I’m strong girl and no one can destroy my happiness 😍💪🏿
@elizabethgabriel18883 жыл бұрын
Yes
@elisilaackone2754 Жыл бұрын
acha kujiamin Kama umekula mtori life uwezo sema hiyo maneno ukiwa hai
@akbersalimjuma37614 жыл бұрын
nimekupenda bure kaka daa!!! nimeteseka Sana miaka mingi,ASANTE SANA M/MUNGU akujaalie IN SHA ALLAH
@joelnanauka3 жыл бұрын
Ameen ahsante sana
@LovelyOutdoors-wd5nh4 ай бұрын
Furaha yangu haitashikiliwa na mtu,,,am the best woman in this world, be blessed my brother Joel.
@watumnjangu83122 жыл бұрын
Joel, to let you know, your words are ambient and full of sense. You know, whenever I listen to your clips, I get quickly from the deep of valley to the top of mountain. Also to assure you, you are inspiring millions of people. Where ever I share your video, I get thankful responses. May God always bless you.
@joelnanauka Жыл бұрын
Ahsante sana sana
@racheltarimo72586 жыл бұрын
nmependa ushauri wako Leo umenikuta katika wakati mgumu I have to change my mindset.... blessed a lot Bro
@evangalo31403 жыл бұрын
Asante sana kwa somo
@wizpacoo1792 жыл бұрын
Iam a best
@lucasmaro41726 жыл бұрын
Asante sana. Mafunzo mazuri. Mimi ni mshindi- I am an overcomer.
@jojolyamuya39383 жыл бұрын
I can do it even if others think that i cant. Thank you for the best lesson
@francismussa36353 жыл бұрын
Yah! I caught you clearly. I have those problems. I need to start use your advice. Thanks
@obeiddaud49996 жыл бұрын
Thanks brother joel., the bless of God should upon you!!! I will start from today to have mind programming
@francismangula27156 жыл бұрын
iam healthy iam great... barikiwa afya tele tuendlee kujifunza video imekuja wakat mzuri kama umeniona vile leo nlivokua na stress.
@judithnjunwa66685 жыл бұрын
waoooooooo Joel I am the best and I CAN,...............................BE BLESSED NANAUKA
@mussasongoma95215 жыл бұрын
Dah kila mara nisikiapo somo lako baba huwa ni na kitu cha kuondoka nacho...nafurahia sana..kiukweli kwasababu kupitia kuishi katika maneno yako...nimeweza kubadili mind yangu (Mind programming) nimefanya asante Joel...tuko pamoja
@winniekelvin91435 жыл бұрын
Umeongea kitu kizuri sana, nimejifunza hapo 'self talk' thanx brother..
@KulwaShija-qf4tf5 ай бұрын
Mm ni mfanya biashala mzuli
@carolinamushi55556 жыл бұрын
Ni kweli kabisa, lakini pia nikwamba pamoja na hayo yote pia Kuwa na imani, maisha pamoja na Mungu ya naongeza furaha, ujari, kujiamini
@peterkamani15815 жыл бұрын
Ok
@zuhuramsitafa7274 жыл бұрын
asante
@angujocamillus68363 жыл бұрын
True thing
@eliudtimothy20703 жыл бұрын
Exactly
@khayraathassan99152 жыл бұрын
Najiamiinin. Ntakua imara
@eliudtimothy20703 жыл бұрын
Mimi ni fundi mwenye uwezo mkubwa! Niliyefanikiwa kiroho na kimwili. Nimeruhusu furaha yangu ishikiliwe na Mungu naye husema nami niwe hodari tu na ushujaa mwingi! Ahsante kaka! Umenisogeza mahali.
