Pia unaeza kutumia nyama ila upishi wake tofauti,pika nyama yako kwanza....halafu ufanye kama ivo,usiogope kuiacha nyama yako jikoni baada ya kutia maji kama tulivofanya kwenye kuku ili aive sababu nyama ya biriani inafaa kuwa laini sana. Kwaiyo pika kwa amani
@allymasuke15433 жыл бұрын
Naweza kutumia mchele wa kawaida?
@dayramrizkii38232 жыл бұрын
Naweza kupikia mchele wa kawaida?
@lucysanka25702 жыл бұрын
Ahsante sana hii kitu nilikua na shida nayo. Sana na pizza
@omanbaraj7447 Жыл бұрын
Gyyyyyyyyyy
@omanbaraj7447 Жыл бұрын
Hggyyy
@HalimasaidNassor8 ай бұрын
Mashallah kwakweli haya nimapish rahisi thanks my dada Allah akupe umri mrefu na afya njema
@husseintombo8345 Жыл бұрын
Ahsante Saba Nimefurahia nimependa Naomba unifundishe mapishi ya keki rahis na sweaty Namaanisha vitafunwavvitamu
@ismailburhan86224 ай бұрын
Mashallah dada Allah akulipe kheri kwa kweli kwangu nilokuwa so mjuzi wa mapishi imekuwa zaidi ya wepesi
@ZkhanMziray-zj5sg11 ай бұрын
Asante sana dada nimeweza mungu akulindeee tamu bala❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@nazymwasaha3727 Жыл бұрын
Wow haki nimejaribu nitamu kweli nimefata maelezo
@z.s7733 жыл бұрын
Mashaallah Mashaallah Mashaallah dearest..This is sooo good ntajaribu kupika hivi InShaaAllah..Allah (swt)akuzidishie kwa kila jambo la kheir,Aamin.Nakupenda kwa kutufunza
@gladnessjohn39752 жыл бұрын
Yaani hili pishi nilikuwa nalitafuta kwasababu chakula Kama Hiki dada mmoja alikuwa akiwapikia maboss zangu wakati huo me nilikuwa office assistant hongera dada natamani nilike mara Mia 😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@faceg_tz Жыл бұрын
Sasahivi we ni nani?😅
@RehemaDiwani2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂@@faceg_tz
@HamidaMrishoMahmoud5 ай бұрын
Mashaallah birani linanukia mpaka huku
@themembinga399610 ай бұрын
Simple nzur,maashaallah hongera IPO siku ntajaribu inshaallah
@maridhiakhamid9282 жыл бұрын
Mashallah Nimenda sana sijaamin kilicho tokea mwisho sijakipika ila ntakipika inshallah nimekipenda vibaya mnoo
@carolynatotiah9738 Жыл бұрын
Yaan Dada nmependa maelezo yako mashallah ♥️
@halimaally53333 жыл бұрын
Jaman Dada wew mim nakupendaga bureee tuu uko vzr sanaaa haswa na hiyo sauti yako ndio balaa unajua kuelekeza hadi mtu anaelewa asee hongera Dada angu ckumoja nitajaribu ingawa cjawahi kupika biriani nalisikiaga tuu
@kekiplus1andonly3 жыл бұрын
Alhamdullilah🙏🙏Alhamdullilah Wooow😘😘😘😍😍😍jamani😘😘😘😍asante sana,sasa na mimi nakupenda pia,umeweka tabasamu kubwa sana kwenye uso wangu🙏🙏🙏Allah akuinue,akufanyie wepesi katika shughuli zako na familia yako🙏InshaAllah siku pika my,utaenjoy sana, InshaAllah🙏
@halimaally53333 жыл бұрын
@@kekiplus1andonly sawa Dada asante
@shifahabdallah58342 жыл бұрын
Masha Allah ❤️ umesema viungo ikizidisha biriyani yawa chungu. Tupe kipimo za viungo daa . Shukran
@Ayanda_actress2 ай бұрын
Wow nzuri sana
@gatrethgabriel36902 жыл бұрын
Napika leo hii🤤🤤❤️❤️
@SalmaSaidi-c3i9 ай бұрын
Mashallah hngera kipenz nitapik inshallah hivi punde
@sabahally45662 жыл бұрын
Mashaa ALLAH tamu sana nimeijaribu
@eunice18082 жыл бұрын
Woow mashallah nitajaribu imetokea poa
@amnadossa26562 жыл бұрын
Very easy and tasty receipy❤️ Thanks for sharing!!
