Jionee Waziri Mkuu alivyoibua Shangwe na Vicheko baadaya kumtaja Mandonga

  Рет қаралды 277,039

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa Majaliwa amejikuta akiibua Shangwe baada ya kumtaja Bondia Karim Mandonga alipokuwa akieleza namna ambavyo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alivyosaidia kuinua Michezo.
Majaliwa ameyasema hayo wakati akihutubia kwenye Baraza Kuu la Kanisa la TAG ambapo lialikwa kama Mgeni Rasmi ambapo alizindua pia makao makuu ya Kanisa hilo jijini Dodoma leo Ijumaa Agosti 12, 2022.

Пікірлер: 154
He bought this so I can drive too🥹😭 #tiktok #elsarca
00:22
Elsa Arca
Рет қаралды 44 МЛН
Фейковый воришка 😂
00:51
КАРЕНА МАКАРЕНА
Рет қаралды 6 МЛН
How the Most Elite Spy Agency Operates
22:42
Newsthink
Рет қаралды 1 МЛН
How did Turkey change Somalia's fate?
23:42
TVNET X
Рет қаралды 268 М.
#EXCLUSIVE: KWA MARA YA KWANZA ROMA AFUNGUKA YOTE KUHUSU RC MAKONDA
53:33