KUJENGA MTAJI WATU/SOCIAL WEALTH - JOEL NANAUKA

  Рет қаралды 17,874

Joel Nanauka

Joel Nanauka

6 ай бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.selar.co 🔥🔥🔥

Пікірлер: 39
@mtegemeemungusiomwanadamu6618
@mtegemeemungusiomwanadamu6618 6 ай бұрын
Mungu akuongoze milele mr. Joel. Mimi ni mfuasi wako mkubwa katika chanel yako ya you tube. Kupitia wewe Mungu amebadili maisha yangu.
@fra_nyuki
@fra_nyuki 6 ай бұрын
Hii lecture ni ya kusikiliza zaidi ya mara tatu au nne kabisa.... Asante sana brother..
@user-mm4zi9sf9g
@user-mm4zi9sf9g 6 ай бұрын
Somo nzuri sana my life coach Joel Nanauka ninakufutilia kila kipindi yako kutoka Canada 🇨🇦 naelimika kwa kuendelea kubadili mtazamo wangu .
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 6 ай бұрын
Saana saana anatufundish kujitambua kla siku
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 6 ай бұрын
Yan somo la Leo ni zur Sana na limenigusa Sana kaka na nitaanza kubadilika kuanzia Sasa,,ayo madin yaleo ni mazul sana
@JamalPaulo-jt1ju
@JamalPaulo-jt1ju 3 ай бұрын
Joely . Nafurahi sana kukufahamu . Unafaa kua dira yangu maishani
@user-vr4bo2ur3v
@user-vr4bo2ur3v 6 ай бұрын
Nakukubali kaka kuna sehemu umenitoa kwa madini yako
@simonkitaly9767
@simonkitaly9767 6 ай бұрын
Nimesikiliza mwanzo mwisho nimebarikiwa kuliko ninavyoweza kufafanua. Yaani sauti ya chini kwa utulivu wa hali ya juu.
@petermponzi411
@petermponzi411 5 ай бұрын
Thanks for powerful message
@haillenyapesa9503
@haillenyapesa9503 5 ай бұрын
Hakika namshukuru Mungu Kwa kukutana na mafundisho yako Joel, najikuta napiga hatua. pia namshukuru Mungu ananipa muda Kila siku angalau nisikilize Somo Moja Kila siku. Uongezewe mara dufu maarifa na ufahamu toka Kwa Mungu baba aliye hai.
@yerikombilinyi8947
@yerikombilinyi8947 6 ай бұрын
nnakupata kwa uzuri sana Mkubwa Be blessed 🙌
@joelnanauka
@joelnanauka 6 ай бұрын
Tuendelee kujifunza
@LailaMau-es3mj
@LailaMau-es3mj 6 ай бұрын
Ubarikiweee kwa jina la yesu kristo,, happy Christmas day🎉🎉🎉
@ladslauspius4845
@ladslauspius4845 6 ай бұрын
Be blessed Mr Joel, na X-Mass Njema kwako
@Udindigwa
@Udindigwa 5 ай бұрын
Kwa Kweli Mungu Ni Mkubwa Mungu Ni Mkuu Katika Maisha Yetu
@RUCKY_
@RUCKY_ 6 ай бұрын
Wooow somo limeshiba lime maliza kila kitu binafsi wewe ni kusudi is MUNGU kwetu yesu akupe umri mrefu
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 6 ай бұрын
Be blessed ✍️🙌🏿'🎅🌲🥳
@danielkwilemba4715
@danielkwilemba4715 Ай бұрын
Awesome
@nkurunzizalydia1720
@nkurunzizalydia1720 6 ай бұрын
Kwa kweri tangu nianze kukusikiliza sijawahi poteza muda nimejifunza vitu vingi mno na nimebadilika sana najivunia hilo
@ga2revocatus91
@ga2revocatus91 6 ай бұрын
PR . Joel mungu akutunze ninamengi ya kuku elezea ila kwenye koment hayatoshi Hii ndo elimu ya kweri kwa dunia ya leo
@robertmgori8165
@robertmgori8165 6 ай бұрын
JUST GOOD
@masudibaja
@masudibaja 6 ай бұрын
Mungu akubariki maarifa makubwa zaidi
@user-bl8hm5tx7n
@user-bl8hm5tx7n 5 ай бұрын
Merci beaucoup
@user-mh7su4sm5s
@user-mh7su4sm5s 5 ай бұрын
Thanks bro Joel God bless you ✍✍✍👏👏👏
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 6 ай бұрын
