VYANZO 05 VINAVYOSABABISHA TATIZO LA AFYA YA AKILI - JOEL NANAUKA

  Рет қаралды 21,637

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Күн бұрын

Пікірлер: 78
@godfreymeagisa1871
@godfreymeagisa1871 2 жыл бұрын
Mwalimu na mtumishi wa Joel kweli Mimi nilitengana na mke wangu imenitesa Sana maana katika maisha sikuwa fikiri kwamba siku moja nitaachana na mke wangu kweli Ni muda mrefu kidogo lakini mpaka Leo siko vizuri kabisa
@happyaloyce8797
@happyaloyce8797 2 жыл бұрын
Pole sana
@aishashehdon2980
@aishashehdon2980 2 жыл бұрын
doooh tupo wengi
@gracethomas5298
@gracethomas5298 2 жыл бұрын
Nataman siku moja nionane Na wew tuongeee,kk.Joel
@alphoncedeogratias7574
@alphoncedeogratias7574 Жыл бұрын
Nashukuru kaka Joel Kwa maarifa ubarikiwe
@japhetjohn5697
@japhetjohn5697 2 жыл бұрын
Ok,nimekupata Sana,Mwl.Joel Nanauka, prepare a book On this Isolation is the Bigg problem to our Society.
@danchibomnyama5461
@danchibomnyama5461 2 жыл бұрын
Daaah mungu akubariki sana kwa somo lako asante sana
@ashaidd2912
@ashaidd2912 2 жыл бұрын
Mungu akuweke ndugu jmn ni kweli kbs uliyoongea umri mrefu ubarikiwe sana
@edwinnkwera2866
@edwinnkwera2866 2 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi wa mungu
@timothykengere2535
@timothykengere2535 2 жыл бұрын
Shukran 📚 📚 🎙️......
@israelfumbo2093
@israelfumbo2093 Жыл бұрын
Nice brother Joel
@onnex90
@onnex90 2 жыл бұрын
Amina I get knowledge Be blessed
@godfreymeagisa1871
@godfreymeagisa1871 2 жыл бұрын
Nimejikuta Nina hasira Sana jambo dogo napatwa na hasira sana
@cami_johntz7574
@cami_johntz7574 2 жыл бұрын
Kaka Jo kwenye madeni hapo umenigusa nilikuwa silali kwa sababu ya madeni amamboyo sijui ntayalipaje sasa nipo huru na afya ya akili IPO saw a thanks
@aishashehdon2980
@aishashehdon2980 2 жыл бұрын
subhana llah.. mimi baada ya mama angu afariki niliishiwa na nguvu asa nikikumbuka tu au mtu akaniudhi huwa nalia sana na kumkumbuka mama .. mpk saiv ninavyoandika kichwa kinauma sana mawazo hayaishi na nasahau sana baada ya tatizo moja hivi nilikuwa na mawazo kupita kiasi
@amourmawalanga3571
@amourmawalanga3571 Жыл бұрын
Tatizo lako linafanana na langu, tangu mama afariki ni miezi 11 sasa lakini akili yangu haipo sawa
@aishashehdon2980
@aishashehdon2980 Жыл бұрын
@@amourmawalanga3571 Pole sana ndugu ndio hivyo tunapita
@nacksuma2263
@nacksuma2263 Жыл бұрын
Hata mm nilifiwa na mama nikanyamaza sasa sinikaumwa mbona uchizi umeniingia mpaka sasa
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 2 жыл бұрын
Pamoja sana
@kingmwarabu3811
@kingmwarabu3811 2 жыл бұрын
Naipitia hiyo hali kwa sasa
@aishashehdon2980
@aishashehdon2980 2 жыл бұрын
pole sana
@kingmwarabu3811
@kingmwarabu3811 2 жыл бұрын
@@aishashehdon2980 Asante ila najitaidi isije kuwa mbaya kwangu
@aishashehdon2980
@aishashehdon2980 2 жыл бұрын
@@kingmwarabu3811 swahihi akhy Allah atulinde sote tupo wengi kwa hakika
@dicksonlazaro
@dicksonlazaro Жыл бұрын
Good bro🙏
@eliasbufula2482
@eliasbufula2482 2 жыл бұрын
Kweli kabisa, Joel ninayapitia hayo yote.
