Nimerudi Tena hapa 2024 ku salute marehemu Albert ngwea...if you will be here by 2050 just know Kuna best rapper from Tz aliitiwa ngwea a.k.a cow boy wizzy... great of all time like hapa Kama unampenda Albert ngwea na hili song...
@paulmboje2677 Жыл бұрын
Wimbo hauna matusi, video haina picha za utupu, beat kali, vocal flow nzuri, hii ngoma itatudumu 💪
@momohzackyissacky8744 Жыл бұрын
Its 2023 and still am in love with this song🙌❤️
@msouthhussein-lc5pd Жыл бұрын
it's good song all tiym
@elimringimoshi590 Жыл бұрын
Very true Bado ni hit song kama vile imetoka jana
@elimringimoshi590 Жыл бұрын
Iyeeai....iyeeaiiii ngoma Kali sana haijawahi kuchuja
@mauvaisecompagnie951 Жыл бұрын
Who ask u
@NassoroAmir-id1jh Жыл бұрын
Sure
@jucha27653 жыл бұрын
Ngwea, Ngwea, RIP aise yaani kama ngoma ya leo ❤haichuji
@leadflavour_tz6 ай бұрын
Leo Saturday July 6, 2024 naiona huo wimbo kama umetoka leo ❤🙌🏾🔥🔥
@voilethmnaku98574 жыл бұрын
2020 weka like kumuenzi ALBERT MANGWAIR Rest in peace #Ngwair
@aishamohamed98686 жыл бұрын
Kama unaipenda hii ngoma,adi Leo gonga,like
@makavelliini18776 жыл бұрын
Hii ngoma kali aisee... Very harmonizing....
@anodyandrea54816 жыл бұрын
@@makavelliini1877 Kama u
@jaykiddytz5 жыл бұрын
Nipigie plz#0714504538
@nathanjulius53125 жыл бұрын
Yeah nzur sana
@hajimkwela29835 жыл бұрын
Dude la kutisha sana halichuji
@loveness_g26198 жыл бұрын
naipenda sana hii ngoma......siichoki.......hakuna atakae tokea kama ngwea
@elishakinga67766 жыл бұрын
Loveness _G .....ni kwel kabsaaaa...lovenes
@hamisibakora55686 жыл бұрын
oyoooo ngwea mungu akulaze mahala pema pepon
@EmiliaAdelhemMlowe6 жыл бұрын
Loveness _G hakuna km ngwea bongo
@mugadimon35634 жыл бұрын
Ngwear ni complete rapper & mcs
@eliatulele91292 жыл бұрын
Ndio maana yeye akawa ngwear so hafanani
@CeeJay2554 ай бұрын
Ni 10+ years zimepita.. sasa naelewa how creative these melodies zilikuwa, missing good old days😍..
@RoncyMroki6 ай бұрын
Yani mimi nimpenda ngwea tokea nipo mdogo Nina miaka 4,, basi tu yani,, huyu jamaa angekuwepo ningemzalia hata mtoto mmoja tu yani ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😢😢😢😢🙏🙏🙏🙏🙏😭😭😭
@centlaz16784 жыл бұрын
Still here 2021 .... Apa ndoo naelewa ile “kizuri hakidumu “ngwea katutoka now CPWAA nae tena 😢 😢😢😢😢 RIP to all this legend never been forgotten
@jamesmichael368 Жыл бұрын
Hakuna mpaka leo mkali free style cowbama rest iz paradise
@eddahaule86203 жыл бұрын
Imenigharimu miakka kukumbuka huu wimbo unaitwaje na kaimba Nani nimejikuta naandika I give all my money song from Tanzania ndio umekuja, huu wimbo nilipousikia niliumia sana coz ngwair kaimba video kakosa
@Geofrey-we1tv Жыл бұрын
Dah asee noma sana yani kama imetoka leo vile
@HaikaJohn-w3h4 ай бұрын
Hatar na nusu
@simonibonifasi3131 Жыл бұрын
We Jordan ulipotelea wapi
@realscholarships-bolde.23446 ай бұрын
