Makosa 7 Ya Kuepuka Unapofanya Mauzo

  Рет қаралды 45,511

Joel Nanauka

Joel Nanauka

3 жыл бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.selar.co 🔥🔥🔥

Пікірлер: 77
@josephboniface7506
@josephboniface7506 3 жыл бұрын
Kosa kubwa,Ni kutotaka mteja atoke bila kununua...unauza Bei yeyote...so thanks Broh# at the top# najiona Sasa.
@mpeularobart7497
@mpeularobart7497 3 жыл бұрын
dah yan hii ni kweli kabisa unakuta muuzaji naongeaa saaaaana mpaka unapata mashaka na bidhaa yenyewe.
@maasaieastafrica2556
@maasaieastafrica2556 2 жыл бұрын
Umenitoa usingizini mkuu,Asante sana
@samsonkiyeyeu8646
@samsonkiyeyeu8646 Жыл бұрын
kiukweli kiongozi ubarikiwe sana hapa umenigusa uwaga nipo hivo ila kuanzia leo nabadilika kaka asante sana mkuu
@charlesbabag1424
@charlesbabag1424 3 жыл бұрын
Uko sahihi kabisa Joel
@mohamedahmad3137
@mohamedahmad3137 3 жыл бұрын
Ahsante sana Boss wang kwa upande wang nmekuelew Sana maana mmi ni salesman nmejifunza na nakuahidi kuifanyia kazi.
@hassanihassani7154
@hassanihassani7154 3 жыл бұрын
Kaka umenitoa mbal sana na hakika ntakuwa kalibu nae ili nifike mbal zaid
@BukelebeTv
@BukelebeTv 8 ай бұрын
Ubarikiwe kaka Joel
@ombeniestomih8934
@ombeniestomih8934 3 жыл бұрын
Yes sir Kila siku tunapata mabadiliko kupitia elimu yako
@kubiyapp3567
@kubiyapp3567 Жыл бұрын
Kaka nashukuru sana maana nimejifunza kitu kikubwa mimi ni mmiliki wa kubiy app huwa nazunguka mtaani kuuza huduma yangu Asante sana
@mrpoulmidia7516
@mrpoulmidia7516 Жыл бұрын
Yes pambana
@doricyphillimonbikombo1059
@doricyphillimonbikombo1059 Жыл бұрын
Nimekuelewa bro
@michaelsalumubasto1934
@michaelsalumubasto1934 2 жыл бұрын
Daah shukran san ubarikiwe upo vizur kwel
@olivanooraladin5436
@olivanooraladin5436 Жыл бұрын
Kwenye suara LA LA muda na uaminifu huqa watu hawazingatii hii kitu inakosti sna
@nestersanga7466
@nestersanga7466 3 жыл бұрын
Mm pia naongeaga mpaka basi now nachange thanks see you at the top
@mikehjackson8146
@mikehjackson8146 3 жыл бұрын
Hahahahahhahhahah ww kama mm tu naongea kishenz yan sema inategemeana na biashara mm nafanya mambo ya pesa uwakala so mteje akija kabla hajaudumiwa lazima avunje mbavu kwanza namtumia uku naongea kinoma yan lakn wanaenjoy sana coz naongea sana lakn huku nafanya kaz najali muda wao
@lamayaniOlesaruni
@lamayaniOlesaruni Ай бұрын
Asante ubarikiwe je nitajiungaje kujifuza online
@chrismassawe326
@chrismassawe326 3 жыл бұрын
Nimejifunza kitu katika hili somo shukran sana( Dr joel nanauka)
@anisetaberi3093
@anisetaberi3093 3 жыл бұрын
Thank u
@popprinceslumby5802
@popprinceslumby5802 3 жыл бұрын
Asante Sana kaka ang u mejifunza nitafanyia kazi..
@kisegeroryamera1327
@kisegeroryamera1327 Жыл бұрын
Nice Brother, may Allah bless you
@benjaminkimaro8348
@benjaminkimaro8348 3 жыл бұрын
Hii nikiwele brother👏👏
@user-os9nb8ub6k
@user-os9nb8ub6k Жыл бұрын
Asante sana naiman nitafanikiwa sana nilikua nakosa wa kuongezea nguvu kahapa lazima nifanikiwe sana
@keniziomutungi7128
@keniziomutungi7128 3 жыл бұрын
Nimefurahi na mbinu zake lakini ningependa kwa sisi tunaotoa huduma kama shule mbinu zipi nzuri kwa wateja wetu.ukizingatia wao ni watoa ada.na uchelewesha sana na upelekea kuhamisha wakidaiwa sana.