AHSANTE
@Jrmontaiza
@Jrmontaiza Ай бұрын
Mtu makini
@user-tr2mf3hp5s
@user-tr2mf3hp5s 6 ай бұрын
Nakukubali sana profesa sijawai kuja live but date 6 January ntakuona live na nshabooking ticket tayali
@HassanSinani
@HassanSinani 6 ай бұрын
Thanks and God bless you
@user-km9on6fj7y
@user-km9on6fj7y 6 ай бұрын
Kuanzia sasa nitaanza kubandilika!
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 6 ай бұрын
SoMo la Leo nizur Saaaana kaka na umenigusa Sana mim Leo Kwa asilimia 90 so Asante Kwa SoMo hili kaka,,nitayafanyia kazi Kila ulichokisema Kwa hili,,naamin nitafika mbali ,, Asante kaka Kwa elimu yako,,namim nainvest hapa kwakukufuatila wewe kaka ubarikiwe,,nabadilika kuanzia leo na nayafanyia Kaz Kwa Kila neno
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 6 ай бұрын
Yani kaka Joel Kwa majina naitwa Jamila athumani Yani am speechless nasiwez kumaliza kuandika Yan kiukwer vipindi vyako nivizur Sana kwaiyo Asante kwakutusaidia kutuelimisha ,,Yan mada hii ya Leo ni majawabu yangu ya mambo mengi kaka Asante kwakunisaidia kuniongoza Asante ,,nakuahid nitaifanyia Kaz Kwa hii elimu
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 6 ай бұрын
Namim pia nahitaji Sana watu kama wewe so kupitia vipindi vyako vitanisaidia kuniongezea Kasi ya harakati zangu,,kwaiyo nakuitaji Kwa I'lo kaka Joel,,Asante tena na ubarikiwe
@samsom7145
@samsom7145 6 ай бұрын
hicho ki muziki kwenye background kinaongeza utulivu, wa kusikiliza
@amrikitwana7146
@amrikitwana7146 6 ай бұрын
Great post
@danielkwilemba4715
@danielkwilemba4715 Ай бұрын
Ninakesha nikisikiliza hekima zako
@zakariachacha7574
@zakariachacha7574 6 ай бұрын
Wewe jamaa uko mbali
@churchboyz_tz
@churchboyz_tz 6 ай бұрын
Tuko live💯
@GiftFred-iq6qx
@GiftFred-iq6qx 6 ай бұрын
Kaka joel tumia kiswahili zaidi unavyo changanya kingereza kwenya kuongea wengine hatuelewi
@masudibaja
@masudibaja 6 ай бұрын
Mungu akubariki maarifa makubwa zaidi
NGUVU YA ZIADA KWENYE KUWEKA MALENGO - JOEL NANAUKA
41:10
Joel Nanauka
Рет қаралды 119 М.
CHANGAMOTO YA ENEO LA FEDHA KWENYE NDOA/MAHUSIANO - JOEL NANAUKA
49:41
Vivaan  Tanya once again pranked Papa 🤣😇🤣
00:10
seema lamba
Рет қаралды 36 МЛН
Can You Draw A PERFECTLY Dotted Circle?
00:55
Stokes Twins
Рет қаралды 36 МЛН
1 or 2?🐄
00:12
Kan Andrey
Рет қаралды 56 МЛН
NERF WAR HEAVY: Drone Battle!
00:30
MacDannyGun
Рет қаралды 57 МЛН
LIFE WISDOM : AINA 6 ZA UTAJIRI - JOEL NANAUKA
18:01
Joel Nanauka
Рет қаралды 13 М.
UHURU WA KWELI WA KIFEDHA - JOEL NANAUKA
1:14:26
Joel Nanauka
Рет қаралды 43 М.
JINSI YA KUONGEZA THAMANI YAKO ILI UINGIZE KIPATO ZAIDI - JOEL NANAUKA
1:11:12
Jinsi ya kutImiza malengo yako kwenye ulimwengu wa Sasa.
55:40
Joel Nanauka
Рет қаралды 102 М.
UNAWEZAJE KUONGOZA BILA KUTUMIA CHEO AU NAFASI - JOELNANAUKA
1:06:28
Joel Nanauka
Рет қаралды 38 М.
Joel Nanauka - Vitu Vinavyozuia Watu Wasifikie Malengo Yao
35:09
JINSI YA KUJENGA MTAJI WATU - JOEL NANAUKA
10:55
Joel Nanauka
Рет қаралды 16 М.
5 Keys To Become Valuable Person | Joel Nanauka | Part 2
25:37
Joel Nanauka
Рет қаралды 41 М.
Vivaan  Tanya once again pranked Papa 🤣😇🤣
00:10
seema lamba
Рет қаралды 36 МЛН