No video

JOEL NANAUKA - PERSONALITY COLORS

  Рет қаралды 12,540

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Күн бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

Пікірлер: 122
@brackskinyozi3280
@brackskinyozi3280 3 күн бұрын
Waah asante sana Niko .. orange..nahitaji....gold...... Joel mungu.. akulinde sana wewe ni mkombozi.........hongera sana kw kazi....yko 🙏🙏🙏
@Thomsgraphics
@Thomsgraphics Ай бұрын
hakika wewe ni zaid ya mwalimu mungu azidi kukupa afya njema uzidi kutufundisha
@user-vk5vi3es5g
@user-vk5vi3es5g 6 ай бұрын
Daaa we baba barikiwa sana yani kila nikiingia katika page yako lazima nitoke na kipya sikuwahi ulijua hili mim ni bluu na mwenza wangu ni kijani basi hakuna kitu kinachoharibika nimefurahi sana kulisikia hili somo
@ezekielpanga7599
@ezekielpanga7599 6 ай бұрын
Thanks you sir niko Gold
@kapingaOG
@kapingaOG 5 ай бұрын
blue color
@kainibachungege3430
@kainibachungege3430 5 ай бұрын
Kaka Upon vizuri Sana Mimi Nana Ni Gold nahitaji green
@Udindigwa
@Udindigwa 6 ай бұрын
Mungu ni Mwema Sana Mimi Hapa Nisha Jiona Kabisa Ni Gold🌟🌟🌟 Kabisa
@marrywema7850
@marrywema7850 6 ай бұрын
Waooo pamoja
@user-fr1ed6es3f
@user-fr1ed6es3f 4 ай бұрын
Joel hii nikweri kabisa,mm ni gold mume wangu ni orange,but maisha na hawa watu ni ngumu sana.
@user-no9gu3mn8h
@user-no9gu3mn8h 6 ай бұрын
Is Gold
@alexlucas1571
@alexlucas1571 6 ай бұрын
Amen
@lightouma477
@lightouma477 6 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa MUNGU, mm ni Gold na mume wangu ni blue, Thank you very much kwa kutufundisha
@user-rq5xc2lq2n
@user-rq5xc2lq2n 6 ай бұрын
Gold mtupu frampa boy
@work24onme
@work24onme 6 ай бұрын
Asante sana mwalimu Joel, Amen 🙏🏼 Mimi Ni Green, je natakiwa rangi gani ili niweze kufanikiwa Naomba msaada wako. Nawaza blue + orange nawahitaji wote 🤔!
@user-qv3eo5pb3g
@user-qv3eo5pb3g 6 ай бұрын
Gold naitaji blue❤ ubarikiwe bure kaka joel nakupenda bure
@ViviKitchen23
@ViviKitchen23 6 ай бұрын
Am greeen😂
@MaganyilaMandu
@MaganyilaMandu 6 ай бұрын
Mwenzangu😂
@emamtega-ll5fi
@emamtega-ll5fi 6 ай бұрын
Mungu azid kukuinua sichok kukufwatilia ❤ mim ni blue na gold kidog
@malupex6299
@malupex6299 6 ай бұрын
Gold is good
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 6 ай бұрын
Green 😂😂 Duh nakubali sana
@FabriceBIZIMANA-y6q
@FabriceBIZIMANA-y6q Ай бұрын
Blue
@AdelaKauki
@AdelaKauki 6 ай бұрын
Mini blue color.
@user-tv5zd9tf4c
@user-tv5zd9tf4c 6 ай бұрын
Gold
@shaffihsiraji3141
@shaffihsiraji3141 6 ай бұрын
Umeniandikia Meseji kwa herufi kubwa 😁 chanzo cha kuachana
@jonaycekiminde9256
@jonaycekiminde9256 6 ай бұрын
Mimi ni Gold...Namtaka Green akamilishe mapungufu kidogo
@robertjaden9063
@robertjaden9063 5 ай бұрын
🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@felistanyoni9627
@felistanyoni9627 6 ай бұрын
Natamani siku moja nikuone mungu anipe kibari umenibadirisha sana
@tabithampinga4606
@tabithampinga4606 6 ай бұрын
Ukienda kumwona nipitie Mimi mwenyew nataka nitengeneze bango niweke dkn kwangu ILi kila anae pita nimuelezee
@charlesmasangu4080
@charlesmasangu4080 6 ай бұрын
Mimi gold wife blue asante sana Coach hivi sasa tuna miaka 30 ya ndoa! Kumbe ilikuwa ni chemistry nzuri
@MaganyilaMandu
@MaganyilaMandu 6 ай бұрын
Am green sir joel..ebu nishauri mke wa namna gani anani fit apo😢
@DieudAmour-yr3iy
@DieudAmour-yr3iy 4 ай бұрын
Green
@DavidEmmanuel-kt9te
@DavidEmmanuel-kt9te 6 ай бұрын
Ubarikiwe sana kaka kwa somo zuri, kupitia somo ili litanisaidia namna ya kuhusiana na watu Maana mm nishajijua mimi ni rangi ipi.
