@@MisosimitamuC Nagonga mlango hata sikaribishwi, au umemaliza chakula?
@MisosimitamuCАй бұрын
Tumehairisha kula titakula jmosi
@CollinsMtitaАй бұрын
@@MisosimitamuC Really? Unanibania tu wewe..!
@MisosimitamuCАй бұрын
@CollinsMtita hihihihihi
@jacklineloyani268825 күн бұрын
Taja majina ya viungo
@MisosimitamuC25 күн бұрын
Mdarani, binzari nyembamba, iriki, pilipili manga na karafuu. Alafu chini ya video kuna viungo vimeamdikwa
@HappyMdogo13 күн бұрын
Mbn hujataja majina ya viungo?
@MisosimitamuC13 күн бұрын
Salama dear mzima. Karibu misosi mitamu ukiangalia chini kwenye discription bix utaona majina ya viungo na vipimo vyote
@MisosimitamuC13 күн бұрын
1/2 kikombe cha mafuta (ghee) Vikombe 4 vya supu Vikombe 3 vya basmati mchele - 750 g Vitunguu 2 vikubwa vilivyokatwa Nyanya ya maji Kijiko 1 cha kuweka vitunguu saumu na tangawizi Kijiko 1 na nusu cha chai cha chumvi Kijiko 1 cha unga wa coriander Kijiko 1 cha mbegu za cumin Vijiti 2 vya mdalasini Iriki nusu kijiko cha chai Pilipili manga kijiko 1 cha chakula zile nzima 1/2 kijiko cha karafuu nzima Nyama 400g