Ukitaka kusikiliza mziki mzuri wa hip hop....search joh makini.....salute brother, hujawahi niangusha.
@user-vv5xd3ye4i8 жыл бұрын
oyooo mwamba wa kasikazini..KAMA unamkubali JOH MAKINI na group lake lote la "Weusi" gonga like hapa tusonge mbele na zaidi ..@johmakin
@salimShaikh-it5iw8 жыл бұрын
Baizo Boy xxx
@dianadidas44257 жыл бұрын
Baizo Boy ikapoa
@mjombamushi51557 жыл бұрын
Baizo Boy nishiiidaaaah
@yazidumawaleti62237 жыл бұрын
nawakubal Sana weuc
@deborawilfred6887 жыл бұрын
namkubalii sanaa
@barakandosi693 Жыл бұрын
Proactive rapper! Consistency, endurance and yeah..!! Excuse us!! Brother you should tell them the truth like KRS-One that; WE SINGING WHAT?? SICKNESS, HATRED, IGNORANCE AND POVERTY OR HEALTH, LOVE, AWARENESS AND WEALTH
@vaimallya53838 жыл бұрын
Aseeee mangi@joh makini...nakukundaaa....its real wayaaaa.....u hot mwamba
@FrankPhilibert4 ай бұрын
Hamjawai kukisea weusiiiiiiu❤❤❤❤❤
@bensonfrank95787 жыл бұрын
MWAMBA NI MWAMBA TUU 🙌🙌🙌🙌
@tumwesigeevanslushakuzi37128 жыл бұрын
mwamba ni mwamba tu. A City is in the house.... Makiniii
@stapinuswilliam8607 жыл бұрын
Ngoma Kali achen kuwanga pig up joh
@shedyjr32278 жыл бұрын
Joh makin, joh wa saimon, mwamba wa kasikazin.. unajua kuwa unajua jamaaa.. na katika hii dunia watu wabaya wapo sana ila mungu huwaweka kando na wewe.. jamaa we ndo unabeba bendera ya lap hapa bongo. mtu akikataa ujue huyo ni mchawi wa maendeleo ya tanzania
@eglahellenjohnmgogwe61988 жыл бұрын
Umebarikiwa kwl co kismat.. Wayaaa
@nulifmusic3 ай бұрын
Makini with the word flow is a beast
@husseinsaid74478 жыл бұрын
joh makini huu mwaka wa 12 nimemfahamu sjawahi kumchoka huu ni mziki mzuri masikioni goma la kinywezi
@juliusmkwiji2838 жыл бұрын
JOH ni noma sana sana
@user-yj5ef7ev8p7 жыл бұрын
Mwambaaaaaaaaaaaaaaaa#nikivuta waya ujue nimeshajikoki_k national park_ushindani siogopi_usinipotezee katikati binti nipoteze kwenye moyo_pesa ya starehe sikopi.
@hassankayla40767 жыл бұрын
Waooooh unajua vile ndy anafanya #WAYAAA watu tushajikoki #JOHMAKIN napendaga kitu kimoja toka kwako jinsi unavyobadilika ktk ku rap kwako yaan huzoeleki #WEUSICOMPANY you kill it again. #ADVISE kwa wale wanaotaka nyimbo ngumu waanze kuimba wenyewe maana jamaa now anakula bata maisha yamenyooka it's time for upcoming artists kutoa ngumu coz ndy mida yao ya kuvuja jasho mpaka tuwaelewe. Good music alive
@georgeseverin5518 жыл бұрын
umetisha joh ngoma kali
@silybwoy43208 жыл бұрын
WAYA ....................................................................... NISHAJIKOCK BONGE LA HIT SONG
@malikkb64447 жыл бұрын
Big up Joh Makini...Tumeikubali ngoma kali..Representing +254
@ntanyungu_8 жыл бұрын
Wayaaaaaa...!!!
