No video

UNAWEZA KUPA KAZI MAREKANI, CANADA AU ULAYA WAKATI UPO AFRIKA?

  Рет қаралды 25,665

EBM SWAHILI

EBM SWAHILI

Күн бұрын

UNAWEZA KUPA KAZI MAREKANI, CANADA AU ULAYA WAKATI UPO AFRIKA?

Пікірлер: 167
@castolikiliwike8393
@castolikiliwike8393 2 жыл бұрын
Kaka Mungu azidi kukupa Moyo wa Imani kwa Ufafanuzi na Maelekezo unayowasaidia Watu kujua Uhalisia wa Mambo!
@victornzebele3990
@victornzebele3990 3 ай бұрын
Thank you very much for good information #EBM
@josephatjosephat4269
@josephatjosephat4269 5 ай бұрын
Nakukubali sana huwa unaongea ukwel bila kuficha maana matapeli ni wengi sana mtandaoni
@hamzaforogo
@hamzaforogo 2 жыл бұрын
Umeongea ukweli kiongozi na umejitahidi kua siriasi kutufahamisha na umeeleweka Sana Sana Sana shukrani Sana endelea kutupa elimu ipo siku tutafanikiwa kwa halali kwenda ng'ambo
@anizor8770
@anizor8770 4 жыл бұрын
Naitaji msaada sana hapa yaan umenisaidia Ahsante
@chimwanakasanda3952
@chimwanakasanda3952 3 жыл бұрын
Yaani wewe ni mtu mzuri sana
@austinegambo2922
@austinegambo2922 6 ай бұрын
This great EBM for the insight. I like the fluent swahili mufti.
@freddiecheba6792
@freddiecheba6792 3 жыл бұрын
Ahsante kwa taarifa nzuri, itasaidia kutuliza mioyo iliyo gizani...
@EBMSWAHILI
@EBMSWAHILI 2 жыл бұрын
Asante sana
@joycesichone1175
@joycesichone1175 2 жыл бұрын
Good information bro,thanks for your help,most people scammed through facebook job opportunity at USA.
@NdayisabaKarim
@NdayisabaKarim 9 ай бұрын
Habari yako Mheshimiwa Ernest Makulilo
@aldofuchanda7644
@aldofuchanda7644 3 жыл бұрын
Naomba msaada wa kutafutiwa kaz za ndani kaka naomba msaada hali ngumu huku
@abdulnaseerabdulhakeem9302
@abdulnaseerabdulhakeem9302 2 жыл бұрын
Sio rahisi kupata kazi za ndani America na Ulaya,labda Asia
@davymzeta479
@davymzeta479 2 жыл бұрын
you make a lot of sense, watching from Kenya.
@EBMSWAHILI
@EBMSWAHILI 2 жыл бұрын
Thanks
@Keke_mrs_feeling
@Keke_mrs_feeling 2 жыл бұрын
Sawa kaka naomba conekshen
@kilalikanestory3635
@kilalikanestory3635 6 ай бұрын
​@@EBMSWAHILIkaka mimi nimtanzani naitwa lenatus Nestory kilalika mwenyeji wa ngara kagera ni opareta wa mashine za kutengeneza barabara na nina uzoefu na mitambo mingi ya mashine .Ukiacha mashine nimeendesha semitera za kwenda inje kwa myaka mitatu .Ira kwasasaa niko kwenye kampuni ya sogea satom Bujumbura Burundi naomba konetion kaka nimesha cheza garin Cad mara mbili baado nasubiri nisaidie nafanyaje kiongozi
@rehimajone7508
@rehimajone7508 2 жыл бұрын
Asante kwa elimu,maana mimi ni mhanga nimeshatapeliwa
@christinekaranibay8492
@christinekaranibay8492 3 жыл бұрын
Very true
@kidigajames
@kidigajames 3 жыл бұрын
Asante. Kama kijana natakiwa kupambana zaidi.
