Рет қаралды 15,949
Katika video hii nitaoka kuku mzima kwenye oven pamoja na mboga mboga kama viazi, karoti na vitunguu. Hiki ni chakula rahisi kuandaa na kinajitosheleza lakini pia unaweza save na wali kama ukipenda. Mahitaji niliyotumia ni rahisi sana kupatikana.
Chicken roast is a quick and easy recipe for dinner enjoy 😉!