MAAMUZI YAKO NDIO MAFANIKIO YAKO

  Рет қаралды 46,610

Success Path Network

Success Path Network

4 жыл бұрын

Utofauti mkubwa kati ya watu waliofanikiwa na watu wasiofanikiwa upo katika maamuzi wanayoyafanya. Watu walliofanikiwa wamekuwa na tabia ya kufanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi na kwa ujasiri. Jifunze maamuzi matano katika somo hili linaloletwa kwako na Victor Mwambene.
.
Usiache ku SUBSCRIBE na kuniachia mawazo yako kwenye COMMENTS, LIKE na SHARE PIA kwa wengine.
.
NIFUATE MITANDAONI
INSTAGRAM: / victor_mwambene
For Business please send an email to
ezdenjumanne@gmail.com
Or leave a text/ Whatsapp : (+255)759191076
#VictorMwambene #MaamuziSahihi

Пікірлер: 97
@topaviator
@topaviator 4 жыл бұрын
Ezden Huyu kijana mzuri sana na anajua kuongea uwe unamueka mara kwa mara
@user-gy1lb9fo2b
@user-gy1lb9fo2b 10 ай бұрын
Upo vizuri kijana
@Alama_Tv_online
@Alama_Tv_online 4 жыл бұрын
Haki ya Mungu huyu Jamaa shida ..anajua aisee ... Hii ndiyo tanzanite au ruby au shaba ..haha
@helenjonsob5718
@helenjonsob5718 4 жыл бұрын
OK mwanzo nilifikiri sitokuelewa kumbe upo vizuri hivo
@georgelouis2
@georgelouis2 4 жыл бұрын
Respect brother
@mwanashagladys4581
@mwanashagladys4581 3 жыл бұрын
Safi sana broo nimekuelewa👏👏😍
@MuhidinMangu
@MuhidinMangu 8 ай бұрын
Good speech
@bahatikasuluzu8681
@bahatikasuluzu8681 10 ай бұрын
Absolute brother
@serapiadaniel8480
@serapiadaniel8480 3 жыл бұрын
Nimeipenda
@fabiasbundala6863
@fabiasbundala6863 4 жыл бұрын
vizur Sana'a. Nimejifunza vitu
@jovenaryjovenary8428
@jovenaryjovenary8428 4 жыл бұрын
Safi kabisa tumekuelewa
@annaantoni7333
@annaantoni7333 3 жыл бұрын
Barikiwa sana victor
@alfredjoshua8625
@alfredjoshua8625 4 жыл бұрын
nimekupata kaka. big up sana kwako.
@rahmahussein4019
@rahmahussein4019 4 жыл бұрын
Absolutely true talk..may God help us all .
@amriomarymtabazi5419
@amriomarymtabazi5419 3 жыл бұрын
Nimeipenda dirayako
@ZezeZeze-ib3pu
@ZezeZeze-ib3pu 4 жыл бұрын
Asante kaka. Kwa darasa sahihi
@michaelyona9573
@michaelyona9573 4 жыл бұрын
Kwa maana mkiwasamehe watu makosa yao na Baba yenu wa mbinguni atawasamehe ninyi, Basi msipo wasamehe watu makosa yao wala Baba yenu hata wasamehe ninyi makosa yenu Mathew 6;14-15
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 11 ай бұрын
Asante sana
@nurdinmohamed1050
@nurdinmohamed1050 4 жыл бұрын
Hii content ni balaa
@bahatimatailizi9649
@bahatimatailizi9649 4 жыл бұрын
Ezden nakuelewa sana watu makini hufanya Nazi na watu makini
@mathiasvicent9955
@mathiasvicent9955 4 жыл бұрын
Asante sana brother Victor uko vizur
@katemajr9374
@katemajr9374 4 жыл бұрын
Thanks brother 🙏🏽
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 4 жыл бұрын
Thank you so much my Brother for the Lesson nimejifunza jambo
@anethchacha8860
@anethchacha8860 6 ай бұрын
Thanks ❤❤❤
@elisiameela2778
@elisiameela2778 2 жыл бұрын
True talk I like your speech na nimejifunza kityu thncx bro 🙋
@chw2075
@chw2075 2 жыл бұрын
Madini tupu....safi sana
@nasoromarekano4009
@nasoromarekano4009 4 жыл бұрын
Nimekukubali sana bro
@twofivefive906
@twofivefive906 2 жыл бұрын
Kaka uko sawa kabisa Mungu akupe maisha malefu sana
@twofivefive906
@twofivefive906 2 жыл бұрын