@khalidhemed5617
@khalidhemed5617 2 жыл бұрын
Duuuh brooo yaani ahsante saaanaaaa Zaidi ya sanaaaa
@esterwalter8298
@esterwalter8298 2 жыл бұрын
Kiswahili ni kizuri sana sana, na unatuelewesha vizuri, Mungu akutunze
@shamterehani2161
@shamterehani2161 Жыл бұрын
Ubarikiwe sanaa ndugu yetu.
@rehemaothuman3764
@rehemaothuman3764 2 жыл бұрын
Nimeelewa Sana proud of you
@EBMSWAHILI
@EBMSWAHILI 2 жыл бұрын
Asante sana
@shukuruilomo768
@shukuruilomo768 3 жыл бұрын
Ahsante Sana kwa elimu hiyo mkuu
@jadidlepeta8137
@jadidlepeta8137 2 жыл бұрын
Kupata ughaibuni sio kitu rahisi kama hauna mtu huko.Hivyo naamini.Unaweza kuwa na pesa lakini usisikie hata harufu ya Canada
@raychipanha1919
@raychipanha1919 Жыл бұрын
Nimekuelewa sana kaka.nisaidie kupata kazi uko ng'ambo iwe geleji au hata shamba
@Jumaa553
@Jumaa553 Жыл бұрын
Shukran sana Kaka angu allaah akuhifadhi
@kilalikanestory3635
@kilalikanestory3635 6 ай бұрын
Nashukuru kwa ushauri mzuli
@macknonkibona2401
@macknonkibona2401 2 жыл бұрын
Yaan bro mkuwa unafanya kazi kubwa tena ya Mungu.Ujui tu ni kwa kiasi gan unanusuru kizazi cha vijana tulio wengi kuangamia kimasha kwa hisia nyepesi za kudhani Marekani ni rahisi maisha kuliko Africa na tunajuaga tu marekani ukifika pesa na kazi nje nje.Du! mi binafsi na kuombea usichoke kutu elimisha na Mungu akupe afya njema na maisha marefu.Umenikomboa sana kupitia chanel yako sichoki kukufuatilia.
@buda_tro8448
@buda_tro8448 Жыл бұрын
You give me CLASSIC INFORMATION my BROTHER
@FaridiAbdallah
@FaridiAbdallah 9 ай бұрын
Hello brother niaj hv unawez ukanigea details zozote za us Niko bongo
@ridhwanmnzava
@ridhwanmnzava Жыл бұрын
Thanks very much bro
@MasolaFarm
@MasolaFarm Жыл бұрын
Nakufatiria sana kaka
@graceramadan5396
@graceramadan5396 3 жыл бұрын
Nimekuelewa sana kaka nimeipenda
@nyongesabenjamin3762
@nyongesabenjamin3762 Жыл бұрын
Well explained
@stanslausihano1154
@stanslausihano1154 2 жыл бұрын
Mie drive wa track nina uzoefu wa miaka 14 nimeenda nchi tofauti tofauti napataje kazi huko iwe marekani au Canada 🇨🇦
@NdayisabaKarim
@NdayisabaKarim 9 ай бұрын
Tupe iyo information ndugu yetu
@swifatsukimtuliaswifatsuki3730
@swifatsukimtuliaswifatsuki3730 2 жыл бұрын
Asante
@daudimwalongo5803
@daudimwalongo5803 2 жыл бұрын
Ahsante kwa elimu yako
@zinabal-dubae3551
@zinabal-dubae3551 2 жыл бұрын
Canada ipo temporary work permit
@georgegg1079
@georgegg1079 2 жыл бұрын
Mimi ni dereva hapa Kenya, natamani kupata kazi marekani au Canada
@Trey2k365days
@Trey2k365days 2 жыл бұрын
mimi pia nipo nafwatilia as well so far so good canada
@habibaabood64
@habibaabood64 2 жыл бұрын
Habar
@carolynediana7841
@carolynediana7841 3 жыл бұрын
Asante kaka naomba unitaftie Kaz za Dani 🙏