"We don't search for old songs" "We search for gold memories"🎶🎶 20... Everlasting masterpiece🎉😊
@CharseMbish4 ай бұрын
Mm nawa like lakn nichawahi kumuahidi mwana ume lakn duh nakumbuka vingi kuhusu wimbo huu
@puritypendo64726 жыл бұрын
Who is here in 2019🤗 It's been 4years already and the song is still a hit🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Miss you Ngwea.... R. I. P 🙏🙏
@brownkyando74904 жыл бұрын
Rip
@Geofrey-we1tv Жыл бұрын
2023 bonge la ngoma
@TheDinhoDesign10 жыл бұрын
One of Bongo's great video. R.I.P Ngwea😣
@emyanselm633810 жыл бұрын
I real like dat song waooooohhh
@HemedyMakangara5 ай бұрын
Tuaoisikiliz 2024 gong like hii ngom ikipigw clab unaeza usitamni iish
@gitagawapositivediaries.93595 ай бұрын
Yeah man tena uwe na pisi kali pemben unataman aelewe kinachosemwa😂
@mankarichard58514 жыл бұрын
Who is listening 2020 in the memory of mangwair keep rest easy legend ♥️
@rauhiyamody4594 жыл бұрын
Remember Alibat mangwe ilove you sou march
@feyzalyusuph144 жыл бұрын
19 December 2020
@rehemakiwale62963 жыл бұрын
Am still listening this till this 2021
@mankarichard58513 жыл бұрын
Rehema Kiwale here we are 2021..good music live
@monicadamiani45372 жыл бұрын
Monica 2022
@STRIKEKIBUTI8 ай бұрын
Wadau masela kuanzia 45 Mpaka 32 chekelea na 26 kipaji mtafutaji yeyote alie Angalia hiiiii Ngoma Kwa mara nyinginee wakati na muda kama WA leoooo like Zako muhimu hapa kumuezi NGWEA Alafu like kimy kimy 😢❤❤❤
@mtaostephen36608 ай бұрын
Tuko wote msela wang
@mussespm56128 ай бұрын
Kitambo sana lkn Wimbo bado unabamba 2024,, Jordan na mirror wapo wapi?
@hamzamoshi83572 жыл бұрын
Pumbu limetulia qulity bomba sana sana ngwe uyu mwana nae kauwa mbaya sana kinyamwezi big kubwa sana NGWEEEEAAAAAAAAA 🙌🏻🙏🏻
@PatrickNzengo-ir3yv Жыл бұрын
Duh! Hii video itaishi miaka mingi sana vizazi na vizazi Ukisikiliza katika utulivu hadi mapigo ya moyo yanaenda tofauti ❤❤❤❤❤ good job
@hamidawamba Жыл бұрын
Sanaaa
@neirahtz58335 жыл бұрын
Ngoma haichuji hii kila day kama vile ndo imetoka
@123mviewers54 жыл бұрын
Ngoma kali kinoma niliicheki kitambo nimeiludia Tena 2020 Kwa walioicheck 2020 tujuane 👇🏿. 👇🏿
@hatujawarwambo6942 жыл бұрын
Mie piah
@neemajacob7368Ай бұрын
Mwezi 11,2024 kama ngoma mpya vileeeeee oooyooooooo🎉🎉🎉🎉
@tinamanzala7 ай бұрын
Dah this song 💪🏽 Hivi Mirror aliendaga wapi sijui 🥲
@riverlibrary20476 жыл бұрын
wooo ni noma sana kama ngwea angeshiliki ktk video God never sick
@AgyanWajose7 ай бұрын
My favorite song this two months April and may 2024 Ngoma kali sana
@kevlanny Жыл бұрын
Still listening one of the best song produced in Tanzania its 27th October 2023 RIP Ngwea also We miss Mirror Melody it’s dope🔥
@RioIpo4 жыл бұрын
Huyu msenge humu kaua sana Jordan dah kaflow kinyamwezi kabisa
@kigomatv15316 жыл бұрын
aisee nimejikuta namkumbuka albert mangwair, RIP ngwair.
