Pastor George you are really my spiritual mentor, I have been following you from Kenya , your teachings have really changed my life
@rachelaikaeli631 Жыл бұрын
Be blessed Pastor George, I real learn a lot from your teachings
@ThereziaDanielKajuna Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi nimeinuliwa kiroho
@trizashanelly Жыл бұрын
Mungu akubariki sana tangu nikufuatilie naona kufunguliwa kwa maisha yangu 😭😭yameniteza sana laana ya kooo
@JosephKona-n4q Жыл бұрын
My brother George,am happy the way God almighty is using you.May God bless you brother,,Joseph Mutoro, your classmate Malava boys high school.
@pastorgeorgemukabwajrc9 ай бұрын
Hi Joseph, long time. Uko wapi?.
@josephinemumia2907Ай бұрын
Asante yesu nimefunguliwe niko huru kwa jina layesu, Amen 🙏
@ElizabethCeaser-zy5ew Жыл бұрын
Poster geoger mungu aendeelee kukutumia umenitoa sehemu moja kewnda sehemu nyingine ninatoka kwenye laana kwa jina la yesu
@HARRINGTONTOO11 ай бұрын
Story of my life 😭😭, hakuna ndoa hakuna masomo hakuna familia😭😭💔. Leo naacha hizi zote hapa na natoka na usemi tofauti, ndoa nzuri masomo hadi ngambo na familia ya kudumu😭🙏
@irineDancan7 ай бұрын
Amen
@sophiajonas20907 ай бұрын
Amen
@terryemmanuel28707 ай бұрын
Ameni
@MercylineAoko7 ай бұрын
Amen😢
@Lucyiminza7 ай бұрын
Kwa iman na iwe hivyo
@geoffreydawson5710 Жыл бұрын
Mtumishi nimejifunza kitu kikubwa sana kupitia nafundisho haya. Ninaamini kupitia mafundisho maisha yangu yatabadilika Mungu akupe nguvu zaidi ya utumishi uliotukuka kwa jina la Yesu.
@MariaJuma-q2k9 ай бұрын
Haya masomo yanagusa maisha yangu,na si kugusa tu,yananibadilisha kila siku,maana yananipa nguvu yakuomba,najishangaa rohoni najiona mtu mkuu,mwilini sina kitu!! Lakini nakomaa hadi nione vitu vya rohoni vinazaliwa!, Nanitakuja kutoa ushuhuda,maana masomo yako pastor yananipa hasira,hiyo hasira inanipa nguvu yakumtafuta Mungu. Barikiwa pastor
@annngulu4764 Жыл бұрын
Natamani neema iliyo ndani mwako sana , God bless you and never lack,in Jesus name
@rodriquezuwagukunze81438 ай бұрын
Ubalikiwee sanaaa Past!!!Nabalikiwa sanaaa kupitiya hiyi Mazababu ya Mungu!!!
@Dr.ButangaByaseАй бұрын
Pastor mungu akutunze umenitengenezanakaribia kujitambua safari yangu ya mbinguni ninaona njia aleluya
@florencekitsao3703 ай бұрын
Be blessed man of God
@aminakabuka870010 ай бұрын
Sitarudi nyuma,sita kuwa masikini tena,sita pata uharibifu tena,kwa jina la kristo yesu,sitaharibikiwa Mimi ni mshindi Mimi ni nguzo Mimi ni tajiri katika Mali za kristo ntakopesha sitakopa,nitaombwa sitaomba, baraka zote za anga,ardhi,na rohon zote ni zangu.laana za upande wa baba na mama yangu au walezi wangu wote siiiii sehem yangu🎉amen
@henrytarimo9802 Жыл бұрын
Barikiwa mtumishi kwa somo la maarifa ya kiroho. Asante sana baba ubarikiwe. Hapa lazima nitatoka kwenye hali hii. Mbingu zangu zinaenda kufunguliwa kwa damu ya Yesu Kristo
@elvismoses7893 Жыл бұрын
Amina
@mercynadia31408 ай бұрын
Amen Mungu nakuinua juu ,unastahili ,
@whitneyMolel4 ай бұрын
Asante sana mtumishi wa Mungu mungu akubariki
@abiyambilinyi3862 Жыл бұрын
Asante paster leo natoka katika laana.
@ketrinamakobwe90789 ай бұрын
Mungu akubariki. You are a good teacher
@gichenapeter33979 ай бұрын
Nabarikiwa sana nikikusikiliza be blessed pastor
@ronnykim31093 ай бұрын
I connect myself with this sermon as I pray a prayer of Faith declaring all afflictions its over I Jesus Mighty Name
@MickdadiMstachuma8 ай бұрын
Barikiwa somo nzuri
@Lucyiminza7 ай бұрын
I thank God for my husband, he asked me to change my lifestyle, I accepted to change,but when I came to my KZbin channel I found pastor George preaching about muda wako mwingi umepotezea kwa vitu havina faida maishani,nikajiuliza inamaana mume wangu kaambia pastor vitu mm hufanya,then i realized that God can use anyone to change you. Am not going anywhere but I decided to follow Jesus. 🙏 🙏 🙏
@whitneyMolel4 ай бұрын
Pastor George umenibariki sana na mahubiri yako nakufuatilia kutoka Kenya
@TomasKakami6 ай бұрын
Mtumishi wa mungu ubarikiwe hadi ushangae sijawahi patana na nabii kama were.nakuombea mungu xana.
