JINSI YA KUTENGENEZA FUNZA KAMA CHAKULA CHA KUKU

  Рет қаралды 65,962

AGALUS  TV

AGALUS TV

2 жыл бұрын

Jinsi ya kutengeneza funza kwa ajiri ya Chakula cha kuku. Mahitaji ni Pumba za mahindi, maji, mbolea ya samadi mbichi
#kuku #chakula
👉jinsi ya kulea vigaranga • JINSI YA KULEA VIFARAN...
👉Mbegu bora ya kuku wa kienyeji tunawapaje. sifa zao
• Mbinu 8 za Kupata kuku...
👉faida za vitunguu saumu kwa kuku
• FAIDA 7 ZA VITUNGUU ...
,🙏🙏🙏💓💓

Пікірлер: 211
@veronicamwaseba2189
@veronicamwaseba2189 4 ай бұрын
asante sana kwa kunisadia mungu akubaariki sana
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 ай бұрын
Amina ndugu barikiwa pia
@allworldstrendshere1378
@allworldstrendshere1378 2 жыл бұрын
Shukrani kwa somo zuri sana nilikuwa najaribu kutengeneza nafeli, ila umenisaidia sana kugundua ni wapi nilikuwa nashindwa, Be Blessed kwa masomo yako mazuri
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Barikiwa🤝🤝🤝
@mohammeduseni2958
@mohammeduseni2958 Жыл бұрын
Shukran kwadarsa nzuri
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Barikiwa pia
@oldpoultry9341
@oldpoultry9341 2 жыл бұрын
Wow kazi safi sana ndugu👍👍
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Barikiwa🙏🙏🙌🙌
@shelternimzihirwa3583
@shelternimzihirwa3583 2 жыл бұрын
Ubarikiwe kwa somo zuri
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Amina🙏🙏🙏
@saidaljahdhamymtwc7253
@saidaljahdhamymtwc7253 Жыл бұрын
Dah ahsante sana kwa somo mungu akubariki
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Amina ✍️ 🙏🏿 ndugu nawe Pia
@IbrahimMchomvu-oy2kj
@IbrahimMchomvu-oy2kj 2 ай бұрын
Asante sana kwa somo là uzalishaji wa funza je hawa funza n kwa kuku wote na wa kisasa chotara
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 ай бұрын
Tupo pamoja ndugu. Ila ni kuku Aina zote
@gracesianga2993
@gracesianga2993 2 жыл бұрын
Nashukuru kwa somo zuri
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Pa1 🤝🤝🙏
@frolamakule8451
@frolamakule8451 2 жыл бұрын
Asante nimepata kitu kipya nzuri
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Barikiwa pia endelea kubaki na agalus tv 🙏🏿
@xsaverymapunda622
@xsaverymapunda622 10 ай бұрын
Ubarikiwe san mkuu kwa somo nzur lakn funza hao nitawapa kwa kuku wa umri gan na kwa mda gan
@AGALUSTV
@AGALUSTV 10 ай бұрын
Mwez 1
@laurianpancras4953
@laurianpancras4953 Жыл бұрын
Asante kwaelimu. Yautengenezaji funza
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Barikiwa pia
@EliokoMlay
@EliokoMlay 8 ай бұрын
Nimelipenda somo.la kuzalisha funza.nitajabu.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 8 ай бұрын
Barikiwa sana
@tumainkasekwa9938
@tumainkasekwa9938 Жыл бұрын
SoMo lipo vizuri Sana kwakwel
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Pamoja
@user-fd2fx8gz6b
@user-fd2fx8gz6b Ай бұрын
Elimu bora
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Hakika ndugu
@mwambaimara1950
@mwambaimara1950 Ай бұрын
Asante kwa elimu
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Tupo pamoja ndugu
@kaidzahare4854
@kaidzahare4854 2 жыл бұрын
Asante sana
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Pa1 🤝🤝
@mapenziluwa8061
@mapenziluwa8061 Жыл бұрын
Nashukuru Kwa darasa zuri tupo pamoja
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Karibu Sana
@ngonyememne3069
@ngonyememne3069 2 жыл бұрын
Somo zuri, asante sana
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Barikiwa🙏
@stephenmainag6799
@stephenmainag6799 Жыл бұрын
@@AGALUSTV Asante kwa SoMo zuri je unachanganyaje pumba na samadi
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Samadi mabichi na pumba za mahindi yaani samadi Ata spedi 3 na pumba sado mbili uku ukiweka Maji KDOGO kw juu
@CharlesMartini
@CharlesMartini 2 ай бұрын
Asante sana nimejifunza mambo mengi
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 ай бұрын
Barikiwa Sana ndugu
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 ай бұрын
Barikiwa Sana ndugu
@MariamBakari-im5ef
@MariamBakari-im5ef 11 ай бұрын
Shukran
@AGALUSTV
@AGALUSTV 11 ай бұрын
Endelea kufuatilia video zetu🙏🏿ujifunze mengi
@jamesobedy3687
@jamesobedy3687 2 жыл бұрын
barikiwa
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Amina KUBWA 🙏🏿✍️🙌
@josiahkulwa34
@josiahkulwa34 2 жыл бұрын
Great 👍
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
🙏🏿🤝👍✍️
@scholasticakyulule644
@scholasticakyulule644 Жыл бұрын
Habari
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Nzuri karibu sana
@BalthazarjamesHilba
@BalthazarjamesHilba Ай бұрын
Mbolea kiasi gani inachanganywa kwa pumba sado mmoja.
