UKIFANIKISHA KITU KIMOJA NI RAHISI KUFANIKISHA NA VINGINE - MISANA MANYAMA

  Рет қаралды 2,361

Misana Manyama

Misana Manyama

Күн бұрын

Пікірлер: 16
@MaryamHaruna-f3r
@MaryamHaruna-f3r 2 ай бұрын
Alhamisi huwa naingoja kwa hamu sana Mwl
@MosesMgawane
@MosesMgawane 2 ай бұрын
Asante sana father kwa masomo yako yamekuwa yakinijenga sana always
@JacksonMalimaMuhusi
@JacksonMalimaMuhusi 2 ай бұрын
Nashukuru sana kaka maana sikujua kama naitaji kupata mtu wa kunipa msukumo ili nifikie nako kwenda
@claudjohn
@claudjohn 2 ай бұрын
Asante kwa somo mwalimu
@macmillanmakawia1542
@macmillanmakawia1542 Ай бұрын
Asante sana
@DrKhalidAbeid22
@DrKhalidAbeid22 2 ай бұрын
Asante kwa somo
@domcityfarmingcenter7754
@domcityfarmingcenter7754 2 ай бұрын
BINAFSI UJIO WA MASOMO YAKO UMEKUJA WAKATI SAHIHI AMBAPO NILIKUA NATAFUTA MTU WA KUNISAIDIA KUPATA MAJIBU YA VIKWAZO VYANGU... KIIMANI KILA JAMBO LINAKUJA WAKATI SAHIHI BASI KWANGU MASOMO YAKO YAMEKUJA MUDA SAHIHI YAANI MUDA AMBAO NATAFUTA MABADILIKO NA MASOMO YAKO NDIO YAMEANZA... MASOMO YAKO NI KAMA UNAENDANA MOJA KWA MOJA NA VILE NILIVYOKUA NAVIHITAJI... UBARIKIWE SANA NAKUOMBEA AFYA NA UZIMA MWALIMU WANGU NA MENTOR WANGU 🙏🙏🙏
@misanamanyama24
@misanamanyama24 2 ай бұрын
@@domcityfarmingcenter7754 Hongera sana Karibu sana Mungu atakuwezesha sana
@JaphGereranya
@JaphGereranya 2 ай бұрын
Asante sana kwa elimu yenu nzuri
@stephanosospeter1709
@stephanosospeter1709 2 ай бұрын
Asante brother ❤
@maxmilianphilipo791
@maxmilianphilipo791 2 ай бұрын
Mr misana ni ipi njia nzuri ya kuwekeza sehemu mapato unayo jilipa kutoka kwenye biashara ukiwa katika stage ya kwanza ya biashara yenye umri miaka 2?
@DrKhalidAbeid22
@DrKhalidAbeid22 Ай бұрын
Endelea kuboresha hio biashara unayofnya , pamoja na kueka hakiba yako na biashara
@daudkanyelelem1k
@daudkanyelelem1k 2 ай бұрын
Mr msana naweza je kuwa najilipa pia kwa mfano mauzo kiasi gani kwa mfano ....ktk mauzo ya kila siku...
@misanamanyama24
@misanamanyama24 2 ай бұрын
@@daudkanyelelem1k Hatujilipi katika mauzo bali faida
@Rama-e6m4n
@Rama-e6m4n 2 ай бұрын
Mimi nataka vitabu vyako vinavyohusu nidhamu ya pesa
@chrismassawe2939
@chrismassawe2939 12 күн бұрын
Nahitaji kitabu kama unacho
Mafanikio yanahitaji Kipimo - Misana Manyama
24:55
Misana Manyama
Рет қаралды 773
MAFANIKIO YAMEMEZWA NA HOFU - MISANA MANYAMA
29:27
Misana Manyama
Рет қаралды 4,8 М.
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 16 МЛН
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,4 МЛН
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 45 МЛН
Don’t Choose The Wrong Box 😱
00:41
Topper Guild
Рет қаралды 62 МЛН
KWANINI LAWAMA HUUA MAFANIKIO? - MISANA MANYAMA
32:23
Misana Manyama
Рет қаралды 1,8 М.
MAFANIKIO NI SEASONAL: Kuwa Makini - Misana Manyama
40:47
Misana Manyama
Рет қаралды 7 М.
MAFANIKIO YAPO HAPA - MISANA MANYAMA
21:45
Misana Manyama
Рет қаралды 3,1 М.
JINSI YA KUJENGA MIKONDO MINGI YA KIPATO na Edmund Munyagi
21:18
Edmund Munyagi
Рет қаралды 67 М.
MAFANIKIO YANAHITAJI USHINDANI - MISANA MANYAMA
31:31
Misana Manyama
Рет қаралды 3,4 М.
UDHAIFU WA MISANA MANYAMA - MISANA MANYAMA
25:40
Misana Manyama
Рет қаралды 1,5 М.
Namna nzuri ya kupanga Bei kwenye Biashara - Misana Manyama
26:18
Misana Manyama
Рет қаралды 3,1 М.
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 16 МЛН