Hongerin sana,,, wimbo unamguso Mungu atusaidie tuwe upande wake hata siku ya mauti itakapowadia.
@Timothy254.2 жыл бұрын
This reminds me of some song but nimesahau the song Blessed are the ones who take the message from this song♥️😊
@jomiresovoicestz2 жыл бұрын
Amen
@irenfranklin10233 жыл бұрын
Nabarikiwa na Jomireso Namuona Kalunde Bennie nafarijika kumuona anamtumikia Mungu
@jomiresovoicestz3 жыл бұрын
Amen
@eliamakala98544 жыл бұрын
Sijawahi ona wimbo wenye mvuto zaidi mkubwa kama huu! Mim binafsi nimeguswa kuokoka mim cjaokoka! Maana roho yangu imepondwa pondwa nimefadhaika!
@jomiresovoicestz4 жыл бұрын
Amina barikiwa Zaidi ndugu yetu ELIYA MAKALA
@jescajohn1645Ай бұрын
P 😊pp P L P😊 Pp
@kesho58063 жыл бұрын
Mbarikiwe sanaa...wimbo una mguso Mungu atusaidie ktk safar yetu y mwsho
@benedictomayenga48752 жыл бұрын
Mungu nisaidie siku hiyo niwe upande wako 🙏🙏 barikiwen wat wa mungu
@jomiresovoicestz2 жыл бұрын
Amina sana mtu wa MUNGU
@hodaviahnkoswe50693 жыл бұрын
Oooooh wimbo huuu so touching aisee mbarikiwe Sana Kwa huduma hiii ya nyimbo nzurii zenye mafundisho bora👍👍👍
@jomiresovoicestz3 жыл бұрын
Amen barikiwa zaidi
@juliettenelson16363 жыл бұрын
Mbarikiwe wimbo unanibariki Sana unanikumbusha njia yangu ningali hai
@jomiresovoicestz3 жыл бұрын
Amina sana.. Bwana atufundishe kuzihesabu siku
@sochriman4 жыл бұрын
Nanyenyekezwa na huu wimbo, mbarikiwe #majopro unatisha mkuu kwa kinanda
@maxwellvangulinja4 жыл бұрын
💕💕TO GOD BE THE GLORY👌 Amen......thanks for everyone behind the beautiful piece of Music...Message on point, vocal 💕, dir RJ 🤝💪💯
@ssemandaadrian259011 ай бұрын
asante sana kwa kutuhudumia na kutuletea wimbo wa kututayarishia njia na kurudisha imani. kweli siku ya mwisho tutaonana tukishinda
@jomiresovoicestz11 ай бұрын
Amina
@geriad93742 жыл бұрын
Bwana atufundishe kuzihesabu siku zetu
@jomiresovoicestz2 жыл бұрын
Ni Kweli
@gloriousnp3 жыл бұрын
What a song , Mungu wa mbinguni na atusaidie katika safari ya hapa duniani. Wote kwa pamoja tukaingie mji ule tulioandaliwa .🙏🏿🙏🏿 Sabato njema Wana na binti za Mungu 🇹🇿
@jomiresovoicestz3 жыл бұрын
Amina sana ubarikiwe pia
@eliamakala98544 жыл бұрын
Mungu awabariki sana awazidishe zaidi sijui ni waimbaji wa wapi nyie?! Nimevutiwa nami niokoke!
@jomiresovoicestz4 жыл бұрын
Tunapatikana jijini dodoma ndugu karibu Sana kanisa la waadventista wasabato itega
@eliamakala98544 жыл бұрын
Asanteni sana nitakaribia niwaone live! Yani mmenibadilisha hakika! Maana cjawahi kuguswa hivi!
@eliamakala98544 жыл бұрын
Na pia vipi namba yenu kama nataka kutoa shukran kwa kazi ya mungu mnayo ifanya ili na cc wengine tuendelee kuponywa nafsi!
@eliamakala98544 жыл бұрын
Na pia vipi namba yenu kama nataka kutoa shukran kwa kazi ya mungu mnayoifanya ili na cc wengine tuendelee kuponywa nafsi!
@jomiresovoicestz4 жыл бұрын
0765766438
@minaelmjema84714 жыл бұрын
Go! Go! Go! Up forever my family ....thank you for sweet melodies which bless us with great message always 🙏
@maxwellvangulinja4 жыл бұрын
HAKUNA HAJA YA KULILIA WALOKUFA KUNA TUMAINI TUTENGENEZE MAMBO YETU🙏
@samuelmuhindosivamwanza49884 жыл бұрын
Amina
@denischarleskalwenje8564 жыл бұрын
My destiny to heaven is prepared by you jomireso and your music keeps me near heaven and Christ
@jomiresovoicestz4 жыл бұрын
Be blessed
@denischarleskalwenje8564 жыл бұрын
mbarikiwe sanaaa huwa nausikiliza huu wimbo mara mbili mbili
@sophiaboniphace51562 жыл бұрын
Amen mbarikiwe ❤
@bukurutv40354 жыл бұрын
Asanteni kwa huduma yenu ibarikiyo sana
@gideonjackson88883 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na huu wimbo
@wajenzifamily56614 жыл бұрын
Yes like that, Bwana awabariki mnooo
@neemaiddy90444 жыл бұрын
Barikiween saana
@Visionart1-n7n4 жыл бұрын
Barikiwenii wqpendwaa nabarikiwaaaa
@austineodiwuor67912 жыл бұрын
I love your songs guys na mbarikiwe zaidi bado sitachoka kuwatafuta ,,namanisha natafuta number zenu
@jomiresovoicestz2 жыл бұрын
+255 765 766 438
@austineodiwuor67912 жыл бұрын
Asante sana acha ni save
@samuelmuhindosivamwanza49884 жыл бұрын
Amina kubwa. Ahsante sana kwa ujumbe.
@kasesecompany31873 ай бұрын
Be blessed God’s servants 🙏❤️
@jomiresovoicestz3 ай бұрын
Amen be blessed too
@vincentnyangau90364 жыл бұрын
be blessed nice message more of this please
@mwangazatvtanzania47192 жыл бұрын
Huu wimbo nakusikiliza kila siku umejaa ujumbe wa hatima ya mwanadamu
@jomiresovoicestz2 жыл бұрын
Mungu atusaidie tuishi kama wapitaji tuu hapa duniani!!