Alifirikilia mbali sana mzee wetu Baba yetu mwalimu nyerere
@juliusosoroomwoyo88487 ай бұрын
Ninamhongera huyu Baba wa Taifa Nimezaliwa siku aliyoaga Dunia na kupewa jina lake,sijui iwapo wavyele wangu walielewa maana ya kunitwika jina kubwa kama hili.
@ignasnyembo12568 ай бұрын
Julius ulifundisha vizuri. Ila haupo leo wanafunzi wako wameuza nchi yote baba. Hatujui tufanye nini
@Maryc2G4 ай бұрын
Baba wa taifa Mwalimu Julius Kambalage Nyerere.
@oscarkasalile3966 Жыл бұрын
Baba wa Taifa alikuwa mzalendo wa Taifa hili la Tanzanzania. Nasema simuogopi mtu yoyote lazima niwe mkweli Taifa halitaki kuendeleza mazuri ya mwl. Kila mtu anafanya anachotaka ye sio kama dira na uelekeo wa Baba wa Taifa kama alivyotaka. Na nilichogundua wasomi wa Sasa ndio wanaoturudisha nyuma kwa ajiri ya kuogopa kufa au ni wizi tu ipo siku tutaongoza nchi watu tusiogopa kufa na tutawatumia wazalendo kwenye hesabu kubwa ili Taifa lisipate hasara. Wapo wasomi wazalendo lakini nao ni waoga kufa. Ipo siku.
@mataypanga52626 ай бұрын
Asante Mwalimu na Baba wa Taifa letu
@ibrahimngubiagai1027 Жыл бұрын
Daaa baba ungerudi wew, ningeomba nusu saa tujadili mambo muhimu ya kitaifa
@williamkirway46203 жыл бұрын
Baba wa Taifa mwl,maneno yako yatafanya kazi mda wote barani Africa,tutakukumbuka Afrika haswa watanzania.ukweli umekuweka huru,upumzike Kwa Amani,William cresent kirway toka Haydom-manyara 09-01-2021.
@sabasmorice1226 Жыл бұрын
Imetubidi kuendelea kujifunza Kwako Mwalim Julias K Nyerere.
@user-jm9jm8gv9j11 ай бұрын
Aslimia kumba hawana uchungu na watu
@meshackkanyetisahani55842 жыл бұрын
Kwa kweli ndo maana uliitwa 'mwalimu"
@williamkirway50744 жыл бұрын
Mwl anakiri kiongozi,anaweza kuwazuia uhuru wao,demokrasia yao,hatuangalii maendeleo zaidi ya uhuru wao.
@maregesimafuru41993 жыл бұрын
Tunabishana kuhusu mambo ya kijimga jinga tu wa sio uhuru
@frankcharles3195 жыл бұрын
mzee hatari sana anajua mno mno
@erickaloyce3303 Жыл бұрын
leo 14/10/2022 tunakukumbuka sana baba tz had sasa haina nira