Kweli kabisa kaka Mungu akupe maisha malefu sana
@kijangwazay7711
@kijangwazay7711 4 жыл бұрын
Shukran bro
@mmbatizaji8075
@mmbatizaji8075 3 жыл бұрын
Broo Mimi ni mgumu Sana kutoa sifa, ila kwa hii point imenigusa Sana, yaani umepita mule mule
@successpathnetwork
@successpathnetwork 3 жыл бұрын
Asante sana Abel Sangura kwa kufuatilia. Endelea kuwa karibu na usisite kutujulisha kama kuna chochote tunahitaji kuboresha. Na nitafurahi sana kama uta-share link za masomo yetu kwa wengine ambao unajua wanahitaji elimu hii. Stay blessed!
@mmbatizaji8075
@mmbatizaji8075 3 жыл бұрын
Tuko pamoja Kaka, kwa umoja tunasonga mbele kuikomboa Jamii
@augustinomwamasinga2200
@augustinomwamasinga2200 4 жыл бұрын
Ndaga fijo nnuguna!
@melesianageorge2012
@melesianageorge2012 Жыл бұрын
Ubarikiwe Zaid kaka
@asahdkhaled5041
@asahdkhaled5041 4 жыл бұрын
Thank you broo
@sadysalim9212
@sadysalim9212 Жыл бұрын
Upo vizr sana bro Ila ushauri wangu punguza kasi ktk kuzungumza.
@michaelyona9573
@michaelyona9573 4 жыл бұрын
2kings 7:3-4
@dottolushinge5513
@dottolushinge5513 7 ай бұрын
Endelea kutupatia madini kaka, kimsingi unaweza.
@ayubumwalunenge4980
@ayubumwalunenge4980 Жыл бұрын
Thank you brother
@muddykitumbi4456
@muddykitumbi4456 3 жыл бұрын
Unajua ila upo speed sana bro umezi mate!!!
@Udindigwa
@Udindigwa 11 ай бұрын
AMINA
@amidaibrahimu271
@amidaibrahimu271 Жыл бұрын
very great bro
@merykyungai2551
@merykyungai2551 9 ай бұрын
Amen nimeguswa
@makariouscharamba5371
@makariouscharamba5371 4 жыл бұрын
Narudia Tena apo hongera bro kwa msisitzo huo
@gracegrace2561
@gracegrace2561 7 ай бұрын
Asante sana kaka yangu
@godblesskaaya5398
@godblesskaaya5398 Жыл бұрын
Well . talking true
@uncleyu_4730
@uncleyu_4730 2 жыл бұрын
Sawasawa hi nzur
@josephmagaluda5240
@josephmagaluda5240 4 жыл бұрын
Nimeelewa somo mwalimu Ila ujatoa puiz
@qambayt
@qambayt 4 жыл бұрын
Fact
@mickaxuxu5401
@mickaxuxu5401 4 жыл бұрын
Uko vizur xaana kaka!!
@naimaswalehe1807
@naimaswalehe1807 4 жыл бұрын
Asante kaka
@zainabuzainabu4160
@zainabuzainabu4160 Жыл бұрын
Thanks brother mungu akulinde
@successpathnetwork
@successpathnetwork Жыл бұрын
Amiin..
@baracklomayani6203
@baracklomayani6203 3 жыл бұрын
Asante broo
@habibismael4937
@habibismael4937 3 жыл бұрын
Thanks bro
@allah-shukran-6811
@allah-shukran-6811 2 жыл бұрын
Thanks for
@melancolin1207
@melancolin1207 3 жыл бұрын
Thanks
@hussenijuma7494
@hussenijuma7494 4 жыл бұрын
safi sana kaka
@bensontemu9356
@bensontemu9356 2 жыл бұрын
Nakusoma Kaka
@wolterstv9554
@wolterstv9554 4 жыл бұрын
Hii ni Kweli kabsa....
@godfreylyimo1224
@godfreylyimo1224 2 жыл бұрын
Fact
@petermalema2889
@petermalema2889 4 жыл бұрын
Asante sana kwa elimu hyo
@evarestosimon3211
@evarestosimon3211 4 жыл бұрын
Good
@howdone6282
@howdone6282 3 жыл бұрын
Nice bro
@mohamedmiraj3117
@mohamedmiraj3117 4 жыл бұрын
Sound track iko juu kaka
@successpathnetwork
@successpathnetwork 4 жыл бұрын
Shukrani kwa feedback yako. TUnalifanyia kazi hili
@360kikos
@360kikos 2 жыл бұрын
Habari,Naitwa Omer nilkua nashauri kuwa ni vyema mukaunda account ya tiktok kwasabab wapo watu weng Sana ambao huwa wanaipenda media hiyo
@serapiadaniel8480
@serapiadaniel8480 3 жыл бұрын
Safi
@serapiadaniel8480
