Safi sana, asante. Lakini, rangi yaani 'food coloring' hueneza ugonjwa cancer. Jihadhari! The food itself has sufficient and varied colors. You do not need food coloring.
@fooddiarytz9 ай бұрын
Food colouring huwa ni maalum kwa vyakula sidhani Kama kuna kiambata la sivyo dept za vyakula marekani wangezikataa just kidogo tuu for color bestie 🥰
@koreanlover63619 ай бұрын
Stage ya tatu ni kuandaa mchele pamoja na viungo vyake
@azizamwakironga55619 ай бұрын
Sijaelewa swali kule insta
@innocentwakisa97319 ай бұрын
Dakika ya tatu ni kuandaa wali na kwa kuweka Gillian na jani la mint.
@annagipson65289 ай бұрын
Hatua ya tatu ni kuandaa vitungu maji kuvikanga mpaka brown 😹🫣🫣