@nicegospel35147 жыл бұрын
wacha izo mbang'a.... oooh bonge la kichupa Salute Simon Generation john
@laurentngowi30527 жыл бұрын
Kichupa kikali Joh hukoseagi aisle 🙏🙌🙌🙌🙌
@sammykuvi24107 жыл бұрын
Inadatishaa.., Kichupa Kizuriii.., Rhymz on Point.,
@philjonez33247 жыл бұрын
mwambaaaaa
@ommyjeezo8487 жыл бұрын
video kariii joh na ngomaa piaaa asee mwambaa hongera kwa uwezo wako
@ngwaleseif85868 жыл бұрын
Na nikivuta waya ...wayaaaaaa ujue nishajikoki......hatar sana hoi kitu..big up sana mwamba ni mwamba
@ericksongoodlife6903 Жыл бұрын
Wanajifanya wamelewa kumbe Wana stress za kuolewa
@kontadahustler83467 жыл бұрын
Endelea Kutake Risk Bro Huo Ndio UjasiriaMali Bongo Uchawateka This is Time To Run Africa BIG UP
@goodluckymartin3348 жыл бұрын
Alwayzzz represent a.city kweli mwamba ni mwambaaa tuuu hakunaaa kamaaa ww aissssseeee machokooo wanawashwaaa wanakuppondaaa tutaonaa nani mjanjaaa hapaa nyimbooo yakee imetanguliaa lkn naamini baadaa wikii views ya hiii ngomaa ni noumahhhhh a.city representttt nouamaahhhhhh cnaaaa hit song weusiii
@gevoneymar62647 жыл бұрын
weusi tangu na anza wafahamu awajawai toa kazi mbovu kila siku inatoka kali kuliko ya jana god bless them
@sammykuvi24107 жыл бұрын
Weusi Damuuuu..,, Joh Makini Baba yaoooh.....,
@ernestyangatz38647 жыл бұрын
Niceeeeeeee joh makini ......BONGE LA songs🎶🎶🎶🎶🎶🎤🎼🎹🎻🎻🎻🎧🎧🎧🎧
@jorickmaanga31318 жыл бұрын
mwamba ni mwamba tu cjawah kuchok mziki wako !good music #waya
@ceezbug7 жыл бұрын
Unajua huu Mziki mzuri Sana!!! Lyrically .. Muziki Unavuka Boda 🛩. God Bless Tanzania
@matthewkyamba37078 жыл бұрын
Unanikoshaa sana Mwambaaaaaaa @real Wayaaaa
@abdulidrisa2514 Жыл бұрын
Kipindi npo chuon ii ngoma LUSHOTO TANGA
@kelvinwambua74397 жыл бұрын
Joh makini the African Tupac can't get enough of your jams thumbs up. man do a collabo with nyashinski
@tunduruonebeiby21428 жыл бұрын
Watanzania tukipunguza kujifanya kujua sanaa Kila kitu.... Baasi Mambo mengi Yatakaa poaa Tz..... Hii ngoma ni kali sanaa Mwamba sikutegemea... Big up.....achana na maneno ya wajuaji Kila kitu haoo
@Views-mf8ir8 жыл бұрын
Mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu WACHA TUM_BEBE tu bhana... Joooooooooooooooooooo i c u BRO.. Wanyanyase wanyanyase
@obach_official8 жыл бұрын
JOH yuko MUBASHARA kbxaa.,#Lufaaaa
@gretagonga29668 жыл бұрын
jamaa anajua sana......mziki wake uko tofauti na makelele ya kina navy na dai
@emmanuelrichard15988 жыл бұрын
OMG......Dc chalii is onto de next level,dope beat too,,I AM GONA HOLLA AT YA.....WAYA
@bensonmwakilembe69817 жыл бұрын
sikia sikia mi sikuja kula nimekuja kupanda mbegu za kuotesha matunda tisha sana Joh
@amisamaurid18826 ай бұрын
