Рет қаралды 417,460
Nyama ya sumbusa
Nyama ya kusaga ya n’gombe pound 2. ½ /(kilo 1 na grams 300)
Bizari ya uzile ya unga ( bizari nyembamba) vijiko vikubwa 2 na ½
Pilipili manga ya kusaga ya unga kijiko 1 na ½ kikubwa
Mdalasini ya unga kijiko 1 kikubwa ( sio lazima )
Vitunguu maji pound 1.1/4
Majani ya kotmiri/dhania/giligilani - fungu moja kubwa au 2 madogo
Pilipili za kuwasha utakavyopenda
Chumvi kiasi
Vitunguu thom kiasi chembe 12
Tangawizi ukubwa wa kidole cha gumba (2)
Kwa Manda Za Sambusa
Unga wa ngano kikombe 1
Maji robo kikombe
Mafuta ¼ kijiko cha chai
Chumvi ¼ kijiko
Unga wa mchele wa kusukumia kiasi kikombe 1
Aroma of Zanzibar social media
/ fathiya.ismail
/ aromaofzanzibar
Video intro Zanzibar Spice Market by Farhat Abbas www.youtube.co...
Video Intro Mombasa spice market by Chef Farouk Amboka
www.instagram....
Music courtesy / contemplative-middle-e...
This is English and Kiswahili channel where you will find cuisine from around the world