No video

Makosa Saba (7) Ambayo Watu Wengi Wanafanya Kuwakosesha Fursa

  Рет қаралды 67,335

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Күн бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

Пікірлер: 150
@successpathnetwork
@successpathnetwork 5 жыл бұрын
Powerful content as usual my brother. Mwelekeo na msimamo kwenye maisha ni vitu muhimu sana. Thank you Joel.
@shedrackbenjamin7917
@shedrackbenjamin7917 5 жыл бұрын
Nmekuona j NNE
@paulpanga8017
@paulpanga8017 5 жыл бұрын
nakukubal bro
@luccajesus8382
@luccajesus8382 3 жыл бұрын
i know Im asking randomly but does anyone know of a way to get back into an instagram account..? I was dumb lost my account password. I appreciate any tricks you can offer me.
@jifunzetv8231
@jifunzetv8231 2 жыл бұрын
Jambo kuongeza ujuzi ni muhim sana
@ramadhanalmashamza3458
@ramadhanalmashamza3458 Жыл бұрын
Nitaanza na Kuacha maisha ya kuishi kwa kuwafurahisha wengine na kupoteza muda asante sana brother ubarikiwe
@abdallahissa2839
@abdallahissa2839 4 жыл бұрын
You're the best motivational speaker, asante sana kwa mafunzo mazuri
@melejilembeu8077
@melejilembeu8077 9 ай бұрын
Uko vizuri mwalimu
@marthazakayo9787
@marthazakayo9787 5 жыл бұрын
Sijutii kabisa kukujua balikiwa sana
@alihaji9576
@alihaji9576 2 жыл бұрын
Nimekuelewa mjomba
@busagalafrank689
@busagalafrank689 Жыл бұрын
Uko vizuri kaka
@shukranjulius9526
@shukranjulius9526 2 жыл бұрын
Kaka kiukweli nazidi kupata vitu vingi Asante kwakujitoa Mungu akuzidishie maradufu
@charlesmatias5678
@charlesmatias5678 4 жыл бұрын
Key skill very important
@josephmichael9555
@josephmichael9555 2 жыл бұрын
Hakika nakuelewa sana na kukufuatilia kwangu naendelea kufaidika
@piusgiringa409
@piusgiringa409 5 жыл бұрын
hakika kaka asante kwa elimu nzuri umebadilisha Maisha yangu kwa kiasi kikubwa
@hmutabuzi4438
@hmutabuzi4438 5 жыл бұрын
Ni mentor mzuri unayegusa sehemu kubwa ya maisha ya watu na hasa baadhi yetu kama wafanyakazi. siku moja, i wish to seek your audience, if you don`t mind brother. the philosphy of 18: 40:60 by David Meena matters a lot. Additionally, Dr. Maijin Louse's quote "many people are borne original but they die a copy". kiukwel bullets zote 7 ni muhimu na yinginezo nyingi.
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 4 жыл бұрын
I was born to be a winner #SeeyouatThetop
@feedomcharles4722
@feedomcharles4722 4 жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@safiaabubakar1120
@safiaabubakar1120 5 жыл бұрын
Mungu amekujaalia kipaji Mashaa Allah siku zote unagusa maisha yangu najifuza mengi mno kupitia KZbin channel yako thanks
@johariphilemon8630
@johariphilemon8630 3 жыл бұрын
mngu akulinde
@eugenfredrick2328
@eugenfredrick2328 5 жыл бұрын
aksante sana my brother, nimejifunza kufanya jambo kubwa ili kuonekana na watu,wakati kipato chako cha chini, Ni bora kubadilika sasa
@hellychavdy5531
@hellychavdy5531 5 жыл бұрын
Kaka wewe medicine tuna kunywa tuna pona kutoka hari yakuumwa umaskini mbaka kupona utajjri.asante mungu akubariki amina.
@phanuelpaul3785
@phanuelpaul3785 5 жыл бұрын
impression, oooooooh!!! hii inanikuta Mara kwa Mara sometimes I do ili nimfurahishe mtu fulan Hapa lakn sas Nakuja kugundua kwamba hata nifanye nn siwez kumridhisha, Thank you very much for your thoughts this is the time for change #SeeYouAtTheTopToo
@maniamba.tz_
@maniamba.tz_ 4 жыл бұрын
Asante sana kwa kutufungua masikio
@eveswai5501
@eveswai5501 3 жыл бұрын
Shukrani sana kaka Joel
@beatricemapembe8941
@beatricemapembe8941 5 жыл бұрын
Hakika kufanya jambo kwa ajili ya kufurahisha/ kulidhisha wengine ni kujibebesha mzigo mkubwa maishani kwani mwisho wa siku unajikuta wewe uko pale pale na wao wako vile vile. Nilichojifunza kwenye hili ni wewe kupigania ndoto zako kwanza. Asante sana Joel, barikiwa.