@ayshaaysha2165 Жыл бұрын
Mashaallah Asante dd chakula kitamu sn
@novathpanga82163 жыл бұрын
Ngoja nijaribu tu kwakweli nimevutiwa na pishi lako
@LightnessMrema-qv4uy7 ай бұрын
Asante sana nimejifunza
@businesongoro72863 жыл бұрын
Dada Mashaallah 👍😊🤗tunaomba basi viedo ya tips and tricks katika upishi wa michele ya basmati mfano ukitumika kupikia biryani,wali wa maji,wali wa kukaanga,pilau etc ,jazzakallahukhair
@shamsiamsaghati Жыл бұрын
Nimeipenda hii sana nitajaribuuu Shukran
@yusuphjohn426 ай бұрын
Maziwa mtindi yoyote yanafaa au kunamengine
@MaryamMaryam-gi9zw3 жыл бұрын
Machibusa amaizing chakula changu pedwa
@mdoman90442 жыл бұрын
Mashaallah Shukran sana
@alhamdulillahalhamdulillah75292 жыл бұрын
Baarakallahu fiiqu
@happinessmwanga42243 жыл бұрын
Asante kwa somo zuri kipenzi chetu
@kekiplus1andonly3 жыл бұрын
Shukran sana kwa sapot dear wangu😘😘
@MwashambaAmeir7 ай бұрын
❤❤❤❤❤ pishi zur sana mashaallah
@MagdalenaChabonga2 ай бұрын
Nimependa sana
@irakozenurah89903 жыл бұрын
Masha Allah 👍
@ayshaaysha21652 жыл бұрын
Mashaallah sn lahisi na nzur
@HadijaSheban3 жыл бұрын
Yaaani kuna video nilijieleza namna ninavyopenda biriani yaani umenimaliza hata ukieka sumu nakula tu mpenzi maana biriii ni best if the bestes🤣🤣asante love Mchele mmoja mmoja MashaaAllah
@kekiplus1andonly3 жыл бұрын
Hahaha yaani wewe ,ila kweli sa utajuaje kuna sumu😂😂😂basi hii love nakuachia wewe,mimi bado nimerogwa na pilau zaidil😂😂😂😂 Thanks for watching dear
@HadijaSheban3 жыл бұрын
@@kekiplus1andonly hata ikawemo nakula tu tu mk na sifi😂😂😂😂
@kekiplus1andonly3 жыл бұрын
@@HadijaSheban 😂😂😂😂😂😂una visa wewe
@HadijaSheban3 жыл бұрын
@@kekiplus1andonly 😂😂😂😂😂
@maimunabakari16543 жыл бұрын
Masha Allah hyo biryan yaonyesha tamu mno, umetumia mchele wa aina gani my
@kekiplus1andonly3 жыл бұрын
Tamu haswa dear,utapika kila wiki😋😋😋mchele long grain
@maimunabakari16543 жыл бұрын
@@kekiplus1andonly shukran habipty
@fatmasalum27313 жыл бұрын
@@kekiplus1andonly long grain ndo upi
@shegashegalo43512 жыл бұрын
Maashallah 🌹🌹mungu akuzidishie mamy
@sumsunggalaxya1280 Жыл бұрын
Mashallah mumy nmepnda
@felisterjoshuamollel39303 жыл бұрын
Wow mashalaah mashalaah
@hamidaabdallah1327 Жыл бұрын
Biriyani nzuri sana nimeipenda
@joyceurassa2993 Жыл бұрын
Yanii kitamuu tena umefundisha vizuri
@Moudgram2 жыл бұрын
Habari dada yaani sijawahi kabisa kupika pishi Hilo
@simonkaheza7511Ай бұрын
Iyo imekaa vizur mno!
