JORAMU NKUMBI: Fundi wa KISWAHILI hujawahi kuona, MISAMIATI hii aliyoishusha imetuvunja mbavu hapa

  Рет қаралды 61,077

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Жыл бұрын

Kutana na Joramu Nkumbi, Msomi wa Hesabu na Masuala ya Biashara ambaye amejikita katika uzungumzaji wa #Kiswahili fasaha. Utapenda anavyocheza na lugha

Пікірлер: 315
@kimranely1984
@kimranely1984 Жыл бұрын
This guy yuko vizuri pia kwenye math alinifundisha secondary he used to call himself "THE NEXT BILLIONAIRE"😊
@Mr_Yussuf_as_well
@Mr_Yussuf_as_well Жыл бұрын
Amesoma degree ya math na statististics
@ronaldissack4955
@ronaldissack4955 Жыл бұрын
Umefundishwa na mtu mbuji kabisa WA Kiswahili mwl Joram nkumbi
@josephkaale6472
@josephkaale6472 Жыл бұрын
@@ronaldissack4955 Mlumbi
@mrsmile5425
@mrsmile5425 Жыл бұрын
Ni raha sana vile anacheka kiswahili ni lugha ya amani
@babphonc5794
@babphonc5794 Жыл бұрын
Naona hadi mtangazaji kajisahau kumuuliza kuhusu vitabu,huyu mtu ni hazina kabisa yani ✊✊✊ kiukweli ni jambo jema sana kujifunza lugha hii kiufasaha
@roybazigu765
@roybazigu765 Жыл бұрын
Moja ya interview bora ✍️🙏
@newrace5544
@newrace5544 Жыл бұрын
Najikuta nacheka kwa sauti kila nikimuangalia mbuji wa kiswahili🤣🤣🤣 this is best interview ever
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 Жыл бұрын
Sauti na umri wake tofauti 😉 mpeni kipindi I admire him 🙌
@maryamtan682
@maryamtan682 Жыл бұрын
Kumbe na wewe mwenzangu umeona
@winfordmwangonda5375
@winfordmwangonda5375 Жыл бұрын
Kabisa umri wake haviendani na ufahamu wake kwenye kiswahili, kwangu mimi huyu ni Profesa wa kiswahili
@masellemaziku1096
@masellemaziku1096 Жыл бұрын
Aaah bwana. Kijana huyu ni mbobezi wa kiswahili haswa. Atafika mbali sana maana kawekeza muda wake katika jambo hili la lugha. Hongera sana kwako Jorum
@crisndembwele4016
@crisndembwele4016 Жыл бұрын
Daah nataman kuwa Yeye uyu jamaa ni Genius 💪💪💪
@successconcious703
@successconcious703 Жыл бұрын
Be yourself boy
@robertempire9542
@robertempire9542 Жыл бұрын
Nilipoona clips zake Mara ya kwanza nilipenda jinsi anavyoongea na hata akipewa kipindi cha kufanya maojiano anafaa kabisa keep moving brother
@ALIMOHD-bk9lr
@ALIMOHD-bk9lr Жыл бұрын
Maashallah maashallah maashallah, kwa kweli kiswahili ni kiyamu mnooooooo. Hongera Sana kijana mwenzetu🙏🙏🙏🙏
@abukarosman2565
@abukarosman2565 Жыл бұрын
Nimempenda bure huyu kaka🥰🥰🥰🥰
@Bbwaoy
@Bbwaoy Жыл бұрын
Thands down. Kiswahili kili nipa tabu sana shule. Niki pata C nilikua na shangilia balaa sana. This guy deserves a credit.
@chenganjerry5273
@chenganjerry5273 Жыл бұрын
Huyu jamaaa ni mathematian mkali Sana Joram nkumbi bravo bravo
@jumapjuma3020
@jumapjuma3020 Жыл бұрын
🇰🇪🇰🇪 kiswahili kumbe kinapendeza😍
@machoguhameri7757
@machoguhameri7757 Жыл бұрын
Kijana nimekuhini sana.Wewe ni miongoni mwa hazina za vijana wa nchi yetu katika ukinga wa lugha yetu ya kiswahili.