King Joe## marafiki mapopo full 😂😂😂❤❤❤❤❤❤
@goodluckymartin3347 жыл бұрын
Wayyaaaaa ngomaa l cnaaaa
@jumaally90355 жыл бұрын
Hatareeeee, hawajawahi nidondoxha weusi
@gasperfue45987 жыл бұрын
nikivuta wayaaaaa ujue nishajikoki ngoma Kali sanaaaaaa
@victorkaaya6548 жыл бұрын
Niceeee song kama kawaida, audio, video, excuse me can I get your, tomorrow naitumia hiyo mitaa fulani hiviii
@gisilalikomba39807 жыл бұрын
Tunaposema mwamba ni mwamba tunamaanisha WAYAAAAAAAAAAAA funika bovu wakaseme tena anabebwa Hatuongei ongei tunafanyaaaaa SALUTE TO YOU JOH WA SIMON MAKINI MWAMBA WA KASKAZINI
@shabanaman46608 жыл бұрын
DAAAA JOOOOOO ANAE KUDIS NI DOGO FALA BOYA PUNBAAF YANG KILLO
@emmanuelhessan90257 жыл бұрын
big up Mwamba
@geofreykulanga12828 жыл бұрын
Kwavile jina la "Excuse Me Miss" lilishatolewa na Jay Z&Chriss Brown, na kwaajili ya soko la Bongo na Africa Mashariki neno "WAYA" litaeleweka vzr,,,hii ngoma mi ninaiita "Can I get ya Number...?" good job and good luck jamaa!
@mohammedrashid77357 жыл бұрын
kaka mpaka FId kakubali hii ngoma si mchezo we ar taking hip pop to the next level big up one luv
@elisantekisanga49567 жыл бұрын
mwamba toka home town hip-hop land bado unamaliza kila facult. keep up big broo, thats next lvl
@frankfiretz7 жыл бұрын
King luffa achana na uyu producer bhaana daaah hatari sana...big up joh kazi nzuri
@christophernyoni97957 жыл бұрын
joh anaweza aiseeee, majungu kawaida yenu ndio maana hamuendelei wanafiki
@dodweltorry19403 ай бұрын
Nkivuta waya ujue nshajikoki...
@filbertmapendo41088 жыл бұрын
wozaaaaaaaaah!!!!!!!!poteza muda soo bahat..sijaja kula tunda nimekuja kupanda mbegu ya tunda............................................###BIG UP JOH..................wayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@asmetkevtz8 жыл бұрын
Siku izi wasanii wa hip hop wote wanaimba sasa wasanii hii ndio mifano wewe jifanye mgumu dadeki job kazi kali
@zamoramusicKE7 жыл бұрын
kutoka kenya kazi nzuri nimeikubali #weusi #eastafrica @itszamora254
@abunerimjasiriamaliwamwang61717 жыл бұрын
duuuh kwa utumbo aliouimba kweli #yuongkiller alisema kweli jamaa ana bebwa
@sumai_m.h7 жыл бұрын
Dah! The best🙌🙌🙌🙌
@kevinkessy14857 жыл бұрын
ni shidaaaaaaa
@josephefraim37068 жыл бұрын
tunajivunia ww kutoka kaskazin brother unatuwakilisha kwa vitu vya ukweeeee kaza zaid brother ushafika mbali lakini kaza ufike mbali zaid kitu nakirudia mara kibao hapa nimekielewa sanaaaaaaaaaaaaa #WAYAAA
@nory4saad8 жыл бұрын
Hapa Baba La BABA Umenibambaaa mzee... #RiverCampSoldier💪🏿
@francayub5 жыл бұрын
"nipatie hizo mbana bana ...." Hapo sawa joh 🇰🇪
@deogratiousdamian22437 жыл бұрын
yeahh kama kawa umeua joh..
