu waaah 😮
@MatelefoneMustafaMatelefone
@MatelefoneMustafaMatelefone 18 күн бұрын
Asante sana mwalimu from mozambique 🇲🇿 nafwatilia sana darsa lako shk ❤
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 18 күн бұрын
Mashalah mashalah mashalah Yani nakukubali shehe...ata dokta sule aliyasema ayo mambo..watu wakamuona muongo ...Yan unajuwa Sana kufafanua kaka...hakika umejaliwa elimu... mashalah
@moralist6100
@moralist6100 17 күн бұрын
Dr sule anatumia hadaa KTK dawa yake
@SadikKhamis-l3w
@SadikKhamis-l3w 19 күн бұрын
masha allah mungu akulinde katika elimu yako hii. 🎉🎉🎉
@BennyCrisanto
@BennyCrisanto 19 күн бұрын
Naipenda sasa iy sizioni.....atufundiche kinga ya kujilinda ukiwa mbali na wewe....niko.....👍👍👍🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@shabaniguma8696
@shabaniguma8696 15 күн бұрын
@@BennyCrisanto nchi gani hiyo bendera
@Faizamusa8187
@Faizamusa8187 19 күн бұрын
Yep that true keep going ❤
@MaryamSaleh-j7o
@MaryamSaleh-j7o 19 күн бұрын
Some zuri Allah atuhifadhu
@aasatt78
@aasatt78 19 күн бұрын
Asante simulizi zone kwa mwendelezo wa hivi vipindi
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 16 күн бұрын
Nawengi watibabu wakishilikina wanasaidiana na majini na hailuhusiwi labisa ilawanajitapa kuwawanafanya sahihi. Wanatutisha sana Allahnatuongoze maana shilk zambiyake kubwa
@Ruu974
@Ruu974 18 күн бұрын
Mungu ni mjuzi wa yote
@Faizamusa8187
@Faizamusa8187 18 күн бұрын
We need more information thank you 😊 ❤
@joymkenya2359
@joymkenya2359 18 күн бұрын
Things I didn't know 😅 waaa , maajbu
@jfnat1891
@jfnat1891 14 күн бұрын
unapokea elmu ... zaidi pia Kuna elmu ya nyota tembea lamu
@PaulKisui
@PaulKisui 19 күн бұрын
ni kweli endelea na elimu yako mwenye kukosoa atupe yake tuliganishe
@fauaulit209
@fauaulit209 13 күн бұрын
Naomba namba ya huyu sheikh
@SalehM200
@SalehM200 19 күн бұрын
Simulizi sauti kidogo sio sawa kama video zengine mnazo post.
@MohamadHamza-hb2qv
@MohamadHamza-hb2qv 19 күн бұрын
Andiia namba mfano simulizi no 1,no 2 nakuendelea ili tuwze kufatilia kwa series
@yusuphomary7410
@yusuphomary7410 16 күн бұрын
Duu huyu MWAMBA kweli umetupatia madini ya aina yake ambayo ni ADIMU. Kweli Nabii hajulikani nyumbani kwao.
@FeisalAlly-gg7iv
@FeisalAlly-gg7iv 16 күн бұрын
sheikh elimu inatusaidia usiache kutoa elimu hii ili tujue jinsi gni tunaweza kujilinda
@AllyNgumbe-u6l
@AllyNgumbe-u6l 18 күн бұрын
Naomba namba zako
@MwalimJecha
@MwalimJecha 19 күн бұрын
Vipi shekhe wale wanaoita Kwa sauti ya ima watoto wake mke kaka baba nawengineo.inakuaje
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 16 күн бұрын
Kwahiyo hawawaanzipishi wa mitandao wanatumia majini ya falak?
@alwatanalgilgilan-y3078
@alwatanalgilgilan-y3078 19 күн бұрын
Sheikh tunaomba mawasiliano yako
@mfaumeabuobakari-ct7kh
@mfaumeabuobakari-ct7kh 19 күн бұрын
Vp zindiko zahayo unayoongeya zipo?
JINSI WACHAWI WANAVYOPEANA UCHAWI NA KUWARITHISHA WATOTO | KONDO JUMA BUNGO
47:42
SIMULIZI ZONE (SZ BONGO)
Рет қаралды 6 М.
If people acted like cats 🙀😹 LeoNata family #shorts
00:22
LeoNata Family
Рет қаралды 25 МЛН
Farmer narrowly escapes tiger attack
00:20
CTV News
Рет қаралды 12 МЛН
Муж внезапно вернулся домой @Oscar_elteacher
00:43
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
Lazy days…
00:24
Anwar Jibawi
Рет қаралды 6 МЛН
Mkeo akifanya haya muache - Leilah Aboubakar
13:14
Kalamutz
Рет қаралды 52 М.
Akikusaliti Fanya mambo haya matatu - Madam Lailah Aboubakar
20:48
If people acted like cats 🙀😹 LeoNata family #shorts
00:22
LeoNata Family
Рет қаралды 25 МЛН