@annadavid101
@annadavid101 5 жыл бұрын
Mh hadi najichukia. Asante sana kaka
@canny255
@canny255 5 жыл бұрын
See you at the top!
@davidtvonline6020
@davidtvonline6020 5 жыл бұрын
Kuachana Na Raha ya Vitu vya Muda Mfupii Kutengeneza Furaha Ya Muda Mrefu pamoja Na wasting Time Nashughulika Nazo!!Barikiwe Sana Kaka JOEL
@loycharles5299
@loycharles5299 4 жыл бұрын
Unafundisha kweli
@alexbushishi8342
@alexbushishi8342 4 жыл бұрын
All the best for me
@douglasradley6698
@douglasradley6698 5 жыл бұрын
ni kweli kaka joel mimi ni hiyo ya 1na hiyo ya 3 ila nitanzifanyiya kazi nintafaniki wa kwenye jambo nimejiwekeya katika maisha yangu
@nathanielsteven539
@nathanielsteven539 5 жыл бұрын
Hongera sana kaka,somo zuri sana,sio hili na masomo mengine mengi unazopost,keep on brother!!
@buruhanimtonya1621
@buruhanimtonya1621 4 жыл бұрын
Nataka nianze kuwa mtu mwenye muelekeo
@gabrielmapunda4958
@gabrielmapunda4958 4 жыл бұрын
upo vizuri sana kwa uelemishaji
@petersamson3725
@petersamson3725 5 жыл бұрын
Mungu awe imara ktk maisha yako yote.
@emadonad3893
@emadonad3893 2 жыл бұрын
Mimi ni mhanga wa kupoteza MUDA naomba msaada
@aishamohad1155
@aishamohad1155 4 жыл бұрын
Nakupa pongezi kakngu kwa ushauri wako
@gwakisamwakilema
@gwakisamwakilema 5 жыл бұрын
Asante sana kwa namna umekuwa msaada kwa jamii. Nilibarikiwa sana tangu ninekuona Mbeya na bado nazidi kubarikiwa Mungu akutunze Mr Joel.
@mwajumamwishehe3423
@mwajumamwishehe3423 5 жыл бұрын
Swala la akiba umenigusa sana maana Mimi nafanya kazi ya kuajiliwa kila nikipokea natuma zote nabaki mweupe mpaka nawaza nikiachishwa kazi ntaenda kufanya nini na hela yote nishatuma na ishatumika ngoja niaze kuweka akiba
@sadathmfugwa7650
@sadathmfugwa7650 5 жыл бұрын
Gud...napata somo kubwa sana...
@shanisaidy5033
@shanisaidy5033 5 жыл бұрын
Ahsante sana kwa somo nzur
@eliachavala2095
@eliachavala2095 5 жыл бұрын
Mmmm stay bleced bro.....maana consuption mentality inanihusu kabisa....Mungu azidi kukutumia .
@maggiepeter8936
@maggiepeter8936 5 жыл бұрын
asante kwa somo zuri be blessed
@mbwanaomary7537
@mbwanaomary7537 5 жыл бұрын
Akili kubwa sana bro thenx kwa darasa nijifunza kitu kubwa
@editordominick6879
@editordominick6879 5 жыл бұрын
Aisee umesoma saikoloji kabisa uko sahihi
@charlzzesonconsciousness6685
@charlzzesonconsciousness6685 5 жыл бұрын
Darasa tosha #SeeYouAtTheTop
@misskwileka1956
@misskwileka1956 5 жыл бұрын
Ni kweli kabisa kaka Joel.... Hapo katika kutumia pesa kuliko kuwekeza ni tatizo... Asante sana kaka... #See You At The Top
@octavianprosper2295
@octavianprosper2295 5 жыл бұрын
Nice nimependa sana somo limenigusa
@emahhawu2504
@emahhawu2504 5 жыл бұрын
Thank you brother very nice
@msleny6767
@msleny6767 5 жыл бұрын
Asante sana kwa funzo ya leo, umeeleza vyema sana and nilicho gundua tokana na funzo hili ni kwamba; all are habits that one can choose to develope, or be discipline and change all of them, *Habit is more important than the intensity at first* take action to develope good habit instead of negative Thank you
@mwanashagladys4581
@mwanashagladys4581 2 жыл бұрын
Thank you
@sarajngonyani
@sarajngonyani 5 жыл бұрын
asante mentor, bless you
@sadamofficialtz
@sadamofficialtz 5 жыл бұрын
Kaka vizuri xana uko makini
@judemazho9612
@judemazho9612 5 жыл бұрын
Joel asate sana Kwa umentorship wako I have been blessed. Can you expand it Further #3 delayed gratification please?
