Jinsi ya Kuwalisha Kuku wa Kienyeji Wakuwe Haraka

  Рет қаралды 41,454

Changamkia Fursa

Changamkia Fursa

3 жыл бұрын

Kuku wa kienyeji huwa nachukua muda wa miezi 7-8 kuanzia vifaranga mpaka kuanza kutaga.
kwenye Makala ya leo tutajifunza jinsi ya kuwalisha kuku wa kienyeji ili wakuwe haraka, wawe na afya njema na waanze kutaga mapema.
Kinacho sababisha vifaranga wa kienyeji kushambuliwa na magonjwa yanayosababisha vifo ni lishe duni, mazingira machafu na baridi.
Tukianza na swala la Lishe, kuku kama walivyo viumbe wengine wanahitaji kupewa chakula chenye virutubisho vyote muhimu ili wakuwe hara na wawe na afya njema, virutubisho hivyo ni:-
Wanga ili kuupa mwili nguvu
Protein ili kujenga mwili
Mafuta ili kuupa mwili joto
Vitamin ili kuulinda mwili dhidi ya magonjwa
Madini ili kuimarisha misuli, mifupa na ganda la yai
Maji safi ili kusafirisha virutubisho vingine na kuufanya mwili uwe hydrated
Kifaranga akipata virutubisho vyote hivyo utamuepusha na stress hivyo atakuwa kwa haraka na kufikia uzalishaji wa nyama na mayai.
Chakula cha kuku kimeganyika kwenye makundi matatu kulingana na umri na uhitaji wa Protini mwilini.
Umri wa siku 1 - Wiki 8 walishe Chick stater/mash
Umri wa wiki 9 - 18 walishe grower mash
Umri wa wiki 19 na kuendelea walishe layer mash
Ukiwalisha vifaranga wa kienyeji chakula cha dukani kwa muda wote, hautaiona faida ya ufugaji na kwakuwa kuku wa kienyeji wanauwezo mkubwa wa kujitafutia chakula na pia uwezo mkubwa wa kumeng'enya virutubisho vinavyopatikana kwenye mabaki ya chakula cha nyumbani na shambani., Nakushauri uwalishe vifaranga wa kienyeji kama ifatavyo:-
Miezi 2 ya mwanzo walishe chick stater/mash
Na baada ya hapo wachanganyie concentrate na pumba kwa kufata maelekezo ya mtengenezaji.
Concentrate ni chakula kilichochanganywa kwa virutubisho vyote muhimu lakini vipo kwa kiwango kikubwa, ili kuweka uwiano sawa wa hivyo virutubisho unatakiwa kuchanganya na pumba.
Sasa kumekuwa kunachangamoto ya stater ya aina gani itumike.
Kwa uzoefu nilionao kwenye ufugaji wa kuku, vifaranga wakipewa stater ya unga wanakula kwa kuchambua punjepunje pekee, hawana muda na ule unga hivyo wanabakisha virutubisho vingine muhimu.
Ndio maana unaweza kuwapa chakula bora lakini vifaranga wakaendelea kudumaa, na kukosa nguvu za miguu.
Nikushauri sasa ubadilishe chakula unachowapa vifaranga, wape stater ya pillet.
Pillet ni chakula ambacho kiko katika mfumo wa punjepunje hivyo kuku watakula virutubisho vyote bila kubakisha chochote.
Kwa siku ya 1-21 Nakushauri uwape bila kuwapimia na kuanzia siku ya 22 anza kuwapimia kwa utaratibu unaouona kwenye screen.