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Debe moja
@lusaelimu2580
@lusaelimu2580 2 жыл бұрын
Somo limeeleweka asante
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Barikiwa
@beatricemahiri5423
@beatricemahiri5423 11 ай бұрын
Asante mnoo
@AGALUSTV
@AGALUSTV 11 ай бұрын
Tupo pamoja ndugu
@bajirengeblaise6198
@bajirengeblaise6198 2 жыл бұрын
Shukrani sana kutufunza Mungu akubariki niko kenya
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Amina ndugu
@PatrickKalondji-ty5pm
@PatrickKalondji-ty5pm 3 ай бұрын
Asante
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 ай бұрын
Pamoja ndugu
@ramayasly4584
@ramayasly4584 2 жыл бұрын
Mimi napenda sana ufugaji wa kuku kienyeji
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Karibu sana🙏🙏
@plasticrecyclingg3556
@plasticrecyclingg3556 2 жыл бұрын
🤜🤛
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
🤝🙏
@sophymussa5562
@sophymussa5562 8 ай бұрын
Ahsante sana. Hivyo naweza kujenga chumba kwa ajili ya kuzalisha funza. Namaanisha badala ya mguko mmoja nazalisha 10. Naomba kujua una waanikaje?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 8 ай бұрын
Inawezekana tu ndugu. Jinsi y kuwaanika kwanza ni kuwakusanya ao funza ktk mfuko 1. Yaani unavaa gloves na kuwakusanya. Utafunga vizuri mfuko na kutoa nje kwenye jua hadi wafe Kisha Una weka sehem ya wazi kama turubai unawwanika vzuri
@elizabethyona1734
@elizabethyona1734 7 ай бұрын
Nimeipenda hii tupo pmj January kw NEEMA y MUNGU
@AGALUSTV
@AGALUSTV 7 ай бұрын
Amina ✍️ 🙏🏿 ndugu
@BonifaceBoniface-jg8zj
@BonifaceBoniface-jg8zj 10 ай бұрын
Tunatengenezaje wale wadudu km funza lkn wakubwa na Wana vichwa vya njano au kahawia hukaa pia kwenye magogo yaliyooza?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 10 ай бұрын
Nahisi watakua mchwa AU video yake ni hii 👇 kzbin.info/www/bejne/amPUaqeVZ7J8eNU
@JaneMbelwa-dh4zd
@JaneMbelwa-dh4zd Ай бұрын
Nikishawapatia naweza kuzalisha wengine kwa mali ghafi hiyo hiyo au naandaa upya?
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Ni kuongeza marighafi tu eeneo ilo ilo
@pty173
@pty173 Жыл бұрын
Nashukuru kwa masomo yenu mazuri mnayotupatia ila ninataka kujua,ninataka kujenga Banda la kutunzia vifaranga 50 wa kienyeji,je! Nijenge la ukubwa gani?
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Mita 3x3
@veniusstansilaus4987
@veniusstansilaus4987 Жыл бұрын
Je siwezi kutumia pumba ya mpunga ?
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Waweza jaribu. Maana Mara nyingi uwa tunatumia za mahindi
@StephenNgonyani-lf5hk
@StephenNgonyani-lf5hk Жыл бұрын
Chakula Cha kuku hamsini
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Video Yake ni hii apa kzbin.info/www/bejne/apbJfmyXbZuSp6M
@johnevance4073
@johnevance4073 6 ай бұрын
Shukrani na nikihitaji kuwahifadhi hao funza niwape chakula gani au hiyo pumba na samadi inatosha??