@patrickatuko90398 жыл бұрын
From Kenya bt a big fan of NGWEA...RIP BIG BRO! bongo ain't nice without your 'Eminem' rap
@issapeter80686 ай бұрын
Hapa nilikuwa nampenda mtoto wa mama mkwe jaman yan moyo wangu ulikuwa hoiiiii kama nawewe ilikuwa hivyo weka like nyingi tujuane.
@mpingeally9232 жыл бұрын
2022 still listening good music 🎶 daaa rest easy ngwea
@wasaficlassicshoes2 жыл бұрын
Am the first
@KAIZA.2 жыл бұрын
Noma sana
@cyrusracker466611 жыл бұрын
Bro unajua mpaka kichwa knauma yaan mpka keroo s/o to u n ur entertainment
@MichaelChacha-k8w9 ай бұрын
Ngwear ni T.I wa bongo 2024
@yvonnelovie93032 жыл бұрын
Can’t still get enough of this song..still listening
@magrethhwago46889 ай бұрын
Njooni 2024 tu enjoy mziki mtaaam
@gasparpaul33739 ай бұрын
Tupo hapa
@HamisiJuma-if3jn7 ай бұрын
Watukama hawa wangekuwa mpaka leo mziki wetumzuri ungekuwa unaishi mpakaleo Rip mwamba asee❤❤❤❤
@bekaibrahim61093 жыл бұрын
Duuuuh?!!!pini liko pw sanaaaaa huchki kuisikiliza
@RoncyMroki6 ай бұрын
Bonge la nyimbo 28/06/2024
@josephinembaza6165 жыл бұрын
R.I.P ngwea,hajatokea wa kuziba pengo lake
@rukiaiddyyahaya95064 жыл бұрын
Huuu wimbo naupendaga Sikujua Nani kaimba dooo naidanlod sasa😘
@johnrichard5482 Жыл бұрын
It's 2023 and Still DENJAVUU MUSIC 🎧🎤🎵 IS ON FIRE...🔥🔥🔥🔥🔥💪💪💪💪💪🙌🙌🙌🙌🙌
@johnrichard54823 ай бұрын
2024 Still is on Fire 🔥🔥🔥🔥🔥
@mikechuwa9174 Жыл бұрын
Ngoma ya moto sana video kali ile ile. Pumzika palipo patulivu ngwear na nisher bidhaa adimu sana zimeondoka.
@johngambos11 жыл бұрын
katika video kali hii nisher nimekukubaliii aseeee ningekua no yako ningekutumia hela ya sodaaaa tisha sanaaa na ku surrport 100% aseeee big upppp mwanaaa aseeee nitakupatunzooo aseeeee umewafunika hadi ogopaaa video nisher big upppp sanaaa tuuuuuu nishidaaaaaa
@Bongoyoungstar9 күн бұрын
The golden age of Bongo Music . Listening in December 29, 2024
@zuhuramasika18767 жыл бұрын
yaani duuuh! haichuj milele
@florampeka Жыл бұрын
2023, old is Gold... rip ngwea
@Msela-bi_tozzy.2 ай бұрын
😮WAOOOOH NGOMA YA YAZAMANI ILA AWAJAMAA WALIKUWA MBELE YA MUDA NGOMA KAMA YA JANA VILE VILIKUTANA VICHWA🔇💥💥💥💥
@festohaule97167 ай бұрын
Mwamba anajua mziki sana... Sijui yupo wapi!!!!
@mando_weder3 ай бұрын
bado tunaishi nayo september 2024🔥🔥
@mashenene11456 жыл бұрын
kweli loveness mi mwenyew ii ngoma siichoki
@moseseden27879 ай бұрын
miaka mingi imepita still naendelea kusikia mdundo wa dhahabu
@MOUNTAINBOYAFRICA3 ай бұрын
this is a masterpiece..more love from kenya 2024
@kisasarob7515 жыл бұрын
Bonge la choruuuuuuuuuus mirror ni mbaya ngwea ndio jini RIP KING NGWEA
@AlineIrakoze-pv6rd4 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉ngwea ngwea lip ais akun ngom ya leo tuijuan
@johnkilimo95208 ай бұрын
Sauti tu inatikisa kwenye hii ngoma je anagekuwepo??? Mwamba hatari sana RIP Ngwea