@pleasethank2962
@pleasethank2962 2 жыл бұрын
Hongera sana nikushkuru..ubarikiwe sana
@mozaalsinani5009
@mozaalsinani5009 2 жыл бұрын
Asante sana bro unatupa muongozo mzuri
@philipomashaka
@philipomashaka Жыл бұрын
Asant bro
@MwanaMtowa
@MwanaMtowa 3 ай бұрын
Nimeelewa sasa
@cosmaskamata1058
@cosmaskamata1058 2 жыл бұрын
Viva Joel
@johnbanda6601
@johnbanda6601 2 жыл бұрын
Kumbeeee duu nilikua sijui kama mambo hayo yanaweza kua chanzo juu ya afya ya akili.
@juliusdanieli3027
@juliusdanieli3027 Жыл бұрын
Mwalimu sasa hapo tunapataje njia yakutoka kwenye hiyo tatizo la afya ya akili
@andrews_kodeson
@andrews_kodeson 2 жыл бұрын
Social isolaction ni tatizo langu
@emanuelavaleriani8646
@emanuelavaleriani8646 10 ай бұрын
Wao
@HyrineBochere
@HyrineBochere Жыл бұрын
Niko na hiyo shida kutoka 2013 Hadi Leo shida ni ndoa umenisadia Sana.
@nacksuma2263
@nacksuma2263 Жыл бұрын
Nyie mnalala mm silali
@japhetjohn5697
@japhetjohn5697 2 жыл бұрын
Bigg thanks 🙏
@shabaniasumani2337
@shabaniasumani2337 2 жыл бұрын
Nimepitia yote kaka Joel nataka nikupigie unisaidie no Yako naipataje?
@nacksuma2263
@nacksuma2263 Жыл бұрын
Naomba namba yako waganga wa kienyeji wamekula kuku zangu
@healinghomeprayercentre
@healinghomeprayercentre 2 жыл бұрын
Nashukuru
@HeriethMwinuka
@HeriethMwinuka 9 ай бұрын
Kweli mimeumwa kwa muda mrefu hadi unajihisi kuchanganyikiwa nisaidie dokta
@PriscusMallya-l8g
@PriscusMallya-l8g 10 ай бұрын
Nitapataje tiba?
@AgnesMinja-e3q
@AgnesMinja-e3q Жыл бұрын
Dawa za kumeza za hilo tatizo ni zipi
@paulndossi5146
@paulndossi5146 2 жыл бұрын
Asante sana brother nlkuwa nauliza kuna tofauti gan kati ya mapungufu na tabia?
@olivermloso3497
@olivermloso3497 Жыл бұрын
Mm akili yangu haipo sawa kabisa, nafikiria Sana vitu vya ovyo ovyo mpaka kichwa kinaniuma Kuna miluda mpaka naongea mwenyewe, naomba msaada wako kaka
@LilianGibe
@LilianGibe 7 ай бұрын
Me nahis nnatatizo
@nacksuma2263
@nacksuma2263 Жыл бұрын
Mimi muhanga hatari uwiiii
@farajiwanted8257
@farajiwanted8257 2 жыл бұрын
Asante 🙏
@mwanatz5980
@mwanatz5980 2 жыл бұрын
Asante .
@nacksuma2263
@nacksuma2263 Жыл бұрын
Toka mama afe mimi ndio nimemuhudimia mama acha wewe naishi na sonona kulala dawa kula kamambwa
@Jastus100
@Jastus100 Жыл бұрын
Pole sana
@mbwanambwana4249
@mbwanambwana4249 Жыл бұрын
Mwalimu mm niliwahi kupatwa la ugojwa wa akili nimepoa kwa sasa nifanye nini ili yasijirudi lile tatzo
@aishashehdon2980
@aishashehdon2980 2 жыл бұрын
number yako please .. huenda ukanishaur kitu sahihi
@mscobra1401
@mscobra1401 2 жыл бұрын
Nilikuwa napenda uzidi kwiogelea hii mada please kaka 😢
@PriscusMallya-l8g
@PriscusMallya-l8g 10 ай бұрын
Natatizo mm naomba mwongozo wako
@bballakihopaul2383
@bballakihopaul2383 2 жыл бұрын
kaka unapatikana wapii broooo
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 жыл бұрын
🙌🙌🙌😍
@marikamgabo6238
@marikamgabo6238 2 жыл бұрын
🎯🎯
@herimailo8183
@herimailo8183 2 жыл бұрын
Sasa Kaka Joel nimetengwa na jamii. Kila nikijichanganya bado inakuwa ngumu kwa watu kunithamini nifanyaje ili nitoke kwenye tatizo hili???
