Chadena wananchi tunawapenda sana. Nyie ndo watetezi wetu wa kweli.
@ezekielmwadomba46755 жыл бұрын
Rais wa Mbeya Sugu, VS from Poyoyo jalalani! Da! Sugu Big up!!!!
@tatumahamoud3055 жыл бұрын
Mbunge wa mbeya ni👏👏🔥🔥🔥🔥
@paull86595 жыл бұрын
😂😂Hatutaki viongozi wanaotoka jalalani kama prof.Kabudi🤣😂😂🤣🤣🤣
@alfredjeremia64255 жыл бұрын
Hongera sugu
@alfredjeremia64255 жыл бұрын
Sina urafiki na waziri mdgo @sugu fire
@atubeka93174 жыл бұрын
Safiiiiiiii
@atubeka93174 жыл бұрын
Big up OK vizr kiongozi
@ezekielmwadomba46755 жыл бұрын
CHADEMA INA WA BUNGE WATETEZI WA WANACHI!!!!
@kfastak5 жыл бұрын
Real talk Mr. Sugu
@yohanapetro49375 жыл бұрын
Kusema ukweli chadema adi LAHA kila ANAE simama ATALI
@mokhaty2705 жыл бұрын
saaana
@joycelugano39465 жыл бұрын
Mbilinyi big up wewe kichwaaaaawa!!! Udumu ubunge
@haipo89495 жыл бұрын
Sugu nakuomba zungumzia Hilo Kaka. Kodi wakati mtu hajaanza kuzalisha. Angetakiwa apewentax holiday walau miezi sita waone Kama anazalisha au!
@karanjakamau575 жыл бұрын
Asante kaka au dada, ethiopia inapeana tax holiday ya miaka 5 hadi 7, rwanda kuazia miaka 5 na kuendelea, tz tunatatizo kubwa sana
@musakaliisbettermollel35805 жыл бұрын
Sema baba, ukweli hujitenga na uongo
@evancemosha78625 жыл бұрын
saf sana mbunge anayejielewa anapochangia.
@wamoniva78595 жыл бұрын
God pzd from mbeya
@fantsonmpango77425 жыл бұрын
Nimecheka sana kwa furaha
@kenedymmanya31485 жыл бұрын
Dawa nikubadilisha katiba tu ,poyoyoo wp wengi
@mujunskytv68895 жыл бұрын
mapoyoyo👏👏
@haipo89495 жыл бұрын
Ifutwe Kodi ya awali wakati mfanyakazi biashara anaposajili biashara yake kwa Mara ya Kwanza. Mtu hajaanza kuzalisha anatozwa Kodi TAX CLEARANCE. Mimi na hamasisha watu kurasimisha shughuli zao wanaogopa kwenda TRA.
@adrophwilliam32255 жыл бұрын
Safiii sana kamanda
@emmanuelmartine73765 жыл бұрын
Nyiekweli wabuge waupinzan mko makin kwanza Hanna miogozo
@sethnyenzitv66172 ай бұрын
Eeh Mungu turudishie hili bunge tena,maana hoja hizi hazipo tena
@charlesmurimi5925 жыл бұрын
Waambie hao wapuuzi wa ccm, ovyooooooo sana chama la giza hilo, ahadi za uongo tupu.
@danielmanyama45045 жыл бұрын
Naibu spika acha mbunge achangie mbona unakuwa kama we we ndo mchangiaji acha dawa iwaingie!
@gastordominic4105 жыл бұрын
Ahahaha Sugu asahnte tutetee watumish
@getaromagaiwa79185 жыл бұрын
safi sana RAIS WA MBEYA
@Kantimorro5 жыл бұрын
😆😆😆😆hao ndo wale mapoyoyo
@jumaomar80655 жыл бұрын
Kumbe katiba mnaijua Sisi tunawaelewa vizuri mtafika mwisho akuna kisicho mwisho
@nzeyyunus59905 жыл бұрын
Daaah i wish ingekua video jamn
@zakariagitano77865 жыл бұрын
Duh! Kweli unakipaji cha kuabisha umemkomesha.
@maxesh51355 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mapoyoyo
@husenially86495 жыл бұрын
kweri asate chadema
@atusheatishe52815 жыл бұрын
Ila kiukweli nima poyoyo
@joycelugano39465 жыл бұрын
Kumbe Katiba mnaifahamu mbona hamuifwati
@DottoMussa-fx8pn Жыл бұрын
Hahahahaa huy Alietoa tarif sugu ameshindwa kumjb inaonekan ametoa tariifa ya matope
@pascalprince44085 жыл бұрын
Jalalan fc
@King_Of_Everything5 ай бұрын
👊👍✌️。
@jongomwalyanzi89955 жыл бұрын
patam hapo sugu
@subiradalabu66165 жыл бұрын
Jongo Mwalyanzi 😁😁😁😁😁👍
@petermelkiony6795 жыл бұрын
Kweli Mh Joseph Mbilinyi
@hamidutwaha62165 жыл бұрын
Wanamwita sugu nani!!
@fransismathew82845 жыл бұрын
pipoooooooooooooz
@jamilmwinge36955 жыл бұрын
Ukitupa dongo kichakani ukasikia yalaa ujue kuna mtu limempata.
@jamesmlelwa55293 жыл бұрын
Aliye sikia poyoyo
@kaminyogemwachelwa98845 жыл бұрын
😀😀😀😀😀😀😀...SUGU MOTO
@simonbarnabass62425 жыл бұрын
Sugu, ni zaidi ya wabunge 10 wa ccm
@iddastephen55115 жыл бұрын
Vichekesho vya chali ya ara.
@michaelmwaluko28825 жыл бұрын
Kwakwel tungepata wabunge wa ccm kama kumi tu tungefika mbali chadema kuna nondo kwel
@joycemosha18988 ай бұрын
CHAWA MWEZAO ZINAPIGWA ZINAENDA CHINA TOWN KWA BAADAE 11:01 11:39 11:43