@olivanooraladin5436
@olivanooraladin5436 Жыл бұрын
Tumia bunda bando
@joelamos5794
@joelamos5794 3 жыл бұрын
Kuna duka moja huwa lina mali ninazozihitaji huwa naenda baada ya kuwa nimenunua sehemu zote ninachokosa ndio naenda duka hilo wanakera sana anakuona umeshikilia karatasi la mahidaji wananichanganya wataka kunihamisha kwa maneno mengi na huwa siwasikilizi kwa kunichanganya kwao, duka lipo kariako Hili somo ni kweli kabisa hayo yote yapo
@shakirboy8475
@shakirboy8475 3 жыл бұрын
Great knowledge that i get 💰
@johntaino6411
@johntaino6411 2 жыл бұрын
Natarajjiwa kuajiriwa kwenye kufanya mauzo ninapenda kujifunza zaidi
@nafrowalfred4730
@nafrowalfred4730 Жыл бұрын
Asante San brow kwa knowledge yako kubwa niliyoipata
@lovenessbaynit1028
@lovenessbaynit1028 3 жыл бұрын
Naomba kujua namna yakupata hicho kitabu,niko mwanza
@michaelsalumubasto1934
@michaelsalumubasto1934 2 жыл бұрын
Nimefunguk Akil nusu yakutosha kabix ubarikiwe san na MUNGU akuzidishie
@ShedDjeey-cn9ti
@ShedDjeey-cn9ti Ай бұрын
Iyo ya kumpgia boss wangu me ninayo iyo duuuuuuuu
@Mr.Highway7
@Mr.Highway7 Жыл бұрын
safi sana brother sorry, am very excited yaani dah natamani hata siku moja uongelee online marketing pia kwa sababu huwa nakuelewa sana
@miragmiragee9683
@miragmiragee9683 3 жыл бұрын
Shukran
@aliymbond5631
@aliymbond5631 3 жыл бұрын
Asante sana kaka
@ronaldomselleronaldomselle6238
@ronaldomselleronaldomselle6238 3 жыл бұрын
Thank you
@halifaiddy8497
@halifaiddy8497 3 жыл бұрын
Joeli Thanks
@emmanuellameck4572
@emmanuellameck4572 Жыл бұрын
Nimejifunza mengi Sana katika mafundisho yako lakini naomba kujua napataje vitabu vyako katika hard copy.
@vituskabula4770
@vituskabula4770 2 жыл бұрын
Thanks 🙏🙏🙏
@maigajohn702
@maigajohn702 3 жыл бұрын
Joel thanks
@semdoweallyamiri6758
@semdoweallyamiri6758 3 жыл бұрын
Sahihi
@preciousrobson3394
@preciousrobson3394 2 жыл бұрын
Nataka kuwasiliana nawe
@faridi8634
@faridi8634 Жыл бұрын
Kosa lakumwambia mteja njoo kesho
@normanmapesa7266
@normanmapesa7266 Жыл бұрын
Hello Joel, napataje hard copy ya kitabu chako (Saikolojia ya mteja)
@dicksongadson2223
@dicksongadson2223 3 жыл бұрын
kosa linalowakabili wengi nikwamba kuuza kwasababu unahisi bidhaa itakudodea hata kwa bei ya asala
@user-rm7iw5sb6e
@user-rm7iw5sb6e 11 ай бұрын
Nahitaji hicho kitabu mwalimu wangu
@gaspernicholaus9309
@gaspernicholaus9309 3 жыл бұрын
Hakika kaka erimu yako ndio mafanikio yangu so mung awe nawe
@hildahtemu9060
@hildahtemu9060 2 жыл бұрын
Kosa langu kubwa mara nyingi ni kuchelewa mweleza mteja thaman ya bidhaa na kuongea mda mrefu zaid
@isayasway6867
@isayasway6867 3 жыл бұрын
Sawa mkuu
@melodyanne3249
@melodyanne3249 3 жыл бұрын
noted
@elmenciamawenya6053
@elmenciamawenya6053 Жыл бұрын
habar za saiz polee nakazii
@honestlazaro8385
@honestlazaro8385 3 жыл бұрын
Mi naitaji kitabu nipo Kigoma
@ufahamuthamani5252
@ufahamuthamani5252 Жыл бұрын
Kosa langu lilijuwa ni kutotimiza ahadi jwa mteja na pia kutuma ntu kuekezea bidhaa yangu akiwa hana uelewa wa kutosha kuhusu hiyo bidhaa