@peacendele7487
@peacendele7487 6 ай бұрын
Mimi ni Gold
@user-bt8bk7pm6e
@user-bt8bk7pm6e 6 ай бұрын
Kaka J skuiz unakua chibonge.
@petermunuo1657
@petermunuo1657 6 ай бұрын
Asante bro mungu akubariki sana..
@catherinemzurikwao3265
@catherinemzurikwao3265 6 ай бұрын
I am blue,I need gold or green to make a perfect match.
@LyonWalker_
@LyonWalker_ 6 ай бұрын
Je hizi personality zinaweza baadliika (mean kuna uwezo wakubadili personality)
@minaaminaa1781
@minaaminaa1781 6 ай бұрын
Ni ngumu sana juu ni tabia na nadhani tabia haina dawa.
@LyonWalker_
@LyonWalker_ 6 ай бұрын
@@minaaminaa1781 tabia haina dawa ila sikuna namna ya kureplace tabia fulani kwa kuingia kwenye uraibu wa tabia fulani
@victor_silvanus10
@victor_silvanus10 6 ай бұрын
Kaka angu hii inanihusu mimi..🙏🏿🙏🏿💪🏿
@rollahngimbwa6978
@rollahngimbwa6978 6 ай бұрын
Balikiwa Sana Kaka Joel🙏🏽🙏🏽,me blue. kila nikifungua page yako lazima nitoke na mmb mapya , Shukrani 🙏🏽
@shukranjulius9526
@shukranjulius9526 6 ай бұрын
Barikiwa kaka,mimi ni blue
@tumainselestine3398
@tumainselestine3398 6 ай бұрын
Nimesikiliza kwa umakini na nimejigundua nipo kwenye kundi la GOLD
@emmanuelashery5621
@emmanuelashery5621 6 ай бұрын
Najiona kwenye Gold.
@user-vh2dy9lo3k
@user-vh2dy9lo3k 6 ай бұрын
Mke wangu ni orange mimi ni gold nifanyeje.
@mr.kaporo2479
@mr.kaporo2479 6 ай бұрын
Nakufatilia bro Joel
@janetmbwana553
@janetmbwana553 6 ай бұрын
Mimi ni blue I think nahitaji gold ili twende sawa👍 Asante sana Mungu akupe maisha marefu 🙏🙏🙏
@emanuelchanya5182
@emanuelchanya5182 6 ай бұрын
Mimi ni Green
@emanuelavaleriani8646
@emanuelavaleriani8646 6 ай бұрын
Wao so nice
@user-ww5or9om1n
@user-ww5or9om1n 6 ай бұрын
Shukraan kaka Joel
@healingclinic698
@healingclinic698 6 ай бұрын
Barikiwa sanaaaa nanauka
@user-vh2dy9lo3k
@user-vh2dy9lo3k 6 ай бұрын
Mimi gold mke wangu orange bac nahic niko vizuri.
@joackimkazoba
@joackimkazoba 6 ай бұрын
Yani mi hapo ni orange 💯
@AshuraBrown-zs7qo
@AshuraBrown-zs7qo 6 ай бұрын
Nashukuru sana kwa darasa zuri kaka @Joel Nanauka. Mimi Ni Green🟢
@joelnanauka
@joelnanauka 6 ай бұрын
Safiiii👏🏻👏🏻
@RUCKY_
@RUCKY_ 6 ай бұрын
BLUE HEBU NJOENI KWANZA JAMANI MM BLUE 😢KABISA JAMANI KABISAAAA
@charlesmagoti2306
@charlesmagoti2306 6 ай бұрын
Gold.
