MCHUNGAJI HANANJA amchana MANARA na DULAH MAKABILA acheni urimbukeni wa mapenzi ,ZAYLISA hana ndoa

  Рет қаралды 96,761

Bongo Touch

Bongo Touch

6 ай бұрын

Пікірлер: 150
@namsamson3443
@namsamson3443 6 ай бұрын
Huyu mchungaji anaongea ukweli kabisa na Mungu akubariki mnooooo
@vibetz9991
@vibetz9991 6 ай бұрын
Mchungaji wala hajui kama anaulizwa maswali ya akina manara 😂😂😂😂
@mungamichael9354
@mungamichael9354 6 ай бұрын
Maneno yake ni zaidi ya fedha
@nurudinimkumbugo9601
@nurudinimkumbugo9601 6 ай бұрын
Umenena vyema sana Allah akubariki
@Siasia209
@Siasia209 6 ай бұрын
Hana Utu,hana huruma,hana,mapenzi na fasi ya mungu haipo ktk maisha yke maneno ya hekima kbs
@MnangwaOmari1971
@MnangwaOmari1971 6 ай бұрын
Mwenyezi Mungu akujalie! Ww ni zaidi ya Mlezi
@hawababy120
@hawababy120 6 ай бұрын
😂😂😂mchungiji bhana eti unalilia uzinzi😂😂eti wanakicha cha ngono😂😂😂😂😂😂😂😂
@MuhammadHassan-xp6dc
@MuhammadHassan-xp6dc 6 ай бұрын
yani hapo nimecheka sana huyu mzee ni kiboko alafu wala hatumii nguvu
@DanfordSimon
@DanfordSimon 5 ай бұрын
😅😅😅😅
@jafariabdillah8585
@jafariabdillah8585 6 ай бұрын
Nakupenda sana mzee kwa busala zako
@user-uo3vh8qf3c
@user-uo3vh8qf3c 6 ай бұрын
Kweli mchungaji huo ni ushamba wa mapenzi
@leylaruhabaye9017
@leylaruhabaye9017 6 ай бұрын
Uyu mch. Ana akili nyingi sana apewe mauwa yk hata kwa kumsapot kwa hekma zke. Mm ni muislam lkn namkubali sana
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 6 ай бұрын
Uko sahihi mzee
@casmuiddy7304
@casmuiddy7304 6 ай бұрын
Mtumishi yupo na vitu chanya Sanaa na anawakilisha Kwa njia nzuriii na simple
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 6 ай бұрын
WANA KICHAA CHA NGONO NA MALIMBUKENI WA MADEMU😊,,,,TAFTA MWINGINE OA KIHALALI SONGA MBELE,,,
@fredylucas2484
@fredylucas2484 6 ай бұрын
watamjibu huyu ajiandae kwa hawa vichaa wa ngono
@ramadhanikashimbiri4851
@ramadhanikashimbiri4851 6 ай бұрын
Mzee yupo sawa kwa 100% , ukifwatilia ushauri wa huyu baba yetu utaumia kwa muda kidogo ila badae ni furaha tuu❤
@user-eq9hl9vg2x
@user-eq9hl9vg2x 6 ай бұрын
😂😂😂aise nakupenda bulee mchungaji wetu mungu akubaliki sanaa kwakwel upo vzr sanaa 😂😂😂
@MohammedSaid-tf5qc
@MohammedSaid-tf5qc 6 ай бұрын
Mzee mm nipo Misri huku na soma nakufuatilia sana mchungaji ukosawa sana ktk maneno yako inshallaah nikirudi nitakutafuta nipate hekima zako
@user-oc8uo9rl3u
@user-oc8uo9rl3u 6 ай бұрын
Acha kufatilia makafiri broo
@josephbonday8510
@josephbonday8510 6 ай бұрын
​@@user-oc8uo9rl3uKWANI hapo amekosea nini alichozungumza?.AU NDIO CHUKI TU ULIZONAZO?