@mwanashiabdallah8 ай бұрын
Niko hapa pastor nimebarikiwa Amen
@EdifauDeusi8 ай бұрын
Pastor mungu akubariki umenifundisha mengi familia yetu kunaraana yaokoo Ila Mimi nimeikataa kwajina layesu
@phyllischauro8903 Жыл бұрын
1:31:56 I'm really inspired by you man of God...sijakosea kukutana na hii channel...I'm really blessed. 🙏
@Frosita6 ай бұрын
Ninakataa laana zinazonizunguka.kwa Jina La Yesu.utumwa sasa basi magonjwa yasiyoisha kukimbiwa na kipato manyanyaso...eeh Yesu.naomba unisaidie.
@akikiskola364410 ай бұрын
Asante sana Mungu akutie nguvu
@doryomary732 Жыл бұрын
Ubarikiwe
@AnnWangari-xf8se8 ай бұрын
😭😭😭😭😭😭😭pastor mungu akubariki na mungu akalinde mafuta yake juu yako
@alicekalama9 ай бұрын
Mungu akubariki sanaa, ninaamini huu ujumbe una kusudi kwangu. Naomba mungu anisaidie ninapochukua hatua. Be blessed man of God
@MichaelJoseph-rp8lb7 ай бұрын
Barikiwa sana postor kwa somo hili,,kuna vitu vingi sana najifunza
@whitneyMolel4 ай бұрын
Mungu ni saidie mimi na watoto wangu tutoke kwa Laana yaukoo wa Familiy ya Elibari lessia
@thobiasnzyela9 ай бұрын
Nabarikiwa sana,Mungu akulinde sana mtumishi uishi miaka tele.
@Jenifa-b3kАй бұрын
Amina baba😭😭😭😭😭
@rebecasteven5757 ай бұрын
Nakomesha mateso juu ya maisha yangu katika jina la Yesu!
@MagrethMasimba9 ай бұрын
Amen nimejifunza kitu ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
@EmmanuelLukwe-o3w6 ай бұрын
Pst ninashukuru sana kuniubiria nimefahamu nilipo ubarikiwe sana sana
@saramusa3899 Жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe mungu akubariki mtumishi wamungu nimejifuza sana maana nilikuwa na mzigo mkubwa sana wakujiukumu sana Mimi nimetoka kwenye familia ya kimasikini sana
@tetwigisKapinga Жыл бұрын
Pasta umenigusa katika SoMo hili🎉 Mungu akubariki sana
@richardgichaba29788 ай бұрын
Ubarikiwe pastor Kwa mafundisho mazuri..🎉
@GeorgeUlema6 ай бұрын
Mt mungu akubariki Sana
@MauwaZawenda Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu kwa mahuburi hayo ❤
@EuniceAnyango-vc8ok7 ай бұрын
Nimefatilia sana mafundisho. Nikiwa kenya.lazima life yangu ibadilike
@estherjoseph19046 ай бұрын
Praise God pastor, this topic talk about me, oh God have mercy on me
@IddaSabas-ze7vy Жыл бұрын
Pastor nimepokeaa hii mungu akubariki saana laana yangu imevunjiiiikaaaaa
@everlyneimili Жыл бұрын
be blessed mutumishi wamungu umenibariki Sana na Haya mafundisho
@lwanjiedna5233 Жыл бұрын
Nashukuru Mungu nimekufahamu mtumishi wake nimejifunza kitu kikubwa .Mungu anisaidie kusimama na Neno na ahadi zake.