@francisndabila1119
@francisndabila1119 6 ай бұрын
🔥🔥🔥
@Johmery
@Johmery 6 ай бұрын
Good leo nimetambua kuwa mimi ni ORANGE 🍊 axante 💯🙏
@joelnanauka
@joelnanauka 6 ай бұрын
Hongera sana kwa kujitambua👏🏻👏🏻
@olivanooraladin5436
@olivanooraladin5436 6 ай бұрын
Asante Sana nimejijua leo mm ni bluu
@Johmery
@Johmery 6 ай бұрын
​@@joelnanaukaAsante🎉
@waterforlife9356
@waterforlife9356 6 ай бұрын
Pengezi kwa wazazi wako ..... na kwako shukran ubarikiwe
@joelnanauka
@joelnanauka 6 ай бұрын
Ameen Ameen Ahsante sana
@abdulahmed6635
@abdulahmed6635 6 ай бұрын
Yaani hii orange ni kama umeniongelea mm hakuna hata kimoja nilichokosa😂😂😂
@elphazdaud1266
@elphazdaud1266 6 ай бұрын
Blue hyo nahitaj gold
@HaniyaKisingo
@HaniyaKisingo 6 ай бұрын
Blue colour 🎉❤
@MaarifaZaidimz
@MaarifaZaidimz 6 ай бұрын
asee nimejiina ni green 100%
@deboralaiton-ge8mf
@deboralaiton-ge8mf 6 ай бұрын
Amina sana
@user-zv8qe2ez8o
@user-zv8qe2ez8o 6 ай бұрын
Brother me Ni blue
@ummusulaish5586
@ummusulaish5586 6 ай бұрын
Mm ni blue colour
@user-lx2wg4je3t
@user-lx2wg4je3t 6 ай бұрын
Mimi ni bluu
@alimambabazi3666
@alimambabazi3666 6 ай бұрын
Kaka Joe Mimi ni orange 🧡 please help me 😂❤
@bonifaceferdinand566
@bonifaceferdinand566 5 ай бұрын
Kumbe mimi ni Gold corol(melacolin)mke wangu ni orange(sungwin
@REMMYGASPAR
@REMMYGASPAR 6 ай бұрын
🔵 BLUE kabisa hapa😂
@musicworldwide2625
@musicworldwide2625 6 ай бұрын
Mimi hapo blue 💙
@gracepatric4371
@gracepatric4371 6 ай бұрын
mimi ni Blue walah
@user-ww5or9om1n
@user-ww5or9om1n 6 ай бұрын
Leo nimeelewa kwa nini nazozana sana na mtoto wangu,kumbe yy ni orange hana hisia hajali wala nini.
@mohammednoor8491
@mohammednoor8491 6 ай бұрын
Green 💚
@user-kr2xl1go8h
@user-kr2xl1go8h 6 ай бұрын
iam blue😂😂
@kikosikaziupdate
@kikosikaziupdate 6 ай бұрын
Mimi najiona kwenye Green nina hitaji watu wa BLUE
@alfoncmanoni3033
@alfoncmanoni3033 6 ай бұрын
God bless you brother
@stanleyandrea5153
@stanleyandrea5153 6 ай бұрын
Mimi ni 🔵 blue. Na gold ndani yake gold
@aderiderkihupi7240
@aderiderkihupi7240 6 ай бұрын
ASANTE
@aderiderkihupi7240
@aderiderkihupi7240 6 ай бұрын
Dominant colour Yangu ni Blue
@isacklaizer6776
@isacklaizer6776 6 ай бұрын
Am typical GREEN...
@user-gz1cd6kn5j
@user-gz1cd6kn5j 6 ай бұрын
Mimi no gold ni mimisi orange
@isackyomola1336
@isackyomola1336 6 ай бұрын
Blue. Pia nahitaji mtu wa green
@FrancisMotivation002
@FrancisMotivation002 6 ай бұрын
Blue 🔵
@user-tc8vv9yp2j
@user-tc8vv9yp2j 6 ай бұрын
Asante kaka apa mm ni blue 99% lkn kwa swala la biashara ni orange lkn nimejifunza niwe na wa kala gani ili mambo yaende.
@mazwichannel2120
@mazwichannel2120 6 ай бұрын
Mimi yangu blue aisee ila iyo orange naona sifa zote husband anazo
@buruhanimtonya8078
@buruhanimtonya8078 6 ай бұрын
Orange nipo hapa😂😂😂😂
@everose276
@everose276 6 ай бұрын
Mimi ni blue kabisaa ila Nina vi element vya kidogo gold nadhani namuhitaji green
@aderiderkihupi7240
@aderiderkihupi7240 6 ай бұрын
BLUE COLOR
@Yasiniabjadi
@Yasiniabjadi 6 ай бұрын
Me langi yangu ni Gold namwitaji green color
@uvccmsenetiiringa7272
@uvccmsenetiiringa7272 6 ай бұрын
🎉🎉
@bestroyaltv
@bestroyaltv 6 ай бұрын
Aisee mimi ni orange kabisa, hapa naitaji msaada ili kuweza kuwa sawa
@Nickbrown127
@Nickbrown127 6 ай бұрын
Hivi vitabu vyako tunavipataje tulio nje ya Tanzania?
