JONAS AACHIWA HURU NA MAHAKAMA, "ALIUA BILA KUKUSUDIA".

  Рет қаралды 5,864

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 20
@rashdiyange7758
@rashdiyange7758 Жыл бұрын
Namie taka kusema ivo ivo tena uko kuna uchawi sana jamani acheni tu nafikil jaji ni yeye sio yeye uchawi uo uo jinga fanya bala uk mbna kufia jela
@nurdinsafe4441
@nurdinsafe4441 Жыл бұрын
Sasa alie uwawa kwa kuchomwa visu mara tatu sheria nayo inasemaje mana na yeye anafamilia kama ilivyo kwa mtuhumiwa wa mauaji..kitendo cha kumchoma mtu kisu tena mara tatu halafu useme hujakusudia inaingia akilini kweli?
@asteriashios1852
@asteriashios1852 Жыл бұрын
Kwanini arudie mara 3 si amekusudia kabisa huyo japo sijui Sheria ila akirudi mtaani tunae subirieni
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Rushwa imetembea ukiwa na ndugu wanaoweza kuonga huwezi kufungwa Tanzania ya mavi kunuka
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Ndugu wengine hawakubali watammaliza labda ahame au akute ndugu wa kushukuru Mungu
@fatumasukwaju226
@fatumasukwaju226 Жыл бұрын
Kuuwa bila kukusudia maana yake ni nn? Wapo ktk starehe anamchoma kisu cha kwanza cha pili cha tatu ,bado hajakusudia.naomba nieleweshe wajameni pls.
@nassirali7499
@nassirali7499 Жыл бұрын
Utetezi wa kipuuzi kabisa, eti anafamilia na watoto 5 wanaomtegemea sasa aliyeuwawa yeye hana familia? Kaua bila ya kukusudia kwa kumchoma kisu mara 3 angechoma mara ngapi ndo angekusudia kuua?
@prettynesspastory3111
@prettynesspastory3111 Жыл бұрын
Wasiojulikana wanakusubiri uraiani we umemchoma mtu mara tatu zote eti bila kukusudia? Ok
@charlesmugisha6529
@charlesmugisha6529 Жыл бұрын
Yani anamchoma mtu kisu zaidi ya mala tatu alafu mnasema ameua bila kukusudia kweli? Uyo hakimu mfuko utakuwa umetunishwa sio bure.
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Allah yupo halali wala asinzii atamlipatu malehem hakiyake sikuyakiyama na yeye hatokua na Amani mpaka anakufa kuuwa simchezo kwani kuku yule
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 Жыл бұрын
Kumpiga kisu mtu zaidi yamqla 3 etihakukusudia kwashelia yawapi? nakifungo nambangapi?
@ahmedkandoro9594
@ahmedkandoro9594 Жыл бұрын
Uchawi upo ! Ndumba imepigwa Sana . Mganga kaonyesha ufundi wake
@marthamalamso3221
@marthamalamso3221 Жыл бұрын
Huu ni uchawi tu
@isunga1964
@isunga1964 Жыл бұрын
Duh mara tatu na bado hajakusudia kuuwa hii sio poa jamani
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Rushwa imetembea ukiwa na ndugu wanaoweza kuonga huwezi kufungwa Tanzania ya mavi kunuka
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Rushwa imetembea ukiwa na ndugu wanaoweza kuonga huwezi kufungwa Tanzania ya mavi kunuka
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Hahaaa kabwela
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
@@hanifatanzania7258 ndio Tanzania yenu ya mavi kunuka huko mnavuta hewa za ushunzi kunuka huko
@asteriashios1852
@asteriashios1852 Жыл бұрын
Rushwa kubwa sana mbona yule alimuua Naomi alikubali.kaua msimwachie yaani swala la kuua mtu SII vema akarudi uraiani Tena kisu mara 3 kakusudia huyo yaani Tanzania ya hongo duh hatari ni hakimu Gani huyo tupeni jina lake
@farhatomar78
@farhatomar78 Жыл бұрын
Hahaha
WILL IT BURST?
00:31
Natan por Aí
Рет қаралды 42 МЛН
女孩妒忌小丑女? #小丑#shorts
00:34
好人小丑
Рет қаралды 99 МЛН
Electric Flying Bird with Hanging Wire Automatic for Ceiling Parrot
00:15
when you have plan B 😂
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 24 МЛН
Pesa imejificha katika vitu vinne - Sheikh Walid Alhad
20:37
Kalamutz
Рет қаралды 96 М.
WILL IT BURST?
00:31
Natan por Aí
Рет қаралды 42 МЛН