@pauldeogratius4722
@pauldeogratius4722 7 ай бұрын
Pl ..l..... O Lllllllp
@deusntobi1450
@deusntobi1450 Жыл бұрын
Huyu mtu ni hodar wa kiswahili kwelikweli ni vizuri wasani wetu wakamtimia kwa tafisida ili kupunguza ukali wa maneno wanayoyatumia.
@fatmamsindi4612
@fatmamsindi4612 2 ай бұрын
Yupo vizuri sana huyu kijana,nampenda sana
@carolinekalume934
@carolinekalume934 Жыл бұрын
Hongera Rafiki yangu Ubarikiwe sana
@lizzy_ways
@lizzy_ways Жыл бұрын
My first time to comment Well i really enjoyed a lot
@malikzafarani172
@malikzafarani172 Жыл бұрын
Nakubali mwamba lugha anaimudu kinoma 🙌
@tumainikomba9008
@tumainikomba9008 Жыл бұрын
Kidume cha shoka elimu kubwa hadi degree ya mathematics lakin bado hakuna ammmm ammm you no what!!!big up bro
@albiz3946
@albiz3946 Жыл бұрын
Hapo Tangasisi-Tanga Ndio Sehemu alipo Zaliwa Marehemu Shaban Robert Mtaalamu wa Kiswahili East Africa
@hatbtalveson6581
@hatbtalveson6581 Жыл бұрын
hujawahi kukosea bwana sky...🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@29WavesTV
@29WavesTV Жыл бұрын
Yuko Vizuri sana na mimi nimevutiwa sana usemi wake.Haborongi katika kusema
@nuruhaule
@nuruhaule Ай бұрын
Safi sana Jorum..
@mmungaramazani4016
@mmungaramazani4016 Жыл бұрын
Congo 🇨🇩 swahili and kenya 🇰🇪
@aahasaidi1977
@aahasaidi1977 Жыл бұрын
safi sana, nashauri uandae vipindi vya Kiswahili ukitumia ubao na kalamu ili kizazi hiki tupate faida zaidi ya kufahamu maneo ya Kiswahili kwa ufasaha.Ahsante
@chrismassawe2939
@chrismassawe2939 24 күн бұрын
Shukran mwalimu
@afyatips
@afyatips Жыл бұрын
Huyu jamaa amefanya nijue kumbe sijui kiswahili 🙌🏾🤦🏽‍♂️
@manwoka4078
@manwoka4078 Жыл бұрын
Unajua kiswahili ndugu, kiswahili cha huyu jamaa huwezi fanya mawasiliano na jamii nani anatumia hayo maneno na nahau zake. Lugha ni kwa mawasiliano kama hueleweki kwa lugha inayotumika na jamii inayokuzunguruka hapo Dhima ya lugha hua haipo
@jamil1547
@jamil1547 Жыл бұрын
Sky huyu jamaa naomba apewe muda hapo kwenye TV yenu aweze kutufunza lugha ya kiswahili
@johnkiimbila6799
@johnkiimbila6799 Жыл бұрын
Tuondokane na mtindo wa kiswahili kama ilivyo kwenye nyimbo za Diamondi.
@dottanzania771
@dottanzania771 Жыл бұрын
Kwa hakika ni tajamala kumhoji mbuji, jagina, akiwa bado kijulanga kabisa ni furaha kama ya bibi harusi anapopewa ukonavi.
@shylockjai.8615
@shylockjai.8615 Жыл бұрын
Umenipotrza
@minortone8571
@minortone8571 Жыл бұрын
Bulbul
@dullywa9973
@dullywa9973 Жыл бұрын
doh😁😁
@emmanuelmussa2643
@emmanuelmussa2643 Жыл бұрын
Kijulanga😂😂
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 Жыл бұрын
Jamani mimi nahama nchi maana siambui chochote hapo
@benmbwele
@benmbwele Жыл бұрын
Kusikiliza sio vizuri kama kusoma. Watu wengi hawajui nini hawajui. Yatupasa tuwe walumbi. Vinginevyo tutakuwa vipofu wakati tuna macho.
