Somo nzuri sana linaelezwa kwa lugha rahisi sana 👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
@hafidhially59013 ай бұрын
Ahsante Mentor kwa somo lingine zuri, naomba uwe unatuwekea link ya video za nyuma ambazo zinakuwa na uhusiano na somo husika, hii inatusaidia ku connect dots kwa urahisi kati ya somo la nyuma na somo husika la sasa. Ahsante sana kwa mafundisho halisi ya Biashara.
@mangasinikusaya81573 ай бұрын
Hichi ndio kitu ambacho nilikuwa nahitaji kusikia. Ahsante sana sana
@misanamanyama243 ай бұрын
Karibu sana usisite kuuliza maswali na pia nisaidie kushare kwa watu wengine pia.
@Abdulrahmanhassan183 ай бұрын
Ahsante sana kwa maarifa
@hafidhially59013 ай бұрын
A hidden gem, nasubiri sehemu ya pili.
@njigeautotronicsolutions41273 ай бұрын
Part 2 Waiting🥱😋. Somo Tamu sana 🔥🔥🚀
@misanamanyama243 ай бұрын
Endelea kufuatilia masomo na nisaidie kushare kwa watu mbalimbali
@HabibaMawanja-ez6xb3 ай бұрын
Good show ever🙏
@ibrahimkibwana73643 ай бұрын
Ahsante kiongozi
@claudjohn3 ай бұрын
Asante kaka, ila naomba uweke link video zako ili tuwezi kujifunza kwa kuunganisha doti kutoka somo moja hadi lingine
@misanamanyama243 ай бұрын
Asante sana, nitalitendea kazi hili, tutatengeneza playlist
@johanesimwombekibaruti58403 ай бұрын
Thanks bro
@princhiuskalogosho18043 ай бұрын
Hakika uwa nakufatilia, pale nina pokuwa na bundle ili nipate madini kutoka kwako japokuwa sina biashara ila kwa faida yangu binafsi.
@misanamanyama243 ай бұрын
Nafurahi sana kusikia, kanuni ambazo ninazifundisha zinaweza zikafanya kazi hata katika maisha ya kawaida. Unazigeuza tuu. Endelea kufuatilia ili kuongeza ujuzi, ukija kuanza biashara utakuwa na ufahamu mkubwa zaidi.
@lulayicleofasi54303 ай бұрын
Kaka hakika wewe ni mwamba mada zako binafsi nazielewa sana ila naomba siku moja uzungumzie ni namna gani unaweza kutambua uhitaji wa jamii ili ugeuze kuwa fursa lakini pia level ya uchumi ya jamii itaathilije biashara hata kama kuna uhitaji wa huduma yako, na je? Utapimaje kiwango wa watu( population level) kukizi mahitaji ya idea yako ya biashara?
@misanamanyama243 ай бұрын
Asante sana kwa swali, nimelinote nitalizungumzia kwenye viwango vingine.