@mariamelias1915
@mariamelias1915 3 жыл бұрын
Ni ngumu kupata si umesikia🤣🤣🤣
@prettyfetty1426
@prettyfetty1426 2 жыл бұрын
Jamani mimi nilikuwa natamani kupata kazi uko ila moyo ushaingia ganzi kwa hayo maneno😂😂
@nmraan9671
@nmraan9671 2 жыл бұрын
Ata Mimi nataka kazi uko ila dh
@musapeter5217
@musapeter5217 2 жыл бұрын
It's good idea , itatusaidia watanzania na kutupatia furusa zaidi zakumanage pesa
@Keke_mrs_feeling
@Keke_mrs_feeling 2 жыл бұрын
Kaka me naomba msaada wa kutafutiwa kaz za ndan naomba kaka ila isiwe aflika
@sophiamakani6133
@sophiamakani6133 2 жыл бұрын
@@Keke_mrs_feeling anzia hapa saudi ukimaliza canada
@Keke_mrs_feeling
@Keke_mrs_feeling 2 жыл бұрын
@@sophiamakani6133 sawa. Nmekuelewa basi naomba nisaidie kupata uko
@barakasilvestar379
@barakasilvestar379 Жыл бұрын
Msema kweli
@waltermshanga4559
@waltermshanga4559 2 жыл бұрын
Asante sana kwa taarifa
@kamuogo
@kamuogo 3 ай бұрын
Kaka nipe michongo bhana huko kama kukusikia nakusikiliza sana tu kila kipindi nipo
@user-or4ct7fk8y
@user-or4ct7fk8y Жыл бұрын
Mkuu Mimi Nipo TANZANIA na Tayali Nina Visa Je ninjia gan naweza pata Uraia Kwa haraka zaid
@linnahdangote929
@linnahdangote929 2 жыл бұрын
kaka shikamoo m nataka kazi jamn m
@julianakitinde7913
@julianakitinde7913 Жыл бұрын
Je kwa makampuni ambayo wanasema position haibagui nationalities, colour na vingine unashaurije hilo
@AishaTumaini
@AishaTumaini 10 ай бұрын
hello kaka umenielewa lakin
@MwasitiShabani-s2v
@MwasitiShabani-s2v 2 ай бұрын
Mimi kaka nimeishia latano naweza kupatakazi hata zashambani
@tfsgvz9369
@tfsgvz9369 3 жыл бұрын
Kwa hio ni kazi gani naweza pata nikiwa bado niko Africa
@rahelhassan8190
@rahelhassan8190 2 жыл бұрын
Naomba no yako bro naitaji kazi hko
@SadockKyokyo-fu2nn
@SadockKyokyo-fu2nn 7 ай бұрын
Hiii mitandao hiiii jamani amkeni acheni kuamini vitu kirahisi hvo 17:41 things are very serious angalia fursa pembeni yako nje kufanyanini mtasumbua watu
@mohammedmuddy4117
@mohammedmuddy4117 2 жыл бұрын
Duuh kweli
@zuhrasharfu4947
@zuhrasharfu4947 Жыл бұрын
Umeeongea vzr Sanna kaka
@fathimamct232
@fathimamct232 Жыл бұрын
Halafu hao matapeli wenye kuweka nafasi za kazi mitandaoni ni wahindi matapeli balaa watakwambia tunakutumia no time pesa kiasi kazaa ni kweli utapeli mtupu.
@AnnoyedBooks-kn5pm
@AnnoyedBooks-kn5pm 2 ай бұрын
Kaka mimi nimemaliza kidato cha nne nifanyeje ilu nipate kazi huko nisaidie
@kimodomusic2009
@kimodomusic2009 3 жыл бұрын
Good speach
@glorymollel226
@glorymollel226 Жыл бұрын
Naomba nitafutie kazi kaka yangu
@saleheinnocent7636
@saleheinnocent7636 2 жыл бұрын
Asant Broo kwa Elimu hii Bora kabisa. Ombi langu ni kuwa uwe unapitiapitia comments zetu na kuzijib zile zenye maswali ya jumla.