@everkivuyo8596 Жыл бұрын
Tunamtukuza Mungu kwa ajili yako maana neno hilo limetikisa ngome Yesu akufiche mbavuni mwako ...madhabahu n siri niliyonayo n Mungu wangu .oh JINA LA Yesu libarikiwe
@halaali25 Жыл бұрын
😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊
@mistioladoriye8 ай бұрын
Ewe mwenyezi mungu barki familia yangu
@JanethMabelele7 ай бұрын
Mungu mkubwa ❤❤❤🎉🎉
@SHABANDAMAS-qh8wl Жыл бұрын
Mungu akubarki mtumishi kwa kutulisha neno la uzima
@EstherKanyettor Жыл бұрын
Kupita somo hili nimepata kitu kikubwa , Mungu akubarik Baba
@selineomondi-w2c Жыл бұрын
Nimebarikiwa sana from kenya
@wilsonmkumbo3032 Жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi kwa fundisho hili lenye kututoa kwenye mateso ya laana
@FridaMtitu-d1y9 ай бұрын
Asante mtumishi wa mungu
@StevenMutale-xt9yj7 ай бұрын
Past bwana asifiwe sana
@markohaonga142 Жыл бұрын
Be blessed The God's servant
@abigaelmwadena2262 Жыл бұрын
Ameen barikiwa sana mutumishi wa Mungu kwa kutufundisha marifa ❤
@aggreykalu35626 ай бұрын
Very strong service concerning curse
@JohnKamoyo8 ай бұрын
Hongera Mchungaji
@evelynmachora38489 ай бұрын
You are a good preacher
@AyshramazanRamazan9 ай бұрын
Asante baba yangu
@kissamwamunyange1018 Жыл бұрын
Asante Pastor😢😢😢
@charleschavala434 Жыл бұрын
Thank you for special masage (nipata kitu)
@Lizmoonlee-2015 Жыл бұрын
Be blessed pastor for inspiring word
@judithsalvatory2892 Жыл бұрын
Baba ubarikiwe
@bertham.kabalika2810 Жыл бұрын
MUNGU AKUBARIKI BABA
@favourkerubo2368 Жыл бұрын
Am happy for these is what I have bin fighting with na sijui vile ningejinasua🙏🙏🙏🙏🙏
@alexmtimbi4083 Жыл бұрын
Ubarikiwe Sana mtumishi
@elizabethwera4535 Жыл бұрын
From Kenya pressure yanializa
@Lydiaowino Жыл бұрын
Thank you so much I have understand
@whitneyMolel4 ай бұрын
Leo natoka katika Laana za ukoo kwa jina la yesu
@jerubetjoan20 Жыл бұрын
Kuanzia Leo najinazua na laana lolote ya kifamilia, nachugua neno hili iwe yangu
@Verah-p7d Жыл бұрын
Ameen mtumishi wa Mungu
@SolangePélagie Жыл бұрын
Mungu akuongeye nguvu
@whitneyMolel4 ай бұрын
Nivue mavazi niliovaliswa ya kiuchawi ktk ulimwengu wa roho kwa jina la yesu
@nackymwenda5793 ай бұрын
Sina cha kusema Mtumishi ila Nakuombea. Umeniponya sana sijui nisemeje
@missarepafra397310 ай бұрын
You are a good teacher I gain a lot from your lessons May God bless you a lot
@ApolinaryBiyengo Жыл бұрын
AHSANTE Mtumishi
@naseeralbishi47268 ай бұрын
Leo hii kiota inaenda kubomolewa kwangu kwa jina la yesu
@mosesngulu3981 Жыл бұрын
From Kenya
@gideonmwaweza8177 Жыл бұрын
Kweli baba umetumwa na MUNGU ubalikiwe mwe nifunguliwe
@pirminmatumizi5464 Жыл бұрын
Kama ulikwishaokoka, amini Bwana Yesu Kristo ulikwishakufunguliwa, wewe fanya kazi kwa juhudi na maarifa tu.
@pirminmatumizi5464 Жыл бұрын
Sorry, ulikwishafunguliwa kwa Damu ya Bwana Yesu Kristo. Amini tu.
@janekamaukamau5962 Жыл бұрын
Really learnt alot
@Maua-y2c Жыл бұрын
Amen 🙏🙌🥰
@kmtcuniversity93109 ай бұрын
My Goodness true😢😢😢
@sarahnabwire9091 Жыл бұрын
Amen🙏🙏ubarikiwe mutumishi wa mungu
@RebeccaMangera-vv9bg Жыл бұрын
Amen
@janechacky3810 Жыл бұрын
Am blessed .Thank you pastor
@TasheniZulu-zr3gj Жыл бұрын
Barikiwa
@kmtcuniversity93109 ай бұрын
Don't deny me❤❤❤❤❤
@DorryMnande9 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉
@kmtcuniversity93109 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@whitneyMolel4 ай бұрын
Maisha yangu hayana maendeleo yeyote kwasababu ya laana
@محمدمم-م8ي Жыл бұрын
Ameen baba
@Lizmoonlee-2015 Жыл бұрын
Watching from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇸🇦
@edithakiondo41583 ай бұрын
Kuanzia Sasa sitoteseka tena
@pirminmatumizi5464 Жыл бұрын
Kama ukiokoka lakini bado laana za ukoo zikaendelea kukuandama, basi, Damu ya Bwana Yesu Kristo ni bure. Laana ni kisababishi kimojawapo kikubwa cha mtu kutenda na kuishi maisha ya dhambi, hivyo, Bwana Yesu Kristo alizichukuwa laana zetu kama ushuhudiavyo wewe mwenyewe; labda mtu uliyeoka urudi kujichanganya dhambini tena.
@rogathengowo10995 ай бұрын
Wote waliompokea aliwapa uwezo kwahivyo ni uwezo tumepewa kama hutazishughulikia laana kwa kufuta hatua za Mungu alizoweka haziwezi kuondoka ni kama vile umenunua gari usipoliweka mafuta haliwezi kwenda