@douglasradley6698
@douglasradley6698 5 жыл бұрын
kaka joel nanauka kweli fundissho hili ni nzuli sana it touched me very soon i will reach to the my goals
@sabatomjungu9727
@sabatomjungu9727 5 жыл бұрын
Ahsante bro kwa kunitia nguvu ya kutenda
@dawhacker2216
@dawhacker2216 5 жыл бұрын
Asante kaka Nanauka Umenijenga kimaisha
@joseefaidabutu6467
@joseefaidabutu6467 5 жыл бұрын
Asante sana kaka Joël tena umeniongezea ujuzi ,
@josephhenry1274
@josephhenry1274 5 жыл бұрын
thanks bro umenisaidia kitu furani......
@edwineedison6291
@edwineedison6291 5 жыл бұрын
Nakuelewa sana bro
@eliasayasini1466
@eliasayasini1466 5 жыл бұрын
Makini sana
@michaellungwe6507
@michaellungwe6507 5 жыл бұрын
Mungu akubaliki kaka
@sumiodilo1180
@sumiodilo1180 5 жыл бұрын
Kwa hiyari ninakufata ninapokuona, wala hujanifunga kamba ili kunikokota popote uendapo. Asante, kwasababu unanikumbusha yale yanihusuyo. Hivyo, ndio maana nakuona mpya kila siku, kabisa hunikifu kama chakula kisivyonikifu, yaani kila siku lazima nile ili nisife.
@philomenajolam8516
@philomenajolam8516 3 жыл бұрын
Asante
@basamtz8674
@basamtz8674 5 жыл бұрын
Safi Sana mwalimu wangu
@reganleonard582
@reganleonard582 5 жыл бұрын
kaka uko vizur aisee i like you speach,vp naweza kukupatajee,,ili tuchonge zaidii,maana naona speach yako imenikuna kinomaa noma Niko chuo kikuu mwaka wa pili makumira university arusha kitovu cha ualimuu,but uko vizr aisee
@mathewmassawe5982
@mathewmassawe5982 5 жыл бұрын
asante sana Mtumishi
@charleserasto3749
@charleserasto3749 5 жыл бұрын
Nimeipenda
@johnluhwa8342
@johnluhwa8342 5 жыл бұрын
Asante kaka joeli kwa elimu unayotupatia,mim impression life style ndo naona ni changamoto kwa sis vjanaa
@denissanga454
@denissanga454 5 жыл бұрын
kaka joeli fundisho hili limenigusa kwa asilimia 90 , jambo ambalo itabidi nilifanyie kazi ni kupoteza na kutumia pesa kiasi kikubwa kuliko ninayo ingiza per day nimekuewa blaza thank you
@temekeict7618
@temekeict7618 5 жыл бұрын
Somo zuri Sana thanx bro
@maryclement7425
@maryclement7425 5 жыл бұрын
Asante kaka Joel kwa somo zuriii...ubarikiwe
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Karibu sana mary
@vaivai3684
@vaivai3684 5 жыл бұрын
@@joelnanauka Asante saaana Joel
@josephboniface6209
@josephboniface6209 4 жыл бұрын
Kaka Somo Lako..linanifanya...kilasiku,,,niwe.Mpya# thanks Broh#
@babalois7240
@babalois7240 5 жыл бұрын
Thankx Sir Kwa tiba ya #AKILI Tunazidi kusonga kwa kasi sana.
@issahamadi4734
@issahamadi4734 3 жыл бұрын
Daily unatutoa kwenye dhambi ya ujinga na umasikini mi. saivi nishajua nielekee wapi thanks brother.
@meddygregory9038
@meddygregory9038 5 жыл бұрын
barikiwa sana
@debrahmwaswala9044
@debrahmwaswala9044 5 жыл бұрын
Leo nimejifunza kitu kikubwa sana
@ndayizeyedesire8767
@ndayizeyedesire8767 5 жыл бұрын
Asante sana Mwalim
@frankfiretz
@frankfiretz 5 жыл бұрын
Ahsante Sana kaka
@carolkimaros143
@carolkimaros143 5 жыл бұрын
Nakuelewag sana kaka barkiwa
@naomikerry9394
@naomikerry9394 5 жыл бұрын
Hellow niunge kwa group by No 0711693459
@feedomcharles4722
@feedomcharles4722 4 жыл бұрын
Vp kaka napataje vtabu
@tresorshujaa5725
@tresorshujaa5725 5 жыл бұрын
Asante bro kwa kutunyoosha
@mwanamkasihabibu9915
@mwanamkasihabibu9915 5 жыл бұрын
Ni kwel baadh znanihusu
@cheddykipingu8087
@cheddykipingu8087 5 жыл бұрын
Nimekuwa mtoro darasan but now am back sir..