@AbuBakar-fu9ov
@AbuBakar-fu9ov Жыл бұрын
Joram hatari sana hongera sana Mr Joram
@InstructITWise
@InstructITWise Жыл бұрын
nafikiri huyu jamaa na awamajamaa waliotengeneza hii game ya swahiliwordcross(niliipatia playstore) ni kitu kimoja aki nimekua nikiicheza karibia wiki mbili ila kufikia level ya 50 tu imenichomoa. Watu makni wanaotuonesha njia, nimeipenda sana hii interview
@minortone8571
@minortone8571 Жыл бұрын
Mama samia please help this kid for he can be a surpotive fellow in broadcasting our natural resources.
@josephkaale6472
@josephkaale6472 Жыл бұрын
Rudia tena kwa Kiswahili
@andrewnyasuru2917
@andrewnyasuru2917 Жыл бұрын
Mama samia naomba umsaidie huyu mtoto maana anaweza kuwa kutusaidia katika kutangaza maliasili zetu.
@minortone8571
@minortone8571 Жыл бұрын
@@andrewnyasuru2917 sawa
@simbadume1694
@simbadume1694 Жыл бұрын
Jamaa Yuko vizuri kuna misemo mingi nimejifunza kwake..
@gabrielgaby2265
@gabrielgaby2265 Жыл бұрын
Nimeipenda sana hii interview anatumia kipindi gani niwe mfatiliaji wake
@samakisamaki3226
@samakisamaki3226 Жыл бұрын
Aliyesikia athari za lugha ya asili ya joram agonge like hapa. Mzanaki huyu wa kinyariri 🤣🤣🤣
@fathiyaalmazrui816
@fathiyaalmazrui816 Жыл бұрын
Maasha Allah ni vizuri kweli watu wajifunze kuzungumza kiswahili kwa sababu sasa lugha ni maneno ya ovyo hata sijui yanatokea wapi.
@jumahassan273
@jumahassan273 Жыл бұрын
Njoo tanga ujifunze Swahili kama joram
@dullahmihuri
@dullahmihuri Жыл бұрын
Apa mwisho kasema jambo kubwa sana. Kuwafunza watoto kujieleza
@chicherickybenson1070
@chicherickybenson1070 Жыл бұрын
Naitwa Chiche Benson Rukumba. Natoka hapa Uganda. Ndugu Nkumbi nanipendeza sana. Lazima nijifunze lugha ya Kiswahili😀. Just trying! But the truth is I really love Kiswahili.
@alisalum2023
@alisalum2023 Жыл бұрын
Kutepwereshwa nasio kutebwereshwa Mashallah au masharaf
@swahiliwithZita
@swahiliwithZita Жыл бұрын
Wow! Just wow! Anafurahisha na kufundisha kwa pamoja
@hashimumwinyi2239
@hashimumwinyi2239 Жыл бұрын
Namuon mwigulu huyu hapa halafu anakataa mh. Hajui kiswahili vzuri
@ronaldissack4955
@ronaldissack4955 Жыл бұрын
Interview nzuri Sana,nimerudia na kurudia utamu wake uko palepale
@andrewnyasuru2917
@andrewnyasuru2917 Жыл бұрын
hili ni somo kwa waandishi wa habari, wawe wanavunja vunja maneno sio kila muda kutumia kiingereza
@earnestmwangombola672
@earnestmwangombola672 Жыл бұрын
Nimempenda Joram Mkumbi. Sikuwahi kumsikia kabla. Anafurahisha kwa kicheko chake na hazina ya kiswahili. Bahati mbaya ni mtaalamu wa hesabu na nadhani na masuala ya masoko yaani marketing. Sina uhakika kama ameokoka, angependeza zaidi.