Пікірлер: 43
@mariakimiti4069
@mariakimiti4069 2 ай бұрын
Mabaya unawakata wakiwa na muda gani?
@MwamtetaBani
@MwamtetaBani Ай бұрын
Hizo chupa za maji safi umezikata chini umeziba na nn
@eunicewairimu5990
@eunicewairimu5990 3 жыл бұрын
Shukrani kwa somo zuri
@changamkiafursa
@changamkiafursa 3 жыл бұрын
Tuko pamoja
@ibrahimngirini8737
@ibrahimngirini8737 3 жыл бұрын
Kwanini mnamkata kifaranga manyoya?
@changamkiafursa
@changamkiafursa 3 жыл бұрын
Nitajibu kwenye kipindi kijacho
@DorcasKindamba
@DorcasKindamba Ай бұрын
Tunashukuru binafsi nasubiri kitabu nanitakipataje?
@leonardrevelian4733
@leonardrevelian4733 2 жыл бұрын
Iko poa
@alijuma5168
@alijuma5168 20 күн бұрын
Na uliza kuku coks hukia kwa miezi?
@yohanasemeka6882
@yohanasemeka6882 11 ай бұрын
Huyo kuku Mzima Anakazi Gani Kwenye Vifaranga.
@swalehfarid5466
@swalehfarid5466 3 жыл бұрын
Tupo pamoja Bro Asante Sana Kwa Elimu Unayotupa
@nassorhamad5225
@nassorhamad5225 2 жыл бұрын
Jee nikiwapa na mabalbaki ya chakula kama vile wali ugalii nk hakuna shidaa?
@severina3429
@severina3429 10 ай бұрын
Asante kwa maelekezo,kwa Nini unakata mabawa ?
@belthamwashilimbe465
@belthamwashilimbe465 5 ай бұрын
Consetrate inapatikana wapi
@prosperkullaya6721
@prosperkullaya6721 3 жыл бұрын
Ur the best
@changamkiafursa
@changamkiafursa 3 жыл бұрын
Thanks bro
@rosenyasatu9358
@rosenyasatu9358 2 жыл бұрын
@@changamkiafursa mm jamani nipenda kufuga nianze na kuku wangapi?
@jumasule3239
@jumasule3239 Жыл бұрын
Kiongozi kwangu pillets inasababisha ndui. kwann?
@kaumbyajb557
@kaumbyajb557 3 жыл бұрын
Ahsante,hiyo chanjo ni sh ngapi?
@PaskaliCharles-pz8ds
@PaskaliCharles-pz8ds Ай бұрын
Niambie kukata mabawa inafaida gani kwa vifaranga
@doppewaxy282
@doppewaxy282 Жыл бұрын
Provide us link for that table.
@hassanmsuya6692
@hassanmsuya6692 3 жыл бұрын
Je ni sawa kuwalisha vifaranga wa kienyeji broiler starter kwa mwezi wa mwanzo!?
@stanleynombwe4865
@stanleynombwe4865 10 ай бұрын
Hiyo kukata mbawa ina saidia nn
@rusunzuntahondi278
@rusunzuntahondi278 3 жыл бұрын
ahsantee nduguu kwa nn wawakata mabawa
@changamkiafursa
@changamkiafursa 3 жыл бұрын
Kinakitu nahitaji kujifunza pia, kwahiyo nakifanyia majaribio
@alisalmin875
@alisalmin875 2 жыл бұрын
@@changamkiafursa kitu gn
@hosianaelinisa7892
@hosianaelinisa7892 Жыл бұрын
Mabawa vinakatwa baada ya mda gani?
@hassanmsuya6692
@hassanmsuya6692 3 жыл бұрын
Hiyo concentrate inakuaje?
@user-tj9wy7cf6p
@user-tj9wy7cf6p 9 ай бұрын
Kwann unawakata mabawa?
@nyaoroochieng-kz4ul
@nyaoroochieng-kz4ul 10 ай бұрын
Mbona unakata manyoya ya vifaranga?
@JamesSareyo-ih7pl
@JamesSareyo-ih7pl Жыл бұрын
Nahitaji vifaranga wakienyeji wenye bodi kubwa na nikwann unakataa mabawa
@zanzibarkukufarm7370
@zanzibarkukufarm7370 2 жыл бұрын
Kwa nn unawakta mabawa
@phabiolamaliya7838
@phabiolamaliya7838 Жыл бұрын
Kifaranga bei gani na nirawapataje
@joenoah6558
@joenoah6558 Жыл бұрын
Hiyo pumba ni nini kwa kiingereza
@saleheluvanga9929
@saleheluvanga9929 Жыл бұрын
Kwanini unawakata mbawa naomba kujua
@comics3437
@comics3437 10 ай бұрын
Lugha unayotumia ni ngumu
@sabbysaid7365
@sabbysaid7365 7 ай бұрын
uliwakataga mabawa kwa nn
@aleqchupack4305
@aleqchupack4305 3 жыл бұрын
Niki changanya Hiyo Consetrat mashudu na dagaa navyo Naweka?
@leticiakato478
@leticiakato478 3 жыл бұрын
Asante sana kwa kushare na sisi
@changamkiafursa
@changamkiafursa 3 жыл бұрын
Tuko pamoja
@LadymaryLema
@LadymaryLema Ай бұрын
Natamani kujua mabawa ukiyakata kunafaida gan na wanakatwa wakiwa na umri gani
@elinazimsuya1725
@elinazimsuya1725 2 жыл бұрын
Kwanini unawakata mabawa?
@SalmaKasim-gt8td
@SalmaKasim-gt8td 2 ай бұрын
Kwa Mimi unakata mabawa VIFARANGA?
Utunzaji wa Vifaranga vya Kuku wa Kienyeji BILA VIFO
8:05
Changamkia Fursa
Рет қаралды 42 М.
How to make incubator at home
11:58
Pets Life TV
Рет қаралды 10 МЛН
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 31 МЛН
路飞太过分了,自己游泳。#海贼王#路飞
00:28
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 17 МЛН
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 29 МЛН
NJIA  RAHISI YA KUPATA VIFARANGA WENGI WA KIENYEJI UKIANZA NA KUKU WA 5
10:53
IJUE CHANJO YA TATU MOJA
11:38
farmers centre
Рет қаралды 10 М.
JINSI YA KUWALISHA VIFARANGA WA KUKU WA KIENYEJI WAKUWE HARAKA
7:36
Changamkia Fursa
Рет қаралды 56 М.
Jinsi ya Kutunza Vifaranga vya Kuku wa Kienyeji
8:19
Changamkia Fursa
Рет қаралды 236 М.
JINSI  YA KUTENGENEZA FUNZA  KAMA  CHAKULA CHA KUKU
7:08
AGALUS TV
Рет қаралды 65 М.
Chakula Cha Kuku wa Kienyeji, Vifaranga na Kuku Wakubwa
8:16
Changamkia Fursa
Рет қаралды 26 М.
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 31 МЛН