@farajasallah23384 ай бұрын
Nitajaribu aisee
@jeanmarie67362 жыл бұрын
Super pour cette-fois je le fairai moi-même chez-moi merci
@PiliKapweso8 ай бұрын
Yaan xixter yanGu umenifurahixha na nmejifunza kwa xana
@sarahshibonje12013 жыл бұрын
Hey!!! this is so delicious wow I love ua cooking,so simple and it comes out fantastic
@kekiplus1andonly3 жыл бұрын
Namshukuru Mungu dear,asante sana kwa sapoti
@sarahshibonje12013 жыл бұрын
Ua welcome
@elizabethsimwanza51293 жыл бұрын
@@kekiplus1andonly do my best hi
@dayramrizkii38232 жыл бұрын
Unaweza kupikia mchele wowote.
@carolinemartinmarmo1461 Жыл бұрын
Mchele wa kawaida unafaa je rangi ya Chakula ni hzi hizi wanazoweka kwenye ubuyu
@kisakyeelizabeth24582 жыл бұрын
Asante Dana I will try doing the same
@benetsonbenezeth61842 жыл бұрын
Good lecture
@DANIELDonald-p8o Жыл бұрын
Nimeipenda sana ety
@ernestjophreymalaba33742 жыл бұрын
Nimeipenda mnoo , Mimi ni mwanaume lakini lazima nijaribu hivi karibuni
@ShehuTawfiq3 ай бұрын
Samahani dada, unaweza ukaniandikia orodha ya virungo
@OmanMobaile-i6o7 ай бұрын
Shukran nimependa
@safiaothman10983 жыл бұрын
Maa Shaa Allah
@mariageorge47294 ай бұрын
Ahsante sana❤
@Ceciliakingazi-u7e3 ай бұрын
Maziwa mtindi ya aina ipi
@ishahan9153 жыл бұрын
Mashallah jazakillahu khair
@zuwenaomary89523 жыл бұрын
Asante mpenzi
@kudratkadawi68812 жыл бұрын
Asante sana Dada je mchele niwakawaida
@hamidayanga82242 жыл бұрын
Basmati hiyo
@NnaahDenisy4 ай бұрын
ubarikiwe sana nitajaribu kupihka hivyo hakika nimejifunza kitu apo
@rahemaissa98673 жыл бұрын
Mashallah Mashallah zuri😊
@MariamuSangali Жыл бұрын
Asante kwa maujuzi Dada
@kekiplus1andonly Жыл бұрын
Karibu
@humphreykarua52413 жыл бұрын
Asante sana Dada kuhusu mapishi ya birihani,urs truly vH
@aminamooni14883 жыл бұрын
Mashaa. Allah
@chantalshimi96193 жыл бұрын
Mapishi yako ni level nyingine. Asante sana✅❤️
@SleepyBarn-jv6sn9 ай бұрын
Wow 👍👍👍👍 I like it
@angelnatalia6002 жыл бұрын
Asante let me try
@fathiyaabdi84533 жыл бұрын
Nimejaribu hich chakula ni kitamu San ahsante Sana Dada fat hiya from zanzibar
@agnesmashauli28723 жыл бұрын
Waoooo Asante sana nimepika km hivi nimesifiwa na boss wang 😄🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@halimamiraj26083 жыл бұрын
Tuko pamoja ndugu yangu
@linasmtaphy7692 жыл бұрын
Samahan dadake tuandikie mahitaji ya kununua
@eunice1808 Жыл бұрын
Wooow mashallah
@annmbai14773 жыл бұрын
That was 👌🏾,thank you chief
@MoshiraKipinga9 ай бұрын
Ahsante sana
@rahmaabdy32752 жыл бұрын