@flomaje1J
@flomaje1J 11 ай бұрын
Ameokoka tena sana. Angalia interview yake alipokuwa Marekani
@gemgsp7104
@gemgsp7104 Жыл бұрын
Hongera kwake nimependa sana
@winfordmwangonda5375
@winfordmwangonda5375 Жыл бұрын
Huyu kijana angefaa akasome degree ya kiswahili (kama utaratibu tu wa kielimu, maana kwangu mimi huyu bwana ni Prof tayari). Ni hazina ya taifa kwanye lughaa yetu
@salimbilali5174
@salimbilali5174 Жыл бұрын
The guy has made my day
@stephenmalilo9833
@stephenmalilo9833 Жыл бұрын
Hii interview itanifaa sanaaaa......🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@ronaldissack4955
@ronaldissack4955 Жыл бұрын
Naona Fredrick bundala kafurahi Sana Kwa mahojiano na mbuji WA Kiswahili Joramu nkumbi
@benedictbuberwa3943
@benedictbuberwa3943 Жыл бұрын
Jamaa amenifurahisha sana ..
@silverman6930
@silverman6930 Жыл бұрын
Highly intellectual 🇬🇧🇬🇧🇬🇧
@mariayoeni6657
@mariayoeni6657 Жыл бұрын
Hi
@davidngomeni2608
@davidngomeni2608 Жыл бұрын
Mtu anajua kiasi hicho ila ataonekana hafai kwa kushindwa kufaulu shule😁😁😁,tubadilike.
@mwanajafari7794
@mwanajafari7794 Жыл бұрын
Hatari Sana!
@mohamedismail2662
@mohamedismail2662 Жыл бұрын
Nitajamala kumjuwa ndugu Joran amenirovia rovurovu uyu ni mbuji wa kiswahili
@indiraconnolly2889
@indiraconnolly2889 2 ай бұрын
Asante sana kwa video hii!! Najifunza Kiswahili sasa. Sikuelewa video nzima, lakini naweza kuelewa maneno machache :)
@deejeydaev
@deejeydaev Жыл бұрын
Veeerrryyyyyy confident
@dinocastico8495
@dinocastico8495 Жыл бұрын
Hakika haya ni mahojiano yaliyo tukuka, na bora zaid . Bila shaka naweza sema mahijiano haya yatabaki kuwa ktk safu ya juu kabisa
@orthospeedafrica5335
@orthospeedafrica5335 Жыл бұрын
Napenda unavocheka na unavoongea Mr Joram
@nicokabonge197
@nicokabonge197 Жыл бұрын
Dah!! Jamaa anatufungua sana....ila Vijana wa hovyooo tunafatilia mahusiano mapya ya wema sepetu na ........masanja🙄🙄🙄🙄
@badmanno.1650
@badmanno.1650 Жыл бұрын
Hii ni kichwa kabisa .. intellectual mind
@jacobmsigwa383
@jacobmsigwa383 Жыл бұрын
Yaani huku duniani kuna matobo mengi sana ya fursa za kutobolea...jamaa ni fundi kwelikweli
@jacobmsigwa383
@jacobmsigwa383 Жыл бұрын
Apatikane msanii mmoja atunge wimbo wenye uswahili mwingi kama huu
@godfreykarata3710
@godfreykarata3710 10 ай бұрын
Yuko vichuri ❤❤
@papadimayo1chanel.747
@papadimayo1chanel.747 Жыл бұрын
Nimependa.
@lissahkisamba8843
@lissahkisamba8843 Жыл бұрын
Hongereni sana
@beatricefrankngalubutu1448
@beatricefrankngalubutu1448 Жыл бұрын
Nilidhan najua kiswahili ila wew kaka hodari sana👌👌👌....."*ukonavi* ni malipo, zawadi au fidia awewayo mtu baada ya kazi fulani😍❤️❤️umenikosha sana kaka sky 👍
@calvinpaul2171
@calvinpaul2171 Жыл бұрын
Love u
@neemamsemwa3044
@neemamsemwa3044 Жыл бұрын
Hongera Sana kaka Nina mtoto wa darasa la nne anapenda sana Kiswahili naomba mawasiliano tafadhali
@juvenclemence1490
@juvenclemence1490 Жыл бұрын
Ukonavi ni mimba - ila Leo nmecheka sana leo tumefungwa na yanga ila hii clip imerejesha tabasam letu
@barakakusa7606
@barakakusa7606 Жыл бұрын
Mim pia nipo huku kujifariji🤔🤔🤔
@hatbtalveson6581
@hatbtalveson6581 Жыл бұрын
huyu jamaa anafikra mkururo na ALLAH kajaalia HIDAYA maashaalah...
