BOFYA HAPA KUTAZAMA JINI YA KUTENGENEZA SAMBUSA bit.ly/2Iyebaj
@hatamimnimempendabulejaman15965 жыл бұрын
Ohoo Tina wajina wa mtoto wa mam yangu mdogo. Napendaga Kupika mandaz chapat yani napendaga mambo ya upishi
@hatamimnimempendabulejaman15965 жыл бұрын
Ya uwaga wanapimaga hivyo wanatumbukiza kipande kidogo Kwanza kuona moto upo sawa
@swabrinamasagatu56435 жыл бұрын
Cooking With Tina ahsnt sana jaman naomba niunge kama una group nakuomb Dada ang
@GLORYMARIKI8 ай бұрын
Asantee dadaaa nimejifunza kupika maandaz ya iliki
@anithamsoke23296 ай бұрын
I like how you teach hauna papara
@DevothaNyakato Жыл бұрын
Ahsante nimejifunza
@godyusuf32042 жыл бұрын
Mungu anasaidia Dada Kwan nimeelewa sana
@divinahogamba Жыл бұрын
Asante kwa kutufunza kupika
@Lovenessimon-zz8qg1jz6j2 ай бұрын
Asante sana
@estherchamhene2126 жыл бұрын
Jane hongera Yanaonekana malaini na matam. Haswaaa kwa chai ya maziwa au tangawizi
@rizikikazungu17755 жыл бұрын
Wooow ya vutia kweli.. Naya onyesha ni natamu hongera kwako
@cookingwithtina81865 жыл бұрын
Riziki Kazungu thanks dear 🙏
@belinafinias96115 жыл бұрын
Asante unaelezea vzr nimekuelewa ubarikiwe.
@cookingwithtina81865 жыл бұрын
Belina Finias Asante dear 🙏
@hollojumanne99243 жыл бұрын
Napenda sana kujifunza kupitia ww.
@cookingwithtina81863 жыл бұрын
Karibu
@hollojumanne99243 жыл бұрын
@@cookingwithtina8186 ahsante, naomba uniandikie bidhaa na vipimo vyake samahan maandaz
@sadakalenga74116 жыл бұрын
yaan we Da Tina ubarikiwe Sana... nilikua cfaham jinsi ya kutengeneza chapati lkn now nimeweza, nimerudisha heshm ya ndoa.. nilikua nadhalilika Sana Mama.. nasemwa na hubby mom Malia wallah.. baada ya kuangalia video ya upishi wa chapati zako.. nikafuata njia hizo . bas saiv mambo mazuri Al hamndulillah... Asante Sana dadaaaa... Sijui hata niseme Nini Mimi... love you more mamiii
@cookingwithtina81866 жыл бұрын
Sada Kalenga Shukran 🙏 Nafurahi kusikia hivyo
@bettymassanja8815 жыл бұрын
Kwani hayo ni maandazi au chapati?. Nadhani nasinzia au sijui Kiswahili vizuri.
@bettymassanja8815 жыл бұрын
Sada Kalenga, naomba namba yako ya simu.
@zuchuu8891 Жыл бұрын
Nimeipenda
@DevothaNyakato Жыл бұрын
❤ 7:17
@janemuthoni-ey8kq10 ай бұрын
Nikitumia self raising flour itabidi niongeze baking powder? Tena iliki huitwa aje kwa kiingereza? Na mwisho what is the difference between yeast na baking powder na hutumika wapi/ vipi? Liking your delicious recipes 😉😉😉
Naomba unijibu my dear yatapendeza kwelii au nikande tu asubuhi ndo nipike naomba ushauri plz
@cookingwithtina81865 жыл бұрын
Joy Zarry Kanda tu asubuhi. Kwavile unaweka amira haitakuwa nzuri ukikanda unga ulale
@joyzarry47105 жыл бұрын
Wow asante sana 🙏
@tatumabula65462 жыл бұрын
Asantee
@BerthaMaganga Жыл бұрын
Nice dear
@carolcarolmakesh89527 жыл бұрын
Wow yanavutia kweli asante sana kwa mafunzo hayo
@tatuzacharia40036 жыл бұрын
Carol carol makesh a kwel
@VivianGozberth Жыл бұрын
Asante sana kwa kupitia wewe nimekua kupika mandazi vizuri leo maan zamani nilikuwa napika ila ukila yanakata ulimi😅😅😅
@cookingwithtina8186 Жыл бұрын
Nafurahi kusikia hivyo 😊
@edwinasina16554 жыл бұрын
A good woman knows how to cook, hongera
@cookingwithtina81864 жыл бұрын
Edwin Asina thanks for watching
@beatricebolger98245 жыл бұрын
Asante sana kazi nzuri sana
@cookingwithtina81865 жыл бұрын
Beatrice Bolger thanks 🙏
@aimeebanza98934 жыл бұрын
Asante dada napenda
@hassankayah88145 жыл бұрын
Asante Sana mama mindo mgeni wa mambo ayo IRA REO nimejifunza jambo zuri sana kwako asnt
@cookingwithtina81865 жыл бұрын
hassan kayah Asante na karibu 🙏
@hassankayah88145 жыл бұрын
Naitaji kujifunza jinsi ya kupika half keki maitaji take
@cookingwithtina81865 жыл бұрын
Nitafanya video soon
@joyceplospa32586 жыл бұрын
Asante dada
@Crabtree18442 жыл бұрын
Samahani, Tina. Kuna tofauti gani kati ya Mahamri na Maandazi? Asante kwa nijibu.
