Рет қаралды 4,643
✍️Katika Kilimo Cha Tangawizi na Matumizi ya Mbolea ni Muhimu sana.
✍️Mara baada ya kupanda Tangawizi utasubiri ziote. Mara baada ya kuota. Tangawizi baada ya mwezi 1 utaweka mbolea ya kukuzia
✍️Baada ya miez 4 utaweka mbolea ya matunda.
✍️Kujifuza jinsi ya kupanda Tangawizi. hatua kwa hatua tembelea apa.👇👇
• JINSI YA KUPANDA TANGA...
#tangawizi