@deejeydaev
@deejeydaev Жыл бұрын
Kiswahili ni kigumu asee
@moseskwabhi4992
@moseskwabhi4992 Жыл бұрын
Awesome
@AshouHumaid
@AshouHumaid 8 ай бұрын
Mimi ni mwenye asili ya kiarabu ila hakika nasikia furaha sana kwa lugha fasaha yenye kuupa burdani mtima wangu.Ama zama hizi kiswahili kimepotea,( KISWAHILI NI LUGHA YA TAIFA ,WATANZANIA SOTE TUNAJIVUNIA.. KWANZA WALIMU WANALOJUKUM KUBWA,KUTUFUNDISHA LUGHA YA TAIFA.
@erickdioniz8277
@erickdioniz8277 Жыл бұрын
Hahaha safi sana kazi nzuri
@nicokabonge197
@nicokabonge197 Жыл бұрын
Safi sana....kaka
@ngarathecomedian5743
@ngarathecomedian5743 Жыл бұрын
Jama ni noma sana 🙄🤔🔥🔥
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 Ай бұрын
Kijulanga mmoja aje hapa
@dullahmihuri
@dullahmihuri Жыл бұрын
Ana saut ya utangazaji mashaAllah
@khizralghawy9489
@khizralghawy9489 Жыл бұрын
Ni mc
@jumahassan273
@jumahassan273 Жыл бұрын
Kwa sisi watu wa tanga ndio maneno yetu njoo uku ujifunze kama joram
@alhaithamiy_
@alhaithamiy_ Жыл бұрын
Ghulamu, Banati, Dhukuriya zote hizi asili yake yake Arabic wow
@sdeshnjwetr6707
@sdeshnjwetr6707 Жыл бұрын
WATU WA MUZIKI WATANGAZE LUGHA YA KISWAHILI KWA UFASAHA. MAANA WANASIKILIZWA NA WATU WENGI NNJE NA NDANI YA TANZANIA 🇹🇿
@bekabakari7394
@bekabakari7394 Жыл бұрын
Kweli bro pamoja na Waandishi wa habari Wte lugha hawajui lafidhi zao mbaya Kutokana na makabila wanayotoka Ramadhani kwao lamazani
@mosesmahinya9654
@mosesmahinya9654 Жыл бұрын
Nash Mc njoo uku umuome mswahili
@fatmamsindi4612
@fatmamsindi4612 2 ай бұрын
Maashallah
@user-xb2pi9gp9j
@user-xb2pi9gp9j Ай бұрын
❤❤❤❤❤
@moganfred6473
@moganfred6473 Жыл бұрын
Namkubali sana
@hilaryfabian1484
@hilaryfabian1484 Жыл бұрын
geneous
@eliakusiluka2390
@eliakusiluka2390 Жыл бұрын
Hatari
@umfahad2609
@umfahad2609 Жыл бұрын
Kwa kweli lugha ya kiswahili ni lugha nzuri saana ukiongea vizuri. Mimi pia napenda mtu anae zungumza kiswahili vizuri. Cku hizi wengi kwenye L wanaweka R. Na kwenye R wanaweka L. Wanatuharibia lugha.