@erickbasombana56854 жыл бұрын
I really like this lesson from Congo based in Johannesburg thank you
Tenda mema hali ya kua unategemea malipo kwa Allah, isikupite swala ya Alfajir na soma Qur-an namaana kua karibu na muumba. Halafu niambie km utakua na stress. Stress ni mzongo unaotokana na shaitwan. Haitegemei ww ni milionea au bilionea. Kwani hatuwaoni mabilionea na mamilionea wanaojiua kwa stress? Na ukiwa karibu utajiona unafuraha tu ww na mawazo mabaya hayaji hata km chakukila hukijui. Niamini mm
@saidyathuman45436 жыл бұрын
Love Mummy Dadaaa hii ni Kwel Stress zinatokana na Ibilisi na ibilisi kaumbwa kwa moto na moto huzimwa na maji hivyo Mtume muhammad (Sw) Ameseme tunapopataa msongo wa mawazo Tushike uzu na kuendelea na mambo menginee yaan Kuuzima moto
@ibrahimaziz71586 жыл бұрын
Love Mummy umeongea fact kabisa
@omarmohd40016 жыл бұрын
nice. huo ndio ukweli na kufanya dhikri zinatuliza moyo
@oleminiss63356 жыл бұрын
Wazo zuri love!!!!
@zaynababdullah67056 жыл бұрын
Joel nanauka nashukurusana kwaushauriwako mungu aendelee kkpa uhai mrefu nilikuwa
@jemamichael48475 жыл бұрын
Mm najiamini sana and am the best person in this world thnx brother for the good words to us
@sethjohnson72663 жыл бұрын
I am the CEO of my own life..... Nimeipenda sana hii statement. Asante sana brother
@ibrahimabdallah76393 ай бұрын
Here from kenya Kusema ukweli uyu msee he is the best motivation speaker in tanzania💡 very smart guy
@luciewajesus7315 жыл бұрын
Naamini mimi ni mwanabiashara mkubwa sana, bila kusahau Asante sana kaka Joel Mungu akuzidishe maradufu, wewe ni kio cha wengi,❤❤❣
@mwajeimshanga Жыл бұрын
Mm ni mtu muhimu
@d033086376 жыл бұрын
You have been so helpful to us Mr Joe. God bless you
@user-he8ti5gj8k7 ай бұрын
Thanks broh ... , may god blessing ue more and more for your inspiration 2 peoples
@jumabohar96003 жыл бұрын
Brother nanauka salute kwko , naendlea kujifunz sana kutoka kwko , kw kifup mimi najiambia "furaha yangu ipo kwangu mm mwenyew na balance ya furah yangu ni ku keep moving tu"
@mwakasamuelnyiro65596 жыл бұрын
Asante kaka kwa maneno yako ya Busara. Mimi #Najiamini katika Yesu ndio maana maisha ya stress niliyapiga teke kabisa wala sina stress yoyote. Asante kwa kunitia nguvu zaidi ya kutokaa ndani ya stress
@sheilachemutai59713 жыл бұрын
Iam blessing with this lesson
@doricelihumbo39602 жыл бұрын
Thanks very much for your help 🙏🙏🙏💯💯💕💕
@khayraathassan99152 жыл бұрын
Shukran Sana Dr kwa elimu yako mAma yng anattzo hlo
@georgewilliam73196 жыл бұрын
Asante kaka. nimejifunza sana na sitaki tena kushikiwa furaha.
@sharifaabdullah68255 жыл бұрын
Asante kaka umenifariji sana kupitia somo lako asante mungu mkubwa insha allah
@ruthmoses6565 Жыл бұрын
Wow,ur a good teacher and psychologist for sure umenipa chachu nzuri nilkuwa nimtu ambaye niponipo but kutokana na mafunzo yako ninaiona future aisee Mungu akubariki sana ww na familia yako kakaangu,,,bando langu litakuwa linaishia kwako aisee🙏🙏🙏
@ruthmoses6565 Жыл бұрын
Najihis mwepes na ninapata new hope 🙏🙏
@emhaule366606424 жыл бұрын
I knw i can do it! and iam going to do it change start from today thanks mr Nanauka
@graceemanuel63055 жыл бұрын
nashukuru sana nilikuwa namawazo Ila baada yakukusikiliza yameisha
@evangalo31403 жыл бұрын
Ubarikiwe sanaaaa
@seraphinamzurikwao37144 жыл бұрын
Am a hard worker,Am strong and I can do ,I can stand with my own feet 🌹🌹
@fatumanassir3085 Жыл бұрын
Thanks bro umenisaidia
@violethshenyagwa69723 жыл бұрын
Mm ni mshindi na hodari tena sitakufa bali nitaishi ni yasimulie matendo makuu ya Mungu ki roho na kimwili.nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye Nguvu.Hapatakua na uchawi juu yangu wala uganga kwa watoto wangu
@omarimorisho71382 жыл бұрын
Mr joel like this video, it's awaken everything that is seems Impossible in my life and it's reveal things were hidden,
@29WavesTV5 жыл бұрын
Naamini kwa kiwango kikubwa kwamba ndani ya hivyo vitu vitano ulivyovigusia ...to be stressless ni silaha tosha no matter what circumstances we are undergoing ...JOEL YOU'RE THE BEST let's meet at the top!