@cookingwithtina81862 жыл бұрын
Mahamri yanaumuliwa sana na ndani yanakuwa na uwazi wakati mandazi yanakuwa yamejaa ndani vizuri. Hamira inayotumika kwa mandazi ni kidogo ukilinganisha na mahamri.
Ahsante sana Tina kwa maelezo ya mapishi mazuri sana. Ningependa ku shangaza mke wangu kwa kumpikia maandazi haya. Lakini kiswahili changu cha Nairobi sio kizuri sana. Natarajia kwamba utanielewa vizuri. Naomba unifanyie msaada (favor) tafadhali. Vikombe vya chai tunazo hapa jikoni ni tofauti sana kwa ukubwa. Na mpenzi wangu hua anatumia kikombe cha kipimo - yaani "measuring cup". Je, unaweza kuniandikia mapishi haya ukitumia kikombe ya kipimo ya kwaida? - "Using a standard measuring cup?". Shukran.
@cookingwithtina81866 жыл бұрын
Wuod Ogungo unaweza tumia hiyo measuring cup ujazo wake ni 250 ml actually ndo ninatumia pia
@paulmihayo42063 жыл бұрын
Nice
@zulfakhamis68494 жыл бұрын
Mashallah
@cookingwithtina81864 жыл бұрын
Zulfa Khamis thanks 😊
@shirlettehuddha82186 жыл бұрын
Lovely dear
@sophiapaul69116 жыл бұрын
uwa nakuelewa sanaa kip it up
@abudebinabri12876 жыл бұрын
thank you
@vumiliagunda4164 жыл бұрын
Asante
@cookingwithtina81867 жыл бұрын
Habari! Napenda tu kuwajulisha kwamba sijaunda group la WhatsApp bado. Nimeona wengi mkipendekeza ila kwa sasa bado. Hivyo niombe tu na ni shauri kwa mnaotuma namba zenu humu muache zisije tumika vibaya. Endapo ntakuwa na group nitawajulisha ila kwa sasa bado.
@floramlewa31296 жыл бұрын
Cooking With Tina Kwenye fb unapatikana?
@cookingwithtina81866 жыл бұрын
FLORA MLEWA hapana Only cookingwith_tina
@cookingwithtina81866 жыл бұрын
Instagram account ☝🏻
@lebahatiloibanguti59486 жыл бұрын
Cooking With Tina mbona na pika maandazi mafuta ya na kuwa ndani mengi
@bonfacemuthui52126 жыл бұрын
0712067110
@christophersizya257410 ай бұрын
Tina me nimepika mbona hayana nyama ndani na ngozi ya nje ngumu nifanyaje......
@cookingwithtina818610 ай бұрын
Zingatia vipimo halafu usisukume nyembamba
@raysaraysa81866 жыл бұрын
Hellow Maji umetia barid au?
@zuchuu8891 Жыл бұрын
🎉🎉🎉🎉🙏
@angelmoshi36546 жыл бұрын
nmekuxoma da tina
@cookingwithtina81866 жыл бұрын
Angel Moshi Asante 🙏
@lenguleyian81116 жыл бұрын
Good
@starnewstvtv11266 жыл бұрын
Asant dada Tina
@gabrielishmael59565 жыл бұрын
Unachanganya Sana kwenye video zako hasa kwenye vipimo ni kwa Nini husemi vipimo halisi badala yake huwa unatumia kusema vikombe,robo kikombe so ni vikombe vya ukubwa gani??? Unafundisha vizur but kuwa specific dadaa
@cookingwithtina81865 жыл бұрын
Gabriel Ishmael Nitakuwa na tumia vyote ila sio kila kila mtu anajua 250ml ni sawa na 1Cup.
