Exactly bro sky nakubaliana na wewe ipo cku atatulia na kuwa mtu mwingine kabisa, kwasababu ajakata tamaa, love you JOJO.
@allykassim98266 жыл бұрын
Bro mi namkubali sana huyu dada. Nakubaliana na ww kwamba siku za mbeleni atakuja kutulia kwenye particular place. She is very smart. Luv u jojo. SnS.
@shamskisseka67266 жыл бұрын
Jokate usihofu Mungu wetu ni mwema sana eshimu demokrasia. Ipo siku utafika mbali sana.
@alexandermutakha8824 жыл бұрын
Huyu kweli alizaliwa au kaumbwa? Nguo ya aina yote yamutoshea👍🌹
@shanimbaruku20716 жыл бұрын
Penda sana Mdogo wangu jiket Mungu atakusimamia
@queenyahaya31476 жыл бұрын
Nice joketi mungu akuongoze thank you brother
@zclassicfashionz15736 жыл бұрын
Ni ushauri mzuri kaka... Asikate tamaa atafanikiwa tu
@chb53672 жыл бұрын
Now she is one among young but smart DC in Tz
@khadijaaziza75866 жыл бұрын
Du asante sana maana nilikuwa sina laha leo mulipoteya sana
@aishamattar63816 жыл бұрын
Ajitahid mungu atamfungua
@daudisimwinga13246 жыл бұрын
Hakuna haja ya kuingia online bila kupita hapa and.. Penda Sana kile napata sns
@aishamattar63816 жыл бұрын
Napenda nipate kitu cha sns kabla sjalala hasa niskie sauti ya bro sky asante kua mpo
@SimuliziNaSauti6 жыл бұрын
Asante sana Dada Aisha
@sigifridyfranky89846 жыл бұрын
polesana dada pambana utafika2
@salamia__mwangu5996 жыл бұрын
true
@TheOne-fi6cs6 жыл бұрын
Pole bi Dada, get going!!! 💪💃
@asiajuma57846 жыл бұрын
Mi sijapenda maamuzi yao
@tracejeezy89176 жыл бұрын
Nimefuta app za INSTAGRAM & FACEBOOK AND TWITTER kwa sababu zangu binafsi....... Nafurahi unachotupatia bro Sky SnS hadi The Black Chair maana ime'replace kwa kiasi fulan
@maregesiamos38186 жыл бұрын
first commenter
@sindamkali99136 жыл бұрын
atapew majukum mengn kama kawaida
@Dee-o3f6 жыл бұрын
Bora maana nilimchukia kwasababu hy kama katoka hatuna shida tutaenda pamoja 😂😂😂😂 akome lakini kama unahitaji mpambanaji wetu asirudi kwenye siasa sema amene,😝😝😝😩😩😩😩
@alexandermutakha8823 жыл бұрын
Kila kitu chake ni kizuri,hata nywele
@princekijay54506 жыл бұрын
Leo hujapost kitu chochote
@zamzamhamisi73326 жыл бұрын
Jokate ni hard work i think kuna kitu sio bure
@princekijay54506 жыл бұрын
Hata michezo hamna
@princekijay54506 жыл бұрын
Ndo kwanza hichi tu
@johnbend1196 жыл бұрын
Kama hii channel aija post siku uambaya sana kwangu sijui kwanini?
@SimuliziNaSauti6 жыл бұрын
Pole sana John
@johnbend1196 жыл бұрын
SimuliziNaSauti ni mesha poa kwasasa bro sababu umesha post
@selemaniabdul81066 жыл бұрын
Hhhhhhhh mw/kiti alitaka kugonga akaona anambania hasimtengeneze zengwe nini chama chakavu wache wenyewe wazee amestafu jeshi ndio anapewa cheo huko wewe ni kijana umeona vijana weziwo kina mdee sugu prof j bulaya matiku mnyika wapo mjengo hhhhhhhh
@sarahgaula22206 жыл бұрын
Siasa hawezi wanatafuta tu nafasi huko kuwa wakubwa