@AGALUSTV
@AGALUSTV 6 ай бұрын
Iyo iyo samadi na Pumba tu
@johnjulius2531
@johnjulius2531 8 ай бұрын
Ni lazima utumie samadi ya n’gombe?? Au hata ya kuku? Maana kuku wakila kinyesi chao wana pata coccidioss
@AGALUSTV
@AGALUSTV 8 ай бұрын
Hawali kinyes ndugu wanakula funza. Unawaosha vizuri
@ponsiankashaga4200
@ponsiankashaga4200 8 ай бұрын
Asnte kwa somo zuri Unaweza kuwapa huo mfuko wakala wenyewe au mpaka uwatolee hao funza?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 8 ай бұрын
Kwa usafi zaidi ni vizur kuwatoa ila kwa kuku w kienyeji wape tu
@magrethkimonge7923
@magrethkimonge7923 2 жыл бұрын
Asante kwa somo zuri ,je ho funza nitawapa.kwa siku moja tu? Au niwahifadhi kea njia gani
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Una waanika kisha una wahifadhi . kuwapa ni wewe tu kwaji iko ni chakula si tiba🙏🙏
@aminatuarira4019
@aminatuarira4019 2 жыл бұрын
@@AGALUSTV kuwaanika unafanyaje unawauaje ili uwaanike tuelewesheni vzr
@aminatuarira4019
@aminatuarira4019 2 жыл бұрын
@@AGALUSTV kuwaanika unafanyaje unawauaje ili uwaanike tuelewesheni vzr
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Waweza waweka kwenye mfuko na kuufunika hadi wafe kisha kwa jua wakauke🙏🙏
@saleheluvanga9929
@saleheluvanga9929 Жыл бұрын
Naitaji kufahamu ukiwaanika manakwamba watakauka asa wakikauka kuku watakula ivo ivo wakiwa funza wakavu? Maana hofu yangu watakubali kweli kula angali funza wakavu? Pia kingine wakikauka awo tunza watakuwa na vitamini sawa na wakiwa wabichi hawajakaushwa?
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Haina shida ndugu watakula tu na ndyo wanaouzwa kwenye MADUKA. Protini itakuwepo tu yani kama dagaa wamekauka na protini ipo
@mwanamisishee6812
@mwanamisishee6812 2 жыл бұрын
Asante kwa video yaelimisha sana. Swali moja though, samadi ni nini?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Mbolea toka kwa kinyesi cha wanyama i.e manure🙏🙏
@kibambiibrahim5714
@kibambiibrahim5714 Ай бұрын
Somo la funza ni muhimu je kilo Moja ya funza Kavu ni shy hapa tz?
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Ngoja tutakuja na majibu
@ibrahimnadir4490
@ibrahimnadir4490 2 жыл бұрын
Yaani mimi sijui kiswahili samadi na spedi na mifuko ya salfeti dah 😇😇
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Oooh. Pole sana ndugu. But Samadi means animal manure e.g from cow feaces, Spedi means An apparatus used to take manure it look like Spoon . And mifuko ya Salfeti. Means those bags which are Nylon in nature used to sore cereals like maize, rice etc.
@ibrahimnadir4490
@ibrahimnadir4490 2 жыл бұрын
@@AGALUSTV got u bro thanks izo terms tu ni ngeni kwangu ila nishajifunza I appreciate alot 🙏
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana ndugu🙏🏿🙏🏿🤝
@elizabethyona1734
@elizabethyona1734 7 ай бұрын
Swali lngu nkishazalisha kilo moj ni sh.ngpi nijue kw uzoefu wenu na kw hii biashara
@AGALUSTV
@AGALUSTV 7 ай бұрын
Kilo ni zaidi ya elfu Tsh 6
@MarryJohn-rd9nm
@MarryJohn-rd9nm 9 ай бұрын
Kumbe pumba haichanganyw na samad je inafa kuliwa na kuku wote nikimaanisha kuanzia kifaranga hadi kuku mkubwa
@AGALUSTV
@AGALUSTV 9 ай бұрын
Inafaa tu
@HoseaGidiion-nt7tl
@HoseaGidiion-nt7tl 9 ай бұрын
Naitaji kujua kuhusu kuku wa mayai wa kienyej
@AGALUSTV
@AGALUSTV 9 ай бұрын
Unataka kujua nini apo
@kibambiibrahim5714
@kibambiibrahim5714 Ай бұрын
Naomba email yako, Au whatsapp, he Mko wapi? Kuhusu masoko ya kuku?
