Hata hili somo ni sauti ya Mungu nilihitaji kusikia kitu kama hiki kabisaaa,
@joelnanauka10 ай бұрын
Ameen, chukua hatua bila kuchelewa
@mariamwikedzi16389 ай бұрын
Asante kwa ujumbe mzuri
@BukelebeTv9 ай бұрын
Amina. Ahsante kaka Joel
@ShukranJulius-n6yКүн бұрын
Hakika wakati wa MUNGU niwakati sahihi, umekuwa baraka kilasiku kwangu MUNGU akubariki sana kaka wewe na familia yako
@FaridaHussein-w5xАй бұрын
Haki Agenda hii imegusa kabisa maisha yangu. Mimi nililikuwa na Rafiki yangu Sasa hivi Naina mabadiliko, siku ilikuwa haipiti bila Kuja Kwa biashara yangu,hivi Sasa anamaliza hata siku tatu bila kufika. Siku akifika nahisi kumchukia kweli kweli bila sababu ya msingi, hata akiongea story mi Sina hamu ya kuongea kabisa. Lakini Kwa Sasa nimepata jibu kwako mwalimu wangu. Hivi Niko Kwa MAFANIKIO nimefungua biashara yangu nilkuwa nimeajiriwa.juzi ndo nilimwambia naenda sokoni kununua Mali jumanne nifungue biashara.hakuamini eti siufungue January. Nilijipata namjibu, ndo maana sikutaka kukupa taarifa kuwa nimepata mlango, kwa sababu ungenishauri kinyume n mawazo yangu. Kwani nimekuomba pesa Yako. Yaani nahisi kumchukia kweli kweli.
@SalhMdogo20 күн бұрын
Nimeishiwa na la kusema mie🙌 Mungu akubariki sana🙏
@EliasGwaya2 ай бұрын
Yani nashukuru sana Mungu kuna rafiki ambae toka aje maisha yangu,ni matatizo matupu na cikuwa naona sababu ya kuseparate ila nimejifunza Leo, ubarikiwe Dr
@priscapius425310 ай бұрын
Thanks Joel. Umeongea somo zito na la maana sana leo. Natamani hata nikutafute tuongee ana kwa ana ili moyo wangu upone na nipate ufumbuzi.
@IreneSantu-fd7kb9 ай бұрын
Asante Kaka Joel, hii ni yangu imekuja kwa wakati wake. Barikiwa saaana🥰
@rosesimon463010 ай бұрын
Hapo kwenye watu wenye ajenda za siri aisee ni maumivu sana Lakin Mungu ni mwema tumeshatengana sasa nimefungua ukurasa mpya
@avitus-thobias10 ай бұрын
Thank you so much bro, ninabarikiwa sana na life wisdom series....
@maryoswald45785 ай бұрын
Ahsante sana kwa hili somo, Mungu akunarika sana kaka Nanauka, nimejifunza sana.
@jacksontumaini910810 ай бұрын
See you at the top JAN 🇹🇿
@MSHINDICLEMENCE10 ай бұрын
Ahsante kwa mafundisho yako chakwetu ni actions za kitu Tulichojifunza . See you at the top
@pendogwisu9 ай бұрын
Nakumbuka marafiki zangu walinitenga baada ya kuwa nawaeleza mafanikio yangu..nilipogundua nilijitenga nao na nikajifunza kukaa kimya
@Fantastic.-gm1eo7 ай бұрын
Hii kitu ndo napitia saiz rafiki wote washaondoka na amebaki mmoja lakn nae ana chuki na ananizungumzia vibaya kwa watu kuhusu mafanikio sijui nimuondoeje kwenye maisha yangu maana ni rafiki yangu wa karibu sana😢😢
@charletsada877910 ай бұрын
Ameeen barikiwa sana eeii hii moto dah! Let the living GOD to bless you
@paulmlukumay10 ай бұрын
Asante Uncle Joel, Mungu amekutuma unene na mimi kuhusu jambo hili. Ndio wakati napitia sasa. God is Great.
@faudhiasalum727910 ай бұрын
Yeah my brother Joel ❤
@hamisally97410 ай бұрын
good morning top team
@impactospace10 ай бұрын
Morning!!
@CalvinJames-q3u4 ай бұрын
Kwan Mr Joel kuwapoteza watu wa kalib ndo Kuna kuwa na mafanikio
@liliantitus70679 ай бұрын
Asanteee Yesu Kristo kwa Ajili ya Hili SOMO.
@SaraSambo-po7cw9 ай бұрын
Shukran sana kaka Mungu Aendelee kukuweka kwaajili yetu nimejifunza meng Sana kupitia wew ubarikiwe Sana🙏
@michaelsafari9 ай бұрын
Unanitia hamasa kweli mentor wangu Mr Joel ,juu nilikua naona nii mm ndio mkosa
@FadgaThedecomposer-xs1hh10 ай бұрын
Kwa mara ya kwanza nipo mapemaaa 🍁
@RuthMomanyi-bh3ez10 ай бұрын
Kila leo najifunza tu hata nikiwatch late am blessed more grace mr.