@sixteenonline98114 жыл бұрын
Thanks so much .I am the best and I can get anything that I want.
@gracenamuchimba4960 Жыл бұрын
Asante Drk Mimi najiamini sana na ninajikubali mwenyewe.Mungu akubariki
@irenenafula71092 жыл бұрын
Umenibariki,sana,pastor
@aishaomar43186 жыл бұрын
Nimejifunza kitu. Asante ubarikiwe
@nicecraritypaul2315 жыл бұрын
brother am blessed with you're motivation thanks for the message...
@rodgersakaya715811 ай бұрын
Mimi ninaweza,mimi ninapedwa na Mungu,Asante sana Kaka,utatufunza mengi,ubarikiwe Mtumishi wa Mungu
@julianamichael18483 жыл бұрын
Asante kwa somo zuri limenijenga na kubadilisha mtazamo wangu naanza kwa kusema mimi ni baraka nawewe ni baraka kwetu
@uwimanaraoul68246 жыл бұрын
Shukran kwa kunijuza
@vanebichanga94663 жыл бұрын
Santee my brother. Mimi ni mtu wa maana mbele za machoni pa mungu 🙏🙏I can do all things in christ 🙏💪be blessed so much.
@allyekome35643 ай бұрын
Nashukuru kwa elimu nzuri uliyonipa
@bahatimtata90814 жыл бұрын
Actually u're the good educator
@debbykibona38136 жыл бұрын
i am confident, i am intelligent, i can do everything God created me to, i am hardworking, i am talented, i am capable, i am rich, i am fearful and wonderful made.. i am the best
@mohameeddoaan22964 жыл бұрын
Alhamdhulilah
@miriamwinston99082 жыл бұрын
Wow
@nehemiamwasile8696 Жыл бұрын
God .bless you Joel good job
@azzeaazza63316 жыл бұрын
Napenad kujiambi am the best no one like me napia npenda kutatua changamboto mwenyewe cpendi kumshilikisha MTU yoyote ala mm nu msiri na mambo yangu he ni sawa
@josej9888 Жыл бұрын
Ahsante Sana mwalimu JO nitabadilika Sana kupitia mafundisho yako.
@annadaffi20232 жыл бұрын
Asante sn kaka umenitoa nguvu Lazima nitashinda ktk maisha yangu kupitia ushauri wako
@ahmadkasunzu52914 жыл бұрын
"See you at the top" You are always the best brother
@mungumy28132 жыл бұрын
Vzur sana
@verodestiny49275 жыл бұрын
I am the CEO of my own life....I love that
@thecovenant.tv.45975 жыл бұрын
Mimi ni bora sana...
@josephemanuel75735 жыл бұрын
Najiamian nitaweza mm nimtafutaj
@floramponda68605 жыл бұрын
I am the CEO of my own life daah rah san
@frolenceerasto73893 жыл бұрын
For Sure
@aminakipande56452 жыл бұрын
I’m the C.E.O of my own life Mungu anitie nguvu nishinde hili jaribu Aamin 🙏🏻
@eddahhawa74714 жыл бұрын
Mimi Ni jasiri!!!!Mimi ninaweza!!!!!,,,,,,Asante kaka maneno yako yana faida sana hasa kwangu!!!!barikiwa MUNGU na aendelee kukuongezea maarifa zaidi na zaidi
@annejackondera36592 жыл бұрын
Mimi ni mtu wamuhimu sana duniani, Pia Mimi ni mwana Basha mukumbwa nduniani, Siyuko hapa Niko, naenda Bali zaidi 🙏 Asante sana mtumishi wa Mungu, Nimeipenda ushauri wako, mbarikiwa sana🙏
@tumajuma69176 жыл бұрын
Nasema Asante kaka.umenipunguzia msongo wa mawazo.