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Unahitaji masoko yaani unataka kuuza kuku au
@MarryJohn-rd9nm
@MarryJohn-rd9nm 9 ай бұрын
Swali lingine je kuku akivunja yai wakat wa kulalia je mayai yaliyo baki anaweza kutotoa
@AGALUSTV
@AGALUSTV 9 ай бұрын
Kama hakuna maji maji yanaweza pia kama hayata kua na nyufa AU kreki ayo yaliyobak yatatotolewa
@Sam-dq5tq
@Sam-dq5tq Жыл бұрын
Nisaidie makadiro ya kuku 300 unahitaj salad kiasi gan?
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Salad au samadi🙏🏿✍️
@christopherngunwa9522
@christopherngunwa9522 2 жыл бұрын
Jamani nzuri sana ila mm nilikua na swali hivi kama umemuatamishia kuku mayai 10 halafu akatotoa vitoto 3 hivi inakua nini shida????
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Ni ubora w kuku, ubora wa mayai, mazingira y joto kwenye kiota, fuatilia hisi somo ujifunze zaidi kumsadia kuku kutotoa mayai kzbin.info/www/bejne/rHa1iZtphJ19nZY
@twahasalumu1865
@twahasalumu1865 Жыл бұрын
Asante kwa kutuelimisha soko la funza lipo wapi?
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Kwa wafugaji waelewa wananunua tu
@lilianalyatuu9543
@lilianalyatuu9543 11 ай бұрын
Asante ili wawe wakubwa utafanyaje?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 11 ай бұрын
Unawaacha na unaendelea kuwalea
@user-md9jb2tl9r
@user-md9jb2tl9r Ай бұрын
Hapo nokosawa na mafunzo
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Barikiwa sana
@user-go3bk6wr8u
@user-go3bk6wr8u 2 жыл бұрын
Samadi/sanadi ndio nini?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Kinyesi/mavi,/ feaces cha mifugo kama ng'ombe, mbuzi, pigs etc
@mohamedfogo8820
@mohamedfogo8820 Жыл бұрын
Sasa Hawa unaweza kuwahifazi vp si wanatembea hawa
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Unawaweka 'wa mfuko na kuwaka Usha Juan. Yaaani unawaokota kwa mkono na kuwaweka kwenye chombo AU Una wa fungulia kuku na kwenda kuwala moja kwa moja
@aminatuarira4019
@aminatuarira4019 2 жыл бұрын
Asante kwa somo zuri,hyo ndio ama mfuko uloweka samadi na pumba unaufunga ama unauacha wazi?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Unaunika tu
@aminatuarira4019
@aminatuarira4019 2 жыл бұрын
Naunika sijaelewa
@aminatuarira4019
@aminatuarira4019 2 жыл бұрын
Au nafunika
@lenagb8064
@lenagb8064 2 жыл бұрын
Nimejaribu mara kadha kutengeneza funza nimeshindwa sijui nakosea wapi
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Hatua izo ktk somo ulizifuata
@tchobajibrilu6487
@tchobajibrilu6487 Жыл бұрын
Tunashuru kwamafunzo yafuza nikuziweka mudagani
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Ni wazo zuri sana
@monicampokwa441
@monicampokwa441 2 жыл бұрын
Mmmmm inabidi usiwe na kinyaa.yaan usione uchafu hsa wanavyotembea hvyo
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
😀😀 ni kweli uwe na moyo ukusanye uanike hadi wafike kilo kadhaa 🙏🙏
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
😀😀 ni kweli uwe na moyo ukusanye uanike hadi wafike kilo kadhaa 🙏🙏
@venanceruhaya610
@venanceruhaya610 2 жыл бұрын
Asante sana kwa somo zuri, mimi naomba kufahamu hicho chumba cha kuzalishia funza kinatakiwa kiwe na paa ya kisiwe kinavuja ?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Kiwe kina paa Na Tena chenye giza🙏🤝
@StephenNgonyani-lf5hk
@StephenNgonyani-lf5hk Жыл бұрын
Mimi mnifahamiche chakula mayai kuku hamsini
@StephenNgonyani-lf5hk
@StephenNgonyani-lf5hk Жыл бұрын
Nakuku hamsiniwamayai njinsi ya kutegeneza
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Formula ya chakula kuku wanaotaga video ya maelekezo hii apa kzbin.info/www/bejne/apbJfmyXbZuSp6M
@josephnjella4919
@josephnjella4919 2 жыл бұрын
Asante lakini Mimi Nina Kuku mia moja nitengeneze kiasi gani?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Kiasi cha chakula unacholisha waweza tengeneza
@DanielWabare
@DanielWabare 2 жыл бұрын
Ukiwavuna baada ya siku nne watazaliana tena?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Ndyo
@mahadhitindwa2330
@mahadhitindwa2330 Жыл бұрын
Sasa kinyesi c adui kwa afya ya kuku?