@Giddy-Official
@Giddy-Official 6 ай бұрын
Ubarikiwe Mtumishi🙏🙏
@user-xy7ir3eg1d
@user-xy7ir3eg1d 6 ай бұрын
Uyu mchungaji ana akili namqubar sana
@user-ls9lc4zu3z
@user-ls9lc4zu3z 6 ай бұрын
Mchungaji uko byeeeee,,,waaaah
@melosta
@melosta 6 ай бұрын
Uwa sichok kumsikilza 😂
@zabrongermanus-co1jj
@zabrongermanus-co1jj 6 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi
@BeullahBujah-lk3sx
@BeullahBujah-lk3sx 6 ай бұрын
Ubarikiwe Pst
@wiza2309
@wiza2309 6 ай бұрын
Yaani mnamvunjia heshima Mch kumuuliza maswali ambayo jibu lake unalo. Mambo ya udaku msimtafute Mchungaji, yapo mambo mengi ya maana ya kumtafuta lkn siyo udaku
@user-vr5bi8rb8y
@user-vr5bi8rb8y 6 ай бұрын
Baba nashkur,Mungu akuinue zaid🙏🙏💪🥰
@fabianbenardngatunga2713
@fabianbenardngatunga2713 6 ай бұрын
Barikiwa sana mchungaji mpaka ushangae kwa maneno yako
@sallymurembo815
@sallymurembo815 5 ай бұрын
Mchungaji wangu umeongea vitu vizuri mno na muhimu sana ❤
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 6 ай бұрын
Hananja nakukubali sana mzee
@stellamunisi4038
@stellamunisi4038 6 ай бұрын
Uishi miaka mingi baba..una busara sana...nakuombea heri na utajiri wa afya na mali pia❤
@zephaniazacharia519
@zephaniazacharia519 6 ай бұрын
Fact
@user-zk6mx6de3q
@user-zk6mx6de3q 6 ай бұрын
Asante mchungaji
@user-ih4kw5eb3d
@user-ih4kw5eb3d 6 ай бұрын
Huyu mchungaji namfagilia sana kwa kuwapa watu ukweli 😂😂😂😂😂😂
@hassanmoalimmuse6014
@hassanmoalimmuse6014 6 ай бұрын
Wampe balozi matangazo mzee anafaa
@brigitaassenga5230
@brigitaassenga5230 6 ай бұрын
perfect advisor👏👏👏hakika Mungu azid kukup maisha marefu😂😂😂"unalilia usinzi,?"😂😂🤣🤣💯hio imeenda....
@user-mh2nk6oi7p
@user-mh2nk6oi7p 6 ай бұрын
Nakupenda baba❤❤❤
@VeronicaRugoyi
@VeronicaRugoyi 6 ай бұрын
Mungu akupe maisha malefu Baba❤❤❤❤❤❤
@neemacharles9848
@neemacharles9848 6 ай бұрын
Uko sahihi mchungaji Mungu akulinde uzidi kutufundisha
@mercymichael476
@mercymichael476 6 ай бұрын
Kweli kabisa mchungaji.Mungu akubariki sana.Makanisa mengi yanazuka sio kwa lengo la kuponya roho za hao waumini ila ni kwa ajili ya wamiliki kuwapokonya fedha waumini wao.
@husseinmaula4965
@husseinmaula4965 6 ай бұрын
Ktk maisha yangu mwanamke akinikataa naona kanipunguzia mzigo.
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 6 ай бұрын
Tatizo.ujui.unaempenda moyoni mwako. Dheyuss motoni
@mousaoswego8257
@mousaoswego8257 6 ай бұрын
Ameongea vzr na kwa hisia adi imenigusa, vijana wanaumia sana
@benjaminshayo32
@benjaminshayo32 6 ай бұрын
Baba kwanza nikushukuru, ila mimi nipende kuchangia kitu, Kwanza ckuiz watu hawawazi kuoana...na huo ni ukuzimu kabisa... Watu wanataka tu kuwa na mahuciano ya kizinaa..... Wengine wanataka kuwa na rekodi ya kuwa na mahuciano na mabinti wengi wazuri, Wengine wanataka tu kwasababu ya tamaa, tena hasa tamaa.... Wengine wanaona kuoa ni uzamani, yaani mambo ni mengi...na kwa utafiti wangu mdogo nloufanya nkaja kugundua ustaa ndio unachochea sana uharibufu wa kizazi hiki...mastaa wengi wameharbika kimaadili na wao kwa kujua ama pasipokujua wamesagau kama wao wameinfluence sana kizazi hiki...tukifanikiwa kucontrol mastaa naamini tutaweza kuokoa kizazi hiki sana.