@nizigamabosco2095
@nizigamabosco2095 3 жыл бұрын
Thanks so much God bless you.
@helmanmamai3709
@helmanmamai3709 5 жыл бұрын
mungu akubark kaka joel
@fadhillugo7487
@fadhillugo7487 5 жыл бұрын
kaka nakukubali sana yani
@happynessruge9016
@happynessruge9016 5 жыл бұрын
nakuelewa sana kaka Joel
@yusuphhb7694
@yusuphhb7694 5 жыл бұрын
vitabu vyako napataje. mkuu
@michaeldidas8534
@michaeldidas8534 5 жыл бұрын
To Build a Key Skills...
@blasiokajuna
@blasiokajuna 5 жыл бұрын
salute dude
@heriethkambanyuma6835
@heriethkambanyuma6835 5 жыл бұрын
ahxanteee brother
@innocentjoseph9121
@innocentjoseph9121 5 жыл бұрын
Duuu nimefurahi mno Mimi napenda mno kulaumu Leo naacha
@ibzanruheta
@ibzanruheta 5 жыл бұрын
U hit the point bro Joel
@aaaavvvv4261
@aaaavvvv4261 5 жыл бұрын
Kweli kabisa
@dullahkigoda478
@dullahkigoda478 5 жыл бұрын
Thanks nice one..
@joemouly7877
@joemouly7877 5 жыл бұрын
Don't see without liking Nakubali kaka
@ibzanruheta
@ibzanruheta 5 жыл бұрын
Kweli bro Joel Nanauka
@hilarygodfrey5862
@hilarygodfrey5862 5 жыл бұрын
Umetisha sana kaka
@gershonerasto7824
@gershonerasto7824 5 жыл бұрын
Safi sana kaka ,ubarikiwe sana
@stanleygeofrey6277
@stanleygeofrey6277 5 жыл бұрын
Nmekuelew vyema Kaka
@komboomar8275
@komboomar8275 5 жыл бұрын
Much respect mkuu
@peterbrun6410
@peterbrun6410 5 жыл бұрын
💊
@jenifaaloyce6910
@jenifaaloyce6910 5 жыл бұрын
Kilasiku unanimarisha sana kimaisha
@ezrommkambati2948
@ezrommkambati2948 5 жыл бұрын
Kaka Joel mimi nafanya kazi na kipato changu ni 130000 na kuna mdada nina mahusiano naye na anataka nimsomeshe ufundi cherehani kwa muda wa miezi 6 na gharama yake ni 55000 kwa mwezi na mimi bado nina malengo ya kujiendeleza kwenye fani ya udereva na mpaka sasa hv nina PSV nahitaji kwenda mwaka huu na nikiangalia au nikichunguza kwa kina naona nikimsomesha mimi nitakwama na yeye nampenda sana, naomba ushauri nifanyeje kaka....?
@ezrommkambati2948
@ezrommkambati2948 5 жыл бұрын
Gharama zangu mpaka kuhitimu si chini ya 1m (1,000, 000)
@wilondjabinyams5925
@wilondjabinyams5925 4 жыл бұрын
Ila na mm nataka niwe author,but god bless u my brother.
@msengisimoni2087
@msengisimoni2087 5 жыл бұрын
consumption mentality;hii kanuni Niko nayo lakini mwanzo niliona kama namaliza pesa lakini kwa sasa naifurahia kutokana na kazi ninayoifanya,tusiogope kuwekeza
@ezironvyats433
@ezironvyats433 3 жыл бұрын
Masomo yako mazulj
@charlespiusmmushi145
@charlespiusmmushi145 5 жыл бұрын
Ahsante sana kwa ufanuzi wako wa fursa, Mimi npo arusha nitapata wapi hicho kitabu chako?
EPUKA MAKOSA HAYA KWENYE SAFARI YA MAISHA YAKO  - JOEL NANAUKA
10:22
Njia  Nne (4) Za Kuongeza Ushawishi Katika Kile Unachokifanya
14:09
Joel Nanauka
Рет қаралды 70 М.
Please Help Barry Choose His Real Son
00:23
Garri Creative
Рет қаралды 22 МЛН
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 202 МЛН
Makosa 7 Ya Kuepuka Unapofanya Mauzo
7:45
Joel Nanauka
Рет қаралды 45 М.
TAMBUA MAJIRA MUHIMU KWENYE MAISHA YAKO - JOEL NANAUKA
10:18
Joel Nanauka
Рет қаралды 6 М.
Njia Tano (5) Za Kurudisha Thamani - Joel Nanauka
10:21
Joel Nanauka
Рет қаралды 102 М.
Njia 4 Za Kuongeza Thamani Yako Ili Ulipwe Zaidi
22:28
Joel Nanauka
Рет қаралды 45 М.