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Huwapi na kinyesi ndugu unawakusanya na kuwaosha na kuwaanika Kisha unawapa kuku
@amthaliharoun94
@amthaliharoun94 Жыл бұрын
Mbolea ya kuku haifai?
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Inafaa ila iwe mbichi
@aminatuarira4019
@aminatuarira4019 2 жыл бұрын
Ndio au mfuko huo unaufunga ama unauacha wazi?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Una ufunika tu
@tchobajibrilu6487
@tchobajibrilu6487 Жыл бұрын
Ndaniyakifuko
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Ni wazo zuri sana
@suzanmziwanda5761
@suzanmziwanda5761 2 жыл бұрын
Naanza ufugaji
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Karibu sana🙏🙏🙏
@paulinemusimbi
@paulinemusimbi 10 ай бұрын
Hilo gunia baada YA kuundaa naliacha hivyo ama nalifunga
@AGALUSTV
@AGALUSTV 10 ай бұрын
Ulifungi na kamba unaegesha tu
@yohanaphares8733
@yohanaphares8733 6 күн бұрын
Kaka na shida na namba yako
@AGALUSTV
@AGALUSTV 6 күн бұрын
Sawa ndugu karibu wasap +255765467484
@yohanaphares8733
@yohanaphares8733 6 күн бұрын
@AGALUSTV okay, nakaribia huko
@wycliffeomondi9429
@wycliffeomondi9429 2 жыл бұрын
Je ?kuna madawa nafaa kutumia apart from mkaa na ni kama gani
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Tiba za asili zingine zipo mfano binzari, n.k Jifunze mimea 12 hii apa kzbin.info/www/bejne/aXPTk6qvjMyGmJI
@shariftwahir1303
@shariftwahir1303 2 жыл бұрын
Ukimlisha kuku funza hawana asari kwa binadamu
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Hapana funza wana protini nzur sana kwao 🙏🙏
@mwanaidlinjembwa2146
@mwanaidlinjembwa2146 Жыл бұрын
Mimi nafuga kuku broiler naishi tanga changamoto ni soko na ugonjwa wa mafua,nashindwa kufikia malengo yangu nisaidiye kwa hilo
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Pole sana endelea kufuATILIA VIDEO ZETU
@calvincharlesslyimo3814
@calvincharlesslyimo3814 11 ай бұрын
Uko tanga sehemu gani mm nipo tanga mjini nataka kupa soko
@AGALUSTV
@AGALUSTV 11 ай бұрын
Ngoja ajibu
@AGALUSTV
@AGALUSTV 11 ай бұрын
Tanga sehemu gani
@nervashonza587
@nervashonza587 2 ай бұрын
Hao funza unaweza kulisha kuku wa kisasa?
@getrudemhozya9920
@getrudemhozya9920 Жыл бұрын
Wangu amevunja mayai wakati anaatamia, sikujua ni kwa muda gani alivunja mayai hayo, lakini nilipoenda kumchunguza ndo nikagundua nikamhamisha kiota ila sasa mayai yale aliyovunja yakezalisha funza,nikawaosha nikawapa kuku, swali langu nawaza kuendelea kutengeneza funza kutumia mayai viza endapo kuku atayaacha
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Hongera Sana kwa UBUNIFU Endelea tu
@aminatuarira4019
@aminatuarira4019 2 жыл бұрын
Nina swali,huo mfuko mama ndoo unaufunga/ funika ama unauacha wazi?