@directorsuntana4922
@directorsuntana4922 3 жыл бұрын
🙏
@sharonmutinda-vu6mh
@sharonmutinda-vu6mh Жыл бұрын
Sasa, maneno yako Ni sahihi kabisa lakini ukionekana unauza Sana na majirani wanakuchukia Hadi wegine mnafight...as in, you find that unaserve wateja wako vizuri lakini huna amani kabisa.hao nao tuwabebe aje?
@juniorcx0114
@juniorcx0114 3 жыл бұрын
Nakubal
@denissylvester542
@denissylvester542 2 жыл бұрын
Mie huku kwingine niko sawa shida kwenye kujua vitu vyote bila kuangalia kwa daftari. Upande wa kumuelewesha mteja niko vizuri na apo nampaga nafasi ya kuchagua baada ya kumuelimisha bila kutia chumvi
@omarywaya3408
@omarywaya3408 Жыл бұрын
KuwA na mazoea na watuu unaowauzia bidha especially ni wanyumbani dharau zinakua nyingi
@officialsureboe
@officialsureboe Жыл бұрын
Nahitaji hichi kitabu cha saikolojia ya mteje anakipataje
@user-si1lm1tc3w
@user-si1lm1tc3w 5 ай бұрын
😂😂😂yaani ww nimkali wawo
@christinaernest2791
@christinaernest2791 3 жыл бұрын
Wanapenda kukopa hawaletipesa
@fatumaabduly4554
@fatumaabduly4554 11 ай бұрын
Unapomtajia gharama wanasema ni kubwa
@user-ei6oh7vl8z
@user-ei6oh7vl8z 9 ай бұрын
Nkipta je iko kitabu
@rajabusira400
@rajabusira400 9 ай бұрын
Mkuu nakiomba hicho kitabu Kwa soft copy
@werematv851
@werematv851 Жыл бұрын
Nahitaji hicho kitabu kwa njia ya whatsap
@allyzillahi8315
@allyzillahi8315 Жыл бұрын
Nahitaji hicho kitabu kaka soft copy
@sabrinasoud3100
@sabrinasoud3100 3 жыл бұрын
Hii course online ni how much
@husseinkareem8081
@husseinkareem8081 2 жыл бұрын
Kuongea sana
@timotheokiss6403
@timotheokiss6403 3 жыл бұрын
Joel
@frankmwanzi3912
@frankmwanzi3912 Жыл бұрын
Nakipataje kk
@officialbntrasool5223
@officialbntrasool5223 Жыл бұрын
Masomo yako yote ni matamu bro
@philbertmwanakusya8050
@philbertmwanakusya8050 3 жыл бұрын
mteja anakunywa bia unamuuliza umejenga? wengi hawapendi swali hilo
@frankmtei3017
@frankmtei3017 2 жыл бұрын
Hawalipendi kwasababu wameshakunywa nyumba nyingi sana....
@beatricecassian3233
@beatricecassian3233 3 жыл бұрын
Ntapata wapi hiko kitabu
@emmanuelmabisi32
@emmanuelmabisi32 Жыл бұрын
🙏🙏
Namna Gani Unaweza Kupanua Biashara Yako
8:55
Joel Nanauka
Рет қаралды 21 М.
LIFE WISDOM:MASOMA 6 KUTOKA KWA BILIONEA JACK MA - JOEL NANAUKA
12:02
Heartwarming: Stranger Saves Puppy from Hot Car #shorts
00:22
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 21 МЛН
КАРМАНЧИК 2 СЕЗОН 7 СЕРИЯ ФИНАЛ
21:37
Inter Production
Рет қаралды 530 М.
Siri 4 Za Kuvutia Watu Muhimu Kwenye Maisha Yako.
9:48
Joel Nanauka
Рет қаралды 153 М.
EPUKA  HAYA KWENYE  ENEO LA KAZI - JOEL NANAUKA
10:44
Joel Nanauka
Рет қаралды 51 М.
mambo ya kuacha ili ufanikiwe
4:47
darasa la biashara na ujasiriamali
Рет қаралды 1,1 М.
Njia 4 Rahisi Za Kujenga Nidhamu Ya Fedha Ili Utimize Malengo Yako
7:52
BIASHARA ZINAZOTENGENEZA MATAJIRI WENGI
12:39
Kelvin Kibenje
Рет қаралды 27 М.
DADAZ MTU KATI : Ijue Saikolojia ya mteja
13:33
EastAfricaTV
Рет қаралды 11 М.
Heartwarming: Stranger Saves Puppy from Hot Car #shorts
00:22
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 21 МЛН