@saidmtiro6321
@saidmtiro6321 2 жыл бұрын
Nakupatq kutoka zanzibar
@habibaabood64
@habibaabood64 2 жыл бұрын
Asantr kwa lunifahamosha kaka
@lilianwagathura8429
@lilianwagathura8429 4 жыл бұрын
Swahili is so fluent with you than english,..all the best,am your number one fun frm +254
@EBMSWAHILI
@EBMSWAHILI 4 жыл бұрын
Karibu sana...English tumesoma tu mashuleni hahahaa
@lionessnice7212
@lionessnice7212 3 жыл бұрын
@@EBMSWAHILI 🤣🤣🤣kweli kabisaa
@sadammkinga2946
@sadammkinga2946 2 жыл бұрын
Safi sana bro
@womanofprinciple4703
@womanofprinciple4703 3 жыл бұрын
Nimeomba visa ya kazi je ni dawa na work permit naomba unisaidie
@AishaTumaini
@AishaTumaini 10 ай бұрын
hata vyeti ninavyo
@Comediansouthafrica
@Comediansouthafrica 3 ай бұрын
Sasa bro scholarship tutaipata aje sasa kwa sisi ambao tuko South Africa 🇿🇦
@marwamarwa6836
@marwamarwa6836 2 жыл бұрын
Umeniroga bro nakufatilia kupita kiasi
@kassimmohammed6340
@kassimmohammed6340 3 жыл бұрын
je kwa wale wenye ndoto za kwenda canada au marekani na sio mwanafunzi unamshauli kitu gani ili aweze kufika huko yaani canada amerika na ulaya?
@tappinopiyo7095
@tappinopiyo7095 2 жыл бұрын
Good work .Keep encouraging us
@mwanahelabdalah6221
@mwanahelabdalah6221 5 ай бұрын
mim nahitaj kàz je napataje kibali cha kaz?
@aronatv47
@aronatv47 2 жыл бұрын
Kiswahili kizuri utafikiri hujakaa miaka yote hiyo ila kuna vishankupe mwaka tu Vinakoroga eti wao wazungu nyooo..
@asiaoman3040
@asiaoman3040 2 жыл бұрын
Asante kkangu nakufatilia sana ila naomba nomba yako samahani sana
@EBMSWAHILI
@EBMSWAHILI 2 жыл бұрын
Karibu
@bakarijumanne8485
@bakarijumanne8485 2 жыл бұрын
habari shikamooo mie kuna mtu kanifat kaniambia kaz canada nikamjib sina passport akaniambia tafuta sie tunatoa free visa Free ticket inaamaan visa razimq uwend ubaloz wa canada wataongea nawao wao au vp
@bakarijumanne8485
@bakarijumanne8485 2 жыл бұрын
@@EBMSWAHILI unatoa helimu mzuri sana ira nilikuwa naomba kujua kma unataka kwenda canada razima uwend ubaloz wa canada jee kama kazi mkataba wanakutumia au. inakuaje
@EBMSWAHILI
@EBMSWAHILI 2 жыл бұрын
@@bakarijumanne8485 YES, iwe kwenda Canada au nchi nyingine iwe kwa kutembea au kazi, ni lazima uombe visa kwenye ubalozi wa nchi husika. Kama ni kazi, lazima uwe na documents zote za kazi na uombe work visa kwenye ubalozi wa Canada
@rahelhassan8190
@rahelhassan8190 2 жыл бұрын
Naitwa yuditha ngope Ni means hotelia naomba kazi kwenye hotel yenu ntashkr km maombi yangu yatakubalika
@joycenose2356
@joycenose2356 Жыл бұрын
Mambo uko poah
@uwezoamani2236
@uwezoamani2236 2 жыл бұрын
Elim yangu darasa la saba2 harafu ninandoto ya kuishi kalufona Nitafanikiwa kweli
@hamsikrasheedi1796
@hamsikrasheedi1796 2 жыл бұрын
usikate tamaa bro kila kitu kinaweze kana kwenye hii dunia
@fidodido9578
@fidodido9578 2 жыл бұрын
Usikate tamaa elimu sio kipingamizi Mimi hapa nimeishia la Saba lakini nipo nje ya nchi naishi mwaka wa kumi na sita Sasa hivi
@mohamedsuleiman2785
@mohamedsuleiman2785 Жыл бұрын
Kila mtu asema yake haya tu
@kasangajimmy
@kasangajimmy Жыл бұрын
Kaka je sisi madereva tunafanyaje
@fortunathabarabara8471
@fortunathabarabara8471 Жыл бұрын
scholarships za darasa la saba zipo?
