@@BelsFarmKitchenSwahiliahsntee dear Ila ningependaa unielekez jins ya kutengenezaa keki
@BelsFarmKitchenSwahili2 жыл бұрын
@@mwanamkasiseleman7197 😀😀😀 POA....pitia kwenye channel page hii utaona njia rahisi Sana nimeelekeza za kupika keki au ngoja nikuwekee link zake kwa urahisi
@teleziambembelaАй бұрын
Kwani hauwezi kupika mkate kwa kutumia maji tu
@BelsFarmKitchenSwahiliАй бұрын
Unaweza tumia maji badala ya maziwa.... tofauti itakuwa kwenye ladha tu
@kadiriali19285 ай бұрын
Nilazim mayai am
@BelsFarmKitchenSwahili5 ай бұрын
Sio lazima...
@rachelndungu12702 жыл бұрын
Very nice,lakini je ?naweza tumia baking powder instead of hamila,kama cpendi hamila
@BelsFarmKitchenSwahili2 жыл бұрын
Asante dear.....unaweza tumia ila utapunguza kipimo. ukitumia hamira mkate unakuwa mzuri zaidi
@aminasalehe93882 жыл бұрын
Jisiyakupika vitubuw
@BelsFarmKitchenSwahili Жыл бұрын
Nitaelekeza awamu ijayo
@OmanOman-u3o Жыл бұрын
Natalkupika kwenye gesi kubwa
@BelsFarmKitchenSwahili Жыл бұрын
Inawezekana dear ila Moto utaweka kidogo Sana ili uive vizuri bila kuungua. baada ya dakika 15 utaugeuza na upande mwingine uive vizuri. Upande wa pili utaupika kwa dakika 5-7. Unaweza bonyeza link hii kuangalia mapishi ya mkate kwa jiko la gesi kzbin.info/www/bejne/hovIeKFqfNOjfNUsi=ISiHTyXNVxAgFkR4
@hellenfrank489 Жыл бұрын
Mafuta hatuwek???
@BelsFarmKitchenSwahili Жыл бұрын
Huo tumeweka Blueband badala ya mafuta ya kupikia....inasaidia kuuapa ladha nzuri zaidi. Ila unawezaweka mafuta badala ya blueband
@isherahmad-lp2xi Жыл бұрын
St
@chalamilakhamis-om6ek Жыл бұрын
Asnt mamy nmejifunz ❤
@jamilashaaban95702 жыл бұрын
Je kama cna maziwa naweza ku2mia tui la naz?
@BelsFarmKitchenSwahili Жыл бұрын
Ndio unaweza
@raummoshi4372 Жыл бұрын
Asante sn, nimejaribu nasubiria uive😂😂
@bethylinemgaya5426 Жыл бұрын
Inapendeza zaidi kwenye vipimo kutumia kilogram badala ya vikombe.
@BelsFarmKitchenSwahili Жыл бұрын
Asante dear....tutazingatia hilo
@gudillamarandu6793 жыл бұрын
Hapo umetumia unga wa ngano aina gani ni pod?
@gudillamarandu6793 жыл бұрын
Sorry PPF
@BelsFarmKitchenSwahili3 жыл бұрын
Hapana.....huo ni Azam, ila unaweza tumia unga wa ngano wowote