@florakimario8739 ай бұрын
Upo sahihi Kaka barikiwa Sana. Endekea kuinjilisha kupitia kipaji ulichojaliwa na Mungu
@estamichoromichoro56344 ай бұрын
Asante sana kaka joel na Mungu akubaliki
@gidomonji16719 ай бұрын
Kaka joeli umenigusa sana ninandoto za kufika mbali naomba msaada wako
@jumannemlimakala644210 ай бұрын
Asante Sana kaka Joel Nanauka kwa Elimu hii MUNGU HAKUBALIKI SANA 🤝
@clarasabutoke690710 ай бұрын
Asante sana
@mohamedKudura7 ай бұрын
Mungu akuongoze
@rosadamassawe801910 ай бұрын
Shukrani sana kaka Joel, we are proud to have you . Mungu akubariki sana
@pialafrance79229 ай бұрын
Hapa nmekuelewa mno mtumishi asante sana tena sana
@PreciousRuthi9 ай бұрын
MUNGU AKUBARIKI SANAAA NAKUELEWAAA
@Globalpixel2310 ай бұрын
nimejifunza sana kitu kikubwa sante sana
@StambulMohmmedi6 ай бұрын
Nimekuelewa kaka ntafanyia kazi ili nipite vizur kweny hich kipind mung akubaliki sana uzidi kuwasaidia na wengine
@monicakauky89148 ай бұрын
Nimejifunza kitu kizuri na Mimi nilikuwa kinganganizi ila sasa nimeelewa sitangangania watu.
@hellyfridy10 ай бұрын
Sioni kama wewe nimtu wakawaida naona kama joel ww sio mtu uliye zaliwa nikwamba kama uliumbwa tu kuja kuokoa. Hii imenigusamoja kwa moja had nikajihisi unasimulia maisha yangu halisi daa. sina uwezo mkubwa japo uelekeo nauona sana naomba no yako nitoe sadaka kidogo pls.
@RehemaSaidi-z6f9 ай бұрын
Hili somo naona ni kwaajil yangu Asante sana
@astoneluoga98709 ай бұрын
Nimeelewa sana zaid ya sana
@EvalineSabato10 ай бұрын
Joeli nanauka Ubarikiwe🙏🏾
@MalikiChitopela10 ай бұрын
wakati ukifika no turn bck! C u around again ❤
@abdallahshaibu610610 ай бұрын
NI kweli kabisa
@angelnjiku197910 ай бұрын
Thank you my bro kwa hili somo limeniongezea nguvu I'm in separation season
@starplatnumz10 ай бұрын
Mungu akulinde daima kaka
@michaelkabeta797410 ай бұрын
Umeniongelea mm kabisa
@BalumileMataba5 ай бұрын
More thanks Brother
@yusufuheri652410 ай бұрын
Asante kaka yangu kwa elimu nzuri
@samkimani542610 ай бұрын
Mafundisho haya ni mazuri sana
@RhodaMassalu10 ай бұрын
Asante baba Kwa mafudisho mazuri
@salomemrembo748210 ай бұрын
Morning. Very true hasanti kwa Nuru ya maisha
@BisweckJchimenya10 ай бұрын
asante sanaaa kaka yanguuu.
@James-i6z5s10 ай бұрын
Kbs kaka Dah!!! Nimekubali,
@BabalandaSimon-fk2vy10 ай бұрын
Asante baba.
@Hungrydonkey93459 ай бұрын
Jo Asante sana kwa ushauri wako. Inakuaje jambo hili kwa wanandoa ni sahihi watengane??!!!
@janetmbwana55310 ай бұрын
🙏🙏🙏 Barikiwa sana
@zainabudihenga841310 ай бұрын
GROWING SEASON
@nightkibete32489 ай бұрын
Asante sana ubarikiwe
@AgnesNgowi-c5n10 ай бұрын
Kaka sana kwa elimu yako.
@asmaali150010 ай бұрын
Dah Asante sana Nanauka!
@method131410 ай бұрын
Ubarikiwe sana mwalimu.
@godfreynyangusy10 ай бұрын
Asante sana kaka wewe ni mwalimu wa walimu mungu akusimamie.
@joelnanauka10 ай бұрын
Ameen Ahsante sana
@pauljosephtarimo227910 ай бұрын
Shukrani kwa somo
@MARYTHEBLESSEDONE10 ай бұрын
True brother God bless you for being the light to many🌸👌🙏
@Abjadiabasi10 ай бұрын
Aisee blooo Joel nanauka 🙏
@dorotheawilliam992310 ай бұрын
Asante Mkurugenzi
@MwatanoJongo-i5f3 ай бұрын
Naitaji ukaribu wako
@Sumay22810 ай бұрын
Current situation thank u!
@agkimedicallaboratory10 ай бұрын
Thanks @kaka Joel
@impactospace10 ай бұрын
Absolutely 🦁
@SalhMdogo3 ай бұрын
🙌💯
@PreciousRuthi9 ай бұрын
UPO SAWA KABISAA
@AsyaHassan-w8t10 ай бұрын
Thank u
@ClementLeonard-h9m10 ай бұрын
Kweli nilipo taka kufunga ndoa nikagundua anitakii mema ana shilikiana na maasimu wangu nikaamua kuachana nae Yani maumivu kukiacha kitu ulichokizowea
@lilianjoseph114410 ай бұрын
See me at the TOP.
@jadenisaacj16910 ай бұрын
Namimi baada yakuacha kazi sehemu niliko kukwa naganya kazi nime fanyikiwa kiukweli maishani