Jinsi ya kuchagua aina nzuri ya mgahawa kuanzisha

  Рет қаралды 3,445

Tan Business Channel

Tan Business Channel

Күн бұрын

Kuchagua aina nzuri ya biashara ni muhimu wakati unatafakari kuanzisha biashara
Kuna wajasiriamali wengi wameanzisha biashara za mgahawa na kupata mafanikio tofauti.
Wapo waliofanikiwa kwenye biashara ya mgahawa na kuna wengine ambao hawajafanikiwa kibiashara.Nini siri ya mafanikio?
Kuna mambo mengi ambayo yanaweza kuchangia kupatikana mafanakio na pia kutopatikana mafanikio.
Kati ya mambo ambayo ni muhimu kutafakari unapotaka kuanzisha biashara ya mgahawa ni vile utakavyofanya uchaguzi wa aina ya mgahawa.
Uchaguzi wa aina ya mgahawa hutegemea mambo mawili ambayo ni muhimu: 1.Sehemu ya kufanya biashara ya mgahawa, 2.Wateja wa mgahawa.
Kwenye hii video nimeleza hayo mambo 2 ya kutafakari iwapo unataka kuchagua aina ya mgahawa wa kuanzisha.
1. Soma eBooks za Ujasiriamali za Tan Business Channel: Wasiliana nasi kupitia Whatsapp 0716 682 439
2. Tan Business Online School: ali-mwambola-s...
3. Pata ushauri kupitia WhatsApp 255 716 682439
4. Pata habari zaidi kupitia website yetu: www.tanbusiness.co.tz
5. Mitandao yetu ya kijamii:
Facebook: / tanbusiness
Instagram: / tanbusiness
KZbin: / alimwambola
#jifunzeujasiriamali #vitabuvyaujasiriamali #alimwmabola #tuongeebiashara #tujifunzeujasiriamali #mizungukoyaujasiriamali

Пікірлер
Njia 4 Kubwa Unazoweza Kutumia Kumshawishi Mteja.
7:01
Joel Nanauka
Рет қаралды 102 М.
Nurse's Mission: Bringing Joy to Young Lives #shorts
00:17
Fabiosa Stories
Рет қаралды 19 МЛН
هذه الحلوى قد تقتلني 😱🍬
00:22
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 98 МЛН
Violet Beauregarde Doll🫐
00:58
PIRANKA
Рет қаралды 53 МЛН
Epuka makosa 12 wakati wa kuanzisha biashara ya mgahawa
9:41
Tan Business Channel
Рет қаралды 1,6 М.
MAMBO YA KUZINGATIA ILI BIASHARA YAKO IFANIKIWE - JOEL NANAUKA
7:37
Jinsi ya kuanzisha biashara ya mgahawa
15:00
Tan Business Channel
Рет қаралды 2,7 М.
MAMA NTILIE MWENYE DEGREE KIGOMA "NILIMALIZA CHUO 2013"
6:33
Millard Ayo
Рет қаралды 34 М.
Jinsi ya kutengeneza Budget ya Biashara ya Mgahawa
14:23
Tan Business Channel
Рет қаралды 1,6 М.
How to Write a Business Plan to Start a Restaurant Business
8:11
Young Entrepreneurs Forum
Рет қаралды 57 М.
Kanuni Moja Muhimu Itakayokupa Mafanikio Kwenye Maisha.
8:08
Hamasika Tv
Рет қаралды 174 М.
Nurse's Mission: Bringing Joy to Young Lives #shorts
00:17
Fabiosa Stories
Рет қаралды 19 МЛН