@Dullz-yt9gk
@Dullz-yt9gk 6 ай бұрын
Yaaan hiyo ni bonge moja la elimu watu wengu awajui hilo
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 6 ай бұрын
Usi lilie uzinzi 😂😂 hilo neno zuri sana
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 6 ай бұрын
Umeonaee unae unaulilia,moto
@user-bv2oe6iv3e
@user-bv2oe6iv3e 6 ай бұрын
Nakukubali San mchungaji
@siwonikewilliam9146
@siwonikewilliam9146 6 ай бұрын
Kweli kabisa mtumishi haujakosea
@dennisezakiel3380
@dennisezakiel3380 6 ай бұрын
Mimi nataka kuonana na mchungaji,nitampata wapi Huyo mchungaji
@user-vu2th5fe6y
@user-vu2th5fe6y 6 ай бұрын
Kwr mchungaj huyu namwerew
@MuhammadHassan-xp6dc
@MuhammadHassan-xp6dc 6 ай бұрын
eti nyumbu wa mapenzi😃😃😃😃
@edsonmlelwa5814
@edsonmlelwa5814 5 ай бұрын
Ukweli kabisa umegusa Kila Kona Yani ukweli mtupu ubarikiwe ameni udumu
@helenpeter5522
@helenpeter5522 6 ай бұрын
Amen
@VeronicaRugoyi
@VeronicaRugoyi 6 ай бұрын
Asanteee Babaa umetishaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@rehemarwanda6039
@rehemarwanda6039 6 ай бұрын
Utafikiri tumetoka mbinguni juzi😂😂😂😂😂
@mwanaishaabubakar5013
@mwanaishaabubakar5013 5 ай бұрын
Nimecheka kwa sauti bila ya kukusudia. Umenena wote wanawake
@user-ho8gk9os7f
@user-ho8gk9os7f 6 ай бұрын
Uko vizur mzee
@mwanzangafesto7110
@mwanzangafesto7110 6 ай бұрын
Ukweli nakuelewa sn mchungaji uwa nakufatilia maelekezo yako yapo vzuli sn mungu azidi kukupa uzma utuelimishe
@solomoneglesias9752
@solomoneglesias9752 6 ай бұрын
I dont want peace i want problem any time🤣🤣🤣🤣hiii imeeendaaa🙋🙋🙋
@NeemaDesheshe
@NeemaDesheshe 5 ай бұрын
Ameen
@emmanuelakutulaga9756
@emmanuelakutulaga9756 6 ай бұрын
Pastor kuanzia Leo nakuelewa.
@TheAlman
@TheAlman 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 kweri kabisa
@burhanhusseintv4879
@burhanhusseintv4879 6 ай бұрын
I'm from England I don't understanding that language but mchungaji kasema ukweli🙏
@khadijamohamed3389
@khadijamohamed3389 6 ай бұрын
😂
@user-vk8pv8gg6k
@user-vk8pv8gg6k 6 ай бұрын
😂😂😂😂
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 6 ай бұрын
😂😂😂
@user-yn2lr9qh9y
@user-yn2lr9qh9y 6 ай бұрын
😂😂😂 Shenzi kabisa
@hudhaimarajab9103
@hudhaimarajab9103 6 ай бұрын
Kwaiy dula na manara nyumbu 😂
@AfricaYangu
@AfricaYangu 6 ай бұрын
Uzinzi ni mapokezi ya jehanamu 😂
@user-up2ix5vq1o
@user-up2ix5vq1o 6 ай бұрын
❤❤❤
@user-gu6en8ct4m
@user-gu6en8ct4m 6 ай бұрын
😂😂kichaa Cha ngono😂😂😂kabisa wote wanawake..
@user-zv5ny8np8d
@user-zv5ny8np8d 6 ай бұрын
Hananja nimchungaji mzuri ❤❤❤❤
@user-sb5du8rv9g
@user-sb5du8rv9g 5 ай бұрын
Uchungaji unahitaji elimu kubwa kwel unafaa kuwa kioo Cha jamii kwa elimu bora
@salimashambi7047
@salimashambi7047 6 ай бұрын
Tuna mdemu wa tatu 😂😂😂😂chukua maua yako🎉🎉🎉🌹🌹
@bushbabytz
@bushbabytz 6 ай бұрын
huyu mchungaji alishawahi kuvuta bangi
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 6 ай бұрын
😂😂😂kwanini
@user-zv1xc1cv7p
@user-zv1xc1cv7p 6 ай бұрын
😂😂😂 anasema.kweli
@user-gu6en8ct4m
@user-gu6en8ct4m 6 ай бұрын
😂😂kichaa Cha gono kabisaa😂😂
@maryam4va538
@maryam4va538 6 ай бұрын
Mchungaji big up😊😅
@user-kn8tp6lk6i
@user-kn8tp6lk6i 6 ай бұрын
Kweli😂
@BarakaMwaikenda-ty1bt
@BarakaMwaikenda-ty1bt 6 ай бұрын
