Mungu akubarik kwa mafunzo mazr akika ni mpenda maendeleo s mchoyo wa ujuz 🥰🥰🥰
@princebockson52993 жыл бұрын
nafurai sana kwa video zako, Yani zita nisaidiya kuanza viashara kabisa, kwani nilikuwa nikisubiri mtaji mkubwa ili nibate kuanza na myaka ikazidi kupita, ila kwa videos zako nimesha pata inspiration nyingi za gisi yakufanya viyashara
@HadijaSheban3 жыл бұрын
MashaaAllah piga kelele moja kwa keki plus weweeeee😂😂 yaani kunywa soda mpenzi nakuja kulipa sio kwa maujuzi haya shukran ❤️
@kekiplus1andonly3 жыл бұрын
Hahaha kelele ngapi?weuweeee 😂😂😂😂mi ntakunywa soda kweli upigiwe simu na serikali una deni huku😂😂😂 Thanks for watching dear
@@HadijaSheban always has the funniest comments😂😂 umekua Dj tayari
@HadijaSheban3 жыл бұрын
@@cookwithmsoo 😂😂😂 DJ Hadija yaani naenjoy sana hizi recipes za biashara nikiona hua nafurahi na ww IG wajiitaje
@kekiplus1andonly3 жыл бұрын
Hahahaha...umeona eeeh?she always has something to drop😂😂
@ummuhkhalfan55423 жыл бұрын
Me najifunza sana hapa Insha'Allah cku moja ntakuwa mjasiliamali kupitia wewe dada nauliza hicho kikombe ni uzani gan dada nusu ama robo
@user-rk7bp6ey9f Жыл бұрын
Asante mamy
@ShukuruElizabeth4 ай бұрын
Asante san ❤❤❤
@priscahhamis36582 жыл бұрын
Mungu akutunze dada,, Asante
@emanuelmagandi88543 жыл бұрын
Somo zuri sana Hongera sana vp kuhusu sukar ya unga kwenye utengenezaji wa biskut kwa unga nusu.. unaweka kiasi gani
@agathathobias86903 жыл бұрын
Nakupenda Sana Mungu akutunze♥️
@kekiplus1andonly3 жыл бұрын
Nakupenda pia dear,Mungu akutunze pia
@RevCharlesJPeter Жыл бұрын
Good. Naomba unielekeze namna ya kutengeneza biskuti kwa kuweka kwenye Ile mashine ya biskuti
@user-bm3yy3hv8d9 ай бұрын
Waoo good luck
@barnabankulungu44312 жыл бұрын
amaizing
@stellanamusasi82863 жыл бұрын
What is sukari ya Unga na Unga wa Wanga in English plz? Loved the video
@kekiplus1andonly3 жыл бұрын
Powder sugar Corn starch
@cookwithmsoo3 жыл бұрын
Wow. So easy - such an important kitchen hack.imma save this video for future use. Thanks dear for sharing 😋♥️
@kekiplus1andonly3 жыл бұрын
Yes,very useful &important . Africa yetu na stima ya kuzima & kuwaka,we always need backup...lol Thank you for watching dear
@michugoba7378 ай бұрын
Much ❤❤
@shirukimwe7262 жыл бұрын
Nice one,nitajaribu,asante
@neemaharry73063 жыл бұрын
My dear nimeipenda hyo utefundishe na kutengeneza maziwa ya unga
@salmakiungo81682 жыл бұрын
Shukran
@mwajumajackson5577 Жыл бұрын
Asanteee, barikiwa sana
@farijimbilinyi1136 Жыл бұрын
Sukari ni nzuri ya aina ipi
@lucie254223 жыл бұрын
Napenda your tutorial, learned something new... Also new to your channel
@kekiplus1andonly3 жыл бұрын
Thank you so much for subing and supporting...karibu sana
@lucie254223 жыл бұрын
@@kekiplus1andonly Asante, hope to see u too
@bethjames45092 жыл бұрын
Nakupenda sn
@user-sm5kr7vk9k24 күн бұрын
Hasante
@user-qn4cb3sr3p5 ай бұрын
❤
@leoniaathuman1038 Жыл бұрын
Asante
@naimamunishi12413 жыл бұрын
wewe dada masha Allah😘
@halimaaa38603 жыл бұрын
Asante 🙏
@lesthermulagha66873 жыл бұрын
Barikiwa saaaana
@kekiplus1andonly3 жыл бұрын
Amen,barikiwa pia dear
@MissUnice3 жыл бұрын
Amazing 👏
@kekiplus1andonly3 жыл бұрын
Asante dear
@dekoali26873 жыл бұрын
Amazing
@sheikhaalmandhari1253 жыл бұрын
Asante mpenzi
@kekiplus1andonly3 жыл бұрын
Karibu sana dear
@angelasanga47832 жыл бұрын
Hbr,je ukitwanga kweny kinu badala ya kusigina inakuwaj
@shamsaamos31303 жыл бұрын
Asante best
@linengasilayo77113 жыл бұрын
Asante Sana Mungu akulinde
@sizamgeni98673 жыл бұрын
Oooh nice👍
@kekiplus1andonly3 жыл бұрын
Thanks dear
@IreenJohn-bs6yx Жыл бұрын
Samahani nataka kuuliza unga wa wanga naupataje
@hellensembe53713 жыл бұрын
Waooo!!
