WAKATI UNAPIGA KWA MAELEKEZO ZAIDI PIGA 0656428442 USIWEKE +255 HUWA INAGOMA KWA WALE WA TANZANIA .BWANA YESU AZIDI KUWABARIKI SANA.
@AgnessIbrahim-nt1kr Жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe Mtumishi wa Mungu,, hayo Maombi natakiwa nifunge siku ngapi ili madhahu zivunjike?
@sylvanusernestbidya3214 Жыл бұрын
Sawa mutumishi ubalikiwe sana nikitama kutumia sadaka nitumie namba hii ya mwisho 442 au kuna nyingine yasadaka lakini
@geoffreyboera443611 ай бұрын
Somo mzuri mtumishi wa Mungu 🙏🏾
@elizabethisrael96 Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu Kwa Somo zuri la kuvunja madhabahu na kujenga madhabahu.
@LilianSimtowe Жыл бұрын
Amen Amen Amen, MUNGU akubariki sana Mtumishi kwa somo Zuri, ni kweli ndio maisha tunayoishi madhabahu zimetushikilia hata hatusongi mbele tunabaki pale pale ,MUNGU azidi kukutumia kwa UTUKUFU wake ,UMENIFUNGUA SANA Asante Pastor.
@LadislausOdilo Жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu aliye hai sijui niseme nini kuhusu somo lako ila kiufupi namshukuru Mungu kwani wakati ninaoupitia ndio huo umenifundisha ubarikiwe sana
@PaschalMtungirehi9 ай бұрын
Amina mtumishi nimepokea ishindi katika hili
@marymwapiya1274 Жыл бұрын
Amen ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
@MagdaleneMagdalene-rz1sp Жыл бұрын
Amen mtumishi nikweli wengi madhabahu zimetutesa sn mungu akubariki
@martinlaurian502011 ай бұрын
somo zuri mtumishi wa Bwana yesu ubarikiwe
@EmanuelBadi10 ай бұрын
Mungu akubariki Masihi wake,
@liesharehema5193 Жыл бұрын
Amina mtumishi wa MUNGU hakika hizi nisiri za ufalme wa MUNGU
@mtumekelvinamani57008 ай бұрын
Nimebarikiwa Na Haya mafundisho kutoka kenya
@lilianluhasi3115 ай бұрын
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu aliye hai katika jina la Yesu Kristo
@PastorPeter005 ай бұрын
Amina
@Stevechume-xj9sf Жыл бұрын
Asante kwa mafundisho yako ya kweli Mungu akubarik
@SarahWilson-g2u Жыл бұрын
Amen mtumishi Asante kwa somo zuri
@tabithajeremiah4589 Жыл бұрын
Asante sana mtumishi Kwa ufunuo huu,Nimepata maarifa mengine Leo,
@LydiaNasimiyu-h1n8 ай бұрын
Mutumishi wa mungu barikiwa sanaaaana tuidie tujue kusifuja hallelujah hallelujah hallelujah ❤❤
@LydiaNasimiyu-h1n8 ай бұрын
Psrt ni saidie ninawesaje kufuja madhabahu
@rosemrope4 ай бұрын
Amen nimebariwa sana
@ErickKalomo Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
@DorcasOngaro4 ай бұрын
Barikiwa mtumishi
@HusnaSharifu3 ай бұрын
😢😢😢 najitahidi kutoa sana labda.mpaka.nitoe mbuzi au ngombe mizimu inanitesa.sana
@Brendah_m5 ай бұрын
Amen am blessed ckuwa naelewa
@dadaz4653 Жыл бұрын
Barikiwe sana mtumishi
@rowenalilie993 Жыл бұрын
Neno la wakati! Wakati na majira ya Bwana ni haya!Yesu Kristo atukuzwe milele.
@joycemajala43556 ай бұрын
Asante mchungaji
@SusanAshle-zj8do Жыл бұрын
Amen Amen God bless you
@paulomtweve3819 Жыл бұрын
Nimebarikiwa sana
@Edinajustus10 ай бұрын
Asante mtumishi, nimebarikiwa
@geraldmanyogoto13587 ай бұрын
Ubarikiwe mno Mtumishi wa Mungu kwa somo zuri sana. Je, mizimu ya mke au mume yaweza kuathiri familia? Kama ndiyo mwenza anawezaje kuvunja madhabahu ya upande mwingine? Wengine tumekuwa hatujui madhabahu za koo zetu na za wenza wetu, tunafanyaje kuzijua?
@quintavitalis926 Жыл бұрын
Amina
@Upendo60454 ай бұрын
Amen amen
@LydiaNasimiyu-h1n6 ай бұрын
Aminaaaaa aminaaaaa ❤️❤️
@ernesttomas85 Жыл бұрын
Amen
@florencekwamboka97176 ай бұрын
Ni kweli kabisa
@pastoracanmpapala Жыл бұрын
Mm nitakutafuta nimejifunza vitu vikubwa lazima nije huko kwako nimekwama Sana nashambuliwa na wanyama, kurudishwa nyuma, magonjwa, umaskini
@ElianaMamy3 ай бұрын
Amina
@nabangijane233110 ай бұрын
Bwana asifiwe nime sikua neno naomba namba mm ni mkenya niko inje ya kenya
@chulelubella281910 ай бұрын
Mimi mwaka 2008 nilianza kutokewa na mtu aliyekuwa ananilalia usiku wa manane mgongoni nikikurupuka simuoni.Mwaka huo nilikuwa form two nilianza kuharibikiwa maisha shule nikaacha nikaanza kufanya zinaaa na uchafu na kufanya masturbation mpaka hapa nina miaka 32 sina mbele wala nyuma nimegundua hiyo ilikuwa mizimu haitaki niokoke wala kupiga hatua katika maisha
@FarajiiAlly10 ай бұрын
Umegundua kwa kuwaza sio kwa kujua hakuna mizimu inayo mzuia mtu kwenda kwenye iman ya dini yoyote labda hao niwa chawi sio mizimu
@chulelubella281910 ай бұрын
@@FarajiiAlly wewe Ibilisi nakukemea katika Jina la Yesu sijauliza swali kwako
@HusnaSharifu3 ай бұрын
Tuelekeze kanuni
@KeruboIrene133311 ай бұрын
Je! Mtumishi, madhabahu ya ukoo,familia ,mababu,yanaweza fuata watoto wa mabinti wenye wamezaliwa ile boma???