Huyu mchungaji wa kweli kutoka moyoni
@user-tl9zq4ue5g
@user-tl9zq4ue5g 5 ай бұрын
Reception ya jehanamu😂😂😂😂
@emmanuelshila9885
@emmanuelshila9885 5 ай бұрын
kijana mbonyeza kinanda na wabeba spika hata kodi ya nyumba hawana wanatia huruma
@user-li1lx9fi9h
@user-li1lx9fi9h 5 ай бұрын
Waelimishe mzee wangu maana wamekuwa limbukeni sana hawa vijana
@suleimanmohd2451
@suleimanmohd2451 6 ай бұрын
Mimi Suleiman ila ninampenda sana huyu jamaa nimkweli sana
@user-du4dt5gz3t
@user-du4dt5gz3t 6 ай бұрын
Huyu mzee hanaga kupepesa macho anachana live na haogopi lolote😀😀😀
@yohanamazengo3242
@yohanamazengo3242 6 ай бұрын
❤❤❤❤
@user-zv1xc1cv7p
@user-zv1xc1cv7p 6 ай бұрын
😂😂😂 mchungaji unichekesha mpaka
@MuhammadHassan-xp6dc
@MuhammadHassan-xp6dc 6 ай бұрын
huyu mzee ananifurahisha sana yani nacheka tu kama mazuri vile
@user-up1py2tk9x
@user-up1py2tk9x 6 ай бұрын
Unasema kweli mchungaji
@ramadhanikiseko2226
@ramadhanikiseko2226 2 ай бұрын
Achana nayeeeee😅😅😅
@kulwasuleiman2798
@kulwasuleiman2798 6 ай бұрын
Mademu watatu nimecheka sna aisee.
@mohammedsarehe6857
@mohammedsarehe6857 6 ай бұрын
Uyu ndo hiribd awe mwamposa namuerewaga sana japo razima ucheke
@greatwallhotelandktv266
@greatwallhotelandktv266 6 ай бұрын
Mchungaji uishi sana
@user-kn8tp6lk6i
@user-kn8tp6lk6i 6 ай бұрын
Kabsa mchungaji😂😂
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 6 ай бұрын
Mchungaj umesem kweli kabisa kwa wenye akili ndio wataelewa
@davidtry4ne
@davidtry4ne 6 ай бұрын
😂😂😂😂asee hii kali
@khamisjuma3841
@khamisjuma3841 6 ай бұрын
Mchungaji hananja punguza ukali wa maneno dah, yaani unasema wanaume wanaogombana kwa ajili ya wanawake nao wote ni wanawake uuuuwi umeua hiyo. Imefika hiyo sent.
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 6 ай бұрын
Umemalizaa BABA
@user-ur3pw2rw8r
@user-ur3pw2rw8r 6 ай бұрын
Uko poa Mzee
@jacklinetimothy1641
@jacklinetimothy1641 6 ай бұрын
Ukweli mtupu baba
@rahmaabdalla7643
@rahmaabdalla7643 5 ай бұрын
Chakula cha mbiguni hakina chunvi wala bizari 😂😂😂.
@sifandayisaba9360
@sifandayisaba9360 6 ай бұрын
😂😂😂wanawake watatu
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 6 ай бұрын
Duh😂
@user-jz1mc5qg1j
@user-jz1mc5qg1j 5 ай бұрын
Baba niombee na mm niolewe
@dennisezakiel3380
@dennisezakiel3380 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 unakaa mapokezi
@oscarjohn477
@oscarjohn477 6 ай бұрын
MADEMU WA TATU YAN.. manara demu wa kwanza zaylsa demu wa pili dula demu wa tatu 😂😂😂
@lightnessgamasa6039
@lightnessgamasa6039 5 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🙌👏👏👏🙏 Raia wanchi mbili
@hilalmahrazi2287
@hilalmahrazi2287 6 ай бұрын
Napenda maoni yako 😂😂😂
@jalinachilala8465
@jalinachilala8465 6 ай бұрын
Ni ulimbukeni😂😂😂
@user-gu6en8ct4m
@user-gu6en8ct4m 6 ай бұрын
😂niushamba kweli😂😂😂😂
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 6 ай бұрын
Tumeruhusiwa wa 4. Dula acha ufala
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 13 МЛН
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 42 МЛН
MCHUNGAJI HANANJA ATOA SIRI ILIYO FANYA  KUACHA UCHUNGAJI.
7:36
KAGOZI PRO TV
Рет қаралды 5 М.
DAKIKA 10 ZA MCH. HANANJA ZINAZOPENDWA ZAIDI NDANI YA UDSM CCT MEDIA.
9:47