Dada me icing sugar zangu nikishapambia inayeyuka Nakosea wapi
@Sarah1.8 ай бұрын
unaitengenezaje
@getrudaMgonja Жыл бұрын
Huwezi kuitumia prestige?
@Sarah1. Жыл бұрын
Ndo inatakiwa
@marymalyos36622 жыл бұрын
Asante nimeelewa
@Sarah1.2 жыл бұрын
❤️❤️❤️😂
@rachelerastusm1466 Жыл бұрын
Najifunza upo vizur
@AmanNjunju-kh5sj11 ай бұрын
Unaweza kutumia maziwa
@hawamuhambe33112 жыл бұрын
Sasa ukibrend na blue band SI inakuwa ya njano unafanyaje Ili iwe nyeupe pee
@Sarah1.2 жыл бұрын
Tumia kimbooo
@saudaomar87102 жыл бұрын
Nice 👍
@Sarah1.2 жыл бұрын
❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️
@CheckMallya-ks7qh7 ай бұрын
Nataman kujifunza upambaji wa keki
@mgonjaester6402 жыл бұрын
Nicely
@Sarah1.2 жыл бұрын
Thank youu🌹🌹🌹🌹
@safinaomary76102 жыл бұрын
Ahsante nilikuwa na kiu yakujua kutengeneza hivi
@Sarah1.2 жыл бұрын
Asanteee Mamy🌹🌹🌹
@Sarah1. Жыл бұрын
Yeyote ambayo wewe unaipendelea dear👏
@Sarah1. Жыл бұрын
@@teclastephen8915 keki kupasuka utakua umetumia sufuria ndogo kupikia au moto n mkalii…. Kwenye cake ya kawaida baking soda mm cwekagi natumia baking powder
@JustinaEdward-n4p10 ай бұрын
Kwni,keki,nusu,tuna,weka,icingi,kimfuko,kizima
@bethnangawe65742 жыл бұрын
Asante kwa darasa zuri, hiyo machine ya kuchanganyia ni bei gani?
@Sarah1.2 жыл бұрын
Inategemea na mkoa Beth❤️ dar nilinunua elfu thelathin
@bethnangawe65742 жыл бұрын
Oooh! Sawa
@Sarah1.2 жыл бұрын
❤️❤️❤️❤️
@irenesimon21432 жыл бұрын
Unaweza tumia Brenda ya juice
@Sarah1.2 жыл бұрын
Ndiyooo mpenziiii❣️
@irenesimon21432 жыл бұрын
Thanks dear
@irenesimon21432 жыл бұрын
Brenda y juice inakata butter
@Sarah1.2 жыл бұрын
@@irenesimon2143 tumia kuchanganyia mayai Sukari na blueband ila unga koroga na mwiko au kijiko