@cookingwithtina81865 жыл бұрын
Gabriel Ishmael Au 500ml ni sawa na 1/2 kilo au ni sawa na 2cups
@glorianduku45646 жыл бұрын
Is hamira baking powder
@cookingwithtina81866 жыл бұрын
Gloria Nduku It is not the same, hamira is yeast
@glorianduku45646 жыл бұрын
Thank you so much
@carinerina61055 жыл бұрын
Kama atusikiye sahuti yako weka hata musique
@chouchou6737 жыл бұрын
Siku gani uta fanya sambusa??🙏🏾
@apolinarymathew70914 жыл бұрын
Ss jamani mbn mi nikipika kwa ndani hayaivi
@cookingwithtina81864 жыл бұрын
Apolinary Mathew hakikisha unaacha unga wako uumuke vizuri ukishakanda kabla ya kuanza kupika
@apolinarymathew70914 жыл бұрын
@@cookingwithtina8186 Asante nimekuelewa ss nitajaribu kwa mara nyi gine
@blandinajustine97026 жыл бұрын
Kitu gani kinafanya maandazi yanakunywa mafuta yani yanakuwa na mafuta mengi
@abemapaul85476 жыл бұрын
Jibu BA's hill swali
@makynicky29706 жыл бұрын
Moto ukiwa mdogo kwenye kuchoma mafuta yana ingia ndani,,,,,moto uwe saiz ya kati sio mdogo au mkubwa
@rosephilipo59707 жыл бұрын
Uko vizuri.
@jackielynn76865 жыл бұрын
Baking powder na hamira pamoja sababu ni nini?
@cookingwithtina81865 жыл бұрын
Jackie Lynn sio lazima ila mimi napenda kutumia backing power na hamira kwani backing power inasaidia mandazi kujaa ndani.
@saidsaid94636 жыл бұрын
Asante mazuri
@briannyamboki32436 жыл бұрын
kuna viungo flani hapo umevitaja sijui mira na iliki vinaitwa vipi kwa kingereza..?
@helenongara16796 жыл бұрын
brian nyamboki hamira = yeast Iliki = cardamon
@jumamahayu60776 жыл бұрын
Waooo nice thank you so much sister
@lydiasigei60716 жыл бұрын
Amila ni nini na ya nini? Mimi ni Mkenya siifahamu.
@cookingwithtina81866 жыл бұрын
lydia sigei ni Yeast
@magdalenashayo12565 жыл бұрын
Yeast
@Crabtree18442 жыл бұрын
Eh, nahama niwe jirani yake Tina nile mabakio.
@cookingwithtina81862 жыл бұрын
Karibu 😊
@jescaramadhani12805 жыл бұрын
Maximum 1kg inabd itoe mandazi mangap
@jescaramadhani12805 жыл бұрын
Saiz hyo ya kwako
@qadrahabdulrahmanhassan92435 жыл бұрын
40
@shirukamau685 жыл бұрын
Mbona baada ya 10min unga wangu haujaumuka?!
@cookingwithtina81865 жыл бұрын
eunice kamau angalia hamira yako yaweza kuwa imekaa muda pia usiache wazi hamira yako ikaingia hewa haita umua unga vizuri.
@shirukamau685 жыл бұрын
Asante
@fidesmassoyi91746 жыл бұрын
Mtu ni afya unakandaje maandazi wakati umepaka kucha rangi.?kiafya hapo ikoje na je inaruhusiwa
@cookingwithtina81866 жыл бұрын
Fides Massoyi for your information hiyo ni hina! I hope unaelewa tofauti yake na rangi
@rashmaissac11526 жыл бұрын
Fides Massoyi ni hinna hyo
@rashmaissac11526 жыл бұрын
Fides Massoyi ni hinna hyo
@elizabethsimon41216 жыл бұрын
+Rashma Issac mwenye anapika ni mchafu uezi kanda uga na kucha umepaka rangi , yak!
@rufinatairo32796 жыл бұрын
Hiyo ni hana sio rangi
@mapishinarose24155 жыл бұрын
kwa recipe hiyo unatoa maandazi mangapi?