@fredrickchisanyo6663
@fredrickchisanyo6663 3 жыл бұрын
Kama nataka kuamia ughaibuni niwe raia wa uko na cna pa kufikia,, nafanyaje na half inakuaje
@bennyfatel
@bennyfatel 2 жыл бұрын
Hi
@abuumwegelo9685
@abuumwegelo9685 2 жыл бұрын
Unaruhusiwa kuekeza marekani
@EBMSWAHILI
@EBMSWAHILI 2 жыл бұрын
Ndio unaruhusiwa, ni hela yako tu
@robinathamachage8407
@robinathamachage8407 2 жыл бұрын
Umenifungua macho sana
@Barakavictor70
@Barakavictor70 Жыл бұрын
So ivii broooh kibali cha kaz na security no unaanza kuvipatia wap🙏🙏
@Jumaa553
@Jumaa553 Жыл бұрын
Naomba namba yako kaka
@nicksonfrancy6043
@nicksonfrancy6043 Жыл бұрын
Dah umenipiga na kitu kizito bro
@kadunawewe7248
@kadunawewe7248 2 жыл бұрын
Na.mimi nataka kazi ya usafi au hoteli naomba nisaidie passport ninanayo
@royalq1601
@royalq1601 Жыл бұрын
Mimi Nlkuwa Naswali Ivi Kati Ya Visa Na Kbali Cha Kazi Ni Bola Mtu Uanze Na Kipi Kati Ya Ivyo
@maryopere2631
@maryopere2631 2 жыл бұрын
Hello,,
@roseraulent
@roseraulent Жыл бұрын
Kaka mimi naitaji kuja kufanya kazi samahani me sijasoma naomba unisaidie
@abaskiobya3608
@abaskiobya3608 Жыл бұрын
Umenichana ukweli ujinga niliokuwa nayo
@kadunawewe7248
@kadunawewe7248 2 жыл бұрын
Nitafutie na mimi kazi.huko ulaya au Canada za hoteli usafi nina passport
@georgemmunji1189
@georgemmunji1189 Жыл бұрын
Samahani blaza nilikuwa naomba kuuliza mtu mwenye HIV haruhusiwi kwenda Marekani au ulaya
@saviomlelwa
@saviomlelwa Жыл бұрын
Pia kaka ntaomba utuelezee vizuri kuhusu Canadian Visa expert. Je Canadia visa expert ni mini?
@ivankadaudi8161
@ivankadaudi8161 Жыл бұрын
Mtu mwenye degree ya uhasibu unamshaili nn akitaka kupata skola ship yakuja huko kujiendeleza Yan afwate utaratibu upi kupata
@bustani-inn7328
@bustani-inn7328 4 жыл бұрын
Good info Makulilo. Hii requirement ya Kibali cha kazi na Social security number ina'apply kwa multilateral institutions kama UN, World Bank, etc? John
@EBMSWAHILI
@EBMSWAHILI 4 жыл бұрын
Social Secuirty ni ya kufanya kazi USA, haingiliani na mashirika ya UN, World Bank nk
@bustani-inn7328
@bustani-inn7328 4 жыл бұрын
@@EBMSWAHILI ok, swali langu ni kama kwa mfano nikiomba kazi za World bank au UN na kituo cha kazi ni US, je nahitaji kuwa na Kibali cha kazi pamoja na Social security number kwanza...au hizi multilateral institutions zina exemption kwenye hii requirement?
@EBMSWAHILI
@EBMSWAHILI 4 жыл бұрын
@@bustani-inn7328 Ukiomba kazi World Bank au UN kwa mfano, wao wanakupa kibali cha kwao, na wao wanakuwa na mikataba na serikali ya USA kwa wataalam hao kufanya kazi nchini Marekani kwenye mashirika hayo. Ni sawa na mtu kuja kufanya kazi UN Tanzania, kuachilia mambo mengine lazima pia UN imuombee kibali cha kazi kwa serikali ya Tanzania.
