No video

Jinsi ya kumfahamu mtu mwenye ugonjwa wa afya ya akili na hatua za kuchukua

  Рет қаралды 5,086

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Ikiwa leo ni maadhimisho ya siku ya afya ya akili duniani, Mwananchi Digital imezungumza na daktari wa afya ya akili kutoka hospitali ya taifa ya Mirembe Dk Ninaeli Urio ambaye anatueleza namna ambavyo unaweza kumtambua mgonjwa wa afya akili na kumpatia matibabu huku akieleza namna ambavyo mitandao a kijamii imekuwa kichocheo kikubwa ya ugonjwa wa afya ya akili.

Пікірлер: 11
@thrivehappy9610
@thrivehappy9610 Жыл бұрын
Nimeathirika na anxiety ama warathi ya wasiwasi Kwa miaka 30 nimebaini kua Nina tatizo la afya ya akili miaka 4 iliopita nikaanza mazoezi kusoma chakula na kujifanyia uchunguzi Kila siku nashkuru sana naenda vizuri 💪 na nimebaini Dr wengi wameugua!
@uwimanauwimana7692
@uwimanauwimana7692 Жыл бұрын
Pole sana
@happymchomvu6766
@happymchomvu6766 Жыл бұрын
Doctor mwenyew anaonekana amepata afya ya akili😂😂😂😂😂
@MonicaMfinanga
@MonicaMfinanga 13 күн бұрын
Mchokozi sana ww😂😂😂
@kuihamisi4543
@kuihamisi4543 Жыл бұрын
Ok
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 Жыл бұрын
Hii
@josephjohn2114
@josephjohn2114 Жыл бұрын
Dr. kuvujia damu kwenye ubongo ni organic?
@user-uf1pq1yi4p
@user-uf1pq1yi4p Жыл бұрын
Ata kama mtu ameumwa kwa muda mlefu inawezekana kutika
@denisimaliyaweni9183
@denisimaliyaweni9183 Жыл бұрын
Gharama ni vip bureee au
@user-uf1pq1yi4p
@user-uf1pq1yi4p Жыл бұрын
Na gharama zikoje zamatibabu
@MwalimuMarwa
@MwalimuMarwa Жыл бұрын
Ugonjwa wa Afya ya akili ndio nini?
How I Did The SELF BENDING Spoon 😱🥄 #shorts
00:19
Wian
Рет қаралды 36 МЛН
Kind Waiter's Gesture to Homeless Boy #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 14 МЛН
Ugonjwa wa Wasiwasi ( Anxiety)
31:07
Tuheda TZ
Рет қаралды 9 М.
VYANZO 05 VINAVYOSABABISHA TATIZO LA AFYA YA AKILI - JOEL NANAUKA
8:49
ASIMULIA MAPENZI YALIVYOMPELEKEA KUPATA UGONJWA WA AKILI
17:02
Millard Ayo
Рет қаралды 3,3 М.
SIMULIZI YA BINTI ALIYEDANGANYWA NA CHIPSI AKAPATA UJAUZITO
33:44
Mwananchi Digital
Рет қаралды 472
UKOMAVU WA KIAKILI (MENTAL TOUGHNESS) - JOEL NANAUKA
1:11:22
Joel Nanauka
Рет қаралды 189 М.
Njia Tano (5) Unazoweza Kuzitumia Kuongeza Ujasiri
9:37
Joel Nanauka
Рет қаралды 180 М.