Haaaaaas kabwe ya waphiyo kabwe watu hawawezi kusikiliza chama cha hovyo
@zeelamipango3 күн бұрын
Wewe ni matako
@marcokaroje89803 күн бұрын
Chama kizuri hakiogopi katiba mpya na uchaguzi wowote wa kisiasa chama cha hovyo kinaogopa uchaguzi na katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ili wananchi washiriki kikamilifu kujiletea maendeleo kupitia wawakilishi wao katika serikali waliyoitaka kwa kuwachagua viongozi wao siyo kuletewa viongozi na kikundi cha watu wachache wanaodhani kuwa nchi ni mali yao