@bustani-inn7328
@bustani-inn7328 4 жыл бұрын
@@EBMSWAHILI nimekusoma. Shukran
@kennedylymo5232
@kennedylymo5232 2 жыл бұрын
@@EBMSWAHILI kuna mtu ana mpango wakunitafutia kazi uko je itakuwa na ugumu yeye kachukua uraia kabisa uko
@salumcissetv4225
@salumcissetv4225 2 жыл бұрын
Acha kudanganya watu
@6elim12
@6elim12 3 жыл бұрын
Mimi nafatilia sana vipindi vyako nakuomba unipe namba yako ya cm nina swali naomba unisaidie
@rahelhassan8190
@rahelhassan8190 2 жыл бұрын
Naomb no yako
@eunicefalex4403
@eunicefalex4403 3 жыл бұрын
Nisaidie no zako boss nikuulize jambo ambalo sitaki liwe public
@EBMSWAHILI
@EBMSWAHILI 3 жыл бұрын
niandikie ebmscholars@outlook.com
@mubabray9845
@mubabray9845 2 жыл бұрын
@@EBMSWAHILI hbr
@bahatimwitike4701
@bahatimwitike4701 2 жыл бұрын
@@EBMSWAHILI baba sipati mume wa kizungu huko
@aulamongi2020
@aulamongi2020 2 жыл бұрын
@@bahatimwitike4701 😁😁😁😁😁
@evansonchonga5900
@evansonchonga5900 Жыл бұрын
Please I need help
@shabiruponera4323
@shabiruponera4323 Жыл бұрын
So how can get work permit
@ridhwanmnzava
@ridhwanmnzava Жыл бұрын
Unawezaje pata kibali Cha kazi!?
@obedingilisho
@obedingilisho 2 жыл бұрын
Kutishana tu... Kila mtu aPambane kivyake🙄
@benedictmhina8940
@benedictmhina8940 2 жыл бұрын
Mkuu nifanye mpango mkuu hata za kuchunga ng'ombe Yani nikawe cowboy
@ediusgabriely615
@ediusgabriely615 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂Ushaambiwa ata za kuosha vyombo hawatoi tulia ww..🤣🤣🤣
@alihassn5177
@alihassn5177 2 жыл бұрын
Ume tuzi ndua sana
@EBMSWAHILI
@EBMSWAHILI 2 жыл бұрын
Asante
@cheiyoshemweta4943
@cheiyoshemweta4943 2 жыл бұрын
@@EBMSWAHILI Kaka Mimi ni truck driver Nina uzoefu wa miaka 12 elimu darasa la Saba natamani Sana kufanya hiyo kazi huko
@suleimanazzan7044
@suleimanazzan7044 2 жыл бұрын
Asante bro naomba namba yako
GTA 5 vs GTA San Andreas Doctors🥼🚑
00:57
Xzit Thamer
Рет қаралды 24 МЛН
So Cute 🥰
00:17
dednahype
Рет қаралды 41 МЛН
Пройди игру и получи 5 чупа-чупсов (2024)
00:49
Екатерина Ковалева
Рет қаралды 4,7 МЛН
Sababu kwanini watu wananyimwa viza Ubalozini
13:24
EBM SWAHILI
Рет қаралды 20 М.
Maisha Halisi (ya UPWEKE) ya Marekani. Upo Tayari????
11:28
EBM SWAHILI
Рет қаралды 68 М.
SNURA NA MUMEWE USO KWA USO NA SHEIKH KISHK AL-HIKMA FOUDATION
18:56
Kishki Online TV
Рет қаралды 9 М.
KUTENGANA KWA MUDA KUNASAIDIA KUJENGA NDOA | MAISHA YA ULAYA YANA DEPRESSION NYINGI
1:01:00
Mehaririria ma muthia mbere ya kuhingura nyumba ya mami wa Ngugi wa Karanja
53:55
Ngugi wa karanja Mcee TV
Рет қаралды 6 М.
GTA 5 vs GTA San Andreas Doctors🥼🚑
00:57
Xzit Thamer
Рет қаралды 24 МЛН