@Raphael99
@Raphael99 2 жыл бұрын
Tambua thamani Yako, ukitengwa suruhisho sio kujichanganya, Anza kufanya vitu vitavyo kupa heshima, kama ulikuwa hufanyi kazi Anza kufanya kazi, bila kusahau omba Kila siku Asubui na jioni ulalapo, nakwambia utaona mabadiliko.
@herimailo8183
@herimailo8183 2 жыл бұрын
@@Raphael99 nashukuru Sana bro 🙏
@Raphael99
@Raphael99 2 жыл бұрын
@@herimailo8183 🤝💯
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 2 жыл бұрын
Hapo unahitaji maombi maanaa kuna upande wa shetani pia
@philemonambilikile839
@philemonambilikile839 2 жыл бұрын
@@Raphael99 unaakili Sana Raphael kuheshimika Kuna tokana na vitu vingi sana
@daudkanyelele2017
@daudkanyelele2017 2 жыл бұрын
Kaka mm naomba uwe mental...nipo morogoro kijijini mm mjasilia mali...nipe no nikupgie..
@josephkashalu4173
@josephkashalu4173 2 жыл бұрын
Bro nmekutumia sms ya muamala Whatsapp lakini aujanitumia kitabu au ndo umeanza utapeli?
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 2 жыл бұрын
Mmmmh
@hellenismail4351
@hellenismail4351 2 жыл бұрын
Jiheshimu wewe Kaka.....jifunze kauli za kuzungumza....inaonesha unashida ya afya ya Akili..
@oscarj....5979
@oscarj....5979 2 жыл бұрын
😂😂
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 2 жыл бұрын
@@hellenismail4351 yahni karopokwa vibaya utafikiri kwa mungu ni picnic
@dullahtechtz3422
@dullahtechtz3422 2 жыл бұрын
We kuwa na adabu acha kumuongelea ujinga kwanini useme kwenye coment
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 жыл бұрын
Ahsante sana
EPUKA MAMBO HAYA - JOEL NANAUKA
9:19
Joel Nanauka
Рет қаралды 108 М.
AINA 5 ZA KUFIKIRI ZINAZOFELISHA WATU - JOEL NANAUKA
9:23
Joel Nanauka
Рет қаралды 66 М.
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 2 МЛН
Чистка воды совком от денег
00:32
FD Vasya
Рет қаралды 4,8 МЛН
UKIZIONA DALILI HIZI 4 NI TATIZO LA AFYA YA AKILI - JOEL NANAUKA
9:40
TABIA 5 ZINAZOFANYA UPOTEZE FURAHA - JOEL NANAUKA
6:36
Joel Nanauka
Рет қаралды 25 М.
KUTENGENEZA UTAJIRI WA WATU FULL VIDEO - JOEL NANAUKA
49:41
Joel Nanauka
Рет қаралды 56 М.
Jinsi ya kutoka kwenye madeni sugu.
1:03:49
Joel Nanauka
Рет қаралды 111 М.
FANYA HAYA KABLA MWAKA HAUJAISHA - JOEL NANAUKA
8:19
Joel Nanauka
Рет қаралды 14 М.
UBONGO WA MWANADAMU - JOEL NANAUKA
13:23
Joel Nanauka
Рет қаралды 74 М.
KANUNI 4 ZA MAFANIKIO - JOEL NANAUKA
7:26
Joel Nanauka
Рет қаралды 44 М.
DALILI HATARISHI KWENYE UPENDO - JOEL NANAUKA
8:33
Joel Nanauka
Рет қаралды 142 М.