@agrpinagaspery9142
@agrpinagaspery9142 2 жыл бұрын
Ahsante MUNGU akuweke mikononi mwake Naomba kuuliza Kaka kuku wangu wakubwa wanamagamba Sana miguuni, na vifaranga wng wanadonyoana sana Naomba unisaidie Nn chakufanya?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Jifunze zaidi kuhusu kuku kulana na kunyonyoka manyoya kzbin.info/www/bejne/r5e5k5ttm6alodE
@emilyngome4633
@emilyngome4633 Жыл бұрын
Pumba ya mahindi ni nini
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Corn bran
@talitagabriel4299
@talitagabriel4299 2 жыл бұрын
Je haina asara kwa kuku mfano kupata minyoo
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Haina ni usafi tu wa ao funza ndyo muhimu
@yusuphjulius1638
@yusuphjulius1638 Жыл бұрын
Kwan samadi na yenyewe unanyunyizia maji
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Ndyo au iwe mbichi
@claudsaprapasen9068
@claudsaprapasen9068 Жыл бұрын
Hongereni sana! Ila natatizika na materials zake katika vipimo na kikubwa uwiano wa idadi ya kuku,mfano nataka kutengeneza wadudu kilo 3 labda nilishe kuku 50?
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
OK tupe muda
@khadijamnayahe8011
@khadijamnayahe8011 2 жыл бұрын
Pumba za ngano haiwezekani kutengeneza funza?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Jaribu tuone tujifunze wote🙏🙏🙏
@khadijamnayahe8011
@khadijamnayahe8011 2 жыл бұрын
Hamna taabu nitajaribu tuone matokeo
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
🤝🤝🤝
@mamabishopmerisheck5253
@mamabishopmerisheck5253 2 жыл бұрын
Natafuta soko la mayai ya kanga Niko Arusha.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Tutangaze tangazo tu apo ndugu +255765467484 wasap tuwasiliane
@marthakulusumu8413
@marthakulusumu8413 Жыл бұрын
@@AGALUSTV asante sana
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Pamoja ndugu 🙏🏿
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Pamoja ndugu
@zainabmkwepu1315
@zainabmkwepu1315 Жыл бұрын
naomba msaada wa matibabu kuku wangu anaharisha maji tatizo nini
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Rangi y KINYESI ni ipi
@zainabmkwepu1315
@zainabmkwepu1315 Жыл бұрын
Rangi ya kinyesi nyeupe
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Wanatetemeka? Je wa umri gani
@agrivaluefarm3353
@agrivaluefarm3353 Жыл бұрын
wewe hupo wapi? mimi Bunju Dar
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
OK Mbeya ndugu
@HassanMkwende-xm8jl
@HassanMkwende-xm8jl 10 ай бұрын
Mimi samadi ya ng,ombe siijuwi kwa Jina jengine ni kitu gani
@AGALUSTV
@AGALUSTV 10 ай бұрын
Cow's manure
@katwangamohamed8011
@katwangamohamed8011 2 жыл бұрын
Bei ya kilo moja ya funza ni kiasi gani?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Inakadiriwa Tsh 35 elfu
@bibianaamede7845
@bibianaamede7845 2 жыл бұрын
@@AGALUSTV Asante somo limeeleweka samadi ni mavi ya ng'ombe mbuzi au kondoo!!
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Tupo pa1 kumbe🤝🤝
@duahmbone-9557
@duahmbone-9557 Жыл бұрын
Hao funza wanafaa kwakifaranga cha mwezi?
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Wazur tu
@MadeniKipande-tp9bc
@MadeniKipande-tp9bc Ай бұрын
Go to the point too much bra bra is time is wastage
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
OK well noted
@artisthouses3016
@artisthouses3016 2 жыл бұрын
Naomba whtsp No yako
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
+255765467484 wasap
@user-tp1nx3hr3k
@user-tp1nx3hr3k 7 ай бұрын
Asante
@AGALUSTV
@AGALUSTV 7 ай бұрын
Karibu Sana ndugu
JINSI YA KUPATA KUKU 100 WA KIENYEJI KWA MIEZI 3 TU
10:29
AGALUS TV
Рет қаралды 38 М.
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
MrBeast
Рет қаралды 200 МЛН
Женская драка в Кызылорде
00:53
AIRAN
Рет қаралды 475 М.
Зачем он туда залез?
00:25
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 3,3 МЛН
TENGENEZA FAIDA ZAIDI YA TSH 450,000/= KWAKUFUGA KUKU 75 TUU.
12:22
JINSI YA KUPATA PESA KWA HARAKA KWA KUKU WA ASILI/KIENYEJI TU
9:39
JIFUNZE KUTENGENEZA KITOTOLESHI KINACHOTUMIA MAFUTA YA TAA   PART 2
17:38
How to Make Maggots as a feed for the Village Chickens
15:11
Traveltainment
Рет қаралды 192 М.
IJUE CHANJO YA TATU MOJA
11:38
farmers centre
Рет қаралды 10 М.
SABABU 4 ZA VIFARANGA KUFA
9:21
AGALUS TV
Рет қаралды 28 М.