JOEL NANAUKA: Siri ya mafanikio mwaka 2021 mambo 6 ya kuzingatia

  Рет қаралды 44,403

Dar24 Media

Dar24 Media

Күн бұрын

--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com
#Joelnanauka #Siriyamafanikio #Vitabu

Пікірлер: 52
@breezy9398
@breezy9398 3 жыл бұрын
Imagine madini kama haya yanapotezewa ila udaku zinafatiliwa dah Mungu tusaidie
@dismasstanslaus5985
@dismasstanslaus5985 Жыл бұрын
Hongola UNAAKILI umegundua
@ea1774
@ea1774 3 жыл бұрын
apo ulivojibu kuhusu dr luis wa Brazil..... umeua🙌🏽🙌🏽
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Ahsante sana🙏🏼
@abdallahissa2839
@abdallahissa2839 3 жыл бұрын
Daah asante sana kaka. Ur brilliant coach and mentor
@helenamusa432
@helenamusa432 3 жыл бұрын
Habal kaka angu Joel nanauka Asante kwa somo kweli nimepata ki2 hapa umesema kua na tabia moja itanipa malengo pia mafanikio itakuja
@Onge-shabani1994
@Onge-shabani1994 3 жыл бұрын
🇨🇩🇨🇩🇨🇩tuna kupata kaka Joel
@CyimSky
@CyimSky 3 жыл бұрын
NILIFANYA MAPENZI NA MAITI 20 ILI KUUPATA UTAJILI Sehemu ya 21: ZAKIA MWENDELEZO. kzbin.info/www/bejne/rGW5q4mLgLOghc0
@Haleem_07
@Haleem_07 3 жыл бұрын
NGULIIIIIIIIIIIIIIIIIIII from zanzibar... 🔥 🔥 🤝🏻
@emmanuelmasoko1013
@emmanuelmasoko1013 3 жыл бұрын
Mungu akubariki sana Joe.
@chrismassawe326
@chrismassawe326 3 жыл бұрын
Mwalimu bora kabisa katika Elimu ya fedha
@amarislam1589
@amarislam1589 3 жыл бұрын
thanks mr Joel nimejifunza sanaaa.
@jonkitabaremakoyajonjon8064
@jonkitabaremakoyajonjon8064 3 жыл бұрын
Asante Sana Kwa ushaur wako
@paulyusuph7572
@paulyusuph7572 3 жыл бұрын
Asante sana joel nanauka kwa kutoa elim ya personal development
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Ahsante sana 🙏🏼
@hemedisalimu6434
@hemedisalimu6434 2 жыл бұрын
Broo maneno yako yamenifungua maskio yangu kama ningekujua ningekuwa tajiri
@kassimkisigalile8652
@kassimkisigalile8652 3 жыл бұрын
Brother uko vizur sana nakuelewa kinoma.
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Ahsante sana
@zainabujuma2359
@zainabujuma2359 3 жыл бұрын
Asante kwa Kazi nzuri
@edinachami4318
@edinachami4318 3 жыл бұрын
Joel mungu akutunze Kaka nakala zako zimebadilisha maisha yangu
@bakarikombo1674
@bakarikombo1674 3 жыл бұрын
Joel, kwakweli nimekuwa nikifatilizia video zako kwa karibu sana na chamzingi Ni kukuombeo Mungu Skype nguvu, uwezo na fikra zaidi
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Ahsnate sana 🙏🏼
@mariamunika6239
@mariamunika6239 2 жыл бұрын
Namfatilia sana huyu kaka najifuza kupitia yy
@mohd46xmohd94
@mohd46xmohd94 3 жыл бұрын
Brother uko vizuri
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Nashukuru Sana
@edinachami4318
@edinachami4318 3 жыл бұрын
Joel mungu akutunze Kaka nakala zako zimebadilisha maisha yangu
@nianaalphonce2309
@nianaalphonce2309 2 жыл бұрын
Kivipi zimebadilisha...? nijuzee
@rosekyule3163
@rosekyule3163 3 жыл бұрын
Naitaji vitabu
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Karibu sana bookshop yetu vipo vyote 0756-094875 au +255 68 305 2686
@kayombog1694
@kayombog1694 3 жыл бұрын
Lambert heshima kwako mkuuu
@bajbernad2284
@bajbernad2284 3 жыл бұрын
kaka joeli kwema mm naitwa adm nipo kilosa morogoro je nakala zako nazipataje kiongozi
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Tuwasiliane 0745-252670
@bernardngoti6925
@bernardngoti6925 3 жыл бұрын
Shukran kk joeli
@mugishasine7778
@mugishasine7778 3 жыл бұрын
Asante mwalimu
@jumamaganga1257
@jumamaganga1257 3 жыл бұрын
nawezaje kupata vitabu vyako
@kayombog1694
@kayombog1694 3 жыл бұрын
Lambert heshima kwako mkuuu
@eliudikijuzi4909
@eliudikijuzi4909 3 жыл бұрын
Thanks
@livingsilayo7512
@livingsilayo7512 3 жыл бұрын
Iko pwh sanaaaaa😀😆
@fazapablo8795
@fazapablo8795 3 жыл бұрын
Money formula nakpataje
@jacobmulongo6368
@jacobmulongo6368 3 жыл бұрын
Backup
@kelvinkipokola9218
@kelvinkipokola9218 3 жыл бұрын
Kaka nakala zako zipo kwa lugha gani
@aishaabdalllah4149
@aishaabdalllah4149 3 жыл бұрын
Ni za kiswahili
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Kwa kiswahili. Karibu sana
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
@@aishaabdalllah4149 ahsante kwa kujibu.🙏🏻
@aishaabdalllah4149
@aishaabdalllah4149 3 жыл бұрын
@@joelnanauka ahsant sana kaka mwenyezimung akujalie kila la kheli elimu unayoitoa inanisaidia sana japo bado nipo kwenye kuajiriwa ila ipo sku nitakuwa shuhuda
@gshbnz4368
@gshbnz4368 3 жыл бұрын
@@joelnanauka Nataka younger nope no yk mhm pls
@selepandu8349
@selepandu8349 3 жыл бұрын
Nzuri ila imekua fupi sana
NGUVU YA ZIADA KWENYE KUWEKA MALENGO - JOEL NANAUKA
41:10
Joel Nanauka
Рет қаралды 122 М.
Spongebob ate Patrick 😱 #meme #spongebob #gmod
00:15
Mr. LoLo
Рет қаралды 20 МЛН
ДЕНЬ УЧИТЕЛЯ В ШКОЛЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 3,1 МЛН
Nanauka Super Thursday
50:20
THE MILLIONAIRE COACH
Рет қаралды 4,6 М.
VITU VINAVYOUA UWEZO WAKO/JOEL NANAUKA
7:08
Godly voice family
Рет қаралды 9 М.
Vitu Vinavyopoteza Focus Yako Kwenye Maisha - Joel Nanauka
14:16
Hamasika Tv
Рет қаралды 68 М.
Elimu ya fedha ambayo hautoipata darasani.
54:16
Michongo podcast
Рет қаралды 8 М.
MAAMUZI YAKO NDIO MAFANIKIO YAKO
7:26
Success Path Network
Рет қаралды 47 М.
Mambo 5  Ya Kufanya Kila Siku Kama Unataka Kufanikiwa
21:53
Joel Nanauka
Рет қаралды 267 М.
Spongebob ate Patrick 😱 #meme #spongebob #gmod
00:15
Mr. LoLo
Рет қаралды 20 МЛН