@kekiplus1andonly3 жыл бұрын
Asante😚😚😚
@namnyakimboya48832 жыл бұрын
Maitaji kupikaa
@rechotarimo28303 жыл бұрын
Kwanza nikushukuru nanikuombee dua uendelee kuwa na moyo huo huo usio na choyo kipenzi..naomba kuuliza kwenye sukari ya biscuit's unaeka pia huo unga wa lishe na hiyo sukari ukisha isaga unaichekecha,,pls Mom
@reilaally54812 жыл бұрын
Samahan unaweza ukatwangwa badala ya kusigina
@philipadrian85343 жыл бұрын
Naomba kuulza je naweza kutumia glucose mbadala wa sukari ya unga?..na pia naweza kutumia unga wa sembe badala ya unga wa wanga?.
@kekiplus1andonly3 жыл бұрын
Hapana na hapana 😂😂😂😂pole dear
@philipadrian85343 жыл бұрын
😁😁 asante sana my dear 🤭🤭🙏🏾🙏🏾
@edsonelisha Жыл бұрын
Mama unapatikana wapi
@agripinaphabiano8219 Жыл бұрын
Kwenye biskuti ya biashara na2mia kiasi gan ya sukari? Kwa kilo moja
@maryvinemwangi38893 жыл бұрын
Nimepata hii page by chance.... i am madam diy.... barikiwa
@kekiplus1andonly3 жыл бұрын
Wooow..thanks..ninekutafuta but hauko active,kwanini?
@maryvinemwangi38893 жыл бұрын
I dont have a channel... i just do faceto face training kwa mtaa tu...
@mpetukshabani60403 жыл бұрын
Saf
@samiahassan75153 жыл бұрын
je lazima iwe nyeupe au ile nyinge
@sarahjohn77723 жыл бұрын
Plz Naomba link dear
@rizbaajil61992 жыл бұрын
😍😍😍😘😘❤👌
@graceshayo89093 жыл бұрын
Biskut haziweki baking
@kekiplus1andonly3 жыл бұрын
Kama yalivyo mapishi ya wali,basi biskuti pia zina upishi mbalimbali,ziko recipe utaweka baking na ziko zingine huweki,lakini ukiweka haiharibu kitu,kwaiyo unaeza weka
@issaabdallah54252 жыл бұрын
kwa mfano ukitumia kinu kutengeneza sukari ya unga kinafaa
@victoriamwelelwa19173 жыл бұрын
❤️❤️❤️💋
@kabambabigiraneza3723 жыл бұрын
Please number ya WhatsApp kwa darasa zaidi 🙏🏽💪🏽👏🏾
@janekitto31233 жыл бұрын
Sikari umetumia kiasi gani kwenye biscut
@dianakitsao8223 жыл бұрын
Sukari ya unga ndo icing sugar
@dekoali26873 жыл бұрын
🥰❤❤🥰🥰🥰❤🥰
@asumthakapinga46003 жыл бұрын
Kwahiyo ukitaka kutengenez keki ni liazim uisage?
@kekiplus1andonly3 жыл бұрын
Sio lazima,ila kama huna vifaa vya kukorogea mchanganyiko wa keki bora usage ili urahisishe