Maashallah 😍😍😍😍
@alicewashe12442 жыл бұрын
I love your cooking
@happinessmarato98452 жыл бұрын
Nimependa na nitapka na mm
@happytsalakushe1412 жыл бұрын
Nimejaribu inetoka mwaa👌
@asmazahoro95072 жыл бұрын
Masha Allah
@hopegodbless6703 жыл бұрын
Mpenzi nashukuru kwa kunifundisha mambo mengi nimejua kupita wewe Nilikuwa naomba mie ninapo ishi amna umeme sasa natamani sana kupika sponji cake ila sina vifaa unaweza tufundisha kwa njia ya kienyeji🙈 Nashukuru sana sana ubarikiwa sana inshaallah
@Zaituniomary-h2xКүн бұрын
Habari dada
@suleshmsomali6561 Жыл бұрын
Pishi zuri dada
@ZakiaSudy9 ай бұрын
Jaman nahis nimepitwa na mapishi napenda san
@swaumukasim99452 жыл бұрын
Ongera my pishi mashallha nimelipend
@leilasalim9393 жыл бұрын
Asante Sana Dada
@itsjustfood13333 жыл бұрын
This is my dish of the year 2021 mashallah very beautiful
@MugishaIngrid6 ай бұрын
Maziwa mtindi nimaziwa gan hay
@AishaManirakiza5 ай бұрын
Maziwa ya mgando
@gloryysiafu71522 жыл бұрын
Nimeipenda nitajarib
@haikamgonja38713 жыл бұрын
Nimependa sana ntapika nam
@rukiabakari44282 жыл бұрын
Pishi nimelipenda
@GladysRichard-o5o9 ай бұрын
Nomeipenda sanaaaaa
@SaumuJuma-u6o Жыл бұрын
Nasikia Michele huu hua unavimba je, nikweli
@kekiplus1andonly Жыл бұрын
Yes
@raibumbwana34323 жыл бұрын
Nitajaribu
@chantalmavandu49502 жыл бұрын
Good 👍
@swahifaabdijuma27822 жыл бұрын
Naena zangu pikaa hii sasa hivii nikiolewa bwana asije dai kula nje akaniongezea mke😆😅😅😂😂
@kekiplus1andonly Жыл бұрын
Hehehe utamuweza uyo
@swahifaabdijuma2782 Жыл бұрын
@@kekiplus1andonly Limekuaaa 🫡🫡😀😀😀😀mmempigiaa picha tu kadai ndoa saivi😃😃😅
@aishamwalimu48213 жыл бұрын
Ak mapishi yako rahisi ak
@queensanga8779 Жыл бұрын
Je Dada hio sosi naweza tumia kula naugali au ¿???
@kekiplus1andonly Жыл бұрын
Jaribu ukipenda umependa
@wahidatofiq84343 жыл бұрын
Asante kw mapishi mazur
@kekiplus1andonly3 жыл бұрын
Asante sana deae
@mariahaule5898 Жыл бұрын
Nimependa pishi hili nami lazima nipike
@farajangandu9111 Жыл бұрын
Nakushukuru sana nimeweza kupika birian yangu Jana Eid pili tumeinjoi sana na familia yangu,siku zote nilikuwa natamani sana kupata mafundisho rahisi ya upishi na wewe umekula jibu langu,naamini nitazidi kurudia upishi huu mpk niwe pro kabisa asantee Kwa kutupatia ujuzi wako Kwa moyo mweupe❤
@Bahati-wu4bs7 ай бұрын
Ulitumia mchele wa kawaida au supa get
@khalidmakame24216 ай бұрын
😂 Kuna mchele wa supa geti au basmat
@MwahijaOmary-m7f Жыл бұрын
Nanyama unnyam unafnya hvhvyoo au ulvyoo lowekaa kku dads