Big up men! You deserve to be our role model 👏👏👍👍👍
@abdulsinga2464 Жыл бұрын
Huyu mtu Arusha wanamwelewa sana...pia mimi pia nakukubali sana nipo songea..sio unatoa pesa kupata ubunge.. fact...mnnyamwezi..👍👍👍👍
@elibarikimollel7149 Жыл бұрын
Mapikezi, Msafara,na Mkutano wa mpendwa wetu Lema Arusha ni nyomi ya atari,ni ishara nzuri kwa Taifa hasa kizazi kipya, Mungu awalinde,na awatie nguvu CDM chini ya MWKT hodari Freeman Mbowe, Mungu mbariki mama Tanzania.
@kalebumashamba5556 Жыл бұрын
Hadi huku upo
@godblessamu1735 Жыл бұрын
Very wise
@ezekiambise2595 Жыл бұрын
Strong man
@jabrykakene5350 Жыл бұрын
Appreciate
@victoreleonardmdee9158 Жыл бұрын
Ameongeza ki motivation speaker uongo uongo mwingi
@matumokimatumoki6424 Жыл бұрын
Endelea usiwe unatoa hela hvyo hvyo uone kama utapata ubunge labda wa chooni..
@victoreleonardmdee9158 Жыл бұрын
Lema angetusaidia Sana kama angetuambia biashara Canada alipata wapi mtaji
@abdulsinga2464 Жыл бұрын
Alikuwa mbunge kwa miaka mingap?...nafikir jib unalo..
@godlovekimaro7167 Жыл бұрын
Mwandishi, tafadhali mwenyekiti wa Chadema ni Freeman Mbowe na sio Godbless Lema
@emanuelmushi9917 Жыл бұрын
Huyu ni mwenyekit wa kanda ya kaskazin na mbowe ni kiongoz mwenyekit wa kitaifa
@moriscollins4494 Жыл бұрын
Ndio mjue mwenzetu ana kampuni Canada 🇨🇦
@annasolomon9855 Жыл бұрын
Hata hivyo ndio ilikuwa Nia Yake
@nathanjunior7694 Жыл бұрын
Nice, Lema ni mastermind sana
@peterjohnson167 Жыл бұрын
Kweli ukosefu wa ajira Tanzania alipo toka Gobless Lema kule Canada angepokelewa na watu 2 alafu kwa ujinga wake kapokelewa na matusi na kutusi bodaboda.
Slip of a tongue… nadhani alikuwa anamaanisha mwaka 2005. Amezungumza mengi kwa usahihi na kukosea kidogo kwenye maneno machache kama mwanadamu wa kawaida. Nadhani ni busara kuchukua yale mengi yaliyoongelewa kwa usahihi, makosa machache tunaweza kusamehe/kupotezea ukizingatia hayataharibu ujumbe mkuu uliokusudiwa kufika kwa hadhira.
@sophiekindem9071 Жыл бұрын
Fact👍🏽💯 Mind set🤷🏽🤷🏽😥
@solomonnanguni2688 Жыл бұрын
Well done Gods Lema. Unatoa nondo zenye akili mfano wa Adam, mwanzilishi wetu. Usichoke ni kweli wengi mno tunakuelewa ila mind set shida.
@bahatikichele3742 Жыл бұрын
P
@yopsa Жыл бұрын
Well said Kiongozi Lema !
@josephmahindoni5978 Жыл бұрын
Very Powerful ❤️❤️❤️
@osodowilberforce2321 Жыл бұрын
Welcome home Hon.Lema.
@godfreyomollo9844 Жыл бұрын
Nice interview
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Haya umerudi lipa madeni sasa uliyokopa wakati wa kugombea ubunge
@matumokimatumoki6424 Жыл бұрын
Hamna kukibadilisha wote ni wale wsle wsnapigania matumbo yao hawa..