@amkizigo2000
@amkizigo2000 6 ай бұрын
am green color, need blue color. Thanks
@martinemaganga5253
@martinemaganga5253 6 ай бұрын
Daaa, mbona mimi nipo kwenye magroup matatu tofauti yaani Blue,Gold na Green?
@DieudAmour-yr3iy
@DieudAmour-yr3iy 4 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅
@FatmaMohamed-jw2lc
@FatmaMohamed-jw2lc 6 ай бұрын
Mbona tumo kote inakuwaje?
@abrahammwambije2769
@abrahammwambije2769 6 ай бұрын
Blue nimimi Waka huja msema mwingine Sasa nifanyeje kuji balance?
@user-ww5or9om1n
@user-ww5or9om1n 6 ай бұрын
Mimi ni gold,na nimejipenda kua gold nahitaji blue.
@emanuelchanya5182
@emanuelchanya5182 6 ай бұрын
Ila orange jmn.Yaan kuandika meseji kwa herufi kubwa ni kosa
@alicenice1711
@alicenice1711 6 ай бұрын
Im green
@tfashy_hub9156
@tfashy_hub9156 6 ай бұрын
Mimi ni Blue na muhitaji sana orange…. Maana naendeshwa an hisia na nipo slow kwenye kuamua kufanya kitu. Na rangi ninayoipenda ni Royal Blue sujui ni kwasababu mimi ni wa September (sapphire)😅
@joelnanauka
@joelnanauka 6 ай бұрын
Safi Hongera kwa kujijua na kujua unachohitaji
@kaittheleast
@kaittheleast 6 ай бұрын
My dominant color is green 😂
@kainibachungege3430
@kainibachungege3430 5 ай бұрын
Tunavipateje vitabu vyalko vya Timing Malengo yako!? Sisi wa Mikoani. Pia tu naomba kama unaifisi za Kanda Uwe unatujulisha Kenya Epsod zako ili tuweze Kuvipata kirahisi. Mfano. Mbeya, Kwanza, Arusha, Dodoma.
@malupex6299
@malupex6299 6 ай бұрын
Je gold na green wana mapungufu gani?
@healingclinic698
@healingclinic698 6 ай бұрын
Swali kwako life coucher je unaweza kuwa co-color?
@getrudeaugust7329
@getrudeaugust7329 5 ай бұрын
Zuj,h,h,h,h,h,h,h,h,h,,h,,,,,,h,,
@user-vo8go4zj6t
@user-vo8go4zj6t 6 ай бұрын
Mm mbona nipo blue automatic na yellow kidogo??
@joelnanauka
@joelnanauka 6 ай бұрын
Hongera kwa kujitambua 👏🏻👏🏻
@user-gw3xn2co5g
@user-gw3xn2co5g 5 ай бұрын
Typical orange😂
@mwl.michaelsainethmlowe2641
@mwl.michaelsainethmlowe2641 6 ай бұрын
Green😂
LIFE WISDOM : THE POWER OF FOCUS
17:43
Joel Nanauka
Рет қаралды 11 М.
SET YOUR SELF A PART - JOEL NANAUKA
1:36:31
Joel Nanauka
Рет қаралды 14 М.
WHO CAN RUN FASTER?
00:23
Zhong
Рет қаралды 44 МЛН
Bony Just Wants To Take A Shower #animation
00:10
GREEN MAX
Рет қаралды 7 МЛН
دزد امانت دار | قابوس نامه
15:07
Rashid Kakavand | رشید کاکاوند
Рет қаралды 10 М.
LIFE WISDOM : MAJIRA YA KUTENGANA NA WATU - JOEL NANAUKA
15:50
Joel Nanauka
Рет қаралды 17 М.
LIFE WISDOM : VITA YA MAPENZI  - JOEL NANAUKA
14:48
Joel Nanauka
Рет қаралды 17 М.
تسلیم بودن در برابر خداوند
59:32
abasmanesh
Рет қаралды 15 М.
TAMBUA MAJIRA MUHIMU KWENYE MAISHA YAKO - JOEL NANAUKA
10:18
Joel Nanauka
Рет қаралды 6 М.
SIFA 10 ZA WATU WANAOFANIKIWA KWENYE MAISHA | Victor Mwambene.
17:59
Victor Mwambene
Рет қаралды 5 М.
LAZIMA USHINDE HOFU HIZI - JOEL NANAUKA
10:59
Joel Nanauka
Рет қаралды 66 М.
MONEY MISTAKES TO AVOID - JOEL NANAUKA
10:08
Joel Nanauka Talks
Рет қаралды 5 М.