Kilimo cha tangawizi kinalipa kwani tangawizi ni zao lenye uhitaji mkubwa sana. Zao hili uchukua miezi 6 tangu kupanda mbegu adi kuja kuvuna. Tangawizi uvunwa ikiwa imekomaa vizuri
Пікірлер: 37
@RonesMahava4 ай бұрын
Tangwi urimwa Kuanzia mwezi wa ngapi
@AGALUSTV4 ай бұрын
Upa'ndwa kuanzia miez ya 10/11 kabla ya mvua hazija Anza. Ili mvua zikianza tu uwe umesha panda
@GabrielKapangala4 ай бұрын
Jinsi ya kudownload
@AGALUSTV4 ай бұрын
Kudowload nini ndugu
@nizarkatunda96629 ай бұрын
Napenda kujua zaidi kuhusu hichi kilimo. Naweza nikakutafuta kwa kupata Elimu zaidi. Shukran
@AGALUSTV9 ай бұрын
Tupo online muda wote karibu Sana ndugu
@AlexKing-yg2cc8 ай бұрын
@@AGALUSTVofisi zenu ziko wapo?
@kamalabuberwa2001 Жыл бұрын
Asante sana kwa somo, nina zaidi ya ekari moja je mbegu niandae kilo ngapi?
@AGALUSTV8 ай бұрын
Usipungue kilo 600
@trexphovy58323 жыл бұрын
Niunganishe nàtaka nilime tangawizi
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Karibu
@umojatunzwetv3 жыл бұрын
Habali ndugu, nambo tuwasiliyane ,napenda niwekeze kwenye tangawiz
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Sawa karibu
@mrishomussa78263 жыл бұрын
Nafatilia sana kuhusu kilimo hiki nahitaji kulima au kuwekeza katika kilimo hiki
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Karibu 🙏🙏
@janemburu15512 жыл бұрын
Asante .ni somo nzuri na nitajaribu kupanda
@AGALUSTV2 жыл бұрын
Karibu ndugu
@anitaanita97342 жыл бұрын
Daah nilikuwa najiuzi mbegu ya tangawizi ni gani asante, afu inapaliliwa mara ngapi lingine baada ya kupalilia unaweza tumia mboleya ya Kizungu au kienyegi please naomba majibu maana nimependezwa sana
@AGALUSTV2 жыл бұрын
Paliz hutegemea n hali y majani shambani. Kuhusu matumiz y mbolea unatumia ebu fuatlia somo hili👇 kuhusu matumiz y mbolea kwenye tangawiz kzbin.info/www/bejne/jWK0oXV_aNh5mqc
@anitaanita97342 жыл бұрын
@@AGALUSTV Asante
@AGALUSTV2 жыл бұрын
Pa1🤝
@kilimoajira24572 жыл бұрын
Nilipanda haikuota hata moja
@AGALUSTV2 жыл бұрын
Oooh pole Sana ndugu. Yakupasa utambue ulipo kosea, 🙏
@mariamtesa67442 жыл бұрын
Asante umelezea vizur sana
@AGALUSTV2 жыл бұрын
Barikiwa pia
@jamiladeus23963 жыл бұрын
Yaan miezi 6 ???? Du
@AGALUSTV3 жыл бұрын
AAAAAH. NDYO IVYO MVUMILIVU ULA MBIVU WALISEMA
@annaernest72113 жыл бұрын
Ahsante sana
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Karibu sana
@binamwakasendo2543 жыл бұрын
Naomba kujua ekari moja mbegu inachukua junia ngapi?
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Ndani ya hekari moja zinatumika debe 12 hadi 13 na kwa kg ni 800 hadi 1200 Japo itategemea na ubora wa mbegu
@serinaserina96392 жыл бұрын
Namba ya cm plz kwajir ya maelekezo zaidi
@AGALUSTV2 жыл бұрын
Unahitaji kujua nini zaidi🤝🙏
@serinaserina96392 жыл бұрын
@@AGALUSTV nilikuwa nahitaji kujua heka 4 zinahitaji mbegu kias gan
@AGALUSTV2 жыл бұрын
Kwa hekari 1 ni wastani w Kg 800 hadi 12 hutegemea na ubichi w mbegu. Kwa mbegu ilikauka kidogo basi kiasi zitaongezeka na zile mbichi kiasi zitapungua. Kwa hiyo kwa hekari 4 chukua kg 800 hadi 1200 mara 4 utapata wastani apo. 🙏🙏
@serinaserina96392 жыл бұрын
@@AGALUSTV asante sana barkiwa kwaushaur nimekuelewa