@serapiadaniel8480 3 жыл бұрын
Nzuri
@serapiadaniel8480
@serapiadaniel8480 3 жыл бұрын
Good
@kelvinmalewo120
@kelvinmalewo120 3 жыл бұрын
Yes bro victor big up. long time bro but I remembered one things from you about your dream since you are my class director.2018 to 2020.thanks brother God bless you for more reason to your citizen
@mariamkasekwa6601
@mariamkasekwa6601 4 жыл бұрын
Ndaga baba
@snakedee3246
@snakedee3246 3 жыл бұрын
🙏
@btboepapas6902
@btboepapas6902 3 жыл бұрын
👍👍👍👍👍
@johnmwamengo4398
@johnmwamengo4398 4 жыл бұрын
Jikubali
@hussenmohamed4649
@hussenmohamed4649 7 ай бұрын
Nimejifunza kitu
@kudrakhalfani9347
@kudrakhalfani9347 4 жыл бұрын
Asant
@chumayahaya9095
@chumayahaya9095 3 жыл бұрын
Ezdini mpeshavu kijana huyo
@shalua8337
@shalua8337 4 жыл бұрын
Akili nyingi umetumia
@tatuali1379
@tatuali1379 4 жыл бұрын
Asante
@ramadhaniathumani1601
@ramadhaniathumani1601 4 жыл бұрын
Exactly
@imranbasy4022
@imranbasy4022 4 жыл бұрын
Reduce background music.
@kulwapius403
@kulwapius403 2 жыл бұрын
Brooo hogela san kwakutoa som zur so kam mtu atawez kulitumia som lako hili atapat mafanukio
@kagetaonlinetv6046
@kagetaonlinetv6046 3 жыл бұрын
Kaka Ezden hii Background sound iliyo tumika hapa inaitwa je ??
@eddahhawa7471
@eddahhawa7471 4 жыл бұрын
Ndaga fijo gwa kukaja.kyala akutule
@augustinomwamasinga2200
@augustinomwamasinga2200 4 жыл бұрын
Eena kalumbu!!!
@janethpallangyo2633
@janethpallangyo2633 4 жыл бұрын
😊😊
@thomasmwamkinga4018
@thomasmwamkinga4018 2 жыл бұрын
Wanyaki tuko juu
@thomasmwamkinga4018
@thomasmwamkinga4018 2 жыл бұрын
Wanyaki tuko juu
@gpictures7528
@gpictures7528 4 жыл бұрын
Shkrn ndg
@godlovemgoji4357
@godlovemgoji4357 4 ай бұрын
Kijana huyu kaifungua asubuhi yangu vizuri
@successpathnetwork
@successpathnetwork 4 ай бұрын
naam yuko vizuri
@stelahgeofrey8330
@stelahgeofrey8330 4 жыл бұрын
Ndagha baba
@joasssbaraka1072
@joasssbaraka1072 4 жыл бұрын
Saf sana brother
@selemanmziray5284
@selemanmziray5284 3 жыл бұрын
Safi broo uko vizuri MUngu akubariki
@godfreylyimo1224
@godfreylyimo1224 2 жыл бұрын
Fact
SIO LAZIMA KIPAJI ILI UFANIKIWE, TAZAMA HII
23:47
Success Path Network
Рет қаралды 19 М.
MAENEO MATANO PESA ILIPOJIFICHA
15:08
Success Path Network
Рет қаралды 29 М.
Survival skills: A great idea with duct tape #survival #lifehacks #camping
00:27
버블티로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 126 МЛН
MAMBO 10 YA KUKUJENGEA POSITIVE THINKING
19:47
Success Path Network
Рет қаралды 52 М.
Ufanye nini unapokutana na mtu muhimu?
6:16
Joel Nanauka
Рет қаралды 27 М.
EPUKA MAFANIKIO YA HARAKA - JOEL NANAUKA
7:02
Joel Nanauka
Рет қаралды 37 М.
WATU 7 AMBAO HUTAKIWI KUWAAMINI | Ezden Jumanne
11:55
Success Path Network
Рет қаралды 33 М.
Jenga Msingi Wa Kujiamini Kwa Njia Hizi 7
12:24
Success Path Network
Рет қаралды 7 М.
JINSI YA KUPATA CHOCHOTE UTAKACHO MAISHANI
20:05
Success Path Network
Рет қаралды 68 М.
NDOTO ZAKO MAFANIKIO YAKO
9:54
Success Path Network
Рет қаралды 50 М.
FANYA HIVI UPATE HESHIMA ZAIDI KWA WENGINE
13:37
Success Path Network
Рет қаралды 22 М.
Vyanzo Vya Kukata Tamaa - Joel Nanauka
7:19
Joel Nanauka
Рет қаралды 39 М.
Survival skills: A great idea with duct tape #survival #lifehacks #camping
00:27