@asiahmariam39426 жыл бұрын
Nami pia kama ww dia
@neemarashid75045 жыл бұрын
Nimeipenda mana imenivusha atua kubwa sana
@kissomundende36965 жыл бұрын
Tuma Juma mambo naomba unicheki whtsp 0719619494
@azizahashimubakari70125 жыл бұрын
yaani mm sijui unisaidiaje maana nikisema nisiwaze napata kubwa kuliko
@ezymoonworld63694 жыл бұрын
@@kissomundende3696 ya nin tena bro.
@aigidiusandrea19156 жыл бұрын
I'm the best. I'm blessed. I will go so far.
@aberinegodimoso77604 жыл бұрын
Asante kwa ushauli mzulikaka
@thobiasbyarushengo96675 жыл бұрын
Asante kwa ushauli mzuri
@ibrahjr5210 Жыл бұрын
Ahsante Kaka Joel,,umenipa funzo kubwa inshallah Allah anisaidie niweze kuishi maisha yangu bila msongo wa mawazo tena
@athumanisaid20446 жыл бұрын
Kaka mungu akubaliki na akulinde kwa uelevu na uodal ulokua nao kufikisha ujumbe kwa watu inatufumbua vitu vingi na kutuelimisha sana. big up sana Joel Nanauka 👍
@blacksunshine__tv__onellin72056 жыл бұрын
Athumani Said
@ellenmsita12653 жыл бұрын
ni kweli kaka umrkomboa wengi
@josephinewluis88716 жыл бұрын
I love this..thanks a lot🙏
@nassraomar1442 жыл бұрын
Thanks for your advice
@rachealmwale38973 жыл бұрын
Asante sana nimejifunza kitu. Barikiwa brother.
@nunuuali53165 жыл бұрын
Mungu yupo nami I can do it!
@basamtv68816 жыл бұрын
kaka m napend kazi zako na vitabu vyako napend sana kuvisoma sijawai kumaliza kukisoma kitabu chote ila vitabu vyako sichoki kuvisoma Asante kwa kutubadilisha
@joelnanauka36116 жыл бұрын
Nashukuru kwa mrejesho,naamini vitakupa matokeo makubwa sana
@tonymwalanya40686 жыл бұрын
Nikwelikabisa
@magrethrichard56536 жыл бұрын
nmejifunza kitu,coz kunaixhu imetokea nmejilaum Sanaa,nmekuwa n zaid y stress~ila kuxhika cmu tu nkakutana n iki kituuu*thanks alot
@abinesskosana95836 жыл бұрын
+magreth richard ni kweli kabisa hata mimi imekuwahivyo
@eddahwaweru9031 Жыл бұрын
I believe in myself, I believe in my abilities, I am hardworking, fear has nothing on me. I am a child of God and all that is possible is possible for me.
@joelnanauka Жыл бұрын
Ameen
@IbrahiimuMashili10 ай бұрын
Kweli kabisa
@dorahmatitu25542 жыл бұрын
Shukran my kaka. Hii ni point sana. Mungu akubariki sana wallah.
@opeoluwamelodi99525 жыл бұрын
Above all,.ni Mungu kwanza mengine ndio yanafuata. Barikiwa kaka JN.
@joshuagitilo39315 жыл бұрын
Very true. Thank you very much for encouragement
@asiathuman33802 жыл бұрын
Tnx Joe Mungu aendelee kukuweka ila mm ni muhanga sn wa stress na kufukiria negative all the time. Nahitaji msaada Zaidi asant
@kainibachungege34302 жыл бұрын
Joel Mafundusho yako yamewasaidia Sana Watanzania Wengi na Wengine wanaotumia Lugha ya Kiswahili Duniani! Mungu aendelee Kukupa Ufahamu wa Kutufundisha Zaidi, Zaidi ya yote Mungu Akubariki
@alibujaga972810 ай бұрын
Kaka napenda kukusikilza sana na kufuata maelekezo kiukwel inanisaidia sana kwa sasa mm mfanyabiasha mdogo ila nina amini nitakuwa mfanyabiashara mkubwa naitaji sana masada wako ili niweze kuimalika zaid
@okeamhanga43726 жыл бұрын
You're a blessing brother!!
@nawaladnan36752 жыл бұрын
Utatatua vipi tatizo la kupenda na kujali sana?