@bekabakari7394
@bekabakari7394 Жыл бұрын
Lafidhi zao huko walikutoka Makabila yao nivigumu ra na la Hawajui zinawekwa wapi
@jumahassan273
@jumahassan273 Жыл бұрын
Wadigo oyeeeeee maana joram anajivunia kujifunza kufundishwa kiswahili na wadigo
@babanabil...1247
@babanabil...1247 Жыл бұрын
Sawa kabisa barobaro wafunzwa ni azee enhu
@AfroMedic
@AfroMedic Жыл бұрын
Nakumbuka pale shuleni tukiandika insha- Sherehe ilikuwa imefana, na mahuluki lukuki.
@deejeydaev
@deejeydaev Жыл бұрын
khaaa Kiswahili ni kigumu asee
@mwaminindayishimiye4434
@mwaminindayishimiye4434 Жыл бұрын
Vizuri sana ila kigumu 😍😃😃😃😃
@espererancesudi7600
@espererancesudi7600 Жыл бұрын
To be continued
@selemanishabani126
@selemanishabani126 Жыл бұрын
Jamaa anaongea vzr sana
@silasjacob9132
@silasjacob9132 Жыл бұрын
Jamaa anacheka tu aiseee kiswahili 🚶‍♂️
@aminakigada5250
@aminakigada5250 Жыл бұрын
Hiiyote imondani yaquran takatifu
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 Жыл бұрын
Tupende vya kwetu sk Leo naona ume furahi Sana kwenye maada ya leo
@princemimi2090
@princemimi2090 2 ай бұрын
interview moja misamiati buruji kutoka kwa mbujii
@barakamshiu7146
@barakamshiu7146 Жыл бұрын
nimemsikiliza uyo jamaa duh kiswahili kumbe cjui ase
@sdeshnjwetr6707
@sdeshnjwetr6707 Жыл бұрын
BAKITA ITABIDI WAINGILE SWALA HILO LA LUGHA KWENYE VYOMBO VYA HABARI VINGI AVITUMII LUGHA IPASAVYO HATA MATANGAZO YAO YANATUHALIBIA KISWAHILI. KWA MFANO NENO LA KISWAHILI LINACHANGANYWA NA KINGEREZA . VYOMBO VYA HABARI MITANDAO WAWEKEWE SHERIA YA URAZIMA JUU YA KISWAHILI. MAONI YANGU.
@jacksonpeter734
@jacksonpeter734 Жыл бұрын
*Ulazima
@ejulaizerjulaizer128
@ejulaizerjulaizer128 Жыл бұрын
Huyu jamaa ananikosha kweli hiyo Cheka yake sasa
@jabilmusa7569
@jabilmusa7569 Жыл бұрын
Daah hakika kijana ni mzalendo qa aina yake
@elijahmgalula7465
@elijahmgalula7465 Жыл бұрын
Nimeongeza msamiati! Kazole
@geraldtarimo3210
@geraldtarimo3210 Жыл бұрын
Kumbe hatamimi sijuikiswahili
Incredible magic 🤯✨
00:53
America's Got Talent
Рет қаралды 75 МЛН
Does size matter? BEACH EDITION
00:32
Mini Katana
Рет қаралды 18 МЛН
ТАМАЕВ УНИЧТОЖИЛ CLS ВЕНГАЛБИ! Конфликт с Ахмедом?!
25:37
Жайдарман | Туған күн 2024 | Алматы
2:22:55
Jaidarman OFFICIAL / JCI
Рет қаралды 1,8 МЛН
Usomaji wa Vitabu
8:32
Mwangaza Pentecostal Church
Рет қаралды 3,8 М.
JAMVI LA LUGHA :UFASAHA WA KISWAHILI
36:46
KBC Classics Channel
Рет қаралды 50 М.
Joramu Nkumbi - core Values of an Effective Leader
1:00:33
Joramu Nkumbi
Рет қаралды 1,5 М.
THE JUNCTION S1:E19 | JORAM NKUMBI & LYDIA CHARLES
2:32:58
iRoc Networks
Рет қаралды 17 М.
الساعة السحريه توقف الزمن
0:26
طارق الحلبي tarik alhalapi
Рет қаралды 48 МЛН
NEW MAFIA EPISODE INCOMING 🖤
0:34
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 5 МЛН