@cookingwithtina81865 жыл бұрын
mapishi na rose inategemea na utakavyo kata wewe
@cookingwithtina81865 жыл бұрын
mapishi na rose utakavyokata madogo ndo utakavyo pata mengi na ukikata kubwa kubwa utapata chache
@beverlynebivin2825 жыл бұрын
What's amira n iliki in English plz
@cookingwithtina81865 жыл бұрын
Beverlyne Bivin amira =Yeast and Iliki = Cardamom
@beverlynebivin2825 жыл бұрын
God bless..
@swidatyomary13806 жыл бұрын
Undaa. Grop la wassp dad
@muhimajadot26046 жыл бұрын
Mandaazi ni chakula bora na laini kwa mtu, kwani yanashika tumboni na kusukuma siku nzima. Jadot Muhima
@esthermuronji4392 жыл бұрын
Iliki naeza ponda au blend
@cookingwithtina81862 жыл бұрын
Blend! Ya unga ni nzuri zaidi
@theodorasamweli11367 жыл бұрын
da Tina tengeneza bas group watsap
@chepsweetie6 жыл бұрын
No eggs?
@mosesmasanja37126 жыл бұрын
Mbna sauti haitoki una mimi na tuu
@cookingwithtina81866 жыл бұрын
Moses Masanja kunawakati naondoa sauti pale ambapo nakuwa nimemaliza kutoa maelekezo nafanya hivyo ili kufupisha video
@lindaelexaud42156 жыл бұрын
waoooooooo!!!! mapishi ndo kila kitu so kama kuna group la whatsap naomba ukonect no. 0684464474
@theresiakibona26666 жыл бұрын
Nimependa mapishi yako hiv kwa kawaida Unga kilo moja unatoa maandaz mangapi?
@hamisially6516 жыл бұрын
Theresia Kibona
@fadhilasaid4325 жыл бұрын
Ukiweka mayai inafaa
@cookingwithtina81865 жыл бұрын
Fadhila Said itafaa. unga wa ngano na mayai ni vitu vinakwenda pamoja
@fadhilasaid4325 жыл бұрын
@@cookingwithtina8186 shukran
@peninawangui17876 жыл бұрын
iliki ninini?
@helenongara16796 жыл бұрын
Penina Wangui Iliki = cardamon
@peninawangui17876 жыл бұрын
Helen Ongara Thanks.
@leahboniface21636 жыл бұрын
Penina Wangui Hiliki - cardamom
@victoriamichael96635 жыл бұрын
Hayo maji ni ya uvuguvugu au?
@cookingwithtina81865 жыл бұрын
victoria michael ni maji ya kawaida sio vuguvugu!
@victoriamichael96635 жыл бұрын
Cooking With Tina asante sana mamii
@cookingwithtina81865 жыл бұрын
victoria michael karibu sana my dear
@kaishaemily1966 жыл бұрын
Hey I love your cooking so much. But I do not know what iliki and amira are .kindly explain in English the two thank you 😊
@cookingwithtina81866 жыл бұрын
KEEPING UP WITH KEYSHA Iliki= cardamom Hamira=yeast
@rawalidrajabu53602 жыл бұрын
Yeast mean iliki
@hilarybenedicto36217 жыл бұрын
9c....
@rodagwishura54616 жыл бұрын
nice
@missshapwata87426 жыл бұрын
nimevutiwa na mapish yako dada kama una group la whatsap niaad 0755357366
@estherwayua99196 жыл бұрын
Wow napenda sana kupika plz in add kwa watsap group yko +254791794668
@cookingwithtina81866 жыл бұрын
Esther Wayua sina group la wasap kwa sasa. Nikiwa nalo nitawajulisha 🙏
@cookingwithtina81866 жыл бұрын
kwa biashara au promotions - cookingwithtinabiz@gmail.com
@aishajumaaisha27696 жыл бұрын
....
@aishajumaaisha27696 жыл бұрын
Jgddj
@tanzanianchef86477 жыл бұрын
Wooooow nimekuelewa saaaaanaaaa Kama una group la whatsapp la mapishi ni add +255767592042 napenda mapishi sana......
@cookingwithtina81867 жыл бұрын
devi saria Asante! Ila sina group la WhatsApp
@weremamwita97407 жыл бұрын
Asante kwa utaalamu kunifundisha napenda mapishi..
@cookingwithtina81867 жыл бұрын
devi saria nipo na account ya Instagram cookingwith _tina
@karensupeet52307 жыл бұрын
Asante wifi wa mimi kwa elimu hiyo.nifoadie mawili tu.