@estheredwardelisha89062 жыл бұрын
Asante kaka joel
@hidayakasambwa6585 жыл бұрын
Najikubali, na sintoruhusu Furaha yangu itawaliwe name mtu mwingine. Biashara ndiyo mpango mzima.
@mariambaiby79222 жыл бұрын
Wow thanks so much umenisaidia sana bro 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@seciliasanjah86145 жыл бұрын
Amina Asante
@enerstmusa53985 жыл бұрын
I'm the best Graphics designer from Zambia but now in tz my wishes I wish to know more kiswahili
@samwelaloyce38662 жыл бұрын
Hey brother
@marygodwin87912 жыл бұрын
Mimi ni thinker mkubwa ninauwezo wa kufamya mambo makubwa naweza ishi bila kumtegemea mtu nina uwezo wa kuja kuwa mfanyabiashara mkubwa mungu aniongoze na mkabidhi yeye kila jambo langu
@edsonkikwanyama26095 жыл бұрын
Yes ,lM appreciated this speaker is talking the truth, in fact about fear.there for l have learned s lot through is talent knowledge
@rosemarychristopher66912 жыл бұрын
Mimi najiamini
@elizabethkiluku80157 ай бұрын
Thanks for your lesson I love it
@zerathomas18494 ай бұрын
Asante kk umeniokoa mungu akubaliki
@eunicemgunda95713 жыл бұрын
Wow, this is wonderful over❣️
@lazarosteven47416 жыл бұрын
muda mwingine tunapitia changamoto ili tuone fursa behind-the-scenes
@yusufuheri65242 жыл бұрын
Asante sana my brother from another mother
@worldelectro27872 жыл бұрын
mungu akubariki sana baba kwa mfundisho yako , nafata mafundisho yako nikiwa katika mji wa kampala uganda, najengwa sana ,nilikuwa na woga wa maoni ya watu inanifanya nisiendelee lakini leo minaisha vizuri siogopi maoni yao tena naendelea sasa na nimekwisha kuanza business yangu, asante baba
@asyamaulidi78576 жыл бұрын
Mimi Ni mfanyabiashara Kwa uwezo wa Allah nitafikia malengo hayo In Shaa Allah
@jimsonmgaya73995 жыл бұрын
bro ulizaliwa kwaajili ya watu blessed sana sana
@moseskayugumya25504 жыл бұрын
Ninaweza
@zainabuzainabu416010 ай бұрын
Thank you my brother Allah bless.
@ellyminja86812 жыл бұрын
umenibariki sana, na shukru kwa somo lako, barikiwa mtumishi wa MUNGU.
@fredyshayo72655 жыл бұрын
im da master of my own lyf
@eunicekitenge88786 жыл бұрын
Furaha yangu ni wajibu wangu. Nimejifunza
@joelnanauka36116 жыл бұрын
Kabisa Eunice,You are the CEO of your own Life.
@zakariakarebo56862 жыл бұрын
Am a good leader who come to change a lot of things here in Tanzania
@peaceappolinarygahene96463 жыл бұрын
Asante kwa ushauri mzuri.
@aloyceselina78486 жыл бұрын
Nkushukuru sana maana me nskonda kwa sababu ya mawazo
@aaronmsungu50665 жыл бұрын
Asante sana
@rosemarym.surati51225 жыл бұрын
Asante kaka kuanzia leo sitaki mawazo nimekuwa mtu wa mawazo Kila siku na kukonda kisa mawazo
@maximillakhatenje92882 жыл бұрын
WaaW thankyu for your advice
@esthersimbeye5480 Жыл бұрын
Am a wise women, supermom,,women of faith, public speaker and Author
@manaserhite32306 жыл бұрын
i am a president
@joynesscharles75835 жыл бұрын
There is no way u can live without stress........ila there is the way to overcome stress
@edwardsizya35153 жыл бұрын
Somo lako zuri sana, shukran bro..
@judithgeneralservice77913 жыл бұрын
Mimi nimfanya biashala mkubwa sana Judith general service itafanya kazi African nzima mimi nizaidi ya baaresa,moo ,na Azam mimi nimfanya biashala mkubwa sana
@adelinakibejile46962 жыл бұрын
Asante Kaka Joel umeniokoa maana nmekuwa na stress had nmeumwa vidonda vya tumbo bt acha nifanyie action haya maneno