@wilfredmmbando689 Жыл бұрын
Yes
@caashamacalini3887 Жыл бұрын
First time ulipata support from government hawawezi wakuache hivi hivi hivyo vitu ambayo umevitaja matress lazima wakusupport kununua then baadae mwenyewe unachakalika kutafuta kazi na mambo mengine fursa ziko nyingi sema baridi ,snow mahali pake kiasi useme kutakyshinda ukakae Dubai huko poa jua kama kiama
@clemencelisonga8261 Жыл бұрын
Ahaa
@uhurunaumojaonline5653 Жыл бұрын
Waandishi bhna, kwahyo Lema ndio mwenyekiti wa chadema!!! Muwe mnascreen habari zenu bhna
@petersilas4234 Жыл бұрын
Ningemshauri Lema aache siasa ,haiwezi.
@elibarikkiakyoo Жыл бұрын
Mna pindisha
@elibarikkiakyoo Жыл бұрын
Siasa siyo utapeli ,siasa ni Maisha ya watu ,kwaiyo Kama aliweza kukimbia na familiar ktk Hali ngum bas ana uwezo mkubwa wa kutetea Maisha ya watu, Kuna viongoz wengine watoto wao wamewashinda
@law_of_the_jungle Жыл бұрын
Nimejikuta nasikiliza mpaka mwisho, hata sijui nimefikaje
Asidanganye watu ilikua strategy ya kupeleka wanae wakasomee ulaya elimu bure suala la ada za shule halitamhusu tena
@uhurunyereremusa8592 Жыл бұрын
huna haja ya kukimbia Tz ili kusomesha watoto ulaya na ulaya hakuna vyuo vya bure hasa kwa wasio raia. wana ccm wenzako wanasomesha watoto wao ulaya kwa pesa zetu za kodi walizotuibia
@romanamassawe814 Жыл бұрын
Let me tell you what you don't know, In any country you have to pay the school fees for your children, unless otherwise for those who are citizens, those who are citizens can get a fevour , it is just like Tanzania , the board of loans of university are using to pay half of cost for the students of university, but only for citizens, there is nothing any country which pay fees for people of other countries
@piusmdoe3200 Жыл бұрын
Kama ni hivyo waweza kufanya hivyo pia
@japhetkavishe2347 Жыл бұрын
Kama ndo ivo kwann usikimbie naww ukawasomeshe bure
@elibarikimollel7149 Жыл бұрын
Haji msubi mbona huwaoni watawala wetu wa ngazi zote wanaosomesha watoto wao nje kwa jasho letu ambao tunasomesha Kara?! Umemuona LEMA tu!!
@josehaulee1508 Жыл бұрын
Nakukubli sana bro
@haruniaisha5905 Жыл бұрын
Mungu ufungua mirango hata kwenye shida
@rajabjuma277 Жыл бұрын
Yes nimemfahaku lema kuhusu ndugu yake sawasawa.
@williamgeorge-hd2tn Жыл бұрын
Uyu jamaa naona kama ana ni inparty power flani ya akili kujikwamua na umasikin
@matumokimatumoki6424 Жыл бұрын
Nyie mmekuja kupima upepo ili mkikaribia 2024 mje kwa kiki muanze kuchochea mafala wenu alafu nyie mpande ndege mkimbie muwaache wavunjwe miguu...
@mtzhalisi2232 Жыл бұрын
Msanii
@willymwasakyeni4393 Жыл бұрын
Daaaah wewe ndo wa kuwakebehi bodaboda wakati hao ndo wapiga kura
@jochachallengetv7061 Жыл бұрын
Nadhani nilivomwelewa lema anatoa inspirational speech, KWA wapambanaji wameelewa lema anamaanisha nini.. nataman watanzania tuwekeze kwenye ndoto kubwa zaidi na siyo kuwekeza kwenye vitu vinavyo gharimu kesho yetu
@agathamrimia-pj4sl Жыл бұрын
Akili kubwa
@matumokimatumoki6424 Жыл бұрын
Ila lema una dharau wewe..
@erickzephania1030 Жыл бұрын
Lema usijisahau wakakudhuru awa wajinga. maisha yko ni muhimu sana kwa sisi wanaharakati wenzio