@JosephAmi-d8iАй бұрын
Mwamba wa North 💯🎧🦂
@pmall8867 Жыл бұрын
2023 September Hapa 👍🏿👍🏿
@davidrichard50197 жыл бұрын
ngoma Hui kajitahid big up joh
@nellxoxoxo99667 жыл бұрын
mi mwenyewe nakuwaga na kaugonjwa flan hiv amazing nyimbo ikitoka toka pale mpya huwa siilewi ila kadri siku zinavoenda nakuja kuielewa mbaaaya kwahio nawashaurini tulieni agiza bia hapo ntakuja kulipia alafu skiza ngoma hii #wayaaa
@gideonmagana55197 жыл бұрын
Men! you are always right.. Kazi nzuri sana
@gabrielflavianus50338 жыл бұрын
Yoooo #kingJohmakiniii mwenye Rap yake kaja!!!hahhahaa noma sanaaaa
@reginaldmwemezi41628 жыл бұрын
WAYAAAAA 🙌
@jaymash33218 жыл бұрын
maringo ndo nazidisha kabisa nkikupata... hii waya mashine
@happyclaude46418 жыл бұрын
KEEP IT UP KASKAZINI NI NOUMAAAAAAA
@khaila_tz5992 Жыл бұрын
Oooh guys this one shiiit am here untill now 2023..
@guttur02267 жыл бұрын
Sarout for you Joh Makinii, Upo vzr kaka Nakukbal Xana camanda from Weusii
@saiclassicofficial31384 жыл бұрын
Nakubali Sana him ngomaaaa mwananguuuuuuuuuu.
@aloycelazaro79715 жыл бұрын
Kama mpya vile king joh 💪🏽
@alextanzania7 жыл бұрын
Ukisikia wayaaaaaaaaaaaaaaa.................Lu...lu...Faaaaaaaaaaaa............Hip hop dance hall.....Mukide mukide....Mwamba mwenyewe.........
@hedefgroup6968 жыл бұрын
A brother frm another mother.,GMF BABY #Dope #Dope #Waya
@hassanbakari56077 жыл бұрын
duh km mbele yani safi joh utadumu kwenye chombo
@awadhtevez29188 жыл бұрын
jamaa kawaacha mbali johmakin mwamba wa kaskazini always knows what he is doing
@andrewsilayo32387 жыл бұрын
IPO Good sana Joh
@annastaziatryphone33227 жыл бұрын
unajua jombaaaaa✌✌✌👍👍👍
@denzelnarcos31224 жыл бұрын
Wayaa ya motoo sana
@swalloonpoint23068 жыл бұрын
Dah!!! Bro Joh makini unajua hadi unaboa aiseee!!! Yani ngoma fulani hivi makini sana , na chupa ndo usipime yani, hapa hapa kwa uncle Magu.💪💪👏👏👏
@saidsalim13787 жыл бұрын
big up sana Joh makini
@lilianmollel53557 жыл бұрын
Wayaaaaaaaaaaaaaaaaa!!
@davidinm35188 жыл бұрын
the real mwamba hii ngoma naipa 100/100, joh makini kweli umebarikwa sio kisimati, na nikivuta waaya ....
@tumpiliksye8 жыл бұрын
Makini kama kawa !!!
@michanomichano49318 жыл бұрын
hahahaha @joh makin wa saimon WEWE KIFAA BROTHER WEWE UNAJUA MZIKI YAAN KILA UKITOAGA NGOMA INAKUAGA HIT #BIG UP MWAMBA PAMOJA XANAAAA #GOD BLESS U
@georgejohn7087 жыл бұрын
legend atabaki kuwa legend, big up good musician
@markoochieng8207 жыл бұрын
iko juuuuuuuuuu
@mandelaaugustino30347 жыл бұрын
poteza muda ila so hii bahati ati, usinipotezee katikati biti, nipoteze kwenye moyo, mangi mtamu nitakuruhusu kuwa mchoyo. wayaa
@harunahussein67177 жыл бұрын
Mweuuusi mwenyewe hapo kaprove.
@khamisswalehe7 жыл бұрын
waya wambie madogo umewachambisha Hatun story mobu Story niemoko tu
@Jorammalisa7 жыл бұрын
fayaa💥💥💥
@michaelkasebele71687 жыл бұрын
daaaaaa hatar sans hii joint
@mjombamushi51557 жыл бұрын
wayaaaaaaaaaa... nisha jikok
@daudimkwela7 жыл бұрын
Big up The Northern Rock(kama chama let vile).....! You have Never Disappoint me Bro! Safi sana. Good song nice Video too.